The best patanisho I have ever listened to......Nani ako hapa 2020 November
@shamimaoko3 жыл бұрын
Tuko hapa 2022 😂 😂
@SAMUELMUGA-zb4dr Жыл бұрын
My favourite patanisho Dec 2023
@paulinewanjiku80845 жыл бұрын
2020 ni mwaka wa kuambiana ukweli
@hostinewamboi32385 жыл бұрын
Patanisho ya leo ni 🔥🔥na lucy hataki ujinga kha 😂😂
@jonnykish48685 жыл бұрын
Lucy namjua sana she is my close friend,..anakuanga ivo msimamo wake huwezi ukaubandua
@princesspriscaofficial48235 жыл бұрын
😂😂You made my night Lucy ukiamua ni basi life will go on Hakuna kulazimishws
@JozaphinDorey-eu9nl Жыл бұрын
U if u understand God every thing become waaa
@njorocomedian85514 жыл бұрын
Lucy ,so mature lady n straight forward lady
@miriamchepkurui925711 ай бұрын
Kweli
@fatmamacharia35935 жыл бұрын
Team Saudi Arabia nipe like
@henryosoro76965 жыл бұрын
Nimekupa kutoka Dubai
@hadassahvicky61185 жыл бұрын
Team Saudi nayo nayo
@agneswanjihia13835 жыл бұрын
Chukuwa diyo hiyo
@sweetmumwake97295 жыл бұрын
pokea yangu
@fatumaqatar61855 жыл бұрын
Pokea yangu kutoka Qatar
@sheilahbarongo36535 жыл бұрын
Lucy sweee keep it up....kwani wakenya ndio walinipenda🤣😂🤣😂🤣😂🤣😍🤣😍😂😍😂😆😘😘
@BathshebaMachani-dd8ef4 ай бұрын
Hapo sioni ndoa .team saudi niaje
@alsia_1 Жыл бұрын
Amen 🙏 amen Jesus love you good job love 🇹🇿
@eliabamayi43445 жыл бұрын
Usijali lucy Mm pia mume wangu yuafanya kazi bamburi cement yaani nimalaya Sana hao wafanyikazi wa bamburi cement ata venye naongea sai nmemwacha last month na pia nasonga Mbele na maisha yangu,,,
@erickjuma62115 жыл бұрын
MIND YOUR language PLEASE!!!!!!
@albertodhiambo54104 жыл бұрын
This was the greatest ever patanisho
@stellaloves98795 жыл бұрын
Aki Gidi Leo umecheka Sana Lucy Asante kwa kuwakilisha Coast acha huyo mluya aende na uluya wake
@nancynuru78725 жыл бұрын
Watoto wa msa 🔥🔥🔥🔥👊👊👊👊
@peternjogu62315 жыл бұрын
Mhh
@emilymuthoni37765 жыл бұрын
#patanisho 2020 ni noma sana zote zinaenda hivi 👈👉 eti anataka kualikwa harusi😂😂😂 ahk lucy🙆🙆🙆
@roselineawinja66045 жыл бұрын
Siku hizi hazipatani kabisa ni 👈👉 😁😂
@emilymuthoni37765 жыл бұрын
@@roselineawinja6604 Kapiza so far hakuna patanisho nimesikia imeenda through this year
@roselineawinja66045 жыл бұрын
Emily Muthoni imagine hakuna
@hildashikhubari3 жыл бұрын
Naona Gidi your my best friend coz you’re Arsenal fan
@stivemosh80013 жыл бұрын
gidi God bless you
@tycoon00175 жыл бұрын
Gidi ni wa Arsenal...❤ Mimi na ghost leo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sammuga76952 жыл бұрын
The best patanisho ever
@JaneMalala Жыл бұрын
The best Patanisho ever my favourite 😂😂😂
@ruthchepleting84885 жыл бұрын
Giddie kaeni mkichua sisi huku na kwa nyarafu tunaondolea stress hapa radio jambo 👆
@sumyahkalama5 жыл бұрын
Hauko pekee alafu download tunein uweze kuenjoy mi hisikiza hadi milele fm
@ruthchepleting84885 жыл бұрын
@@sumyahkalama nko nayo app bt time ya kina jalaz nakua nmeingia job nakuja kuonea youtube
@kennedykibet46735 жыл бұрын
Kumbe tuko wengi
@ruthchepleting84885 жыл бұрын
@@kennedykibet4673 kabisaa
@kennedykibet46735 жыл бұрын
@@ruthchepleting8488 Wow
@andrewopiyo21725 жыл бұрын
Wanjala una roho ya ndoa ndugu yangu. Jikusanye, ujitambue udhaifu wako usonge mbele. Yote ni maisha na yataisha.
@aggiekesh70143 жыл бұрын
Its over a year now but Gidi ma Ghost manze hii imenijaz.bigup men,wasichana wamechanuka
@aishaelias38675 жыл бұрын
The first patanisho ya kukua na comments mob... ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@lynnetgathoni29403 жыл бұрын
This has made my day😂😂😂lucy is a no nonentity girl with firm descion
@josinahcharles73373 жыл бұрын
I like this Gidi being a good monitor to Ghost mulei
@shrinekhakayi85454 жыл бұрын
Woiye gidi mna kazi .
@richardnudi84413 жыл бұрын
Eeh Giddy.It's a year now, but this one rocks I tell you
@margaretgithinjiwangariggd26735 жыл бұрын
Wooii khai lucy nakupeda sna. 2020 hatutaki machezo. makasiriko ya ukwelii. nmekwama apo Ati mnapatanisha nlikua nafikiria ni harusi nmaniarika. weweeee. kwa mwarabu sitoki. pewa kwa bill yangu lucy cograte kbs. kuja majuuu lucy weee utatoboa huku.
@mutheumsafi75185 жыл бұрын
Gidi na ghost penda nyinyi saaaaaaaaaaaaana😘😘
@eunicewairimu50155 жыл бұрын
😂😂😂😅🤣🙆♀️Wooi ameinvitiwa harusi after kufika patanisho, life is unfair 😢girlshaod apewe gangster points.... Hii ni 2020 we won't entertain nonsense
@oliviaatieno98095 жыл бұрын
😆😆😆😆
@roselineawinja66045 жыл бұрын
Yes hatutainamia mtu,, wajipange
@Susanwanjiru19895 жыл бұрын
Gangstar points💪💪💪
@Cindy202495 жыл бұрын
I tell you makasiriko kando
@peternjogu62315 жыл бұрын
Mhh
@peterwambu86325 жыл бұрын
Gidi na ghost u make my day
@francismwashi38255 жыл бұрын
Oooo that Lady called Lucy she's matured in relationship.At such age. Serious lady. Men's take care.Thanks Lucy Mapenzi. Pls avail ur fone number.
@dannamukali64593 жыл бұрын
Anaitwa Lucy mapenzi wah mwanadada 🔥🔥
@sweetmumwake97295 жыл бұрын
Lucy Plzz utaniulia wapatanishe wangu Gidi na Ghost please Kicheko imezidi ukupendana na wa kenya..Aki hii moto moto ndoa nawakenya
@carosmwongela28235 жыл бұрын
Leo niko late sana
@NutrientSpotlight-i2g Жыл бұрын
I was here 2021, again 2022, nimerudi tena 2023. Waiting 2024 courtesy of Lucy 😅
@duncanmuchibi476910 ай бұрын
Im here 2024 ahead of you 😅😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@beingpatience93702 жыл бұрын
Where can I get the wanjala guy he seems like a calm and mature guy I'm still single
@edwinpile81335 жыл бұрын
kazi njema sana Gidi na Ghost nawapongeza sana
@snapkkgafvaj95565 жыл бұрын
😂😂😂😂😂waaaah lucy umefanya Ghost ameswet kweli...
@divinahmogoi72063 жыл бұрын
Gdmrng gidi na Gost I support the program
@ochiengatienolilian89215 жыл бұрын
Lucy you've just made my day 😆😆majibu Sawa na maswali
@happytimes97475 жыл бұрын
Gidi team coast ni noma sana🤣🤣🤣🤣🤣eti unaomba msamaha kosa ni nn huyu shemeji naye hasemi kosa lake 22yrs huyo 🤦♀️ Gidi hiyo kutemewa mate huenda mamake au baba aliongea maneno ya kumlaani, sasa anayakanusha huko coast inaitwa (mfundo) yaani maneno yaliyo nenywa na mzazi kwa chuki