Jehovah Shammah tunakuomba uendelee kuwatumia hawa watumishi wako, wajaze roho wako ili kila watakapo funua vinywa vyao kukusifu wapate kushusha uwepo wako kupitia sauti na nyimbo utakazo wapa ili kila atakaye sikia apate kuokoka na kukombolewa. Asante Yesu kwa ajiri ya hawa watumishi wako.. Amina
@michaelmzena2292 жыл бұрын
AMEN🙏
@wholesome-3602 жыл бұрын
Amen amen
@rachaelmwaniki1724 Жыл бұрын
Amen!
@mishaelgeorge2592 Жыл бұрын
Amen
@mussangangala836 Жыл бұрын
amen
@lewismuthami6124 Жыл бұрын
The hand of the Lord is upon you Patrick and the band. Keep at it. Be encouraged ❤
@catherinengwembe10 ай бұрын
Am very much blessed with this song ,,,, kila nikiuskiliza huu wimbo najiskia kujazwa zaidi ROHO MTAKATIFU ,,, MUNGU AKUBARIKI SANA PATRICK KUBUYA WITH THE WHOLE TEAM AMEN
@mornawise20202 жыл бұрын
Shammah be with my sister as she starts her exam today
@richardlumumba23352 жыл бұрын
Who else is here waiting....
@nyamburaphoebe30892 жыл бұрын
Oh LORD Keep Kubuya and team in your love forever. Moyo huu wake uulinde na upotovu ulio duniani. Azidi kuwa baraka kwa mwili wako Baba , in Jesus name amen
@carolinekagia3327 Жыл бұрын
Shammah unatawala maishani mwetu🙏🙏🙏
@HusnaHussein-z3u2 ай бұрын
Mungu hakubaliki sana napenda sana nyimbo zako mtumishi
@EstherAtieno-y2t Жыл бұрын
Kwa jina lako bwana wangu,magonjwa yote yaanguke Leo na niwe huru😭😭😭
@carenaluoch-m2i25 күн бұрын
Shammah ,Jehovah shammah. Im waiting upon you ,i shall come back with a big testimony. Be blessed kubuya and team❤
@carolawuor9052 жыл бұрын
Jehovah Shammah 🙏🙏 This song really uplifts my spirit in a way I can't explain, Wacha Mungu awazidishie baraka na azidi kiwatumia mnapo msifu kupitia nyimbo kama hizi. Amen.
@lilianmulinge96682 жыл бұрын
Shammah Yuko pamoja na mtoto wangu anapoufanya mtihani wake.Such a nice song
@jennifermuli91482 жыл бұрын
Bwana atatenda miujiza ndani ya maisha yangu huu mwaka wa 2023,Mungu awabariki zaidi na zaidi may your head never lack flesh oil in jesus mighty name, much love from Kenya 🇰🇪
@emmahgitata23362 жыл бұрын
Dear God... Remember your promises upon my life. Oh that you would enlarge my territory ⭐
@ruthmerrymwikali22872 жыл бұрын
Kwa kweli Roho wako atawala mahali hapa SHAMMAH
@carolinewanjugu23832 жыл бұрын
Hallelujah 🙌. Jehovah Shammah, The Lord my Companion, The Lord is here. Hallelujah 🙌 Glory to God in the Highest.
@evelynenduwimana-rt8it Жыл бұрын
Amen
@oirererobert2 жыл бұрын
ndo nimeaza kuitazama... nahisi nguvu za Bwana
@adellanyambele89752 жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki sana kila nikiusikiliza machozi yananitoka Mungu wa mbinguni wabariki watumishi wako ili tuendelee kuokolewa kwa kupitia nyimbo zao.Patrick na Tearm yako Mungu azidi kuwabariki.
@FrancisMusembi-jp1lk Жыл бұрын
Nguvu zile zile hata leo zinafanya kazi...Roho wa Bwana anazidi kujaza watu hata leo...POWERFUL SONG SHAMMAH
@ndungwamunyao38562 жыл бұрын
Hallelujah yupo hapa nasi
@phylliskegenyo1940 Жыл бұрын
Ilove this band😊😊🎊🎊🎊🎊every Swahili song is a blessing ❤❤.more Grace more power to you people 😇😇😇💕💪📌💘
@brianngugi56242 жыл бұрын
Ezekiel 48:35 the Lord is here Jehovah Shammah what a wonderful ministration. God bless you abundantly.
@saveriussilas7908 Жыл бұрын
Mtu wa Bwana Patrick Mungu azidi kukuinua kupitia kuimba na watu wa mataifa wamjue Mungu❤❤
@imbornofGod47172 жыл бұрын
Brother Kubuya, your ministry is winning souls in the great lakes region, on the continent and the entire world. God bless you abundantly. Amen.
@estherwambui1666 Жыл бұрын
I love this song because you're using my name Shammah and it is so powerful
Nice song,, another level of anointing..keep going higher
@DonExcellent2 жыл бұрын
Hallelujah 🙌...
@lewisbeckamz4835 Жыл бұрын
Lakini leader alikuwa anatoka key kidogo mwanzo
@isayamwaipopo2068 Жыл бұрын
Jehovah Shammah, Glory to God in Highest 🙏🏾 🙏🏾 ❤🙏🏾 🙌
@arrfamush32852 жыл бұрын
Shammah unaweza🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mosesmalaika68752 жыл бұрын
shamah shamah shamah 👏👏
@bettintinyar82902 жыл бұрын
congratulations, this is what we call taking care of the territory, you really did it like your own. a kingdom well guarded. forever may God be glorified
@lebongele23712 жыл бұрын
wow i love it so much. this is deep worship - love from Botswana
@pedrokimani Жыл бұрын
God keep them for us.... powerful ministry... Some of us worship is our strength... More blessings and favour to this team...
@DavidMusingo2 жыл бұрын
Quand Dieu est dedans Ça ne peut que donner ça . Que Dieu vous bénisse pour ce que vous faites , pour le royaume .
@giginegipatho73499 ай бұрын
Amen amen uko mwanjo na mwisho. Tuna tegemeya wewe
@janefranceskatumbi71652 жыл бұрын
Finally it's here.....Wimbo uliojawa na upako mpya! Mungu azidi kuwainua.
@willyfungo82292 жыл бұрын
Amen Jehovah Shamah... Am feeling relieved and lifted up again.
@TheLiftersMusicGroup Жыл бұрын
Jehovah Shammah, uko Nasi leo. Amen. Annointed song. More Grace to you Minister Patrick & your Team
@eliasody29122 жыл бұрын
Who is listen on the first day of 2023
@enosmukhwana10772 жыл бұрын
Wimbo unabariki saana uzidi kuinuliwa shammah
@Juliunyo Жыл бұрын
Yes I believe that Shammah you r with me. Your power is at work in my life.
@Lau-jm1rj2 жыл бұрын
No where to lean on ,my hope is shammah is here with me
@JunemukayeАй бұрын
GOD NEVER FAILS 🙏🏿
@benterakinyi71352 жыл бұрын
very powerful song 🙏🙏🙏🙏
@chrismuriira97722 жыл бұрын
Amina am blessed with this song ,,,,,,,God lift you more higher
@munyakazimoise13532 жыл бұрын
amen whouuuuuuuuu mungu awabariki vous etes appel par DIEU vraiment
@winfredmuriungi135611 ай бұрын
MIUJIZA MAAJABU UPONYAJI... TUTAISHI LEO
@niominiomi33342 жыл бұрын
Alleluia!!!!!! Jehovah Shamma🙏🙏🙏🙏
@nambozomillynorah36872 жыл бұрын
Amen and amen 😢😢🙏🙏🙏🙏
@giselekasongo1522 жыл бұрын
Amen
@justinmunfanolukonge90812 жыл бұрын
❤Shammah!!🙌🙌
@gibrannyambu4896 Жыл бұрын
May God bless this team
@allengodfrey14612 жыл бұрын
Amen Watumishi wa Mungu. Shammah yupo nasi.Mungu azidi kuwatunza