Paul Clement - Hemani ( Official live recording video )

  Рет қаралды 340,036

Paul Clement Official

Paul Clement Official

Күн бұрын

Пікірлер: 430
@paulclement25
@paulclement25 Жыл бұрын
Kutoka 33:9-11 Ikawa Musa alipoingia humo hemani ile nguzo ya wingu ikashuka ikasimama mlangoni pa ile hema; Naye BWANA akasema na Musa.Naye BWANA akasema na Musa uso kwa uso kama vile mtu asemavyo na rafiki yake.
@elishahaule3090
@elishahaule3090 Жыл бұрын
🙌🏾🙏
@DAVIDKAYLE
@DAVIDKAYLE Жыл бұрын
Amen
@rudinyumbani
@rudinyumbani Жыл бұрын
Amen Amen
@pinna1995
@pinna1995 Жыл бұрын
Amen
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Good luck and good job
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Hemani Mwako Mwako Bwana tuongee tuzungumze milele
@ekagure
@ekagure Жыл бұрын
Verse 1 Nimelifanya uliloniambia Nijenge hema ya kukutania Si mimi na watu Bali mi na wewe Heri tuzungumze Tuongee Verse 2 Nimelifanya uliloniambia Hema yetu niiweke mbali Si mbali na wewe Bali mbali na watu Ili tuzungumze tuongee Bridge Wingu lako limeshatanda Mlangoni mwa hema yetu Nachosubiri wewe useme Uongee na moyo wangu Hemani mwako (Tuongee) Hemani mwako(Tuzungumze) *Those are the BV parts*
@catherinedavis945
@catherinedavis945 Жыл бұрын
Be blessed dear
@tash-unscripted
@tash-unscripted 3 ай бұрын
Many thanks🎉
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 Жыл бұрын
Huyu Mungu ndio yule Mungu wa zamani aliyemtunza bibi yangu akiwa tumboni mwa mama yake ndio huyuhuyu alimtunza mama yangu akiwa tumboni mwa mwa bibi yangu ohhh ndie aliyenitunza mimi nilipokua tumboni mwa mama yangu, ndio huyuhuyu bado ana nguvu hata sasa, Ahsante Mungu vijana wanakutumikia mno.
@zafaraniduguza4950
@zafaraniduguza4950 Жыл бұрын
Hakika hakika hakika 🙌
@zoravoofficial607
@zoravoofficial607 Жыл бұрын
MORE GRACE MY BROTHER 🙌🙌❤️❤️
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Tanzania pia tunavitu vyakujivunia
@rosemarywaithira5647
@rosemarywaithira5647 Жыл бұрын
You guys are blessed
@amonramothy6790
@amonramothy6790 Жыл бұрын
Kabisa
@hellenkariuki8544
@hellenkariuki8544 Жыл бұрын
Kabisa...I love Tz gospel songs...they are inspired by the Holy spirit. Love from 🇰🇪 🇰🇪
@rogathengowo1099
@rogathengowo1099 Жыл бұрын
Yaani huyu Mungu awabariki Sana hawa watumishi
@charlesjohn5792
@charlesjohn5792 Жыл бұрын
KABISA
@charlesmbena9121
@charlesmbena9121 Жыл бұрын
Kaka hii huduma uliyo nayo usiiache endelea na Mungu akutie nguvu najua mnapitia mengi lakn Yesu akutunze kwangu mm unanibariki sio Leo Wala Jana tangu kipindi kile Cha umenifanya ibada na Mpaka Leo unamtumikia Mungu Asante Kaa wimbo huu.
@gloriousnp
@gloriousnp Жыл бұрын
The Paul I know , toka enzi za UMENIFANYA IBADA, our very own Travis Greene🙌🏾😊 Haujatoka kwenye mstari kaka . Asante Yesu kwa vijana kama hawa , wanaotumia muda wao kwa ajili ya utukufu wako, katikati ya changamoto wanazozipitia katika dunia hii iliyojaa tamaa na anasa . kamwe usiwapungukie Yesu. Hili ndiyo OMBI Langu sasa na hata milele.🙏🏿🙏🏿🇹🇿
@kellyroselwinga7999
@kellyroselwinga7999 Жыл бұрын
Mungu azidi kukumiminia mafuta mtumishi wa Mungu umekua baraka kwa vijana wegi kupitia wewe na kipawa chako watu wamejifunza vingi na jina la Bwana linazidi kuinuliwa
@saranyongole1161
@saranyongole1161 Жыл бұрын
This is not just a song , it's revelation
@gloriousnp
@gloriousnp Жыл бұрын
Ikr 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@El9a
@El9a Жыл бұрын
@Sara Nyongole For sure, especially in this season of going deeper in the relationship with The Lord by His Spirit. Glory be to Jesus Christ,. The King of Glory
@godfreyezekiel6448
@godfreyezekiel6448 Жыл бұрын
Absolutely right
@neemaabwao9447
@neemaabwao9447 Жыл бұрын
Oooh yes... It's kabisaaaa
@rosegitau5142
@rosegitau5142 Жыл бұрын
True
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 Жыл бұрын
Kaka Yangu Ubarikiwe sana...
@jackittah
@jackittah 11 ай бұрын
I was down today and as i sat on my desk in the office crying myself out asking God for a Miracle as i sang along my phone was in silence, so later on what i was crying about was answered right then and there just like that. i felt God's presence and i am grateful
@isaacssuna
@isaacssuna Жыл бұрын
Paul clement is a testimony of the Lord's lifting. You started far and you never gave up. Thank you for encouraging us to stay in the place of waiting for God's timing. God bless you for us.
@alertforendangeredwildlife2846
@alertforendangeredwildlife2846 Жыл бұрын
Sure
@phennyolela8149
@phennyolela8149 Жыл бұрын
True
@jescamungure9610
@jescamungure9610 Жыл бұрын
So true 🙌🏽
@godfreyezekiel6448
@godfreyezekiel6448 Жыл бұрын
Nyimbo ya wakati (Nyimbo ya Mtu binafsi) kufanya tafakari na Mungu wake mahali pa siri kama Musa. 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 God bless you Brother @paul clement for the Song
@paulinemnjuguna
@paulinemnjuguna Жыл бұрын
Tuongeeeeeeeeeee! Tuzungumzeeee! Hili ndilo ombi langu Baba
@DAVIDKAYLE
@DAVIDKAYLE Жыл бұрын
Am looking at that attire of the back up....ooh my...Kenya and Tz are one
@El9a
@El9a Жыл бұрын
This song is Deep... #Intimacy with the Holy Spirit #Intimacy with the Lord Jesus, the King of Eternal glory #Intimacy with The Father of our Spirits, The Father of Glory, The Father of Lights. GLORY be to The Lord Jesus🔥🙌🏾🔥
@El9a
@El9a Жыл бұрын
Sijaja kuona na kuridhika na wingu, sitaridhika na moshi wala nnavyojisikia ndani... Nitalingojea Neno lako Bwana. Utoshelevu wangu ni Neno litokalokinywani pako Yesu Bwana wangu.
@florenceliberty2272
@florenceliberty2272 2 ай бұрын
💯💯
@danielgwabukoba9954
@danielgwabukoba9954 2 ай бұрын
wimbo kutoka Madhabahu ya Mbinguni kabisa BROTHER PAUL CLEMENT uishi maisha marefu ya furaha amani tuendelee kumtumikia huyu Mungu Muumba mbingu na Ardhi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 Жыл бұрын
Nakusubiri useme na mimi Yesu Hongera Poul
@hellenkariuki8544
@hellenkariuki8544 Жыл бұрын
Sang gracefully,excellence in the coordination,holy spirit is here. More blessings Paul Clement. 🇰🇪 🇰🇪 tumependa
@laurawatosia
@laurawatosia Жыл бұрын
Kenya pia tuko pamoja na mungu kwa kuungana
@laurawatosia
@laurawatosia Жыл бұрын
Ooooh yesu lazima nilifanye ulilioniambia🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sarahndosi1412
@sarahndosi1412 Жыл бұрын
This project was filled with so much grace
@roseraymond4954
@roseraymond4954 11 ай бұрын
Nimebarikiwa❤
@emmanuelmlawa2596
@emmanuelmlawa2596 10 ай бұрын
Mungu nakuomba uendelee kumbariki Paul Clement, umjaze na nyimbo nyingi nzuri zenye upako kama hizi. Amen.
@kehrboulerr
@kehrboulerr 9 ай бұрын
This worship song always gets me-sema na roho yangu bwana uso kwa uso🙌🏾🙏🏾
@christopherdavid8635
@christopherdavid8635 Жыл бұрын
Ndani ya hema uwezekano wakuongea uso kwa uso na Mungu upo. Amen amen 🙌🙌
@meshakimsacky4746
@meshakimsacky4746 Жыл бұрын
These Musicians are always at their best. May God bless these Musicians. Please let us remember these Musicians
@RithaKomba
@RithaKomba Жыл бұрын
Ubarikiwe sana wimbo mzuri sana 🔥🔥🔥
@herryjoshua828
@herryjoshua828 Жыл бұрын
This sound...has desperation that is present in our generation...tht we seek to hear YHWH again... Be blessed Sir...🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@jaypays-15
@jaypays-15 6 ай бұрын
Uzidi kuinuliwa na kubarikiwa kutoka utukufu hadi utukufu Paul Clement🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@GreshaEdson
@GreshaEdson 4 ай бұрын
Asante yesu Kwa vijana kama hawa . Kweli na barikiwa sana nahisi uwepo wa ajabu nkiskia huyu wimbo, pia Asante Mungu Kwa tz
@amonramothy6790
@amonramothy6790 Жыл бұрын
Heman pa Bwana Kuna utulivu pafaa sana kwa kumpatia Mungu mahitaji tunayohitaj..
@nsiandumindossi
@nsiandumindossi Жыл бұрын
Powerful 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Thank you Paul for this rich song! More grace upon you in Jesus's name!
@stephbilkim6574
@stephbilkim6574 Жыл бұрын
Very powerful
@janealler
@janealler Жыл бұрын
The secret place me and You Jesus 🙌🏼🙌🏼, thank you Paul for yielding to the Holy Spirit
@alex_vincent
@alex_vincent Жыл бұрын
HEMANI MWAKO⛅
@francisdaniel4811
@francisdaniel4811 Жыл бұрын
Broo Mungu akubariki sana kwa kaz ya Mungu,huwa nasikiliza sana nyimbo zako, natumaini ikimpendeza Mungu ipo siku tuta kutana tuimbe pamuja maana huku kwetu Lushoto wananiita Paul Clement
@ELIABAYDA
@ELIABAYDA 9 ай бұрын
i love this song forever in my life! congrats very much paul clement
@bernardmakau5710
@bernardmakau5710 3 ай бұрын
You are a true worshipper, I thank God for you@ Paul Clement stay Graced 🤗
@JacksonLazaro-mm3qs
@JacksonLazaro-mm3qs 5 ай бұрын
Huu wimbo nimeuelewa saana barikiwa Sana mtumishi 🙌
@roselynemuriithi7312
@roselynemuriithi7312 4 ай бұрын
Absolutely beautiful, wonderful aaaah all the nice adjectives. Hemani tuongee❤❤
@Reinhard-wv5mn
@Reinhard-wv5mn 7 ай бұрын
Rehema yako Yesu ni rehemu😢😢
@rosekadania360
@rosekadania360 8 ай бұрын
The cover Max Africa by Faraja Nzali brought me here...i very Holy spirit filled song
@veronicamahenge7256
@veronicamahenge7256 7 ай бұрын
nakupenda sanaa paul clement❤🥰
@mulokya93cdr44
@mulokya93cdr44 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu sana kwa wimbo huu,... Nilikuwa niki fanya kazi za mikono ( interior design ) kanisani , huko niki imba wimbo huu, kitambo nika anguka toka juu kweye 2nd floor mpaka chini sijuwe niko hai namna gani ,alakini na shukuru Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
@SabinaJames-i7x
@SabinaJames-i7x 11 ай бұрын
Ni neno la mungu hlo ulilokuwa umepewa mbaka leo inaishi
@zafaraniduguza4950
@zafaraniduguza4950 Жыл бұрын
This is more than just a worship song 🙌
@pristinefulgence1410
@pristinefulgence1410 Жыл бұрын
God bless you... This song just can't stop making you get to your knees and worship God. No matter what goes in your heart for us who don't know how to express ourselves God yet n pray... Worship songs is our only way to pray to God.. I pray that one day i experience the Holy Spirit and that i can speak in tongues... The demand is there, the desire is intensive. May God hear me. 🙏
@floramelikioly408
@floramelikioly408 Жыл бұрын
He will
@diananyaboke6811
@diananyaboke6811 7 ай бұрын
You shall in Jesus name. He wants to give more than you want to receive,for He knows how to give good gifts to His children,for every good and perfect gift is from above. So next time you pray just begin to speak and you will receive to the Glory of God. May God bless you and may you receive what you desire,so that you continue to grow in fellowship and communion with God,Jesus and the Holy Spirit.
@marymathewndakidemi4011
@marymathewndakidemi4011 3 ай бұрын
Hemani mwako Bwana tuzungumze
@Yoshuakikasiga
@Yoshuakikasiga 7 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙌🙌
@willrosedenis
@willrosedenis Жыл бұрын
MUNGU azidi kukubariki, unaniinspire zaidi
@mulokya93cdr44
@mulokya93cdr44 Жыл бұрын
Alleluia,,, Bwana nifunze kuku jengeya hema maishani mwangu siku zote hata penye Raha na penye mateso
@agnesskaluhije9361
@agnesskaluhije9361 Жыл бұрын
Poul clement Mungu akupe nguvu Sina neno ila nyimbo zako zina endelea kuni hudumia kwa njia ya ajabu I whish l to see you my brother
@vivianboaz8653
@vivianboaz8653 4 ай бұрын
Wingu limeshatanda hemani mwako Mungu wangu
@johnmwanawaasafu8573
@johnmwanawaasafu8573 Жыл бұрын
Wow!! AmazingOne bro Barikiwa mnoo Wabarikiwe backup Watatu tu Kama hamsini
@favour1523
@favour1523 Жыл бұрын
Powerful Back up😊
@hellenrose484
@hellenrose484 9 ай бұрын
Powerful song…….. Just you and me Jesus!!!!
@briella6899
@briella6899 Жыл бұрын
🙌🙌wingu limetanda , thank you Jesus
@PeterNeema
@PeterNeema Ай бұрын
What A Master piece🙌🏻🙏🏽
@pinna1995
@pinna1995 Жыл бұрын
My heart is the terbanacle meeting with God a tent to communicate with Him praise the Lord.
@jackyndungu973
@jackyndungu973 Жыл бұрын
If I won't find your face in heaven then I will know that won't be heaven ❤❤❤❤, thanks for helping celebrate our God,ati sadaka ya dhambi umeaondoa,ni tunzo kweli!!
@JacksonLazaro-mm3qs
@JacksonLazaro-mm3qs 7 ай бұрын
Hallelujah ❣️ 2024 on 🔥🔥🔥
@mercymurage673
@mercymurage673 4 ай бұрын
Mungu na akaibariki kazi yake ndani yako
@goshenieagleWOG
@goshenieagleWOG 7 ай бұрын
THIS SONG 🙌
@kelvinmapunda7483
@kelvinmapunda7483 Жыл бұрын
Wow! Na mafundisho ya Kristo yakae kwa wingi ndani yenu. Mfundishane na mshauriane ninyi kwa ninyi kwa hekima yote, mkiimba zaburi, nyimbo za sifa na nyimbo zinaowezeshwa na roho na kumshukuru Mungu katika mioyo yenu. WAKOLOSAI 3:16 Much love Sir! 😇❤🙏🏿
@irenejerome111
@irenejerome111 6 ай бұрын
The atmosphere in this song is Heavenly 🙌🙌🙌
@jeanpaul4033
@jeanpaul4033 Жыл бұрын
Oooooh what an atmosphere of worship utazani Niko mbinguni
@phykenya
@phykenya 11 ай бұрын
I watched you sing this live.I broke into earnest worship, tears and all because God's presence engulfed me in a vulnerable time. This song is such an intimate plea, seeking God's own heart.
@florenceliberty2272
@florenceliberty2272 2 ай бұрын
Hallelujah!!!!
@Inganzotvshow
@Inganzotvshow 9 ай бұрын
nachosubiri Mungu useme 🙏🙏🙏 nahitaji ajabu kutoka wewe Mungu🙏
@paulisaac108
@paulisaac108 8 ай бұрын
Nina aja useme nami Bwana hemani pako
@LifewithwinnieGithinji.
@LifewithwinnieGithinji. Жыл бұрын
Kutoka Kenya naskiza huu wimbo nakumbuka nyimbo hamsini ambazo nimeandika lakini Sina uwezo wa kuzitoa... Mungu nifungulie njia
@swaiwitspora8964
@swaiwitspora8964 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@janenjeri6002
@janenjeri6002 5 ай бұрын
Uonge na Moyo wangu... Yesuuuu
@barackiadam5611
@barackiadam5611 5 ай бұрын
Hakika Mungu akubariki kaka mkubwa
@msechutimotheo4830
@msechutimotheo4830 Жыл бұрын
Kaka Paul Mungu akubariki sana na kuikuza huduma yako
@sylviagularire7459
@sylviagularire7459 4 күн бұрын
This song is deep. May we stay in HIS presence always more grace sir Clement
@marionwanjiku4226
@marionwanjiku4226 Жыл бұрын
Iam blessed all the way from Kenya 🇰🇪 Asanti roho mtakatifu
@karenagufana6928
@karenagufana6928 2 ай бұрын
Beautiful song ❤❤❤❤❤❤❤
@kamanapeter4751
@kamanapeter4751 10 ай бұрын
Hemani mwako tuongee na tuzungumzee this intimancy🙌🙌🙌
@lilianwanjiku7800
@lilianwanjiku7800 Жыл бұрын
Came looking for this song after TERUAH live recording.. 👏. 🇰🇪
@lineymuro3565
@lineymuro3565 Жыл бұрын
Hallelujah wimbo mtamu sana. More grace on you
@andrewmwanyalo5827
@andrewmwanyalo5827 Жыл бұрын
The band is on another level the arrangement is amazing ,I felt like all those guys playing are black Americans , actually sounds like William Mc Dowell concert.🤣🤣🤣 great work Mr Clement.
@charleslusiga8750
@charleslusiga8750 Жыл бұрын
"Sadaka ya dhambi imeshatolewa ametoa Yesu kuhani mkuu,mpatanishi wa sisi na Mungu "💥💥💥💥💥💥💥💥
@rosegitau5142
@rosegitau5142 Жыл бұрын
Nacho subiri Wewe useme Uongee na moyo wangu
@roselynemuriithi7312
@roselynemuriithi7312 4 ай бұрын
This song is just so beautiful!
@esterpaul6194
@esterpaul6194 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Paul clement nimebarikiwa sana na hii nyimba.Nilikuwa katika wakati Mgumu nimemuona Mungu kwa kupitia sifaa hii
@joxhuanguselo4065
@joxhuanguselo4065 Жыл бұрын
God's presence 🔥🔥🔥🙌
@brayenochokabeeoo4588
@brayenochokabeeoo4588 Жыл бұрын
Haaaaaaalllllleluuuuujahhhh. hilo ndilo niko nalo tu kwa huyu Mungu.
@wendyfaith9471
@wendyfaith9471 Жыл бұрын
Hemani mwako
@andreanannume1803
@andreanannume1803 Жыл бұрын
Kazi njema utukufu apewe Mungu ,,👍
@shedracksimbeye8460
@shedracksimbeye8460 Жыл бұрын
Kaka hongera sana Wimbo mzuri mno🔥🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾 so powerful
@esterlyimo2810
@esterlyimo2810 Жыл бұрын
Mungu akutunze kaka nabarikiwa sana
@githuthuriki
@githuthuriki Жыл бұрын
tuongee ,tuzungumze hemani mwako mimi na WEE Mungu😭
@EmmaFrancis14
@EmmaFrancis14 Жыл бұрын
Mtu wa Mungu asante kwa ibada hii umebarikiwa sana tuna mambo mengi ya kuskia kutoka kwako mwana wa Mungu
@patricklucas5203
@patricklucas5203 Жыл бұрын
Najifunza mambo mengi sana kwako na ninakufurahia mno
@peterkamau263
@peterkamau263 Жыл бұрын
My favourite Tanzania song writer and producer....your songs preaches to many ❤
@iteL2023-ju5hf
@iteL2023-ju5hf Ай бұрын
Barkiwa sana napenda sana sana nyimbo zako zinanibarki sana🙏
@karebubenjamin6251
@karebubenjamin6251 Жыл бұрын
Nice kak napenda nimengoja Kwa hamu San Mungu akubaliki
@JayJohnas
@JayJohnas Жыл бұрын
Nachosubiri.....kimeshafika !!!!!!!bless you sir
@emmanuelnaiman4228
@emmanuelnaiman4228 Жыл бұрын
STRONG MESSAGE, may GOD lift you higher and higher fo His Glory
@elishahaule3090
@elishahaule3090 Жыл бұрын
Hatimaye baraka imetoka 🙌🏾
@clementobiri3668
@clementobiri3668 Жыл бұрын
Halleluya! i am in joyful tears as i listen to this song ! Paul Clement ... you are true vessel of the Lord brother !
Paul Clement - Hemani  ( Officia live recording Video )
14:00
Paul Clement Official
Рет қаралды 131 М.
Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video )
14:44
Paul Clement Official
Рет қаралды 740 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 10 МЛН
Ukae Nami - Henrick Mruma (Official Live Video)
13:06
Henrick Mruma
Рет қаралды 3,2 МЛН
MAKOLECTIVE - Maksudi ft. Henrick Mruma & Paul Clement
16:21
NellymusicVevo
Рет қаралды 17 М.
Hemani
13:25
Paul Clement Official
Рет қаралды 12 М.
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 2,1 МЛН
Essence of Worship ft Paul Clement -Hutimiza Maagano
15:17
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 1 МЛН
Neema Yako
12:49
Rehema Simfukwe
Рет қаралды 1 МЛН
Paul Clement - Neema Ya Mungu ( Official Video )
9:35
Paul Clement Official
Рет қаралды 541 М.
Baraka (feat. Victor Maestro)
14:50
Paul Clement Official
Рет қаралды 16 М.