Ulionitendea ni Mengi siwezi kuhesabu ila nasema ASANTE YESU. God Bless you Minister Paul Clement Tumebalikiwa San Tanzania kuwa na Wewe Mtumishi wa MUNGU Mungu akutunze sana
@salvashaban91943 жыл бұрын
Amina
@paulclement253 жыл бұрын
Amina kakaangu Sifa na utukufu ni kwa Yesu...nafurahia sana huduma yako pia
@marthalasoi82533 жыл бұрын
Aminaaakzbin.info/www/bejne/ZmHZaaRvodx6d7c
@seramakimbula9973 жыл бұрын
Ulinitendea ni mengi siwezi kuhesabu asante
@marykagulilo55883 жыл бұрын
Tumebarikiwa sana TZ kuwa na ninyi nyote watumishi
@heavenlightkombe89443 жыл бұрын
Ulionitendea ni makubwa Bwana siwez kueleza nimekuomba kaz umenipa tena kaz nzur nimekuomba ndoa umenipa mume mzur japo tumeishi mbali kikaz nimekuomba na tumefanikiwa uhamisho na sasa tuko karibu sina namna nzur ya kukushukuru Asante YESU😭😭🙏
@reggylugola2148 Жыл бұрын
I'm leaving this comment here So that I can come back to thank God when He blesses me with a job at UN 🙏 Kama Bwana aishivyo.....nitarudi!
@Ambmercymasika3 жыл бұрын
Your Ministry is a great blessin🙌🙌
@NdaruhutseHope3 жыл бұрын
we love you too masika.
@Mr_S.M.S85873 жыл бұрын
Expecting for collable song!!
@paulclement253 жыл бұрын
Amen sister...glory be to God
@jacoboctavian54903 жыл бұрын
mfanye wimbo bas
@marthalasoi82533 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZmHZaaRvodx6d7c
@rehemasimfukwe3 жыл бұрын
Oooh BABA nimerudi kusema ASANTEEE
@valentinamaberi75083 жыл бұрын
Amen Dada wimb wako wa chanzo umenigusa
@patrickkubuya3 жыл бұрын
Shukrani zangu ni kwako eh Bwana Yesu kwa mengi ume ni tendea. Ubarikiwe kaka Paul kwa wimbo huu
@paulclement253 жыл бұрын
Amina kaka ubarikiwe sana sana
@salvashaban91943 жыл бұрын
Amina
@marthalasoi82533 жыл бұрын
Aminaa kzbin.info/www/bejne/ZmHZaaRvodx6d7c
@marthalasoi82533 жыл бұрын
Aminaa kzbin.info/www/bejne/ZmHZaaRvodx6d7c
@eliapallangyo83033 жыл бұрын
Tunakushukuru sana kwa karama yako na kea utumishi huu wako uliotukuka kwetu napenda sana kumwimbia Mungu Kama wewe au zaidi apendavyo Mungu mapenzi yake yatimizwe.
@welimamsendo119Ай бұрын
This is 2024 and am still here, kaka PAUL hudumu tu tunaponyeka,Bwana azidi kukuweka chombo chake
@lillianpaul_2 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kunihurumia🥺
@Wakio2313 жыл бұрын
Wakenya hatuchelewi, glory to the Most High.
@bethaelnsumyirambobpraise77943 жыл бұрын
Bonyeza link kutazama video hii kzbin.info/www/bejne/q2mseGydjJmBaas
@teddydickson40043 жыл бұрын
Na huyo naye mnamchukua Wakenya nyie noma
@Wakio2313 жыл бұрын
@@teddydickson4004 😂😂
@helenmwakyoma2486 Жыл бұрын
My favorites song Ahsante Mungu kwa ajili ya huyu Mtumishi wako.
@devothawilson36513 жыл бұрын
Kama na wew unaipenda sana hii nyimbo like hapa
@carenmsafiri84982 жыл бұрын
shukrani imebebwa kwenye neno moja asante 🙏🏻🙏🏻
@carenmsafiri8498 Жыл бұрын
huku nikiamini shukurani ni sauti ya Imani 🙏🏻🙌🏼
@praiseandworship62933 жыл бұрын
Whoever reading this, may God give you good health, and bless you financially Amen 😇
@vss_tz3 жыл бұрын
Amen🙏
@lmongare3 жыл бұрын
Amen
@deogratiusmwihava60753 жыл бұрын
Amen
@ziondivinegospel46183 жыл бұрын
amen
@wendecharles73263 жыл бұрын
Ulinitendea ni mengi asante Baba Mungu akutunze Paul
@petermasapa20553 жыл бұрын
Never seen a powerful song like this!!!! sichoki kutazama hii kitu ina upako aisee... NINA NENO MOJA TU KWAKO MUNGU WANGU "ASANTE"
@graceandrew67182 жыл бұрын
Ameen Ameen such a blessing Song, Ila mimi nimekuja kusema Asante.
@AgnesLukawe2 ай бұрын
Who watching this 2024?❤😊
@kelvinmwakatobe2174Ай бұрын
Me🎉🎉🎉🎉
@berthamwakitwange71242 жыл бұрын
Natafuta namna nzuri ya kukushukuru nakosa..natafuta maneno mazuri ninakosa.. BABA ASANTEE🎉🎉. GOD BLESS YOU MAN OF GOD PAUL CLEMENT
@keziahmbau36713 жыл бұрын
Who else can't get enough of this song....my my its powerful
@educationreimagined68652 жыл бұрын
It brought me to tears
@samanthasamazingworld58592 жыл бұрын
Me
@mailishaawuor Жыл бұрын
meeeee
@barikikabungo8593 жыл бұрын
Kweli kabisa kuna watu wameDISLIKE huu wimbo??? Acha tumshukuru Mungu kwa ajili yao pia.😎
@devothawilson36513 жыл бұрын
Nlikua kila mara naskiliza tu kwa phone angu nlitaman siku kama ya Leo itimie itoke live jamn am so happy
@lightnessemanuel15512 жыл бұрын
Uliyonitendea ni mengi sanaa Mungu wangu,sina Cha kukulipa mm ,acha nikushukuru Bwana Yesu
@fraciahmaina59182 жыл бұрын
My husband and I got into an accident this morning and God saved our lives😭😭😭…. Am just singing this song with thanksgiving.
@jmweta_geofrey Жыл бұрын
Glory be to God for his mercy and grace
@worshipandmeditation82732 ай бұрын
God is good ❤
@sarahmbithegoodsongkipondo5955 Жыл бұрын
So powerful sina neno yakusema Asante kwa yale amenitedea
@sirphineasmwirigi3 жыл бұрын
"Ulionitendea ni mengi, siwezi kuhesabu, ila nina neno moja asante" You are a blessing to this generation brother.
@CephasDoc3 жыл бұрын
That's a good song.
@yedeclassicofficial99543 жыл бұрын
Asante Mungu kwa Yale ambao umenitendea
@mukami4337 Жыл бұрын
This is the choir you needed for your new song"Anaskia maombi"They know what they are doing.Kudos to this back up choir
@rosefadhili40943 жыл бұрын
Asante YESU kwa yote umetenda kwangu
@teddypsalmist.69453 жыл бұрын
From Kenya Pia tunakupenda Kaka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kwa Yale yote ametutendea tunasemaj Asante yesu
@sophiemwero91533 жыл бұрын
Ulionitendea ni mengi nasema Asante Yesu Wangu.......jamaa zangu kutoka Bongo barikiweni sana
@elizabethutengule41342 жыл бұрын
Shukurani imebebwa kwenye neno moja Asante Yesu kwa kunitendea makuu kwa maisha yangu.
@priscambawala13852 жыл бұрын
Asante Yesu moyo wangu umebeba shukurani
@stellahlubembe29313 жыл бұрын
Biblical songs you will never go wrong with them ,being blessed all the way in UAE big fan to Clement. Barikiwa sana rep 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@marykibunja19123 жыл бұрын
🇸🇦
@lucymwaijengo37903 жыл бұрын
Yale umenitendea siwezi hesabu Mungu wangu,pokea shukrani zangu🙏🙏🙏🙏🙏
@rachelkweledu Жыл бұрын
Nikisikilizaga hii nyimbo huwa nafarijika sanaaàa,najikuta naingia kwenye uwepo
@ericmuthama16883 жыл бұрын
1 Thessalonians 5:18 - Give thanks in all circumstances for this is God's will for you in Christ Jesus. Nina neno moja tu: ASANTE🙏😌
@dominisianaalfred32463 жыл бұрын
It a blessed song🙏🙏
@dominisianaalfred32463 жыл бұрын
It a blessed song🙏
@lilykimisa38412 жыл бұрын
Nina neno moja Tu: ASANTE 🙏🙏🙏🌹💫💫
@zuu9996 Жыл бұрын
Asante Mungu wangu kwa kila kitu.
@solangejacques60653 жыл бұрын
Wanao mpenda Paul clement.like zenu apa❤️
@stewartmgallah87793 жыл бұрын
Nina neno moja tuuu ahsante 🙏🙏🏻🙏🙏🙏🙏
@RACHELMBRYAN2 жыл бұрын
A song i can't get enough of!makes my spirit joyous...putting smile on my face whenever i listen to it.
@daudnkubile3 жыл бұрын
Natafuta maneno mengi ya kukushukuru Mungu ninakosa.Ninaishia kusema ASANTE.Mungu akubariki sana mtumishi Paul Clement
@simiyuSK.3 жыл бұрын
Neno ni "AHSANTE" 💯✋ Kenya nairobi full respresentation
@janethjeremiah25473 жыл бұрын
Nachojuaga huwa unaongezaga mtu akikushukuru....Uliyonitendea ni mengiii Asanteee bwana🙏🙏
@joramkyando92593 жыл бұрын
Mlioniwahi🙌🏾🙌🏾...Barikiwa sana Kaka yangu Paul Clement May God shower his Choicest blessings On You.. Ujumbe huu ni burudiko la Moyo forsure
@joshuamchau2 жыл бұрын
Sijui nilichewa wapi kuujua huu wimbo......God bless you Paul;and the team. I am blessed 🙌
Uliyo nitendea ni mengi siwezi kuhesabu, nenomoja naweza sema ni asante 🙏🙏 God bless you kaka.
@isayalyimo3 жыл бұрын
Powerful song of the year God bless you so much anointing
@praygodmtera99073 жыл бұрын
Thank u this is biblical zaidi mtumish
@officialjamhurizachariagos27973 жыл бұрын
Can't wait Bro Paul Clement Shukran ni Motooo🙊🙊🙊🙊 Shukran challenge
@HurumaCharles2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubariki Mtumishi wa Mungu. Ujumbe Mkuu Huu....
@jacquelinejackson61243 жыл бұрын
The back up team is🔥🔥🔥🔥 let's appreciate them for the amaizing job. May God bless you.
@mwakasakayusuph54752 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana sichoki kuutazama wimbo huu. ila zaid ya zaid bass guitar huyo jamaa anahatarii
@onyangoerickomondi7072 Жыл бұрын
Am indebted to you Christ Jesus for all you have done to me am thankful for everything I am that I am ,the Ancient of days,the beginning and the end,the bright morning star ,Alpha and Omege,The great I am , thank you for you're kindness
@juliepaul98343 жыл бұрын
Brother Yesu azidi kukuinia.... great song....
@oduornoelministries74372 жыл бұрын
I listened to this for the first time and i was overcome with Holy ghost laughter, and am here to say God thank you for this ministry
@rukiasasya9204 Жыл бұрын
Asante mungu kwa kila kitu🙏
@dorothymwangangi73803 жыл бұрын
I remember in june 2019 I could sing Mwaminifu from morning to morning crying to God when my baby was undergoing operation on his 5th day of birth. This song mwaminifu gave me hope n truth be told our God is faithful. Now this one am singing saying thankyou to God for everything n for sure namshukuru mola. Ur ministry is a blessing to my life . Shukurani🎶🎶 Mola
@thelifeofcee49673 жыл бұрын
Thank God for you
@dorothymwangangi73803 жыл бұрын
@@thelifeofcee4967 Amen....he's God above all
@godfreymbunda9655 Жыл бұрын
amen na sasa ametenda
@chardoAmos4476 Жыл бұрын
Uliyonitendea Ni mengi Baba🙌🏾
@imbali_janeachy3 жыл бұрын
Ameen, listening to this song at the right time, Im crying..thinking of the battles GOD has fought for me...Thank u paul clement for this powerful song..n the voice..wooow! THANK U JESUS.. May God elevate ur ministry.
@theresiajohnmrimbo94463 жыл бұрын
Bonge la wimbo Mungu azidi kukutumia
@joycembwambo89712 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kazi yako Ni njema Mungu akusaidie kukaa kwenye kusudia barikiwa huduma hii inagusa
@tracyjafari4023 Жыл бұрын
The arrangement of the song plus his voice are🔥🔥🔥
@lutymasawe10832 жыл бұрын
Asanteee Mungu Wangu . Blessing Song ever 👏
@missionarydavidtz3 жыл бұрын
ASANTE YESU, AMEN. HALELUYA, AMEN.🙌 Hongera sana ndugu Mwakanyamale na timu yote ya huduma. Natamka neema zaidi juu yenu.
@LydwineAuko2 жыл бұрын
Wimbo huu umenibariki maradufu. Wale tisa sijui ila nimekuja kusema asante. Asante kwa wimbo huu wa kutusaidia ya kumwambia Baba asante. Mungu akubariki.
@luluelias5091 Жыл бұрын
God is happy when his children are Grateful always approach God with a Grateful heart with all that is Going In the world even listening to a beautiful song like this it is by his Grace be Grateful ❤
@sophiatobias96193 жыл бұрын
Sikuwahi sema asante ya kweli lakini leo nmejikuta nikisema asante kwa machozi ni meng unenitendetea baba siwez sema sana asante asante asante asante babaaaaaaa🥺🥺🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@thezoelife94052 жыл бұрын
Heard this song in a wedding,, had to find it for myself. This is a complete blessing.
@ashleyhearts85612 жыл бұрын
Amen
@ErnestinaTarimo-rj3xj Жыл бұрын
amen ubarikiwe sana 😢😢😢😢huu wimbo jmn❤
@dr.peterofficial63903 жыл бұрын
Am just smiling smiling ooh Jesus you are so beautiful. Paul my brother you are blessed born a singer a composer a writer a minister Blessed more bro
@monicahmis11503 жыл бұрын
Barikiwa Sana kaka..! GmI think Tunahitaji kuusamabaza zaid huu Wimbo wengi tunmmekuwa na malalamiko na kusahau kushukuru...
@paullangu44243 жыл бұрын
big up brother hakika umekuwa baraka kwa dunia nzima
@papaarobbysam20813 жыл бұрын
Unaandika Sana na Unajua Sana Mtu wa Mungu...Mungu Akutunze
@naomiwasonga87673 жыл бұрын
Paulo 🔥🔥🔥 Mungu akubariki huu wimbo ni mzuri sana
@evakatundu12962 жыл бұрын
Mungu umenitendea mengi siwezi kuhesabu kwa Kweli Ila na kushukuru tu akuna Kama wewe Mungu good song Paul Clement
@kenmbarikiwa89123 жыл бұрын
Big love from Kenya bro🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 God bless you
@joycemmbaga9022 жыл бұрын
Shukuraniiiiiii imebebwa kwenye neno moja Asante mpiga gitaaa huyo bonge anani bariki anavyo enjoy kipawa chake 😍
@JustRejoice2 жыл бұрын
I have had this one in my playlist for months now, but today it has ministered differently.
@mbonimanafungo24912 жыл бұрын
Kma nilimpenda mimi mtatoa lakin km ni alinipenda yeye hamtoi
@ministermossesmungure3 жыл бұрын
Wooow God bless you so much Brother Paul Clement this is Powerful Massage Brother
@EmmaFrancis143 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri mtumishi
@marydaudi47883 жыл бұрын
Uliyonitendea Ni mengi, siwezi kuhesabu🙌. Ila Nina neno moja ASANTE🙏☺️. Be blessed bro..
@florencemoshi36622 жыл бұрын
Ninachojuaga huwa unaongezaga kama ukimpa mtu kitu alafu akakushukuru Nachojuaga huwa unaongezaga zaidiiiii....
@leahlazaro73243 жыл бұрын
Imoge dei it was my miracle day,,, I can't forget this day because it was 🔥🔥🔥
@richardmchomvu47733 жыл бұрын
Brother mungu anakutumia sana
@beatricemtuya16843 жыл бұрын
najiuliza nikulipe nini kwa yote ulonitendea mimi😭ni meeeengiiiii siwezi lipa....asante YESU wangu🙏🙏🙏🙏♥️♥️
@tullymwakipesile20773 жыл бұрын
Neno moja “Asante,” some of us here cant explain anything, everything is an explainable. 🎶🎵 ila nina neno moja asante 🙏🏽.
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Shukrani zangu nikwako Yesu Nasema Asante
@susannduku2432 жыл бұрын
Amen...kenya is blessed by this song 🇰🇪
@ndoolekahombo8425 Жыл бұрын
Maneno yana nikauka kinywani, mambo ambayo umeya fanya kwangu nimengi sana. Asante eh Bwana Yesu-Kristo
@pilimashaka3873 жыл бұрын
For all that He has done,one word THANK YOU LORD ,,be blessed brother Paul for such a blessing song
@felixwasieba51773 жыл бұрын
Shukran! Shukran paul clement kwa kazi nzuri, Mungu asante
@batigoomagari81073 жыл бұрын
Mm ndo yule mmja ,kati ya wale kumi ulowaponya ukoma, kwako ninerudi, wale tisa mm sijui, ila nimekuja kusema ahsantee, aaaaah!!!!! Be blessed Paul, mle mle mle alooo,
@jeremymontagetv82883 жыл бұрын
🙏🙏🥺🥺🙌🙌Thank you Lord for everything you've done for me...God bless you Paul Clement you are touching souls all over the world through your music ministry🙌🇰🇪🇰🇪
@halimamlowe16843 жыл бұрын
Shukrani sauti ya Imani,ulionitendea ni mengi Baba,neno moja Asante Barikiwa mtumishi Mungu akuinue zaidi
@favouredblessed16423 жыл бұрын
My, my I cannot get enough of this song, it has really touched my heart, God bless you Clement, Mungu akujazie zaidi na zaidi. Amen.
@dissankone34252 жыл бұрын
KAKA MTUMISHI MUUUNGU BABA AKUBARIKI SANA, AZIDI KUKUJAZA NAKUKUPAKA MAFUTA, AKUFICHE NA KUKULINDA NA MTEGO WA MWINDAJI. HAPPY NEW YEAR 2022🌹
@roselinerotich66422 жыл бұрын
I'm ever uplifted through your songs to the most High God. May God bless you. May Psalms 91 be yours
@mbonimanafungo24912 жыл бұрын
Afu endeleeni kunisema sana. Muwe mnakunywa na soda na makuku
@justinalub8963 жыл бұрын
Your Songs are something else 🙌I'm always blessed with your songs.....
@happymsombaofficial29563 жыл бұрын
Shukurani zote apewe mungu wetu
@evewaka51472 жыл бұрын
This Shukurani song has become an anthem to my life......, I love it so so much..... God bless you brother Paul....
@ibrahimmuhonda43943 жыл бұрын
Wimbo umejwa upako na neema una mguso nauskiza mara kwa mara bila kutosheka, MUNGU AKUBARIKI Sana mtumishi wa MUNGU Paul clement my mentor