A truly blessed man of God. I can’t recall a day that goes by without listening to your songs.
@Calvinswai-q9xАй бұрын
Mungu akubarikisana maombi yako nimeyasikiliza nimesikia kuinuliwa sanaaa baba
@butwawestonmwailubi4 ай бұрын
Ameeen sana Baba , Ahsante sana Mtumishi wa MUNGU...MUNGU AZIDI KUKUTUMIA NAZIDI KUPATA KITU KIPYA KUPITIA UTUMISHI, MUNGU ALIOUWEKA NDANI YAKO ✝️✝️
@Benon_George4 ай бұрын
ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU🙏🙏
@aderanderwa76234 ай бұрын
MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU alie hai Shaloom
@Alicemdemu4 ай бұрын
AMEEEN BABA UBARIKIWE& UTUNZWE NA BWANA YESU 🙏🙏🙏
@joyceallan27584 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 YESU NIKUMBUKE KWENYE UFALME WAKO,
@OscarLeonard-fb3ot4 ай бұрын
Baba naomba uendelee kutufundisha hivi hivi kwa uweza wa Roho Mtakatifu
@rappotygramiely32064 ай бұрын
YESU turehemu, YESU rehemu familia,watoto wetu, Taifa letu....YESU tusaidie.
@patricksoko12794 ай бұрын
Amen mttumishii nakupenda sanaaaa❤❤❤❤❤
@EliaaKisuma4 ай бұрын
Ubarikiwe Kwa ujasili WA kuhuburi Neno hili Yesu anarudi
@joyceallan27584 ай бұрын
Nikague Yesu nakuomba
@joyceallan27584 ай бұрын
Mungu unirehemu
@denisbongore30984 ай бұрын
Yesu naomba unisaidie
@VenanceAnyigulile-y3c4 ай бұрын
Amen mtumishii tunashukuru kwa sala hii 🙏
@patricksoko12794 ай бұрын
Mungu akutunze baba barikiwa❤❤❤❤
@furahasefania59264 ай бұрын
Ubarikiwe baba
@RamondLema-po6py4 ай бұрын
Be blessed man of GOD
@hoseakamwela20804 ай бұрын
amen barikiwa mtumishi
@deborahfaustine15014 ай бұрын
Amen anarudi
@kasangagregory57473 ай бұрын
eeehe Yesu nisaidie mimi
@SospeterRevocatus4 ай бұрын
Amina mtumish wa MUNGU tunabarikiwa
@mashikaabigail20074 ай бұрын
Amen Mtumishi. Hili ni la muhimu sana. Mungu akubariki kunikumbusha
@gideonkwalazi91604 ай бұрын
Amen
@AdellaSanga4 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa hili,
@JastFinancial024 ай бұрын
Ubarikiwe
@annakikoti45474 ай бұрын
Amen asante kwa ujumbe mzuri. Barikiwa.
@NaomyDaudi4 ай бұрын
Ameen mtumishi barikiwe❤
@KerenZakayo4 ай бұрын
Be blessed Man of God.. am happy for you're doing good.. God protect you more 🔥🙏
@petermalema57023 ай бұрын
GLORY TO JESUS
@Calvinswai-q9x4 ай бұрын
Aminaa
@jescarwegoshola17544 ай бұрын
Amen, ubarikiwe sana 🙏🏽
@Meshack777-TANZANIA4 ай бұрын
Ameen
@karolinchimani53163 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@JulianaHezron-gj4vk4 ай бұрын
Amina baba
@lucaschacha6333 ай бұрын
Unafundisha vizuri Mtumishi ila huo wimbo unazuia flow ya mafundisho yako mazuri, kila jambo na wakati wake, kama ni kuimba imba na kama ni kufundisha fundisha bila Wimbo ndani yake.
@RamondLema-po6py4 ай бұрын
MTUMISHI TUMIKA NA USICHOKE....BINAFSI NAPATA KITU KAMA SII VITU