uku kwetu congo ni noma sana diamond ana tisha sana ni mwamba baaala
@ByaombeBilesukuJacquesАй бұрын
Hapa drc husani hapa Kivu ya kusini koma sava (comment ça va) shida hongera sana kwa diamond platnumz Simba lama Simba ahujuhi Tu es super le gars
@marleshjimmy1972Ай бұрын
Rwandaaa is the bangerrr
@mbwanangudede7973Ай бұрын
Huku congo ndo wimbo wa taifa
@yanickmustafa7221Ай бұрын
Diamond platnumz 🤴🤴
@mhabimina402329 күн бұрын
Comment ca va Sns ? Ici 🇨🇦 ca va tres bien on est dedans 🔥🔥🔥👌
@IbrahDeDonny-lv2loАй бұрын
Mtanyooka tu! Haujui
@AcksunBonifas-mj2swАй бұрын
diamond to the🌏
@NdakhiSusu-qz9mdАй бұрын
Haujui🔥🔥🔥
@chusseboywcb280829 күн бұрын
Diamond platnamz mwacheni anamiakili mingi sanaaaa 💎💎💎💎🙏💪🎵🎵 East Africa atawatesa sanaaa
@SarahwanjikuWanjikuАй бұрын
Saudia it's banging l...FUAMONF PLATNUMZ TO THE WORLD
@user-kw1gm5yw4lАй бұрын
Yaan sns bhana ni wanafki sana mpaka mnashindwa kuogea 😂😂😂😂😂
@AshaHadhidha-hj3ooАй бұрын
Watashindwa sana hawa
@hirizonetz955829 күн бұрын
Yaan anaongea kinyonge sana huyu jamaa ni Team harmonize😂😂
@user-jd6vr9xw1oАй бұрын
Simba la masimba🎉🎉🎉❤❤
@benancejohn119829 күн бұрын
Mwamba anazidi kupasua mipaka 🙌🔥🙌
@user-jz6lm5yv4fАй бұрын
Simba ni mmoja tu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-et9je5vw3lАй бұрын
From ujhoba tribu komasava is the bigest song
@nyunyaboy9523Ай бұрын
Huku marekan ad Messi anacheza😅
@ommyjay462229 күн бұрын
😂😂
@mfalmekaitaba2425Ай бұрын
Siyo kimataifa tu hata sisi huku kwetu Bukoba huu ndo wimbo wetu pendwa na huku Bukoba tunaucheza ki nshomile nshomile zaidi🎉🎉🎉
@user-fm7bd2bm1oАй бұрын
Huku Africa kusini komassava inatesha sana
@user-hs4ko6ib4oАй бұрын
Apa cape Town hauwezi sikiya hata ngoma Moja ya mondi labda konde na single gain
@Damas_243Ай бұрын
@@user-hs4ko6ib4oacha uongo wewe unazani hatupo sisiote apa Cape Town inaonekan unatulia kwenye teti ndoman 😂😂😂
@Zuu673Ай бұрын
@@user-hs4ko6ib4owivu mbaya😂😂😂
@rosemahenge9071Ай бұрын
@@Damas_243Huyo kucomment kishabiki achana nae
@Soon815Ай бұрын
@@Damas_243😂😂😂😂
@eliyaserushago6051Ай бұрын
Norway 4 50%❤
@user-qe2je2iq8vАй бұрын
Is very we're bro yoooo🤣🤣🤣⭐🌟✨💫💥💥💥
@user-wr8gv8eh6oАй бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Zadig_Le_JusteАй бұрын
huu wimbo unasumbua hadi huku Edeni niliko pamoja na Hawa wangu
@aaa64sa13Ай бұрын
🔥🔥🔥❤️❤️🇹🇿🎉
@user-wh9fc1kr1qАй бұрын
Lion 🦁 Ana tutesa sana hapa kongo Muambieni apunguze kasi basi, mana tumeanza kumsau Fally Ipupa 😂😂
@zackybennie29 күн бұрын
uganda nomnaaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤😂😂❤❤
@Chrizabizzy1Ай бұрын
Hii comasava ni ya otie brown au
@MrTop-wj7noАй бұрын
Haujuiii😂😂💥💥💥💥💥
@Nasibu10abduliАй бұрын
Komasava USA 🎉🎉🎉🥇
@EmanueliShirimaАй бұрын
Iyoo ni nomaaaa
@TarikymbaroukAkidaАй бұрын
🦁🌍🔥
@Ally-rt2fwАй бұрын
Nomaa
@geoufo2858Ай бұрын
🦁🦁🦁 lion
@PatricalVevoАй бұрын
Aisee huku mars noma sana mm na alien wenzangu tunaicheza kila kona😂😂😂
@johnmwasilu7087Ай бұрын
Hadi Creez kanyanyua mikono hii kiboko 😁😁
@PatrickMwamba28929 күн бұрын
Simulizi na Saudi wanarepoti mafanikio ya Komasava kwa machungu....Uchawi wa Harmonize umebuma..Jini Mzee Popo 😢😢😢😢😢😢😢
@JosephMwangiluke29 күн бұрын
Hapa Tbt ndio wimbo wakufungulia kazi zetu
@user-mi5cv2my8e29 күн бұрын
Binadamu awaja sema Kalipa 😩😂
@user-vp7xl3km1hАй бұрын
Kwaiyo chichi wa ntwala tunachikilizwa na azizi kii au
@luckybarbershop2342Ай бұрын
Sasa nyiye munashaga nin hiyo nikawainda kwa diamond platnumz kutowa goma nenavuma Nduniani kote siyo kama kiriku wenu mwenye album yake imesha mbuma nejatoka...KOMASAVA goma ya ndunia
@byamukamainnocent5473Ай бұрын
Koma sava
@g-vicente122827 күн бұрын
Huku Mozambique inatisha
@tyivbra29 күн бұрын
Huku urusi ndo ngom ya dunia
@mamboleomaiko8041Ай бұрын
Alafu hii chaneli ni kibaraka wa wcb sure
@ShabanKarim-tv3vn29 күн бұрын
Burundi ndio ngoma yamjini
@rosemahenge9071Ай бұрын
Pogba ni shabiki mkubwa wa Diamond
@lucksonrupa361829 күн бұрын
Mambo nimotoo kabisaa
@chizashungu836429 күн бұрын
SNS BADO HAMJASEMA,MTASEMA TU.
@davidpeter8099Ай бұрын
Sns wanafiki kweli yaani
@rosemahenge9071Ай бұрын
🤣🤣kwa nini
@johnnchora3215Ай бұрын
We ndo mnafikinumefata nn huku sasa
@davidpeter809929 күн бұрын
@@rosemahenge9071 leo ndio wanajifanya kumsapa simba maua yake nawakati kila siku wao wanatafuta mabaya yake
@davidpeter809929 күн бұрын
@@johnnchora3215 rudi shule kwanza ukajifunze kusoma na kuandika vizuri maana haya mambo kama huna D mbili huwezi elewa
@official_dicksonmunga29 күн бұрын
Kila kona ya Dunia ni comment ca vas 😂😂😂
@MsafirimakiniАй бұрын
Wee zombie haujui
@michelinemapendo6652Ай бұрын
Ashinde grammy basi😂😂😂😂😂😂
@MrTop-wj7noАй бұрын
Grammy haitafutwi kwa nguvu Grammy hujileta tu unapotoa kazi wenyewe vigezo vyao vikikizi unapewa wala haina maana ya kwamba ngoma ime hit ndo upewe hapana
@johnmichaellukindo21Ай бұрын
Grammy inatakiwa ngoma ifanye vizuri billbod!
@FilbertKakikoАй бұрын
@@johnmichaellukindo21so kweli rama calmdown ilikua namba moja blilboard. Lakini hata hailuwemo grammy