Penati tatu za dhahabu zilizoinyanyua Simba na kuivua Azam Kombe la Mapinduzi

  Рет қаралды 2,900,389

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Simba SC wametinga fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka huu 2020 kwa mikwaju ya penati 3-2 dhidi ya Azam FC baada ya dakika 90 kumalizika bila bao na kuivua rasmi ubingwa Azam FC.
Katika mechi hiyo ya nusu fainali iliyopigwa kwenye dimba la Amaan Zanzibar, Simba wamefunga penati zao kupitia kwa Erasto Nyoni, John Bocco na Jonas Mkude huku penati za Azam zikifungwa na Yakubu Mohamed na Bruce Kangwa.
Waliokosa penati upande wa Simba ni Sharaf Shiboub na Medie Kagere zote zikipanguliwa na golikipa Razak Abalora, kabla yay eye mwenyewe Abalora kukosa penati yake iliyodakwa na Beno Kakolanya. Wengine waliokosa ni Idd Kipagwile na Donald Ngoma. 10/1/2020

Пікірлер: 350
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 44 МЛН
JAMBAZI SUGU LILIVYOULIWA
7:39
RobbyMedia
Рет қаралды 407 М.
NIGERIA VS RWANDA(0-0)-AFCON QUALIFIERS-GOALS&HIGHLIGHTS
9:20
Sahara Football Xtra
Рет қаралды 68 М.
Tazama maajabu ya SIMBA SPORT CLUB dhidi ya YANGA
8:55
official_ josephaty
Рет қаралды 1,9 МЛН
Smoothest Transitions in Football 🥶
0:20
Galinho FC
Рет қаралды 1,4 МЛН
Самый быстрый бой
0:22
Новостной Гусь
Рет қаралды 219 М.
В Россию не пустили борца из Таджикистана
1:01
Настоящее Время. Азия
Рет қаралды 450 М.
Messi Vs Ronaldo 🐐
1:01
Skinnycomics
Рет қаралды 2,6 МЛН