I see something in RC Makonda,like the servant of God,to collect those people like him, well done " Makonda 🇴🇲🇹🇿🔥💪
@NicIbrahim3 күн бұрын
Jamaa Yuko sawa brother ukachelewa big up ❤❤
@robertjunior99162 күн бұрын
Makonda mkuu wa mkoa bora sana tz
@nyembomajid12624 күн бұрын
ndio makonda watu wana hizo vitabia eti unawaita watu wakutoka mbali no no ...kwanza tuwaite watu wakutoka mbali ili tuwapate watu wetu wa ndani kupitia wale wageni 👍
@salvatorymushi20383 күн бұрын
Pongezi kubwa kwa mkuu wa mkoa MUNGU ambariki sana ... mueshimiwa anapenda kuona watu wanafanikiwa
@noelkipera65813 күн бұрын
Salute saaana rastafarian unajua saaaaaana broooo
@silviak17763 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏 big Brother 🙏
@mrbashe.a85093 күн бұрын
We as kenyans have never appriciatted Churchill enough and now Our Tanzanians Brothers have taken him as a treasure,that we never soo.
@davinaheven47943 күн бұрын
This is one of the best song 2024
@gladnessfinda75343 күн бұрын
Waaaoooohhh!!
@josephelias30044 күн бұрын
Kenyans appreciate you
@mandelasamson84012 күн бұрын
Rasi kikubwa maokoto,,fanyia kazi utafurahi
@robertjunior99162 күн бұрын
Mwamba anachana sana
@emilyomlandali-z5u2 күн бұрын
Huyu jamaa ana kipaji
@camilomassao89713 күн бұрын
Binafsi namkubali sanasana
@mramosmmsihi3 күн бұрын
Nguvu ya ushuhuda huwa inawaokoa wale walio katika wakati mgumu kwa kuamini ningumu wao kuvuka. Ila wakisikia ushuhuda wa magumu waliyoyavuka wengine nao hismama imara kwa kuamini kuwa hayo yote yatapita.
@piuskusenge-jf2ob3 күн бұрын
Kenya nadhani sasa mtaamini kwamba mziki kwa Tanzania hawaigizi wanafanya, kwa sababu Ipo ndani yao.