PENZI LIMEKOLEA | NILIMPELEKA KWETU | NDOA BADO WZAZI TUU | LAZIMA MLE UBWABWA | HELLO MR RIGHT

  Рет қаралды 44,959

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@TryphinaPhilipo-ls4pk
@TryphinaPhilipo-ls4pk 3 ай бұрын
Mungu asante kwa ajili ya hili husiano,niliwapenda toka siku ya kwanza,na ombi langu siku zote lilikuwa niwaone tena katika hatua nyingine daaah nimefurah sana ❤❤❤
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Amina
@VestinaSosthenes-mc9qv
@VestinaSosthenes-mc9qv 3 ай бұрын
Katika couple ambazo nilizielewa kwenye hii show basi ni hawa watu, Davis na Hamax.Wanaendana kiukweli na wako machuadi. Weka like yako kama unailewa hii couple
@user-cp5fp8gx8c
@user-cp5fp8gx8c 3 ай бұрын
Mungu awabariki na kuwaongoza, toka mwanzo lilionekan penzi la kweli hapa ❤️❤️
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 3 ай бұрын
waoow hii couple niliipenda toka mwanzo daah Mungu awasimamie
@DoreenDaniel-wm3yg
@DoreenDaniel-wm3yg 3 ай бұрын
Yaaani mm mwenyewe nimefurahi
@linatasks4837
@linatasks4837 3 ай бұрын
me too
@CECILIAMAGANGA-sk8md
@CECILIAMAGANGA-sk8md 3 ай бұрын
Watu wengne wapo serious na maisha.... Mungu awalinde
@RavvenThomas
@RavvenThomas 3 ай бұрын
Kweli syo utani
@VailethAliphord
@VailethAliphord 3 ай бұрын
Hii couple niliipenda San Mungu awafanye kuwa pamoja cku zote ❤❤ Mnaendana kinoma noma Devis had kanenepa
@ellymwampashe8927
@ellymwampashe8927 3 ай бұрын
Daah hii couple toka mwanzo ilionekana ina kitu😊😊
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Umehonae
@RoseMjema-q6t
@RoseMjema-q6t 2 ай бұрын
Mungu awajalii nawapenda sana kuwaona na mkifunga ndoa mje mtupe mrejesho nawapenda sana mpo seriaz
@AnnoyedMarsh-is4nr
@AnnoyedMarsh-is4nr 3 ай бұрын
Mashaallah wanapendezana sanaa Hawa watu niliwapenda tangia cku ya mwanzo waliyochaguana hapo
@evematinya6027
@evematinya6027 3 ай бұрын
Jamaniiii nimefurah sana kuwaona hawa watu, nawapenda sanaa, nimefurah sana!! Mungu awasimamie mfunge ndoa
@MaijaMirambo
@MaijaMirambo 3 ай бұрын
Hii Couple ndio hasa ilinifanya nipende hii hik kipindi wallah Mungu awatunze
@AntonyMM-tx3yj
@AntonyMM-tx3yj 3 ай бұрын
Hongera sana nyoote # aliyah kusababisha hamax kumuashia taa devis hakika hogera devia nae kafanya jambo la busara sana kuamua maamuzi ya kiume kufunga mdoa hongera sana jalali naombeni awaongoze mchuchume kwa maingi usio tingizika nawapenda nyooote team MR ryt
@israeluronu9958
@israeluronu9958 3 ай бұрын
Safi sana
@shebemama7784
@shebemama7784 3 ай бұрын
Mashaallah mmependeza san ❤ nawapend bur
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 3 ай бұрын
Ramadhani ilikua mnavaa vizuri ramadhani imeisha tabu tupu
@halidhemed7524
@halidhemed7524 3 ай бұрын
Mdada kazd kuwa mzuri!
@gemarhn4483
@gemarhn4483 3 ай бұрын
kweli aiseeee
@fidelitekarigirwamuyangwa973
@fidelitekarigirwamuyangwa973 3 ай бұрын
Wooow uyo arikuja anashida yamume siyokuonkana
@ashazuber6548
@ashazuber6548 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤yaan nawamewaka masha Allah
@iddjamila7540
@iddjamila7540 3 ай бұрын
Yaan niliwapenda toka mwanzo.....mmeendana mnooop
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Hata mie
@fredrickkaweu
@fredrickkaweu 3 ай бұрын
Kusena ukweli wanapatana sn Na kuna wengine wanaharibu hiki kipindi kwa kusema watu Wanaoangaliya me nasapot kwasababu tunaepusha marazi Na nambo nengineyo Ila biya yako ndiya itakayo Kusaidiya na siyo kujiyona ama kuja kuzalilishana napenda Sn hiki kipindi nawapenda wote Gara (B)mr wa maswali yenye msingi huwezi kuzima taa na kuwasha bila sababu ya msingi oamoja kwa wote nawapenda wote
@antoniazacharia133
@antoniazacharia133 3 ай бұрын
Ila lulu jamani punguza kuvaa hivyo uuuuwiiiii
@busnaoman9981
@busnaoman9981 3 ай бұрын
😢😢😢 mtihan wallah wanajuaga mwezi wa Ramadan t ndio wanajistir
@regen5458
@regen5458 3 ай бұрын
Hautasema si muislam 😢
@shebemama7784
@shebemama7784 3 ай бұрын
Kweli kabis mtoto wa kislam si vizur kuva ivo tunakumbusha tu jamn si kwaubaya
@MtasingwaAlistachius
@MtasingwaAlistachius 3 ай бұрын
Mi niliwapenda toka mwanzo,mungu awatangulie jaman
@lisagwandumi
@lisagwandumi 3 ай бұрын
wow🎉
@jumachanewstrends6899
@jumachanewstrends6899 3 ай бұрын
Hamax Wewe ni mwanamke Wasukuma unatuwakilisha kwa Shemu wetu mchaga kapata mkeee
@user-ix5uo6ks7j
@user-ix5uo6ks7j 3 ай бұрын
Congratulations guys 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@ascoffjarfat4831
@ascoffjarfat4831 3 ай бұрын
Hamas is very beautiful I hope ninge kuwa mimi nio mmilik wake mungu awabari mufikie lengo
@siaammo1104
@siaammo1104 Күн бұрын
ndo huyoo
@jenifamtunguja484
@jenifamtunguja484 3 ай бұрын
Wow its so nice ❤❤
@AgnessHabilo
@AgnessHabilo 2 ай бұрын
Hii couple niliipenda huyu Kaka alikuwa serious na amepata Dada yuko serious
@estherali-gx7cb
@estherali-gx7cb 3 ай бұрын
Hongera
@deecokujory
@deecokujory 2 ай бұрын
Wangp waliomuona uyu kaka mweny tamthilia ya konekshen wamerud kumuangalia kam mm
@user-ms8yc5hq7s
@user-ms8yc5hq7s 3 ай бұрын
Nimefurah mno kuwaona since day niliwafurahiya
@user-qs9oc1fs1c
@user-qs9oc1fs1c 3 ай бұрын
Msimu ujao uwe wa masingle mamas,hao wasichana muda mwingine wanaringa sana
@bethmalekela453
@bethmalekela453 3 ай бұрын
Nilipendezwa sana na Hawa watu
@selinathindwa9754
@selinathindwa9754 3 ай бұрын
Naipenda hii couple ❤
@johasaeed391
@johasaeed391 3 ай бұрын
Duh mimi nilijuwa wakitoka hapo nikuoaana kumbe walienda kuendeleza zinaa😢😂😂😂😂
@minablessing8650
@minablessing8650 3 ай бұрын
Hii capo nzuri sana na ndo nilifanya niipende kipindi hiki
@Siddhart7-772
@Siddhart7-772 3 ай бұрын
Bado zamu yangu mimi 😎😎
@ashazuber6548
@ashazuber6548 3 ай бұрын
Insha allah❤
@mariamutowi7084
@mariamutowi7084 3 ай бұрын
Nawakumbuka🤗🥰🥰🥰
@Felister330
@Felister330 3 ай бұрын
Beautiful couple
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
Huyu kaka kama nishamuonaga alivaaga suti na miwani kipind amekuja mr right
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 3 ай бұрын
Ndio
@dorisrwenyagila2742
@dorisrwenyagila2742 2 ай бұрын
Alf alimuchukua huy dem
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 3 ай бұрын
Penzi limekolea nazi yani mungu awajalie muwe mume na mke na couple nyingine natamani ije ni ile ta lolo jamani
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz 3 ай бұрын
Asa lulu na vichupi vyako paja lenyewe kama gogo la mwarobaini ulio komaa 😂😂😂😂unatuchukuliaje Kwan
@francengosha7157
@francengosha7157 3 ай бұрын
@lulu diva vaa nguo usikae uchi uchi unakifanya kipindi kionekane ni cha wahuni na kupunguza imani kwa watazamaji
@YusufuKhalfan
@YusufuKhalfan Ай бұрын
Mbona saivi hamlushi matangazi
@OliviaVictor-cm6vd
@OliviaVictor-cm6vd 2 ай бұрын
Chaguo langu limetimia
@marthasonia5005
@marthasonia5005 3 ай бұрын
👏👍
@doreenchacha7692
@doreenchacha7692 3 ай бұрын
Namimi nikiwaona nafurahi
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 ай бұрын
Ila we lulu kuma mako kwel ndo mavaz gan
@PeninaMlay
@PeninaMlay 3 ай бұрын
Penzi nililolipendaaa tangu wanachaguana nasubir ndoa na watt penda nyie
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 3 ай бұрын
😊😊😊❤❤🎉
@MarySion-c6h
@MarySion-c6h 3 ай бұрын
Mbona siku hizi hakuna album kabisa, Mtoto wa kicked unadhubutu kusema hadharani kuwa naenda kwa mwanaume ijumaa then narudi Monday, IS IT POSSIBLE?????????????
@JacksonMkamba
@JacksonMkamba 3 ай бұрын
Eliza yuko wapi jaman me napenda kumuona
@user-op6dn6df8p
@user-op6dn6df8p 3 ай бұрын
Eliza akashatolea kwenye show
@Siddhart7-772
@Siddhart7-772 3 ай бұрын
Yes anastahili🩸🩸💍💍💍
@shebemama7784
@shebemama7784 3 ай бұрын
Nasubiri kap ya raja
@MarthaNgolyama
@MarthaNgolyama 2 ай бұрын
Kabisa
@user-su7uo3eu5b
@user-su7uo3eu5b 3 ай бұрын
Na mimi nakuja sitaki kuawa kisiki niwe kama hamasi
@mdidorama5852
@mdidorama5852 3 ай бұрын
One likes for me
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 ай бұрын
Ila we lulu kuma mako kwel ndo mavaz gan
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН
This bachelor really annoyed Dr Ofwenekebecsuse of Diana.......
2:03
UNAYAJUA MAHABAT WEWE! ONA HAPA SASA.
10:00
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 420 М.
PENZI JIPYA | NAMPENDA SANA  MUONEKANO WAKE HELLO MR RIGHT
10:43
ST BONGO TV
Рет қаралды 150 М.
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН