PICHA HII YA PAMOJA YA MBOWE NA LISSU BAADA YA UGOMVI YAZUA GUMZOO WAKIWA MAKAO MAKUU

  Рет қаралды 7,447

HABARI KIGANJANI

HABARI KIGANJANI

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@JibeMwaijibe-p1z
@JibeMwaijibe-p1z 10 сағат бұрын
Lisuuu🎉🎉🎉👍👍👍mbowe pumzika usiwauzie chama maccm😮😮
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 10 сағат бұрын
mr lissu ndie anaestahili kwa sasa❤
@SiliveliNdelema
@SiliveliNdelema 10 сағат бұрын
Uchaguzi ukisha watuonyeshe tabasamu kama hiyo
@robbyman6213
@robbyman6213 8 сағат бұрын
LISSU ✅✅✅✅
@jetymagereja4058
@jetymagereja4058 13 сағат бұрын
Kwani nyie mnataka wapigane😂
@JafariLiwehe
@JafariLiwehe 10 сағат бұрын
Good
@mosesibmshangamshanga7885
@mosesibmshangamshanga7885 13 сағат бұрын
Niukomavu wa kisiasa
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 32 минут бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 10 сағат бұрын
Lissu anatosha mbowe pumzika
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 12 сағат бұрын
Hata iweje Mbowe lazima aondoke tu
@raphaelmaringa215
@raphaelmaringa215 9 сағат бұрын
Chawa mtabaki na Aibu
@GEOFREYRALIKAinaumizasana
@GEOFREYRALIKAinaumizasana 11 сағат бұрын
Lisu kiukweli unatosha
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 8 сағат бұрын
Lisu ni mnafiki sana anataka kutuvuruga halafu akimbilie Ubelgiji ni kibaraka kweli kweli
@jonathanmindolo61
@jonathanmindolo61 10 сағат бұрын
NI PICHA YA LEO KWELI?? SJAAMINI.
@onesmomuttashobya1473
@onesmomuttashobya1473 14 сағат бұрын
Hawa wanawazuga wanachama wao, lkn lao moja.
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 8 сағат бұрын
Mchakato mwema,LISSU BABA LAO
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 7 сағат бұрын
Lissu mwenyekiti heche mwenza katibu lema mgombea urais mbowe tunza kumbukumbu
@dennisungonella205
@dennisungonella205 12 сағат бұрын
Kwani lissu na mbowe wana ugomvi gani?😂
@marieconnect6389
@marieconnect6389 12 сағат бұрын
Mamno ya pesa
@successelias9362
@successelias9362 7 сағат бұрын
Mboe, lazima ashinde
@JoycealexTomasi
@JoycealexTomasi 9 сағат бұрын
Mwenyekiti namakamu tunaomba wafanye mdaharo
@TheodoraAnatory
@TheodoraAnatory 12 сағат бұрын
NIMEWAPENDA BURE, HII NDIYO INAHITAJIKA HATA BAADA YA UCHAGUZI. SLOGAN YENU NI NZURI SANA, WENYE WIVU WAJINYONGE. TUNAWAUNGA MKONO CHADEMA, MKO SAWA.
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 12 сағат бұрын
Mbowe must gooooooo, hilo ni tabasamu ya kinafiki, Mbowe mla rushwa tu
@gadielmungure9711
@gadielmungure9711 10 сағат бұрын
Hiyo rushwa mbowe alikula kwa sababu Gani na ni sh. ngapi?
@gadielmungure9711
@gadielmungure9711 10 сағат бұрын
Mbowe haondoki kwenyekiti acheni umamluki wenu. Chadema inawauma tumbo kwa uimara wa mbowe.
@JosephMgumya
@JosephMgumya 12 сағат бұрын
Hii ni siasa Hawa hawana ugonvi.
@AthumaniAbeid
@AthumaniAbeid 13 сағат бұрын
Lisu must go oooooooo out
@dennisungonella205
@dennisungonella205 12 сағат бұрын
Mbowe must gooo
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya 11 сағат бұрын
kizi mkazi kazini
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 10 сағат бұрын
Ahsante Lissu Kwa tabasam
@OttoChiduo
@OttoChiduo 9 сағат бұрын
Waarabu wapemba hu.........
@Mzalendowetu
@Mzalendowetu 9 сағат бұрын
Jmn nyie Watanzania wenzangu Lisu ni mbelgiji.akimaliza kuiharibu hii Nchi atatoroka kuelekea Ulaya. Nyie mchekeeni tu.
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 8 сағат бұрын
Huna fact ni ndondocha
@FranceKomba-sn3ui
@FranceKomba-sn3ui 8 сағат бұрын
Zero brain 🧠
@simongwandu7392
@simongwandu7392 13 сағат бұрын
Lisu anatazama chini anaona aibu kwa ya aliyoyalonga kwa nyakati tofauti wana chadema lisu ni mbelgiji asipewe kura arudi ubelgiji
@dennisungonella205
@dennisungonella205 12 сағат бұрын
Safari hii tunaenda na lisssu, lissu hajui kununa
@teresiagama3578
@teresiagama3578 12 сағат бұрын
Tunaenda na lisu wenye wivu wajinyonge bravo lisu bravo mbowe
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 12 сағат бұрын
Wewe hata Kenya au Uganda utaisoma kwenye vyombo vya habari
@FranceKomba-sn3ui
@FranceKomba-sn3ui 8 сағат бұрын
zero brain
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
ALICHO ONGEA DOKTA SLAA KABLA YA KUKAMATWA
8:28
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 24 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН