Pigo kubwa kwa Mbowe John Heche na God bless Lema watangaza wazi kumuunga mkono Lissu

  Рет қаралды 36,748

Linconmedia

Linconmedia

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@FrancisRogears-w7i
@FrancisRogears-w7i 13 күн бұрын
Hapo sawa heche namkubali Sana kwa misimamo
@JuliasMwita-c2l
@JuliasMwita-c2l 18 күн бұрын
Lema karibu, heche, makao mwenyeki, lisu mwenyekiti, twende kazini.
@AsteriaMasika-st5pk
@AsteriaMasika-st5pk 10 күн бұрын
Lisu lazima tumwombee sana, najua huyu mtu ni mkweli daima
@DandasiKundi
@DandasiKundi 18 күн бұрын
Heche uko vizuri sio muoga 3:14
@SamuPetro
@SamuPetro 11 күн бұрын
Hapa ni lisu tu❤
@MakameAly
@MakameAly 17 күн бұрын
Ukweli lisu anaweza kukipeleka mbali hiki chama kwani siyasa ya tz lazima uwe jasiri lisu mtu na nusu🎉
@EliasMpehi
@EliasMpehi 14 күн бұрын
Anafaa sana Lissu.
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 18 күн бұрын
Lema una Nia nzuri na chama, Lissu ndiye anayehitajika kwa Sasa kuwa mwenyekiti na siyo Mbowe.
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 18 күн бұрын
Hiyo safu nimeipenda Mkiti Lissu Makamu Heche K.Mkuu Lema Kimekaa poa hicho kikosi cha ushindi 😊😊
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 11 күн бұрын
Yes mnyika out
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 10 күн бұрын
Wajumbe pesa mkipewa kuleni,pitisha hii timu ikomboe watanzania 3:57
@bsmonline8482
@bsmonline8482 17 күн бұрын
Lisu huyo Mbowe atusubiri kwanza
@JeremiahDavid-s9c
@JeremiahDavid-s9c 18 күн бұрын
Mm namuunga mkono lisu
@OS-pf6op
@OS-pf6op 18 күн бұрын
Yes, hii ni hatua nzuri kuwa upande wa Lissu na Mdude yumo. Hiki Chama sio kitega uchumi!
@MariamAsajile
@MariamAsajile 12 күн бұрын
#vote LISSU
@evelina9621
@evelina9621 18 күн бұрын
Lema.nimefurahi.sana.endelea.kujenge.chama.mazuri Hanakuja
@maikojohn-xr5cg
@maikojohn-xr5cg 17 күн бұрын
Mbowe kama ni kweli anikipenda chama hiyo fomu yake atoe asifombee tena ataheshimiwa sana
@FrancisRogears-w7i
@FrancisRogears-w7i 6 күн бұрын
Kweli
@NelsoniJamily
@NelsoniJamily 14 күн бұрын
Nawakubali makamanda
@FrancisRogears-w7i
@FrancisRogears-w7i 13 күн бұрын
Nalisu ana faa mtu wa haki na usawa na hichi chama kitakuwa makini Sana na kuheshimika
@Hussenskinyangaa
@Hussenskinyangaa 18 күн бұрын
Joni heche ni jeshi ❤
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 17 күн бұрын
Ni sahihi kabisa,leteni mageuzi kwenye chama chetu.lissu oyee
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 17 күн бұрын
Amina,
@AkimuWaziri-u9b
@AkimuWaziri-u9b 18 күн бұрын
Lisu anafaa. Huyo mbowe abaki na kina mdee
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 18 күн бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@maikojohn-xr5cg
@maikojohn-xr5cg 17 күн бұрын
Lisu ndio mpinzani wa ukweli
@HatibuSozi
@HatibuSozi 16 күн бұрын
Kwa utatu huo nchi inenda kupata ukombozi
@AdamAthanas-l8r
@AdamAthanas-l8r 18 күн бұрын
Namuunga lisu kuwa mwenyekiti
@MwakaHappy
@MwakaHappy 12 күн бұрын
Mbowe hana shida ang,'atuke tu tena halsks
@deodatusmugalulamugalula
@deodatusmugalulamugalula 14 күн бұрын
Mboe apewe viti maalum
@silasponeka1773
@silasponeka1773 18 күн бұрын
Safi kabisa
@charlesibrahim4696
@charlesibrahim4696 18 күн бұрын
Heche mbona hujachukua from ya umwenyekiti
@yussufomar4150
@yussufomar4150 18 күн бұрын
Ingependeza ZAIDI.
@kaundavyoseena6514
@kaundavyoseena6514 13 күн бұрын
Fair enough
@johnmlangi6890
@johnmlangi6890 18 күн бұрын
Tuko Pamoja Waheshimiwa na tunaimaini Sote kwa Umoja Kutembea na Mhe. Tundu Lissu hadi mwisho
@JeremiahDavid-s9c
@JeremiahDavid-s9c 18 күн бұрын
Nipo na lisu
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 18 күн бұрын
Shoga mama yako. We lifisiemu tena ukome.
@mapendomeela7166
@mapendomeela7166 18 күн бұрын
Mungu yu pamoja nasi mboe usigombee Tena kuwa kama zito uchu wa madaraka unamwisho ni Aibu
@SaidMlemeta
@SaidMlemeta 18 күн бұрын
Mbowe sio kuongzi hata kdg
@noordinabdulkarim4233
@noordinabdulkarim4233 18 күн бұрын
Wenye kiburi. Mbowe na Lema. Nimewaona na kukutananao. Kama kuna kitu zaidi ya kiburi. Ndo hao.
@habibunguvumali3331
@habibunguvumali3331 18 күн бұрын
Lisburn akishinda mimi nipo pale
@AllyShabani-v5i
@AllyShabani-v5i 18 күн бұрын
Mabadiliko ni lazima,,,kuna leo kuna kesho,,na wakati ni ukuta,
@allyshaban406
@allyshaban406 16 күн бұрын
Katibu mkuu awe Pambalu
@deodatusmugalulamugalula
@deodatusmugalulamugalula 14 күн бұрын
Huo ni utatu mtakatifu
@NelsoniJamily
@NelsoniJamily 14 күн бұрын
Safu hiyo usipime
@ObeidChamila
@ObeidChamila 18 күн бұрын
Hawa viongozi wa cdm walikuwa wanatoa matusi mazito kwa watu wengine akiwemo rais ma Samia leo yamewarudia wanalalamika upandacho ndicho uvunacho
@KilimoMichael
@KilimoMichael 18 күн бұрын
Lisu saf
@Marry-v8e
@Marry-v8e 18 күн бұрын
Mbowe akipita Mimi nahamia ccm
@allyshaban406
@allyshaban406 16 күн бұрын
Mbowee, unagombea kwa kulinda chama au unalinda wapigaji na ccm?
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 18 күн бұрын
Kama kawaida tunaenda na maono
@AlphonceTemba-g4f
@AlphonceTemba-g4f 18 күн бұрын
viongozi wawili tu
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq 18 күн бұрын
Acha uongo
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 18 күн бұрын
Lisu ni ccm hana jipya mtakuja kugundua baadaye
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 18 күн бұрын
That is not true stop hates
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 18 күн бұрын
Ccm asiwe mbowe, aje kuwa lissu?
@NungulaRais
@NungulaRais 18 күн бұрын
Hii
@AlphonceTemba-g4f
@AlphonceTemba-g4f 18 күн бұрын
mwe nyekiti wa vyama ni wakudumu Lisu muongo atapigwa tu
@FrancisRogears-w7i
@FrancisRogears-w7i 6 күн бұрын
Muongo kivipi
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps 18 күн бұрын
Mbowe hicho chama ni Cha kwako ? Sasa miaka yote hiyo umekua mwenyekiti achie mwenzio. Basi ipo wazi una masilahi binafsi
@MwakaHappy
@MwakaHappy 18 күн бұрын
Tunaenda na lisu ila asiende ccm tutatoka na lisu tumechoka kutufanya madaraja tutahama siyo siri
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 10 күн бұрын
Hawa ndio wanauchungu na chama,wengine ni walaji tunafanywa wajinga
@laninjeje8290
@laninjeje8290 18 күн бұрын
Linconmedia ni media ya mashoga na akiwemo tundu Lisu mwenyewe 😂
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 15 күн бұрын
Na Je wewe mtazamaji na msikilizaji wao uko kundi lipi
@AlphonceTemba-g4f
@AlphonceTemba-g4f 18 күн бұрын
Lema kakimbilia canada
@AlphonceTemba-g4f
@AlphonceTemba-g4f 18 күн бұрын
lisu awezi kupata zaidi ya asilimia30
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 18 күн бұрын
CCM hoyeeeeeee! Mapumbavu kweli nyieeee!
@salummussa9871
@salummussa9871 18 күн бұрын
Lisu awe mwenyekiti Lema aawe makamu Katibu awe heche
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
BADO SIELEWI. KWANINI TUNDU LISSU ALIMWAMINI ABDUL WA SAMIA?
29:41
SK Media Online TV
Рет қаралды 36 М.
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 208 М.
MBOWE AMTOLEA LISSU UVIVU, AMLIPUA VIBAYAAAAAAAA
51:58
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 48 М.
ZITTO AMLIPUA LISSU,  KUHUSU KUFUKUZWA CHADEMA!!!
20:26
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 46 М.