Ty Queen Shiba for the awesome lovely carrots mix chillies pickle recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow.
@queenshibaskitchen91302 жыл бұрын
Thank u dear.
@aishasalim12814 жыл бұрын
Ma shaa Allah imenoga kwabirian
@queenshibaskitchen91304 жыл бұрын
Nakwambia mmh
@fauziaismail53464 жыл бұрын
Mashaallah tutajaribu inshaallah
@safiaabubakar11204 жыл бұрын
Mashaa Allah shukran habibty Allah akuhifadhi kazi ya mikono yoko 😘
@bintsalimalbimany53404 жыл бұрын
Mashallah😚😚😚
@umsalim65154 жыл бұрын
Mhhh inavutia hasaa inaonesha very test 😋😋 MashaAllah
@queenshibaskitchen91304 жыл бұрын
Shukran sana
@TheAfricanmusica4 жыл бұрын
Mashallah mkwe
@saadahumoud31324 жыл бұрын
Hongera dada
@sharahmansour41024 жыл бұрын
Maashaallah🤩 sitoi tena pesa kununua pilipili 🤣
@queenshibaskitchen91304 жыл бұрын
Usitowe my love hahaha
@safiamwinyi94444 жыл бұрын
MashaAllah ❤
@sabrinasuleyman9923 жыл бұрын
Hutii ndimu
@emilychitsaka9219 Жыл бұрын
Uwatu wa unga ni kiungo gani
@rayarashid46402 жыл бұрын
Kam sin embe siwez kutumia ndimu
@ninaamri5374 жыл бұрын
Hii pilipili enakaa kwamda gani lazima kwenye fridge
@rayasalum44614 жыл бұрын
😋
@salmagulam66194 жыл бұрын
Mashallah dada inaweza kukaa mda gan bila kuaribika
@queenshibaskitchen91304 жыл бұрын
Inategemea utapoihifadhi na kuna joto lakiwango gani dear, lakin huku nilipo inafika mwenzi inaka kwenye friji haijaharibika. Pia ukiongeza mafuta inazidi kuka.