Salam,naomba kuuliza hiyo pilipili naweza kufanya kwaajili ya biashara haitoharibika kwajili ya nyanya?plz reply
@halimahalima14883 жыл бұрын
Masha allah
@azizaalihamad49104 жыл бұрын
Mashaallah ni nzuri. Naona wenzangu wameuliza hapo kama unafanya ya biashara je hizo nyanya hazitosababisha kuwahi kuharibika au nifanye nn ili kuondoa hilo tatizo. Naomba unijibu ili nipate kijifunza zaidi
@saidnassor-x4v2 ай бұрын
Weka vinegar au sodium kwa pilipili inayo chacha na kuharibika
@maryamoman59265 жыл бұрын
Jaman zuri sana mashallah
@maryamkhamis94934 жыл бұрын
Shukran habbty ❤️❤️❤️
@letscookncraft19017 жыл бұрын
Very very nice..👌👌
@ShunasKitchen7 жыл бұрын
Let's Cook .. thank you dear for your support
@rukiaabdalah59684 жыл бұрын
Shuuna wajua pilipili nitamu mbog pia siitamani yan ugali nala na pilipili lkn naomb nisaidie kama nataka kutengeneza ya biashara natia nini ili isiwe yachacha pls nsaidie
@maryammohamed71847 жыл бұрын
Mashallah, shukran
@ShunasKitchen7 жыл бұрын
Maryam Mohamed afwan na asante kwa kuangalia pia
@raidkham84887 жыл бұрын
Shukran...is it possible fr u to be leaving us the ingredients on the description box?
@ShunasKitchen7 жыл бұрын
Done
@ShunasKitchen7 жыл бұрын
Thanks for watching
@raidkham84887 жыл бұрын
Thank u:-)
@fatiib48717 жыл бұрын
Shukran for the recipe
@ShunasKitchen7 жыл бұрын
fatii b .. afwan and thanks for watching :)
@cutiethuma99316 жыл бұрын
Can you use a blender kusaga
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Yes you can.. thanks for watching:)
@alisaid8314 жыл бұрын
Iki unacho sagia ni kitu gani pls
@betyjohn76703 жыл бұрын
Nahitaji mwalimu wa kunifundisha kwa vitendo kwa ajiri ya biashara
@floridawillybati75536 жыл бұрын
Mbona sauti hakina?
@mozamaulid30505 жыл бұрын
jamaan nifanye nn piliplii ikae kwa muda mrefu isifoke kwenye chupa maana nafanya biashara ila nakosa raha ikikaa siku 3 tu inafuka plz nakuomba msaada wako
@kisindate35965 жыл бұрын
moza maulid weka vinega
@franciscarachieng22035 жыл бұрын
Tumia vinegar n ueke kwenye fridge according to @aroma of zanzibar
@nellywilly80485 жыл бұрын
Franciscar Achieng mimi niweka hadi vinegar lakini bado inafoka.Jamani naomba tusaidiane tupeane ujuzi
@lillianclement23564 жыл бұрын
Nicheki 0656218914 nikuelekeze isiaharibike
@faridamlowe83984 жыл бұрын
@@nellywilly8048 jaribu kutoweka nyanya kama huwa unatumia
@hamidasa6837 жыл бұрын
shukran
@salimmohammed77686 жыл бұрын
Mashaallah
@joycechakutema52746 жыл бұрын
Iyo mashine unayosagia inaitwaje? Na je kama sina iyo naweza tumia brenda
@leesailen30674 жыл бұрын
Samahan iyo blenda ntapata wap
@jacklinemakalangamakalanga45046 жыл бұрын
Nice
@bintiallymajid12953 жыл бұрын
B.bo
@johanassor85756 жыл бұрын
unaweza saga kwenye brenda
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Ndio unaweza
@emmanuelshuza62816 жыл бұрын
Siki nyeupe ni nini tafadhali
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Ni vinegar
@emmanuelshuza62816 жыл бұрын
@@ShunasKitchen naomba nipe vipimo vyake vyote na ikiwezekana uniambie shilingi ngapi kunifundisha kwa chips inafaa
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Kwa chipsi inafaa. Btw nimeeleza maelezo yote kwenye pia pia sifundishi kwa pesa Ni hapa tu kwenye videos
@emmanuelshuza62816 жыл бұрын
@@ShunasKitchen ok sawa!
@evesamson88015 жыл бұрын
Mini pia nikitengeneza unawai kuharibika tatizo mini tunaomba mtueleweshe?
@brigithadeliciouscake6 жыл бұрын
Inaweza kukaa kwa muda gani ndio iharibike
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Naweka kwenye fridge haiharibiki, sijawah kuiweka nje
@emmanuelshuza62816 жыл бұрын
Hebu nielekeze
@fatumasalimu93976 жыл бұрын
Nauliza sick ndio nn,siku zote najuaga sick ni ndimu pia