Casspol mungu akubariki Kwa hiyo revelation unajenga kizazi kabisa wenye wanaona waseme kitu,huyu sai ATI anatuonea ni ukweli tupu Kila sehem ameongea point kama unakubali weka like tusonge natupendane,sana kama wanainchi,kiburi tuweke chini tunyenye kee sana Kila Moja haijalishi uko office gani ,Mimi mwenyewe ni upcoming artist ndomana,tuwaona vile mambo munazidi kubadilisha am Vincent cheer, utube and every where big up casspol 😊😊😊😊
@eliasjoseph97124 күн бұрын
I like this guy cassypool the way teaching Kenyans although they will not accept the reality. This guys talks truth
@nassoroyombe6104 күн бұрын
Leo Cassypool ameongea points sana. Majirani msikilizeni. Ila Kenya mnaongoza kwa. Mbio(Riadha), Kuongea kizungu Maandamano Dharau Kiburi Ubishi/ushindani Ujuaji mwingi
@MohamedAbdirahman-c4u5 күн бұрын
Waambie kk cassypool umeongea point❤
@Radiologyworld4 күн бұрын
Kaka uko sawa sana. Love from TZ.
@samuelmuriuki58494 күн бұрын
Cesspool truth hurts this an eye opener to first Kenya 🇰🇪 artists and Kenya fans..messager are never killed 😢
@TheAlman5 күн бұрын
Hard truth tulikuwa tunakuja kurekodi video kenya ogopa djs Tulikuwa hatusemi vibaya kuhusu kupromoti vyakwetu❤
@Mahundavlog4 күн бұрын
Cassypool una hakili nyingi sana kaka hongera❤
@tediusmakwara39314 күн бұрын
I like this guy is talking true
@edwinamos97344 күн бұрын
cassy pool well said together with your saying Unaipata hiyo point hahahaha😢😢😢
@SalvatoryMtunga5 күн бұрын
Wewe kiboko, wakenya wengi ni pumba, hawawezii chochote, kazi yenu ya kiburi dhidi ya wa rz imewamaliza, wa tz wanajengq nchi yao, wakenya hovyoo sanaaaa.
@Alfredmusa245 күн бұрын
😂😂😂 kazi ni kubeba, kudrop wasichana na kutibu infections 😂😂😂 nakukubali sana mwamba ✊@cassypool
@zariadunia63285 күн бұрын
Ila huyu mwijaku anasubiri
@damianmcba95255 күн бұрын
😂😂😂 kutibu kaswende na magono , Wenzie wanalala Studio wanatafuta hit songs
@jeniferemmanuel42514 күн бұрын
Hii ndo nlikuwa natafuta😂😂😂❤❤❤
@iddabdallah43404 күн бұрын
Chawa mwenye PhD ....🫡🫵😂wamshe hao watoto wa 2000 wajuwi history 😂 love Kenya love tz
@MariJunuiorКүн бұрын
Big point bro... salute to you casspol
@PapaaParmelo3 күн бұрын
Bien kwelii ase tunampenda sana❤😂😂😂😂
@amoscharles71304 күн бұрын
Kaka uko vizuri sana wakikusiliza bc watashinda
@chancesholdan3425 күн бұрын
Mitano tena kwa Casypool
@sacohg54584 күн бұрын
Me i agree ,with this man....kweli kabisaa ...hakuna vile utashindana na mtu anafanya ibaada zake na ako busy na kazi yake na ww auombii kazi nikuzunguka kuokota madem
@ellymagoke60794 күн бұрын
Nakukubali bro😊
@Stans_Tz5 күн бұрын
Watu hawamuelewi huyu jamaa. Mi naiona future yake ikiwa njema sana
@NatashaChebukati5 күн бұрын
Kenyans, please don’t ever compare the Kenyan music industry with Tanzania’s for now. Only in film are we ahead, and Tanzania will never catch up.
@daudidaudi9645 күн бұрын
Which film in kenya???????
@latenitepiano4 күн бұрын
No film in Kenya! Maybe protest, looting business destroying government premises including stealing / eat & drink members of parliament’s meals 🙊🙈🤣
@Mkurungwe4 күн бұрын
wa tz anajifanya ati yeye si mkabila kumbe ukabila ndio inawasubua mnyamwezi ni nyanya yako😂😂😂😂😂😂
@Mkurungwe4 күн бұрын
Wa tz kila mahali unakutana nao wako wanaume wawili wa wawili hii uchi chi kukulana matako itawamaliza 😂😂😂😂😂😂😂
@Mkurungwe4 күн бұрын
I,ve been stolen three times by tanzanians but I,ve never been stolen by a Kenyan hata siku moja tukiondoa corruption going on in Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👉👉😩😩😩😩👉👉👉👉👉👉🍼🍼🍼🍼🍼🤣🤣🤣🤣🤣true story 😂😂😂😂😂
@slymsameer54152 сағат бұрын
Big up kaka ukijua ukweli utajikomboa
@zulfakibwana23304 күн бұрын
Uko sawa bro diamond Yuko sawa dai kiboko yao
@valentinoraymond76594 күн бұрын
Mwamba cassypool 🔥🔥🔥
@JaphetCalvin4 күн бұрын
Bady boy😂😂😂😂😂 i love this boy
@peterotieno39923 күн бұрын
All this energy we should direct it toward christ jesus who is our saviour, izi mambo yote ni ya kueneza tu umalaya,
@richardJanson-h7c4 күн бұрын
Huyu jamaa apewe ulinzi anaongea points 👉 sana msimzarahu paul yupo sawa
@Caelumkids4 күн бұрын
Tumekusikia mzee baba 🇹🇿🇹🇿 endelea kuongea ukweli
@willydasilver694 күн бұрын
Then the Lord said this about Kenya"Le me bring you Cassypool to tell you the truth"🙏
@kariukigachanja38104 күн бұрын
Haya maneno yanauma lakini ukweli mtupu
@Kittygacha_playz4 күн бұрын
When i told Kenyans i am moving to invest in TZ they laughed. Today who is laughing?
@kinyhendrix9703Күн бұрын
CHANGE STARTS WITH ONESELF ✅
@JamaliMalike5 күн бұрын
Cassypool unani furaisha sana
@eventelias35664 күн бұрын
Huu ni ukweli mchungu Wakenya mnahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu music industry na Sanaa kwa ujumla
@Brunn-mh2bq2 күн бұрын
I say!!! Cassypool is GOAT. Fella knows the truth and speaks it. This is the essence of true patriotism. Kenyans are blinded by old-fashioned jingoism which troubled the world in years past . Being warlike is still relevant to them while others concentrate on improving their lot. This national trait has resulted in the craze for attack24/7. If it's not yours crush it. If it's not of your village, tribe and all these parochial groups crush it. Others have gone past this mental abberation into a thirst for realisation of self and their country through discovery , learning and work. Of course Kenyans cannot see this because as the saying goes a monkey never sees its own ugly behind........
Jamaa ana akili sana. Cassypool you're really bro.
@coachdom2142Күн бұрын
Nitoke ama niendelee 😂😂😂 Chawa wa marais nakutambua😂😂
@kheirtourguide94802 күн бұрын
Unaipata hiyo points 😅 Kenyan Guys
@gabrielgwawu40264 күн бұрын
😂😂😂😂😂 huyu chawa namkubali sana😂😂😂😂😂
@Jay-ZMcovich-n3p4 күн бұрын
jamaa anaongea fact sana😮
@exop-r7zКүн бұрын
Nakubali
@maryannemwangi1684 күн бұрын
Hard Truth Kenyan industry never ever compare the Tanzanian industry those.people Invest a lot
@phelixmulunda765Күн бұрын
Cassypool kwaza wewe ujuwi mambo na music ongelea na mambo na siasa zakenya na tanzania eeee wewe ongelea namambo ya ruto ama tukufukuze uende TZ we ni mwehu sana😂😂
@wamsdr4 күн бұрын
anajua showbiz
@almaxmovies4 күн бұрын
JUX YUPO VIZURI MZEE
@PendoUrassa-xm7ru4 күн бұрын
Alikiba King of bongo flavour
@habarinamichezo64274 күн бұрын
Kwa hyo unataka kumforce au.
@Yakobomalinji-c3m4 күн бұрын
🎉🎉🎉
@Gowith_j4 күн бұрын
Burundi hawana Mall🤣🤣🤣
@HmmHhj-c2d4 күн бұрын
Kulalamiks haikusadii fikiria vile utaimprove sekta ya muziki na usizoee kulaumu 😮
@edwinmeenda91713 күн бұрын
Cassypool upo juu
@starlonejadamskp82244 күн бұрын
SIMBAAA 🦁❤🎉
@rosemuba25324 күн бұрын
😂😂😂😂😂 tell theeeeem😅
@FrankKabuka4 күн бұрын
Kweli nimeamin bien wakenya nimkali kuliko huyo will po
@MohamedMohamed-ry6lt4 күн бұрын
To be honest, fact kabisa
@AlfredMatemu4 күн бұрын
Cassipul anachosema niukweli ila wakenya wanataka kusikia kwamba wanafanya vizuri sisi hapo bongo wasanii walisemwa kipindi kila kitu kenya wakaamka now wako juu
@avon_dido4 күн бұрын
Ukweli mtupu😂😂😂
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
Mtoto wa 2000 hawez elewa, ni kweli kabisa wasanii wote toka tanzania walikuwa wanaenda kenya kufanya video za level ya juu. Ogopa Djs wa no.1 east africa. A.Y, Lady JD FiD Q na baadae Dmond akafuata nyayo kufanya nyayo Ogopa Djs. Bongo alikuwa Adam Juma ndo no.1. Ila leo hii Kenya wako nyuma yetu.
@VJCUEBEEONEКүн бұрын
ruto must go chawa
@dominickchristopher16694 күн бұрын
Chawa kuja bongo uwokote
@AlfredMatemu4 күн бұрын
Kenya wasanii wanachoweza ni siasa mko poa na maandamano
@abu-hasheem64224 күн бұрын
Kenya njaa ni nyingi, huwezi kuwa patriot kama kuna njaa, tafuteni kwanza chakula
@josephmaina-vm1lc4 күн бұрын
Kiburi imeanza na uyu rais mwenyewe na wambunge wenzake 🙆🙆🙆
@damianmcba95255 күн бұрын
G.O.A.T ya village km mbuzi ya kafara 😂😂 huyu casypool ajatulia
@aloycebabene62392 күн бұрын
It's not true that Kenyans do not know that Tanzanian bongo flavour is better than theirs as per now! But Kenyans are used to be leading in the East African States, as Tanzania is indicating to pass, Kenyans do not accept that challenge....
@Adeen.14 күн бұрын
Huyu jamaaa day nilisikia ana mention tz artist wa kitambo nikajua ni mtu anajua anachosema ( ana make research) ila pia leo hajachambua kichawa. Kiukweli kenyan artists walikua juu for almost 2 decades i remember growing up listening to kenyan musics shout out to essir RIP, yahu , nameless, Bamboo, amani, nyota ndogo na wengine wengi tuliwapenda na tunawapenda sana ila hiki kizazi cha sahivi cha artist wa kenya kwanza they're not humble kama kina bamboo na wenzao i guess gen z wapo kila sehemu ila GEN Z wa kenya ni tatizo sana
@Adeen.14 күн бұрын
Preezzle...mombasaaaaa eeeeehhhh nairobiiii
@Am-vo5cu4 күн бұрын
I said this in prophecy form
@ianm82184 күн бұрын
Tanzania is overtaking Kenya in other sectors as well, not just Music
@babugsafari2814 күн бұрын
Uyu jamaa ana ongea point saana Mpaka ana boa
@brianamwai56584 күн бұрын
Kichwa mviringo😂😂😂😂😂
@UNILINKNEXUSINTERNATIONAL5 күн бұрын
mara ya kwanza kuona mja majitolea kutetea haram this passionately na tasbih mkononi...sheikh eti,...innalillahi
@FeruziKojogo4 күн бұрын
Nitakurudiria, unapat iy point nimechek xaaaaan
@AndieliBwala4 күн бұрын
Napendaga vile Cassy hupayuka na kunyamba nyamba maneno Ovyo Ovyo...
@MS.independent89344 күн бұрын
M'kenya mwenye akili ndie atake kuelewa, ila m'kenya mwenye tabia zaa kiwaki hawezi kukuelewa bro
@stevejulo7098Күн бұрын
Mbona hamuongelei Masauti na nimkali kushinda hata Bahati na willy pozze
@kizitomakachia39004 күн бұрын
Wambie ukweli cassypool,ingawa uuma
@judith-ed7kq4 күн бұрын
Wa tz wanafanya tambiko na p Diddy enyewe hatuwezi wafikia😊
@joycemallem74274 күн бұрын
Wewe ulikua pamoja nao😅
@Master_PCreation4 күн бұрын
Kisogo ya Cassypool inafanana na ya Kasongo...alafu ni kama aligongewa uku Kenya...
@Wil_thug4 күн бұрын
Ana kitu casspool atafika mbali
@MorientesEmmanuel4 күн бұрын
Unaonge kweli
@connan99234 күн бұрын
Ukweli sikuzote huwa unauma
@aishaissa25124 күн бұрын
Nikweli kiburi ya wakenya ni hatari diamond hajaoneka lakini wote wamemtukana hadi wamama watu wazima wee😂
@kalukwellajoseph543915 сағат бұрын
Wanajuvunia English language:? That is ignorant; TZ tuna focus on serious issues, kizungu tumewaachia WALEVI.
@oyungeduncan48774 күн бұрын
point blank
@maryannemwangi1684 күн бұрын
unasema ukweli
@maryannemwangi1684 күн бұрын
Ogopa djs was, leading in two thousands
@UNILINKNEXUSINTERNATIONAL5 күн бұрын
Angalia huyu mzee, half baked explanations, half truths... wapi pesa za ministry ya sports...wapi stadia? wacha ujinga, kutetea ruto by blaming wananchi...wakenya ni patriotic...uliza viongozi. toka hapa maen...fala sana
@odhiambovitalice30335 күн бұрын
Hao viongozi walijiweka kwa viti, si nyie wapumbavu ndo mlimchagua huyo Ruto.
@alexkibe4179Күн бұрын
The only guy that talks much na hachomi 😅.
@jayclassic_ke4 күн бұрын
Cassypoly bana 😂😂😂😂😂
@mwarabumbarak43424 күн бұрын
😂😂😂Eti watu watatu
@JaidevSingh-x4w4 күн бұрын
casspol
@Diamondplatinumz94 күн бұрын
Huyo cassypool ni fala alidinywa na mwijaku akashushiwa Kwa kipara ndio maana anasaliti nchi yake...ni sawa tu na hio kesi ya akina mwaipaja ukiielewa hiyo stori umeelewa hii pia
@shedadiabdul6542 күн бұрын
Kaliaeni Hayo sisi hao🤳👉🏃
@loner_wolf4 күн бұрын
MIMI MWENYEWE NIKO BONGO HAPA HAPA NA SIMJUI UYO JUX WENU HATA SIJUI NYIMBO YAKE MOJA ......LKN JINA NASIKIA SANA TU KWENYE SKENDOZ NGOJA NIMGOOGLE NIONE HIYO MICHONGO YA NYWELE ZAKE😅😅😅😅
@abdulrazaqjafary6544 күн бұрын
Kweli wewe ndio unaimbania Kenya
@brianmushi70044 күн бұрын
Bro nikwambie kitu ukitaka wabongo wakuoende usipende kuweka mamb ya siasa kwenye interview zako hususan kumpamba samia suluhu
@acholadaniel4 күн бұрын
Cassypool mwenyewe sio patriotic... Sahi si yeye ni chawa ya Mama Samia Suluhu... Anasifu Diamond nowadays mbaya... Alisha ingizwa kwenye kikapu ya wabongo halafu ana pretend hapa ku advice watu... Apeleke hiyo kichwa yake mviringo huko Dar E Salaam..
@sylviaforest30014 күн бұрын
Ndio maana hakuna kitu kizuri kinafanyika kenya wakenya ndio number moja kuongelelea inchi Yao vibaya baraka mtazipata aje ikiwa Midomo yenu inatoa mambo mbaya kuhusu inchi yenu🤔🤔hutawahi ona media ya Tz inaongelela vibaya inchi Yao