DIAMOND, ALIKIBA NA HARMONIZE HAWAWEZI KUTUPELEKA KIMATAIFA.! | MIMI NI HATER - MASTER JAY

  Рет қаралды 12,570

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер
@shyevents8239
@shyevents8239 22 күн бұрын
kwa abby chams ni kweli uncle J, akipatikana mwekezaji tunaenda International
@joesplatnumz
@joesplatnumz 17 күн бұрын
Huyo mwenyewe master Jay mbona alishindwa kufanya beat na wasani kwenda kimataifa????
@presenterbabjii9838
@presenterbabjii9838 24 күн бұрын
Anajua sana huyu mwamba
@LekyaHassan-pv2ol
@LekyaHassan-pv2ol 18 күн бұрын
ANASEMA UKWELI HAKUNA CHUKI HAPO, WASANII WAUMIE WAONGEZE JITIHADA, TUMECHOKA ALWAYS WA NIGERIA TU.
@youngbona3804
@youngbona3804 18 күн бұрын
Mzee wa facts🔥🔥🔥
@tigermsafi3283
@tigermsafi3283 24 күн бұрын
Noma sana
@ogdosho93
@ogdosho93 23 күн бұрын
Kwanini yeye master j asitafute wasanii wake akawatengenezea sound ya bongo fleva watoboe😅
@dullahabdallah-nu1py
@dullahabdallah-nu1py 23 күн бұрын
Ukweli unauma,angalia show ya diamond juzi hapa
@tinejuxfrancis729
@tinejuxfrancis729 24 күн бұрын
Ni kweli mzee
@joesplatnumz
@joesplatnumz 17 күн бұрын
Boss wenu huyo mondi 😂😂😂😂😂😂😂
@NobelNnko
@NobelNnko 23 күн бұрын
Vin diesel unazingua 😂😂
@ramadhanimgasu8616
@ramadhanimgasu8616 18 күн бұрын
😂😂😂
@chidybwax8080
@chidybwax8080 24 күн бұрын
Really
@EmmanuelMukubwa
@EmmanuelMukubwa 23 күн бұрын
Msema kweli
@MohamedAhmed-ns5mi
@MohamedAhmed-ns5mi 24 күн бұрын
Chuki nyingi huyu mzee
@elishahenry9257
@elishahenry9257 24 күн бұрын
Wew mbona anaongea vyema au ndo uarabu umekuaribu
@SulePonda
@SulePonda 23 күн бұрын
Ujaenda shule
@saidkhadija7557
@saidkhadija7557 23 күн бұрын
ww ndo hujui kitu ,jamaa anaongea kweliii
@JamalAbas-fe5dj
@JamalAbas-fe5dj 21 күн бұрын
Huna akili ww master j star master j wakishua hana njaa huyo chuki ya nini mpuuzi
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 21 күн бұрын
Master anaongea ukweli acheni chuki
@azizahuruma7463
@azizahuruma7463 24 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@jossporahmsw8420
@jossporahmsw8420 23 күн бұрын
Kweli teacher,,,,,,, hata Asake anafanya live,,,
@Tg.7_7
@Tg.7_7 24 күн бұрын
Master bana😂😂😂 Eti mbona hujaleta BSS Rombo😅😅😅
@jossporahmsw8420
@jossporahmsw8420 23 күн бұрын
@daud-z7s
@daud-z7s 23 күн бұрын
Ila mm mwenyew naon kwel sizan kam international tutafika ila Abby Chams akiwekezewa bonge la msanii
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw 24 күн бұрын
Atupeleke yeye
@starfireog8695
@starfireog8695 23 күн бұрын
Uonimziki wazamani
@TimotheoSimtowe
@TimotheoSimtowe 24 күн бұрын
Eti huyo akalime,kwani kilimo si kazi au
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 24 күн бұрын
Anaongea kweli Ido mast are amtengeneze daiomond apate gramie
@rashidingole1588
@rashidingole1588 24 күн бұрын
Kwel kabsa Abigail chams anajua San mzik Zaid ya wasanii weng San hap East Africa tatzo hatumzingatii, pia utimu unachangia kuhalibu mzik
@chizashungu8364
@chizashungu8364 23 күн бұрын
Shah alikuwa anaimba si angempa mbinu za kwenda kimataifa.Apumzike tu haelewi chochote......Siku hizi kila kitu kipo wazi.DIAMOND PLATNUMZ AMESHAENDA KIMATAIFA NA ANAPEPERUSHA BENDERA YA EAST AFRICA.WELL DONE DIAMOND PLATNUMZ STAY BLESSED.
@Indeii_biashara
@Indeii_biashara 20 күн бұрын
shida sio hazingatiwi shida ni wanaomsimamia wanajarbu kumuweka kwa namna ya kutrend bongo kwa kumuimbisha maamapiano na takataka zingne
@LekyaHassan-pv2ol
@LekyaHassan-pv2ol 18 күн бұрын
Sio kweli​@@chizashungu8364
@rashidingole1588
@rashidingole1588 24 күн бұрын
Kimataifa Ni connection
@KaguluZuu
@KaguluZuu 23 күн бұрын
Connection bila pesa😅😅😅
@ISSACKNTACHO-u3y
@ISSACKNTACHO-u3y 19 күн бұрын
Kwan kimataifa niwapi,,labd ni ujinga wangu,,,
@naseemahmed4128
@naseemahmed4128 18 күн бұрын
Bongo hatuna msani international bongo tuna msanii marufu ndio Diamond
@SavamoDayog
@SavamoDayog 23 күн бұрын
Master jay anaongea ukweli Abby charms n mkali sana kwenye live performance huyu huyu dada akapata mtu akaekeza duuuh huyu ni international artist plz mzingatien huyu dada plz plz Tanzania naombeni mm
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 23 күн бұрын
Wakenya ni wapumbavu hawajueleweiiii
@farhiyaareef9518
@farhiyaareef9518 23 күн бұрын
Wasanii mtamchukia Master Jay tu, ila anaongea ukweli mtuuuupuuu, show za wasanii wakibongo sijawah kuzielewa
@evodiusantony2115
@evodiusantony2115 23 күн бұрын
Chuki nying Blackwell jamaanae anajifanya anajua
@SulePonda
@SulePonda 23 күн бұрын
Wabongo hawawez muelewa huyu mzee
@abdulkadirgafla3889
@abdulkadirgafla3889 24 күн бұрын
Kila siku unaongelea jambo moja kua mziki umeutoa mbali tumechoka mzee
@Kiyama-g8f
@Kiyama-g8f 23 күн бұрын
HATER NA SNICHI MKUBWA SANA HUYU DINGI;ATULIE ;UMRI UMEENDA;MUZIKI UNA MAMABO MENGI TU;;;;;;;HUYU NA SALAMA NI MASNICHI SANA HAWA;OVYO SANA
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 24 күн бұрын
Uyu nae n snitch tu
@SulePonda
@SulePonda 23 күн бұрын
Ujaenda shule un euzi elewa
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 23 күн бұрын
Yaani huyu kaka namuona ana wivu tu sababu anamfananisha dai na hao wengine wakati hawalingani. Please Diamond mpe maua what's Kimataifa kwa bongo Dai peke yake anatawala au yupo.mwengine ? Sioni mimi ila Dai. Shout your mouth bro nenda.BSS you are nothing
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 24 күн бұрын
Mbona huyu master jay hakufanya hivi wakati wake ? Mbona hakuwafundinda watu wake wafanye vile anataka? Basi waambie Kwa upole,wafundishe Kwa upendo sio kuja kufokea kama ambavyo unataka wewe aaaaaaah Sauti yako ni Sauti ya hater
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 21 күн бұрын
Anazungumzia perfomance ya diamond CUF. Worst of the worst.playback and yapping on top of it was embarrassing
@OfficialBlanco796
@OfficialBlanco796 23 күн бұрын
Siku zote uyu jamaa anakua anazingua sana kwani una tatizo gan wewe lijitu
@kingradji6324
@kingradji6324 22 күн бұрын
Wanamziki wana understand what you are talking about
@fredychachamkome6829
@fredychachamkome6829 23 күн бұрын
Sasa mnataka kimataifa wapi zaid jaman mtu anafanya collaboration na watu wa mataifa makubwa
@naseemahmed4128
@naseemahmed4128 18 күн бұрын
International unapajua lakini
@chizashungu8364
@chizashungu8364 23 күн бұрын
HUYU JAMAA NAFIKIRI KUNA VITU VINAMSUMBUA KICHWANI.MSIWE MNAPELEKEA AIRTIME ESPECIALLY MEDIA KUBWA KAMA HII.DIAMOND PLATNUMZ ANAPATA STAGE KUBWA KAMA ZA CAF AWARDS MBELE YA WATU WAZITO DUNIANI.HE IS BEEN EVERYWHERE,WIMBO WAKE WA KOMASAVA UMEINGIA BILLBOARD CHART.HUYU MZEE NEEDS TO SHUT IT.
@IbrahimIbla-d4w
@IbrahimIbla-d4w 23 күн бұрын
Acha kutetea ujinga anachoongea master j anaongea fact sas mzung hatakaa asikiliz komasav nyimbo ya salamu ile ndio maan diamond alikosa grammy kwa nyimbo za kusalimia
@rutihindakiuyajibu2918
@rutihindakiuyajibu2918 23 күн бұрын
Labda macho yangu yanaonaga vibaya. Ila hata Burna boy na Davido huwa wana perform kwa kutumia DJ na sio live kama anavyosema huyu Kimario
@steveouko7537
@steveouko7537 24 күн бұрын
Huyu kumbaff ako na chuki na wivu.hawezi fikia diamond. Diamond amemufunika mara 100.wata kama hawa wanafaa kutupwa chooni wakizaliwa.mamake apewe ngotoo
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 23 күн бұрын
Kwani huyu ni msanii ashindane na diamond
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 24 күн бұрын
Sisi hatutaki ivyo sasa Sisi tunataka playback 😂😂😂😂😂😂
@blobotv
@blobotv 24 күн бұрын
Wewe utakuwa una kaswende sio bure
@SulePonda
@SulePonda 23 күн бұрын
Una ukimwi
@MohamedAhmed-ns5mi
@MohamedAhmed-ns5mi 24 күн бұрын
Mbomo utapoza huyu mzee
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 24 күн бұрын
Sawa ila mdomo wako uendane na pesa😊. Huyu anajua pilau ni chakula cha kawaida angali wengi tulijua ni cha sherehe tuu😢😂😂😂
@awadhyusuph5717
@awadhyusuph5717 24 күн бұрын
sio mbomo ni mdomo
@RasTempaKalennjiki2024
@RasTempaKalennjiki2024 6 күн бұрын
Mzee hebu rudi kazini, Umeacha kutengeneza mziki umeachia watoto wadogo , tunawalipa pesa nyingi ila Wana copy beat za watu, ma producer watu wazima tz wapowapi, Sasahivi Wanatuharibia kazi hawa watoto
@evodiusantony2115
@evodiusantony2115 23 күн бұрын
Chuki nying Blackwell jamaanae anajifanya anajua
@bashirusalehenandoro3128
@bashirusalehenandoro3128 17 күн бұрын
Anajifanya anajua!!!?😂😂 Unataka kumfananisha nan?!
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
"KWA BAKORA NINAZO WACHAPA LAZIMA WENIPE HESHIMA YANGU " DULLY
25:16
ALIKIBA AMJIBU MBOSSO KWENDA WCB, WANATUMWA KUNITUKANA, SIJAZEEKA
5:43
SIO BEGI LANGU
10:25
Joti TV
Рет қаралды 215 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.