EXCLUSIVE: ALLY KAMWE! AFUNGUKA UKWELI KUHUSU MANARA/ HIZI HAPA SABABU ZA KUSHINDA DERBY!

  Рет қаралды 10,752

PMTV TANZANIA

PMTV TANZANIA

Күн бұрын

BETI NA PMBET UJISHINDIE TOYOTA HARRIER, NISSAN X-TRAIL NA IST KUPITIA LINK HII
👉 pmbet.co.tz/en...
USISAHAU KU-SUBSCRIBE KZbin CHANNEL YETU KWA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU.
INSTAGRAM @pmtvtz
TIKTOK @officialpmtv
TOVUTI: www.pmtv.co.tz

Пікірлер: 54
@piusjuma7384
@piusjuma7384 Сағат бұрын
Yaani wew kamwe....hauna maana ila kumbuka hiko ni kbarua tu...hauwez kumfikia manara
@GeorgeMponda-ri7fc
@GeorgeMponda-ri7fc 6 сағат бұрын
Dah huy jamaa hakubatisha kuw semaj wa yanga maan ni semaj leny point na lip team kubwaaa pia
@kapanikapani5280
@kapanikapani5280 4 сағат бұрын
Manara the best tz
@trissbeats9793
@trissbeats9793 6 сағат бұрын
Yanga bingwa
@OmaryHeri-c3h
@OmaryHeri-c3h 40 минут бұрын
We kamwe mtu mbaya sana wala sikuwa najua leo ndio nimejua
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Сағат бұрын
Jeryy Muro hasemwi lakini ndio kiboko ya wasaji wote kwenye football ya hii nchi na baada ya kufungiwa na soccer la nchi ndipo akachukua hatam Haji akapaaaa na jerry akasahaulika mpaka mnapouliza nani ni favourate. Jerry Muro ni kiboko yao.
@davidfrank1644
@davidfrank1644 5 сағат бұрын
Mtangazaj mweny kikot cheusi cha suti ❤❤❤
@HoshiKirago
@HoshiKirago 5 сағат бұрын
Achamambohayo manara aicon kubwasana tz
@LilianBitwale
@LilianBitwale 3 сағат бұрын
Hapo kwenye ushangiliaji kwakweli tunazingua sana
@PriscerPaul
@PriscerPaul 8 сағат бұрын
Ally ajaribu kuwa makini
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Сағат бұрын
Huyo mwandishi yukouchi tu mambo ya hovyo
@marcobulili4341
@marcobulili4341 5 сағат бұрын
Gamond kasababisha kocha 3 simba kufukuzwa! Lazima wanayanga wamlinde kwa hali na mali
@BongoHots-v5t
@BongoHots-v5t 9 сағат бұрын
Hii imekaa kiburudani zaidi😅
@HoshiKirago
@HoshiKirago 5 сағат бұрын
Nduguyangu kamwe ss pia niyanga tupo sa lakini mwanetu unazingua kakusea nn manara
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 3 сағат бұрын
kama ungekua na d 2 ungeshamuelewa ndugu yangu mtego uo
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 2 сағат бұрын
Ally Kamwe malizeni tofsuti zenu ww na Haji maisha ni mafupi haya ndugu yangu
@asmaramadhani8592
@asmaramadhani8592 Сағат бұрын
We nawe kwani umeambiwa wanatofauti
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 3 сағат бұрын
Mpeni kazi Machumu ya wimbo wa Yanga. Mpeni pesa na usaidizi wote mwone kazi. Kijana anajua sana.
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 4 сағат бұрын
Huyu wa koti jeusi jamani maswali yake ya mitego mitego tu!! Ni mgombanishi usipokuwa makini ally atakugonbanisha na watu.
@ManenoPapalu-ku3vl
@ManenoPapalu-ku3vl 5 сағат бұрын
Mbona kama huyu jamaa lichawi hivi maana kila kitu kinatokea
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza 5 сағат бұрын
Huyo ndimbo unayemsifu utakujamjua mbeleni yaani ngoja
@mussamtupa
@mussamtupa 5 сағат бұрын
DAH! ALLY KAMWE UNA CHUKI BINAFSI NA MANARA YAAN KWA TANZANIA HUWEZI KUTAJA WASEMAJI WALIO HITI UKAMWACHA MANARA. HATA KAMA UMPENDI HAKIYAKE APEWE MPIRA WA TZ UMEJAA FITNA SANA 😢😢😢
@issahpaul4510
@issahpaul4510 4 сағат бұрын
Ila wabongo bana ku comment tu kuelewa mada ahaaaa 😂
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 3 сағат бұрын
mm nina d 2 nimemuelewa sana ali kamwe uo mtego ndugu
@OmaryHeri-c3h
@OmaryHeri-c3h 54 минут бұрын
Mi napopishana na wewe ni kumchukia manara
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 5 сағат бұрын
Kamwe wakatae hao wagombanishi wasikuingize kwe mitego ya unafiki.
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 4 сағат бұрын
Semaji km semaji la mabingwa
@mussakingazi8875
@mussakingazi8875 5 сағат бұрын
Ahmed Ally ni Mwananchi lialia
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 3 сағат бұрын
nikweli kabisa kule kafata pesa
@IssaAthmani
@IssaAthmani 3 сағат бұрын
shida ichokijamaa kinaroombaya sana
@FrankMahuna-xb7lt
@FrankMahuna-xb7lt 57 минут бұрын
Kwan wew unatakaje
@FrankMahuna-xb7lt
@FrankMahuna-xb7lt 56 минут бұрын
Kila mtu hutaki anaempenda ndo maana hata katika mpra tuna yanga na Simba
@mariakalonga2312
@mariakalonga2312 9 сағат бұрын
Kwahiyo Haji ni mfanyakazi mwenzio
@MariaMsuku
@MariaMsuku 7 сағат бұрын
Hii italeta maneno cjui kma manara atakubali kunyamaza
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch 4 сағат бұрын
Ally kamwe unaakili za kichawi wewe huupendi manala kisa nini umeacha watu wengine hatupendi tena kuwasikiliza wasemaji umemtoa manala hadi wanayanga wengine tumechoka sasa
@asmaramadhani8592
@asmaramadhani8592 3 сағат бұрын
Ww ndo unaakili za kichawi kipi kibaya alichozungumza kuhusu Manara mpaka povu linakutoka ww kama umpendi Ally sio lazima umfatilie mfatilie unayependa ww acha chuki za kijinga
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 2 сағат бұрын
Sikiza mapka mwisho usisome tu ukaanza comment
@JohnErenest-f9h
@JohnErenest-f9h 2 сағат бұрын
Jammaa alikamwe kaletwa na engenia yanga sio kajileta yanga
@shabankittenge2197
@shabankittenge2197 40 минут бұрын
Kichwa chako kibov
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 минут бұрын
Amina ​@@asmaramadhani8592
@jumakapesa2940
@jumakapesa2940 3 сағат бұрын
Mengine yote sawa ila sentensi ya Manara sijapenda kabisa. Lugha iliyotumika si ya kistaarabu. Chunga sana dogo Manara ni kitu kingine.
@asmaramadhani8592
@asmaramadhani8592 3 сағат бұрын
Kipi kibaya alichozungumza kuhusu Manara mbona mnapenda kukuza mambo
@FrankMahuna-xb7lt
@FrankMahuna-xb7lt 53 минут бұрын
Mkubal weww yeye hampend hata Mimi simpend manara ni matus tu Hana usemaje Kwa kipindi kama hiki
@Umearhassan-x4t
@Umearhassan-x4t 4 сағат бұрын
Pumbavu zenu
@RebeccaAndrew-dd4kj
@RebeccaAndrew-dd4kj 4 сағат бұрын
Ali kamwe anachuki za wazi na haji manara
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 3 сағат бұрын
sisi wenye D 2 2meshamuelewa ali kamwe analenga nin , yanga bingwa tena
@asmaramadhani8592
@asmaramadhani8592 3 сағат бұрын
Kamfanyia nn mpaka useme anachuki nae
@SEICJIPEMOYOCHOIRMASUMBWE
@SEICJIPEMOYOCHOIRMASUMBWE 9 сағат бұрын
Alikamwe ni jembe sana!
@IssaAthmani
@IssaAthmani 3 сағат бұрын
ilahaji atabakikuwajuutu acharoombaya wewe
@Umearhassan-x4t
@Umearhassan-x4t 4 сағат бұрын
Wote wajinga wajinga tu
@HoshiKirago
@HoshiKirago 5 сағат бұрын
Achamambohayo manara aicon kubwasana tz
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 5 сағат бұрын
Mmmmmh!
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 5 сағат бұрын
SS kamwe hapo amekosea Nini?????
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 5 сағат бұрын
Aicon hukohuko kwa makolo wenzie
Professor Jay feat Alikiba - CALLING (Official Music Video)
4:26
ProfessorJay
Рет қаралды 86 М.
Katt Williams Unleashed | CLUB SHAY SHAY
2:46:05
Club Shay Shay
Рет қаралды 80 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 18 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 8 МЛН
Ex-Premier League Star Shares His Story | Michael Ball Inside The Game Ep 8
2:27:16
More Than A Game ⚽️
Рет қаралды 61 М.
3+ Hours Of Facts About Our Galaxy To Fall Asleep To
3:17:49
Spark
Рет қаралды 32 МЛН
How to Get a Developer Job - Even in This Economy [Full Course]
3:59:46
freeCodeCamp.org
Рет қаралды 2,8 МЛН
TUNDU LISSU AFUNGUKA MAZITO AKIFANYA MAHOJIANO NA DW
9:09
Chadema Media TV
Рет қаралды 17 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 18 МЛН