🚨Uchambuzi EFM, Wachezaji Yanga wapewa ujumbe mzito na Viongozi kuelekea derby,Alikamwe Afunguka.

  Рет қаралды 4,256

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

#alikamwe #yangasc #ahmedally #football #simbatanzania #yangatv #simba #simbaislive #yangafc #youtube

Пікірлер: 21
@saidsoudamiri4054
@saidsoudamiri4054 6 сағат бұрын
Barcelona alidominate el-clasico 2008-2011. Madrid alishinda mechi 1 katika mechi 9 na bado el-clasico ilikuwa ni mechi kubwa
@halidijuma1884
@halidijuma1884 4 сағат бұрын
Good job ALLY
@GodwiniFwelo
@GodwiniFwelo 12 сағат бұрын
Wilison ndio maana mashavu yamekuvimba mbwa wewe. Unasemaje jambo la hovyo wakati we inaonekana ata vyeti umegushi mbwa. Au ulitaka asemeje. Kugombanisha watu tuu kuchambua aaah. Wilson mjinga sana
@jacobjames8706
@jacobjames8706 12 сағат бұрын
Ally kamwe yupo sawa
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 13 сағат бұрын
Willison na hizo so ndiyo zako unataka Ally afanane na wewe Kwa mtazamo? Uzwazwa huo!! Wachezaji wa Yanga wanamuelewa zaidi afisa habari wao, nini anaamanisha kuliko wewe unavyotaka!!!
@musamshema7838
@musamshema7838 10 сағат бұрын
Kwani nyinyi mnalazimisha kilamtu awe naakili yenu ya nyumbu ?
@ShaffHumba
@ShaffHumba 10 сағат бұрын
Willison sio mchambuzi Bora afanye kazi zngin
@robertmatabalo5454
@robertmatabalo5454 13 сағат бұрын
Uruma sijui nani huyo asilazimishe kubadili ukweli wa Kamwe kuwa lengo ni pont 3. Hayo mengine ni yenu
@MauBonde
@MauBonde 5 сағат бұрын
Nyie wachambuzi mnataka sasa yanga tuwahurumie simba kisa derby kupoteza mvuto ,wajikaze na na wajipange na wachezaji wenye ubora.
@kolosii4351
@kolosii4351 13 сағат бұрын
Nyie mnajaribu kumwekea kamwe mawazo yenu. Ally yupo sawa.
@JohnLyakurwa-v8y
@JohnLyakurwa-v8y 9 сағат бұрын
Ally kamwe ni master mind wa propaganda bomu linapikwa. Eng Hersi said ni master mind
@shukukamanda7972
@shukukamanda7972 Сағат бұрын
Hahahaha oruma hamnazo kabx..cjui darasan alifauruje ?? Asante kwa kumuelewexha
@ephronmsuva
@ephronmsuva 13 сағат бұрын
Siku hizi tumegundua ukiona Simba anacheza na Azam, unampa Simba unatia mzigo fullstop
@ephronmsuva
@ephronmsuva 13 сағат бұрын
Ally alikuwa sahihi kabisaa maana hakuna usumbufu ambao Simba anaupata akicheza na Azam? Hiyo ni sawa na kiluvya tu hakuna lolote
@vincentshekibula6670
@vincentshekibula6670 10 сағат бұрын
Nyie hembu oneni aibuu... hizo tafsiri zenu za upotoshaji mziacheee😮
@musamusa6213
@musamusa6213 8 сағат бұрын
Wachambuzi wa mchongo mlitaka ali kamwe aseme simba inapigwa saba ili😂mje mpate kwa kusemea kawatowa mna bwabwaja 😂😂
@dalmasokoth4190
@dalmasokoth4190 10 сағат бұрын
Kuna mechi msemaji wa simba alitoa kauli ya kukatisha tamaa mashabiki na alinukuliwa akisema " shabiki mwenye roho ngumu ndio aje uwanjani" mlikemea? Nyie mnaojifanya mawatch dogs leo mliongea nini?! Yaani nyie hamjui mnalolisema bali mnaendeshwa na ushabiki wenu!
@rizmarkabraham3921
@rizmarkabraham3921 8 сағат бұрын
Sasa oruma ulitaka usikie msemaji akiwaambia mashabiki na wapenzi wa Yanga pamoja na wachezaji kuwa tunaenda kufungwa? Kwa hiyo oruma kariakoo dab inatofauti na mech nyingine kwa kuwa inapoint tofauti na nyingine acha kuwa mtu usiyeweza kutafakari
@allydaud612
@allydaud612 13 сағат бұрын
Nyie wachambuzi wote ni kuku maji dabi inaamuliwa na timu iliyojiandaa vizuri haijalishi wamefungwa mara ngapi mfululizo
@allykiduli2156
@allykiduli2156 13 сағат бұрын
Wanaoharibu derby Ni marefa na nyie wachambua tembele
@dalmasokoth4190
@dalmasokoth4190 10 сағат бұрын
Unaposema mawazo ya mwenzio ni ya hovyo je umefanya tathmini kuwa mawazo yako wewe ni bora?! Acha mawazo mgando wewe Oruma.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 34 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 93 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 28 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 34 МЛН