Nguvu ya uma hongeren sana wtz na vyombo vya habar
@p.kasongot9792 ай бұрын
Jamani Jamani 😢😢😢😢😢😢 R.I.P MTOTO MZURI ❤❤😭😭😭💔💔
@Aishatheboss1172 ай бұрын
Sawa sawa kabisa akamatwe kabisa maana atajione yeye mshindi🙏🙏🙏🙏
@chusseboywcb28082 ай бұрын
Mtaumbuka tu sasa watu wameanza kuerimika mambo ya kufumbafumba yatakuisha tu pia nawashukulu wandishi wa habali ❤❤❤❤kwa kufichua uozo wa selekali
@GeorgeAkasha-zx2rj2 ай бұрын
Huoni huko ndo rahisi hii kesi huyo Afande mtuhumiwa kushinda? Mfano DPP akisema Hana Nia na kuendelea na uchunguzi je?
@ericmufasa2 ай бұрын
Na wewe elimika acha kajifunze tofauti ya L na R
@chusseboywcb28082 ай бұрын
@@ericmufasa 🤣🤣 ulivyo jua lr maisha yakoje kwako mazuri au
@MonadiNadi-j6s2 ай бұрын
Ndio maaana Lile limama alikuwa anamtetea😂😂duh walitaka kulindana.mungu sio mjomba wao
@yasminoluoch1692 ай бұрын
Sky waendekeaje..Allah azidi kukupa shifaa msalimie sana bby sky
@josephatSwai2 ай бұрын
Asante sanaa
@abdulkarimabdallah95362 ай бұрын
Lisura libaya Kama moyo wake mchafu fisi huyu
@majidkhalfan2 ай бұрын
Suraa mbayaaa
@subrynerysegerow13232 ай бұрын
Vibaya mno😂
@SummymaddyMaddy2 ай бұрын
Jitu Zima ovyoo kwenda kumuharibia maisha yake yle Binti mdogo
@tatutatu15702 ай бұрын
Kaz mzuri
@mbuyaelyaoni62662 ай бұрын
Duh
@subrynerysegerow13232 ай бұрын
Yan wanaume mnatuogopesha jamani kama ndo mnatuua hivyo dah Tanzania hiyo amani iko wapi na ulinzi uko wapi?? na hawa waganga kumamake wafe wote na mijitu mijinga inaenda kuua watu kisa mganga kasema ili niwe tajiri maisha yenyewe mafupi haya mnahadaika bure na dunia hii vyote mtaviacha hivyo
@ilynpayne74912 ай бұрын
Mbona askar mwenyewe ana shepu kama chupa ya chai😂
@roman22702 ай бұрын
Hili life kila hatua dua.
@foka2552 ай бұрын
Umeona Eeeh
@jisrainomwa40152 ай бұрын
Aya Sasa mh
@amdanihamada20172 ай бұрын
Madhara ya kutembea na waume za watu
@ibrahimkasim9222 ай бұрын
Kazi nzuri jeshi la polisi pia poleni wafiwa Ila mnajitahd kuwaminya vizuri watuhumiwa but endelezeni juhudi Zaid ili kuweza kuokoa maish ya wanachi kabla kupelekea kifo Kama huyo dada WA dar wamepripot mapema ila Hali ya 24 hrs inawezekan mngeokoa Hongera msemaji❤
@safiaothman51752 ай бұрын
Kwani dada wa Yombo amefariki?
@sonnyr18992 ай бұрын
Sky hili stori ikimalizika ifanyie 360’ documentary
@mr.yahzadochuno79142 ай бұрын
Sasa nimeanza kuwapenda tanzania 🇹🇿 police
@MsAggie52 ай бұрын
Wafute leseni za uganga. Uganga ni uchawi kwa nini tunauendekeza? Kama hatumuamini Mungu?
@overplantv212 ай бұрын
Safi saana sns good news watejaji ni wengi mno siku hizi
@aishabakari80402 ай бұрын
😢😢😢😢😢 lailaha ila Allah
@MwazoaMwazoa2 ай бұрын
Kama Anamiliki magenge ya wahalifu ndani na nje ya jeshi.Basi ni mtu hatari mno
@PeterMahona-zd3ozАй бұрын
afisana inatakiwa kufanya kazi tunachotaka masikali mfanye kazi nzuli.kamahivyo ndipo tutaelewana viluli sana mjitahidi nawakina soka waludi sawa pongezi kwenu
@emmanuelmasatu2 ай бұрын
Hiii Tanzania hii. Yaani mtu huja mkosea lolote lakini anakufanyia unyama kama huu bila kujali lolote. MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE.
@seltricking262 ай бұрын
Kumbe sasa TZ 🇹🇿 is not safe
@Tee_love2 ай бұрын
It's safe . If it couldn't be safe the people who committed the crime case could be rooming free , committing other crimes . Please do pray for the safety of the world 🙏
@seltricking262 ай бұрын
@@Tee_love kidnapping people like that shouldn’t even happen, just in one month I think so two people got kidnapped and those are the ones you see on the news…
@Tee_love2 ай бұрын
@@seltricking26 every country has its challenges you can't prevent what people are doing . We should all be thank ful at least they are giving us good new they are been captured . Imagine this look at Israel and Pakistan bombs every where people are running screaming for there safety if Tanzania could be like that do u think people could live . Instead of complaining we should at least be grateful that God . We still have a place to eat and stay despite all the crimes people committed, and pray that the government continues in trying to keep the country in order
@mwanas22 ай бұрын
Mmmhh hawa waganga wanatuchanganya sana jmni Mungu atuondoshee imani mbovu.sasa utajiri na sehemu za siri inahusu nini kumuua mtu khaaaaa jmni dunia hii🙌
@JofreyMsigwa-ok7hv2 ай бұрын
Ni hatari
@mancholotrasco83502 ай бұрын
Aende jera maisha kenge huyo nae aone uchungu wanaopitia waliowafunga jera bila hatia mbwa kenge huyo
@aaa64sa132 ай бұрын
Inalillahi waina ilayhi rajioun
@Sidrasidra6362 ай бұрын
Kwanini hawa kukata sehem zao za siri ndo wampelekee huyo mganga tz siku hizi kuna matukio yana tisha haki
@EdwinJohn-vo8uf2 ай бұрын
Yani huyu mama kwanza apewe azabu apewe azabu ya kupigwa viboko akiwa yupo uchi wa mbuzi 😢😢😢😢😢😢😢
@abdulkarimabdallah95362 ай бұрын
Tena iwe bora yambuz mana ana manyoa
@rithadonatus81102 ай бұрын
Anasura mbaya kumaamakeee roho kwa staili hiyo razima mumeo achepuke sura mbovu hivyoooo
@wadantz1232 ай бұрын
Mumewe alishakufa yule mchepuko tena afisa uhamiaji
@gloriadaniel38272 ай бұрын
Du watu mnajua mambo mengi.
@mwanas22 ай бұрын
😅😅😅
@doreenmsafari29452 ай бұрын
😂😂😂 jamani 🤣🤣🤣🙌
@issazalala49072 ай бұрын
Nilipo maliza secondary nikataka ingia police lakini mama yangu Ali nigomea hakutaka kusikia neno police daaah
@mariej69622 ай бұрын
Nilijua tu atakuwa anafanya kazi Dodoma, ndo maana yule RPC alileta yale maelezo yenye utata kuhusu victim wa tukio. It makes all sense now.
@Fatima1234-wl1nu2 ай бұрын
Jamani hili si lishangazi kabisa hata ana aibu nae hapakuliwe kisamvu 😏
@mariusmashelle45282 ай бұрын
Agosti 2024 💔😢🙌
@temuramadhani51342 ай бұрын
Kumbe nae mchepuko
@ndukulusudikucho_2 ай бұрын
Wanaizungusha zungusha tu wanajua baada ya miezi sita tu Wananchi wanasahau linazuka lingine, yote yanafanyika kuwahadaa Wananchi, Huyo Kamishna Fatma itakuwa sio mara yake ya kwanza maana ingekuwa mara yake ya kwanza Mungu angemsitiri, Afande ana Jina Zuri la mtoto wa Mtume lakini matendo yake hata ibilisi anaogopa, wafanye wafanyavyo Ila Kwa dhulma hizi sisi tutakuwa na kibaru , Hawa jamaa hufanya maunyama mazito Kwa Siri, Askari anaweza hata akuwekee bunduki ya mchongo ili uonekane Jambazi, wengi wao Mungu amewapiga muhuri na kuwa sahaukisha viapo ili akawachome vizuri, na hii sio Tanzania tu Dunia nzima yaani kazi yao kama Ina laana wanajiona Ni miungu watu, hata mataifa yalio endelea hasa Marekani Polisi Ni Wanyama saana wachache ndio huwa na hofu ya Mungu, ikifikia level ya Kamishna huwa wanalindana saana , yaani tukio hilo lingefanyika na askari mwenye cheo kidogo zamana washamtoa sadaka
@GeorgeAkasha-zx2rj2 ай бұрын
Mkuu Marekani na nchi za ulaya zote polisi wanafanya kazi vyema vyema na vyema sana, wenzetu Wana tume za kuchunguza matendo ya polisi kila mwaka na inakuwa inashirikisha wawakilishi wa wanachi,wanasheria na wawakilishi wa wafanyakazi.Wenzetu wamestaarabika sana ila huku Afrika hususani nchi zenye Mifumo ya kijamaa ambapo watu wachache hupewa nguvu ya kuamua hatima na hitima ya mtu au nchi ndo Kuna shida.Vyombo vya usalama vipp radhi vifanye Mambo maovu au mabaya kwa faida ya hao watu wachache, all in all sitoshangaa hii kesi kuzimwa maana kwenda kwa DPP sio kana kwamba ndo Kuna nguvu la hasha mfano DPP akisema Hana Nia ya kuendelea na kesi je?, mfano Kama zile tuhuma zilizokuwa zinamkabili mheshimiwa Fulani hivi waziri aliyetumbuliwa?.Tukio la mkuu wa Mkoa anayetuhumiwa kulawiti je linasikika?, hayo ni baadhi ya matukio makubwa ambayo yamezimwa zimwa tu kiaina au yatazimwa kiaina.Ujamaa ni mzuri sana kwenye kuishi social life ila ni hatari sana kwenye kuendesha Mifumo na sheria za nchi.
@wadantz1232 ай бұрын
We kigondo weee 😂😂😂zamu yako yaja na ww
@twaibumikidadi73772 ай бұрын
Ulünzi wa ndan Tz Hatusikii matıkıo ya watu kupotea nchi za wenzetu na wakat populatıon n kubwa kuluko Tz , Jesh letu badoo sana mafunzo ya Zıada are needed
@JofreyMsigwa-ok7hv2 ай бұрын
Afande umenyooka vzuri na taarfa yako tunashukulu hawo wahukumiwe mapema sana naogopa tena kusikia watu wanazikwa wakiwa hai inaumiza mno
@summanelson55232 ай бұрын
Polisi ilikuwa wapi? Mpaka Kisabo afungue kesi!
@salumjawadu15202 ай бұрын
Asee Dunia imebadrika hiii, Yan unauwa mtu kma kuku Jmn
@paulojohn-bh2vz2 ай бұрын
Na kama ni huyo jmn mbn kama yule binty ni mjukuu wake kabisa ss Kwa umri huo jmn wivu wa nn duh
@EdwinJambo2 ай бұрын
SNS naomba munijuze endapo nina taarifa ama ninajua tukio lolote la kiharifu kabla ya vyombo vya usalama kujua ila kwa sababu za kimakusudi sikutoa taarifa kwa vyombo husika je endapo vyombo vya usalama vikanibaini kuwa sikuwapa taarifa kuna kifungu chochote cha sheria kitakacho nihukumu. ?
@kabhikachambala33922 ай бұрын
Afisa wa Polisi
@welcometoeat1652 ай бұрын
Mtihan nae aende jela akalawitiwe apate kunya kama bata 😢😢😢😢mpuuz mmoja
@rithadonatus81102 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@wadantz1232 ай бұрын
😂😂😂😂😂khaa ww
@abdulkarimabdallah95362 ай бұрын
.
@ndorobo2052 ай бұрын
Patamu
@hipolitenestar92072 ай бұрын
Kimya kingi kinamshindo mkubwa, ifahamile tu bosi wa watumishi wote wa selekali ni wanannchi hakuna zaidi ya hapo, wengine wote ni watumishi wa wanannchi... Kwahiyo kila anaekalia ofisi za uma aelewe kua mwanannchi hata mmoja akipotea au kupoteza uhai kiholela jambo hilo lazima selekali ilitolee ufafanuzi wa uhakika na kwawakati, hayo ni maoni huru kama mtanzania , kazi iendelee
@KhalfanSalim-v1x2 ай бұрын
Tanzania sasa hivi imeisha amani kabisa serikal ingefanya anae uwa nayeye auwawe anae baka au kutuma watu wabake mtu mwingine adhabu yake jela miaka 30 ndo nich ingetulia
@stanleynombwe48652 ай бұрын
Kumanina demokrasia ungekuwa nchi za kiarabu wangekuwa wamesha katwa vichwa kenge hao
@mariej69622 ай бұрын
Hii nchi tunahitaji maombi ya jumla. Tufunge na kuomba kwa muda wa siku kadhaa kutuliza hii hali.
@GeorgeAkasha-zx2rj2 ай бұрын
Haki haihitaji Maombi aisee.Ukitegemea Maombi yaje yakupe haki yako utasubiri mpaka kaburini aisee.Iga mfano wa nchi za watu ambao hudai haki zao, na je hudai kwa maombi au hudai kwa namna gani(jibu unalo).
@hassankongolilo84082 ай бұрын
Washatakiwa webgine wooote wamekiri kasoro Afisa polisi ndo hajakiri kama kausika au laa. Mbona maelezo yake hatujayaelewa
@subiramwaka97922 ай бұрын
Sasa inaanza kuleta mwanga tunalifwatilia tupo sambamba kabisa.