Polisi Waonesha Umahiri Wao wa Kupiga Karate. Waonesha Mazoezi Magumu, Mazito.

  Рет қаралды 9,134

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Maonesho haya yamefanyika katika hafla ya kufunga mafunzo ya awali ya Askari wapya kozi namba 1 2023/24, huko Moshi, Kilimanjaro.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 35
@JerryChriss-op2io
@JerryChriss-op2io 2 күн бұрын
Wapo vizur
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 6 күн бұрын
Safi Sana
@barnaba3037
@barnaba3037 5 күн бұрын
Polisi wa kenya wako mbali sana
@stn4873
@stn4873 6 күн бұрын
TIGER WEWE ULITAKIWA UWE COMMANDO SEMA TU UMEINGIA UPOLISINI.
@EdwinJambo
@EdwinJambo 5 күн бұрын
Hata ivyo polisi nao wana kikosi maalum cha kupambana na uharifu mkubwa wa kutumia silaha na ugaidi kiitwacho CRT anaweza kwenda huko
@FintanFelix-z6c
@FintanFelix-z6c 5 күн бұрын
Vya Africa ni vya Africa
@Pascaltz
@Pascaltz 5 күн бұрын
Hahahahahah
@suleymanimixkatafighter2669
@suleymanimixkatafighter2669 5 күн бұрын
hamna kitu humu wamekomaa tu hawana stamina na stensi na skills za mapigano hawana
@mteulemnyama7858
@mteulemnyama7858 4 күн бұрын
Kumbe wewe ni hamnazo et
@MymunaUlaya
@MymunaUlaya 3 күн бұрын
Nenda live ukapime usipime kwa kuchat Pima live ndio utajua skills au stense
@edyboyChamilion
@edyboyChamilion 5 күн бұрын
Haya bwana mm kabla hujanifikia nishakupiga na sufuria ya kichwa😂😂
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 3 күн бұрын
Amna kitu apo wakikushika wanakufunga pingu alafu wanaanza kukutandika wasitufunge pingu waone mtaani tuko vipi
@MymunaUlaya
@MymunaUlaya 3 күн бұрын
Hao kwenye kuendeleza kata wakat kat hawapo vzr kstamina wanatoka kwenye stence wambele na wapembeni wako sawa
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 5 күн бұрын
Si chochote kama raia hawana imani na ninyi
@dida_official
@dida_official 2 күн бұрын
hiyo sio karate
@mbwitelamus6121
@mbwitelamus6121 3 күн бұрын
Waende wakafanye mazoezi zaidi wengi ukiwaangalia bado hawajaiva
@MichaelShigela
@MichaelShigela 4 күн бұрын
Maninaaa Bado hujanishauriiii😂😂😂😂😂
@mollelyally5213
@mollelyally5213 3 күн бұрын
OSs
@HamdanAmli
@HamdanAmli 6 күн бұрын
Oss
@FintanFelix-z6c
@FintanFelix-z6c 5 күн бұрын
Vya kishamba Sana
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 3 күн бұрын
Ayo mambo muonesheni uyo mama yenu Samia mnaemlinda sio sisi sisi tuko Sawa kuliko ibwa nyinyi
@mbwitelamus6121
@mbwitelamus6121 3 күн бұрын
Miguu inatetemeka tu
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 5 күн бұрын
Awa ndo walinzi wa raia😅❤
@suleymanimixkatafighter2669
@suleymanimixkatafighter2669 5 күн бұрын
humu hamna kitu kabisaaa hawa washika bunduki wakiwa hawana silaha sifuri kabisa .watafute walimu wa karate humo hamna kitu kukumaa sio karate week point kibao hawazijui hahahahaaa waache wavimbishe vifua mtaani unapigwa kma ngoma
@PascalMwita-bv8kr
@PascalMwita-bv8kr 6 күн бұрын
upuuzi hao tunachapa fimbo bongo siami kwakweli mazingaombwe kambini🤣🤣🤣🤣🤣
@HussainMaula-l1s
@HussainMaula-l1s 5 күн бұрын
Hawa washawiva serikali wapelekeni sudani au Ukraine😂😂😂😂😂😂😂😂
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 5 күн бұрын
kama umefanya KARATE Hapa hakuna kitu! ni stageshow tu
@MichaelShigela
@MichaelShigela 4 күн бұрын
Stage show bila hisia hakuna kituu mzee appreciate hata Kama ni kidogo na Kama unaona hakuna kituu hebu lalia misumari utume video tuone😂😂
@GamDuel-vr4hp
@GamDuel-vr4hp 6 күн бұрын
Mnichukue na mimi 😑
@WAASINASTYCRAZY
@WAASINASTYCRAZY 5 күн бұрын
Wewe utachukuliwa na sisi, Waasi Nasty Crazy Uanze kupiga michano yakutetea jamii, Achana na hao polisi wanaishindwa kuwajengea binaadam vyooo tangia kipindi cha ukoloni, Usiingie huko jeshi halina utu wala vyanzo vizuri vya upelelezi mayokeo vijana wakikamatwa na bange wakifika polisi wanaongezewa kesi zisizo na wenyewe.
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 6 күн бұрын
Hamna kitu kwakweli
@victormoras2554
@victormoras2554 6 күн бұрын
Wewe unacho kitu
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 5 күн бұрын
Mmmmh upuuuzi
@MohadiTv
@MohadiTv 6 күн бұрын
Apo mana kitu ata mimi naweza
@BrunoRufulenge
@BrunoRufulenge 6 күн бұрын
Jeshi lapolis limebadilika sana
How Strong is Tin Foil? 💪
00:25
Brianna
Рет қаралды 42 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 29 МЛН
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 44 МЛН
The Day Ronaldinho Became a Brazilian Legend
12:50
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 3 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:25
Brianna
Рет қаралды 42 МЛН