Undani Kuhusu Shambulio Kwenye Kiwanda cha Jeshi Nchini Uturuki, Vita Mpya Mashariki ya Kati?

  Рет қаралды 17,155

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@Twahamwela-ch5lz
@Twahamwela-ch5lz 6 күн бұрын
Huyu mwanamke kweli kaolewa huyu? Mmh!! Dah yan jinsi anavyojiamini na kutembea hiyo silaha
@amanmalima940
@amanmalima940 6 күн бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@richardrobert2203
@richardrobert2203 6 күн бұрын
Unaleta habar za yesu Tena na ww,, huko alikotokea Israel unapaonaje kwamba we ndo unamjua zaid kuliko wenyewe waisrael??
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 6 күн бұрын
Makafiri hawa akili mchukia dah
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 6 күн бұрын
Hata pia musa na mitume wote ndio njia kwa wakati wao kumjuwa mungu wa ukwweli na wa pekee
@BabaZuu-fq8zj
@BabaZuu-fq8zj 6 күн бұрын
Sasa yesu kafata nini humu mungu anatunfukwa msalabani au annaukumia na binadamu eti tumfanyeje mtu huyu jitambue wewe
@erickngatunga2359
@erickngatunga2359 6 күн бұрын
​@@richardrobert2203Kwani Nabii Ibrahim,Musa,Daudi na manabii wengine Si walikuwa wayahudi?
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 6 күн бұрын
Huu ni uzembe sana yaani eneo nyeti kama hilo hajuna usalama
@husseinc
@husseinc 6 күн бұрын
Alaaniwe marekani kwa kufanya mashambulizi ya kigaidi,
@FranceYohana-eg5zd
@FranceYohana-eg5zd 6 күн бұрын
Nan kasema ni usa wew?
@godsonkyense4742
@godsonkyense4742 5 күн бұрын
Husseininc utakuwa unabongolewa sio bure
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 6 күн бұрын
Hao watakuwa majasusi wa nchi X uwa hawataki nchi furani iongoze kwa technologia duniani hasa za kijeshi, nia ilikuwa kulipua kiwanda sema imebugi..
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 6 күн бұрын
Safi sana vita nzuri hiyo hapo MAREKANI🇺🇸 ana cheka 😁😁😁😁😁😁😁 🇮🇱🤗🤗🤗🤗🤗 kwani edogani alisema ata saidia gaza Kwa mapambano yanayo endelea Sasa nafikiri wakurd wame pewa dollar na marekani vita imerudi ndani vita vya ndani hivyo
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 күн бұрын
Wamepewa kiasi gani,mnafuta huruma kwa matatizo mliyo yatengeneza wenyewe.Kila kitu marekani
@josephjulio6112
@josephjulio6112 6 күн бұрын
Hapo marekani
@AlexGwiha
@AlexGwiha 6 күн бұрын
Na bado u.s.a atawanyosha
@mimibusarachibu
@mimibusarachibu 6 күн бұрын
Marekani na NATO ni wanafiki sana,huenda hata wapo nyuma ya shambulio hilo
@martinisadru9899
@martinisadru9899 6 күн бұрын
Sio kweli,, maana hizo drones ndio ilikua msaada mkubwa kwa Ukraine,, zelensky ndio ilikua tegemeo lake kwa hizo drones.
@martinisadru9899
@martinisadru9899 6 күн бұрын
Hayo mataifa ni watu wa ajabu sn,, maana uturuki rafiki yake wa damu ni Ukraine,,,Lakini cha ajabu! vita ya Israel na hamasi,, rafiki yake wa damu ni parestina wa hamasi.
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 6 күн бұрын
Uturuki yenyewe ndio NATO yenyewe
@husseinc
@husseinc 6 күн бұрын
Marekani uwezi ukaitoa, rejea jaribio la mapinduzi lililofeli mmarekani aliiusika kutaka kumpindua edogan urusi ndio iliyoisaidia turkey, hapo ndipo edogan akatambua kuwa marekani na ulaya si washirika wa kuaminika, turkey ikadhidisha huusiano na urusi uliokuwa umedorora
@mimibusarachibu
@mimibusarachibu 6 күн бұрын
@@husseinc Kweli kabisa, 2016 walijaribu kumuondoa madarakani Erdogan kama 2014 walivyomuondoa Yanukovich wa Ukraine! Nawachukia sana, wanasuka migogoro Kila mara na ni uhakika kuwa hata BRICS inavyowabana Koo kwenye Dola, ni faradhi Wawe makini sana maana hawa wanafiki watajaribu panga pangua, najua hawafanikiwa kwenye njama zao! PUTIN na XI ni werevu sana
@festohaule9716
@festohaule9716 6 күн бұрын
Huyu Mwanamke nimempenda katembea kama Komabdoo...na kutumia vyema Silaha vyema!!!
@DavidCurtis-e4c
@DavidCurtis-e4c 6 күн бұрын
Angeua mtu anae kuhusu ungemsifia kuwa hata hivyo amemuua mtu anaekuhusu kitaalamu sana sio?
@festohaule9716
@festohaule9716 6 күн бұрын
@@DavidCurtis-e4c Hapo nimesifia mauwaji au____??
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 6 күн бұрын
​@@festohaule9716Hakika ameitumia vyema ameua watano😮
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 6 күн бұрын
Makafiri huwa wanaupungufu wa akili
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 6 күн бұрын
Kichwa kimejaa mavi badala ya Akili.
@SaidiKitange-us2ej
@SaidiKitange-us2ej 4 күн бұрын
Israel ndo wanao husika wakiungwa mkono na marekani. Siku chache zilizopita eldogani kaonekana kumuunga mkono Putin pia kisupport shughuri za mashariki ya kati hasa umoja wa waarabu na kuilaani israil na vitendo vya mauaji ya haraiki dhidi ya waparestina. Kwa dababu hii Israeli na marekani lazima wakisuport kikundi hiko Cha wakurdi maana kumvamia wenyewe wanamugopa kwa nguvu alizonazo pia ni mwanachama wao wa NATO.
@samwelmushi6162
@samwelmushi6162 37 минут бұрын
Sasa najiuliza,utafanyaje shambulio la kujitoa muhanga kwanini ufanye shambulio utakalioindoka kwenye tukio kama waisrael wanavyofanya
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un 6 күн бұрын
Huenda ikawa ni mamluki kwamba ni mpango umeandaliwa
@festohaule9716
@festohaule9716 6 күн бұрын
Hao Wakurudi walipewa Silaha na Marekani Ili kupigana na kundi la Islamic stet...nadhani Silaha nyingi Bado wanazo...
@KisagasiLuyangi
@KisagasiLuyangi 6 күн бұрын
Islamiki state mbona ni Mali ya marekani uingereza na Israel
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 6 күн бұрын
Hamas hao
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 6 күн бұрын
Habari inaupungufu
@dreahmed2336
@dreahmed2336 6 күн бұрын
Je washambuliaji hao wamedhibitiwa namna gani? Wameuwawa au kuekwa chini ya ulinzi?
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 6 күн бұрын
Hao ni mayahudi hawataki uturuki iunge mkono Iran
@dreahmed2336
@dreahmed2336 6 күн бұрын
@@maclaudismail6606 alaaaa kuumbe
@thobiasKoi
@thobiasKoi 6 күн бұрын
Source??​@@maclaudismail6606
@georgepeter2055
@georgepeter2055 6 күн бұрын
Hamjasema kama walikamwatwa au kuuwawa… habari haijakamilika
@richardrobert2203
@richardrobert2203 6 күн бұрын
Ht Turkey haijasem kama imewakamata au lah
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 6 күн бұрын
Waliuawa wote
@adamlikati3364
@adamlikati3364 6 күн бұрын
Nazani aina ya drones wanazo zalisha ndio zimewanyima usingizi " Hasa western countries
@WisdomJesuse
@WisdomJesuse 6 күн бұрын
M nahisi marekeni ndo chanzo kwanini vyamq vinqvyo penda haki hua qnapenda kuunga mkono.haya Israel anapitia magumu kule kamuacha apigwe yaani kama unafiki Fulani uko apo
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 6 күн бұрын
Israil anapitia magumu kivipi?
@WisdomJesuse
@WisdomJesuse 6 күн бұрын
@@salumabdallah2990 hahaha,hapo ujaelewa markni anavyo mchomokea Israel aonekane mbya mchokozi, Irani alivyo ingilia kati ili wao awapo tena na muisrael,ukija brics wanajifnya kujali haki za kivita,
@Miriam-m2b
@Miriam-m2b 6 күн бұрын
Mmagaribi au
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 6 күн бұрын
Wa kurdi hao
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 6 күн бұрын
Uyo mwanamuke spent
@AlexGwiha
@AlexGwiha 6 күн бұрын
Nyie matako wote mutakao soma komenti hii .kuna siri nitawapa kuhusu hili shambulio ipo hivi .edogani anatafuta njia na sababu ya kujitoa nato ili apate njia za kujiunga blekc kanogewa sana huko na hajua atajinasua vip huko .kwahiyo mavalangati kama haya ni mipango ya edogan kutaka awaraim nato kutaka kuwavulugia achi yake.hii coment itunzen mtakuja niambia
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 6 күн бұрын
Tutawaza mengi sana ila YESU ANARUDI NDUGU ZANGUNI , TUMCHE MUNGU
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 6 күн бұрын
Ameni
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 6 күн бұрын
Yesu yupi
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 6 күн бұрын
@@pavillioncry5241 YESU KRISTO MNAZALETI ANARUDI NDUGU
@KisagasiLuyangi
@KisagasiLuyangi 6 күн бұрын
Ngoja tuone kama atarudi, itakua lini iv
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 6 күн бұрын
@@KisagasiLuyangi atakuja siku tusiyozani na itakuwa ni gafla kaka ,tungelijua ni lini anakuja wengi tungeishi Kwa mahesabu Yan kama mfano tungejua ni mda gani kifo utukuta wanadamu tungejiandaa
@JumahajitalibTalib
@JumahajitalibTalib 6 күн бұрын
Vp awawashambuliaje wamewai kushikiliwa ,au wmekumbia
@YahayaKiobya
@YahayaKiobya 6 күн бұрын
Huo ndo ugaidi 🤣😂 hauchagui dini , itikadi , rangi, ukanda , ubinadamu , Wala uhayawani .
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 6 күн бұрын
Ndumila kuwili huyo
@nathanasige806
@nathanasige806 6 күн бұрын
Israel ni suspect
@absm8084
@absm8084 6 күн бұрын
Mnawatetea magaidi😅😅😅😅😅😅 halafu mnaanza kulia😅😅😅😅😅 eti shambulio la Kigaidi😅😅😅😅😅😅😅
Mkutano wa Mataifa ya BRICS unafanyika nchini Urusi
5:40
RFI Kiswahili
Рет қаралды 85 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 44 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 34 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:25
Brianna
Рет қаралды 42 МЛН
BABA LEVO AFICHUA MAISHA YA ROMA AKIWA MAREKANI
17:49
Mbengo Tv
Рет қаралды 1 М.
How Israel Strikes Iran's Military Targets? #israel #iran
9:17
AiTelly
Рет қаралды 3,1 МЛН
THE BREWING THUNDER: Ruto, this could be huge...
16:08
Herman Manyora
Рет қаралды 13 М.
TANZANIAN AIRFORFCE FLEET🇹🇿🇹🇿 ( 2024 )
13:36
Goldsan sam
Рет қаралды 11 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34