Рет қаралды 31
Jifunze kiingereza na Teacher Othman
📚 katika somo la leo tutajifunza jinsi ya kusema nimekuwa niki... kwa lugha ya kiingereza. pia tutaangalia jinsi ya kuuliza maswali na majibu yake.☑️ #englishgrammertips #jifunzekiingereza #learnenglish