#PRESS

  Рет қаралды 36,374

Yanga TV

Yanga TV

6 күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 89
@maestrokiss7245
@maestrokiss7245 4 күн бұрын
Nilikuwa naisubiri hii maana niliikosa ya LIVE. Ahsante Media team😊
@khadijajuma6271
@khadijajuma6271 4 күн бұрын
😂😂😂😂 haitajiii D mbili hiyo, uwe na fagio pamoja na kidumu 😂😂😂😂 Ali kamwe 🙌🙌🙌🙌🙌 nimechekaa kwa sauti hukuu
@user-rf3fg4xn4n
@user-rf3fg4xn4n 4 күн бұрын
Karibu mwenye nyuma apo....Duh ali kamwe bhan
@salummaulid6252
@salummaulid6252 4 күн бұрын
Ali Shaaban Kamwe, Akili nyingi Sana mtu wangu 🙌🙌🙌
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 4 күн бұрын
Hongera semaji Ali kamwe 🎉🎉🎉
@ShabanPaschal
@ShabanPaschal 4 күн бұрын
Hivi hawaogopi😱😱😱😱😱
@JacksonFrances
@JacksonFrances 4 күн бұрын
Moja Ya Chama La Mpira Linakua Kwa Kasi Sana Barani Africa, GOD BLESS YOUNG AFRICA FOREVER "
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 күн бұрын
Yanga Oyeee
@JacksonFrances
@JacksonFrances 4 күн бұрын
😂😂😊😂😂 Mambo Ni Mengi Muda ni Mchache Dunia inakwenda kwa Kasi Sana "
@paraxedjoseph5174
@paraxedjoseph5174 4 күн бұрын
Kuna watu wapo kijijini huko nilikuwa nakuomba kiongozi wetu tutafute namna ya kuwafikia
@bennyteve3871
@bennyteve3871 4 күн бұрын
Tupo pamoja sanaaaaa yanga damu
@user-np4om6hz4m
@user-np4om6hz4m 4 күн бұрын
Nawapongeza viongozi namna ya utoaji wa habari kutu rahisishia habari❤❤
@Producerfadybeats
@Producerfadybeats 4 күн бұрын
Akili kubwa🔥
@user-xy9nm3lx5x
@user-xy9nm3lx5x 4 күн бұрын
Ni kweli kuhusu msiba wa yusufu manji ni msiba mkubwa sana kwetu sisi wanayanga.
@shalalishalali3101
@shalalishalali3101 4 күн бұрын
Na ikubali sana hii club,ni wabunifu hatariiii
@fredylucas2484
@fredylucas2484 4 күн бұрын
huyu Njiti ana matusi sana Salehe Jembe aje hapa
@angelmisholy6478
@angelmisholy6478 4 күн бұрын
😂😂😂
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV 4 күн бұрын
Sisi tulio nje ya mipaka ya Tanzania, watanzania tulio nje na pia wapenzi wa Yanga wasiokuwa Tz, tuweseje kupata taarija za timu yetu pendwa. Tunataka yanga habari pia. Ebu jamani fanyeni kitu
@LameckSichimata
@LameckSichimata 4 күн бұрын
Mtatu koma mwaka huu 😂😂😂
@thomasmn2723
@thomasmn2723 4 күн бұрын
Mimi niko Indonesia ni jinsi gani naweza kunjungan?
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 4 күн бұрын
Unamaanisha nn KUNJUNGAN?? Au umekosea😢
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt 4 күн бұрын
​@@muddymuzungu4357😅😅😂😂😂 kujiunga kakosea
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 4 күн бұрын
@@FatumaShabani-mp9vt fatuma usichekeeee😀😀😀😀😀nisaidieeeee
@MgetabarakaBukori
@MgetabarakaBukori 4 күн бұрын
Bila D 2 huwez elewaa😅😅
@bakarimahenge
@bakarimahenge 4 күн бұрын
Nipo zanzibar jumbi mm nimesha jiunga
@abdallahrashid2899
@abdallahrashid2899 4 күн бұрын
Bado magazeti ya yanga😂
@jumashedafa
@jumashedafa 4 күн бұрын
Magazet kwa sasa ni biashara ngum na ndio inaend kutowek yan wangejitahid soon as possile wakafungua radio...wakapata pesa kupitia kutangaza matangazo ya wadhamin mbalmbali na kupitia youtube ktk kuckiliza radio hili ni kubwa zile billion 24 radio inawez kutupa ata billion mbili na kuendelea kwa mwaka na ata wadhamin kwa mf: Crdb, Sport pesa nk akitaka atangazwa pia ktk radio lazima aongez kiasi kwa ajili ya radio na si vinginevyo
@AliMassude-qk7zl
@AliMassude-qk7zl 4 күн бұрын
Hongera raisi bora wa wananchi, dar, young africans sc, ing, hersi saidi, nakutakia kili la kheri, yanga oyeeeeeeeeee! Makame salum (kipa mstahafu) pande za kiromba chini nanyamba mtwara tz
@Ktz-kr1nk
@Ktz-kr1nk 4 күн бұрын
Akili mingi 🎉🎉
@IsayaTweve
@IsayaTweve 4 күн бұрын
Leo ni Dube tunampokea
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 3 күн бұрын
Allaah Akbar
@mudyAlly-yv8qg
@mudyAlly-yv8qg 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤yang chama kubwaaaa
@NelsonMatambo-ob5zm
@NelsonMatambo-ob5zm 4 күн бұрын
Yangaaaaa
@ntanilanjema04
@ntanilanjema04 4 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko 🔥🔥
@BarikiMlengu
@BarikiMlengu 4 күн бұрын
Hii app haieleweki kabisa
@jacksonlyimo1491
@jacksonlyimo1491 4 күн бұрын
Paraaaa pitia na hapa😂😂😂😂 daaaah
@user-em2sd9tm1n
@user-em2sd9tm1n 4 күн бұрын
Wara mumetisha sana chama langu
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 4 күн бұрын
Tuchangie tim
@user-bq6iy1zb8h
@user-bq6iy1zb8h 4 күн бұрын
Jee watu wa u s a watalipa vip bro
@mudyAlly-yv8qg
@mudyAlly-yv8qg 4 күн бұрын
yang rahaaaaaa❤❤
@GilbertRashid
@GilbertRashid 4 күн бұрын
Pamoja
@JacksonFrances
@JacksonFrances 4 күн бұрын
Makolo Wanapitia Kipindi Kigumu Sana Hamna Namna inabidi Wahame nae Chama japo ni Ngumu Kumeza, Waje Tu Sisi Tuanawapokea Makolo...
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 4 күн бұрын
Mzee kamwe atapata presha kwa mtoto huyu😂😂😂
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 4 күн бұрын
Tuisapoti klabu yetu
@Sunshine0222
@Sunshine0222 4 күн бұрын
😮
@law93king
@law93king 4 күн бұрын
😅😅
@user-ht5tc5yv5t
@user-ht5tc5yv5t 4 күн бұрын
App yenyewe inasumbua kulipia toka juz nahangaika inakataa, mkitumiwa msg watsap hamko online 😢😢
@goodluckabdul7316
@goodluckabdul7316 4 күн бұрын
Mbona inagoma
@salumchoma8731
@salumchoma8731 4 күн бұрын
Khaaa karatasi16 na Bado alikuwa anataka kuendelea kupiga dolegumba hii kali
@ignaskalembe4198
@ignaskalembe4198 4 күн бұрын
Safi kabisaaaaaa
@FrenkEliaKafene
@FrenkEliaKafene 4 күн бұрын
Wananchiiiiiiiiiiiiiii
@MonahMosafiri
@MonahMosafiri 4 күн бұрын
💛💚💛💚💛💚💛
@JofuJafet
@JofuJafet 4 күн бұрын
Ok
@johannmaloda6027
@johannmaloda6027 4 күн бұрын
Makolo ya pale EFM yanatapatapa😅😅😅
@CharlesNdaki-mb5kt
@CharlesNdaki-mb5kt 4 күн бұрын
Ndiyo munaifunguwa saa 3 usiku
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 4 күн бұрын
Mbona halotel haikubal
@petrochikawe1797
@petrochikawe1797 4 күн бұрын
Yanga raha san
@AliMassude-qk7zl
@AliMassude-qk7zl 4 күн бұрын
Pongezi kwako meneger wa habari na mawasiliano wa wananchi, young africans.
@shaibujuma6618
@shaibujuma6618 4 күн бұрын
Hiii kubwa
@JohnMagessa-nw3qs
@JohnMagessa-nw3qs 4 күн бұрын
Apo ally kamwe aunabaya na yanga yet niwatakie maandalizi memaý
@kidawajuma9597
@kidawajuma9597 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂🎉
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 3 күн бұрын
sasa kama upo nnje ya nchi?
@veelmng7746
@veelmng7746 4 күн бұрын
Hiyo apps ukiwa USA haifanyi kazi, please fanyia kazi hizo apps zimefanye kazi kimatiafa , kuna mashabiki wengi sana nje ya Tanzania
@upendoomary1921
@upendoomary1921 4 күн бұрын
Tayari unasubili habari
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 4 күн бұрын
149.04#
@EmmanuelMulenga-bc7bj
@EmmanuelMulenga-bc7bj 4 күн бұрын
me nipo zambia nafanyaje
@jumashedafa
@jumashedafa 4 күн бұрын
Ktk kitu kingeizia mapato mno ni redio kupitia matangazo na kupitia youtube na hakuna radio naamin itaishinda yang hebu itumien hii fursa mapema
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 4 күн бұрын
Aloo umeongea kitu sanaa yanı noma hebu mwambieni raisi wa yanha
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 4 күн бұрын
Yanı redio huku youtobe itagonga sana aisee tena wawe wanatuwekea Ngoma za yanga
@jumashedafa
@jumashedafa 4 күн бұрын
@@user-po8hz7xw9j Ndio ivy na huend ikawa ktk top 3 ya radio zinazofanya vzur kama si ya kwanza...cz tyr fans wapo wakutosha ni wanayanga wenyew plus hao wengin ni atar
@rukiamtego
@rukiamtego 4 күн бұрын
Mbn alishawahi kusema kua wapo kwenye mchakato wa ilo jambo na alisema radio itakua palepale jangwani kikubwa ni watangazaji t kujiaandaa na wanatakiwa kuwa wanyanga tu..... nenda kaisikilize Face to Face ya kishamba TV aliyohojiwa semaji aliyaeleza yote hayo
@jumashedafa
@jumashedafa 4 күн бұрын
@@rukiamtego saw nakubalian nawe ila wanalichelewesha mno... Nilitaman kuckia leo baada ya yanga habar nickie kwanza uzinduz wa radio cz hii itaingiza kipato zaid kuliko hii Yanga habar
@TunguIzengo
@TunguIzengo 4 күн бұрын
Namna iyoo
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 4 күн бұрын
huyu kijana wetu alliy kamwe ana poteza madili ya yanga nazani rais wa yanga ana takiwa alijuwehili hata siku tatu hazijesha aliekuwa muwasisi wayanga manji amefiriki dunia siku ileile alliy kamwe anaigiya mitaani nakufaya sherehe jee masalani jambo hili linge tokea kwa kharibu gsm agefayahivyo sisi tuko huku marekani tumesikitishwa sana yanga ipo chama yupo hakunashida
@LimseyMassawe
@LimseyMassawe 4 күн бұрын
Acha ujinga.....kwani hukuona kitambaa Cheusi walivyofunguka mkononi kuonyesha majonzi???!! And by the way manji sio main sponsor sasaivi ila wamemuenzi vizuri tu as a club!! Club activities lazima ziendelee, tusipotembea na huu upepo wa chama mapato yatatokea wapi na wewe upo huko marekani ata card ya uwanachama wa msimu uliyopita..... haujalipa, na msimu huu haujalipa???.....Manji tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi, alale mahali pema peponi🙏
@PabloPembe-ne7oy
@PabloPembe-ne7oy 4 күн бұрын
Ww naww umetokea wapi nanu 😅😅😅😅
@ellyelly9069
@ellyelly9069 4 күн бұрын
Wee nawe ndim uko marekan ya buza
@ziadaidrisa16
@ziadaidrisa16 4 күн бұрын
Usajl wa mwaka mmoja. Simba ipo na itabaki kuwa simba. Kulkuwa na Okwi na ndo kafnya makubwa. Aende tuu
@davidobonyo7558
@davidobonyo7558 4 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@amaniomar1755
@amaniomar1755 4 күн бұрын
Mwamba huyu hapa
@MchanaLive
@MchanaLive 4 күн бұрын
tumekusoma kaka
@fadhilisule
@fadhilisule 4 күн бұрын
eti pitia na apa ila kamwe wewe ni mkeraji haijapata tokea
@odilomwakamela4889
@odilomwakamela4889 4 күн бұрын
Kadi ya wanachama naipataje na kwa ghalama kiasi gani ?
@fredylucas2484
@fredylucas2484 4 күн бұрын
Tshs 29000 mnunulie na mzee Shabani Kamwe 😂
@odilomwakamela4889
@odilomwakamela4889 4 күн бұрын
Ninatakiwa kuwa na kitu gani kingine nje ya hiyo 29??
@fredylucas2484
@fredylucas2484 4 күн бұрын
@@odilomwakamela4889 kitambulisho
@fredylucas2484
@fredylucas2484 4 күн бұрын
@@odilomwakamela4889 ingia kwenye website ya Yanga utaona kila kitu. Ukitaka kua shabiki ni shs 17000
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 3 күн бұрын
We uko Tanzania au nchi gani? Kama uko Tanzania nenda CRDB au NMB na hiyo pesa utapata kadi. Au ulipo hakuna tawi la wanayanga? Mbona ukienda viongozi watakusajili
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 15 МЛН
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 7 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 47 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,7 МЛН
Сын Роналдиньо пошёл по стопам отца
0:59
Советский Эксперт 2.0
Рет қаралды 1,3 МЛН
Не надо толкать, надо бить🥊
0:20
Алексей "Новатор" Сурков Тренер по боксу
Рет қаралды 523 М.
ХАСБИК И ХАБИБ ИГРАЮТ В ФУТБОЛ!
0:19
Русский Футбик 2.0
Рет қаралды 998 М.