SNAKE BOY | ep 26 | SEASON TWO

  Рет қаралды 428,695

CLAM VEVO

CLAM VEVO

3 күн бұрын

Follow Me On Instagram
/ clamcris_
Tiktok:
/ clam_cris
Facebook:
people/CLAM-...
#Clamvevo #Vevowood #Nollywood #Bongomuvi

Пікірлер: 2 400
@yahyamohamed7218
@yahyamohamed7218 2 күн бұрын
Dakika 6 tu kuna watu zaidi ya 30 wanaomba likes badala ya kutoa maoni kuboresha na kusupport kazi nzuri 🤣🤣
@OfficialKajenga
@OfficialKajenga 2 күн бұрын
Ata wew mwenyewe uliosema hiv ili ujue umepokelewa vizur lazima uangalie like
@salvatakiseo3359
@salvatakiseo3359 2 күн бұрын
Wabongo vichwa vibovu Ndio maana tuko mbele kwenye ujinga kuliko vitu vya maana
@user-ic7felix
@user-ic7felix 2 күн бұрын
Kweli kabsa cijui huwa wanapeleka wapy 😂😂😂😂
@DadeMussa-n8k
@DadeMussa-n8k 2 күн бұрын
@ibrahjokes5055
@ibrahjokes5055 2 күн бұрын
Hatuwez kusuport Zaid ya kuangalia tu 😢😢
@ZahraAlly-wq4ku
@ZahraAlly-wq4ku 2 күн бұрын
Haya wazee wa kuomba Like typing...😂😂😂😂
@mohamedcharming7432
@mohamedcharming7432 2 күн бұрын
😂😂😂😂
@omarsalum4052
@omarsalum4052 2 күн бұрын
😂
@LuluByams
@LuluByams 2 күн бұрын
Kutaka like tuh Kuoga Haaa
@ZahraAlly-wq4ku
@ZahraAlly-wq4ku 2 күн бұрын
@@LuluByams 😂😂😂
@RashidRashid-wv9ud
@RashidRashid-wv9ud 2 күн бұрын
Wewe kama unachukia Sisi wa kuomba like kazi unayo leo mimi wa 500 lakini bado nahitaji like zote zije kwanu
@AnnsoilaTanni
@AnnsoilaTanni 2 күн бұрын
Kma Unakubali clam kwa kazi zuri anayo faya like zunu jamani Alafu muombe dua azidi kufaya kazi zuri ❤❤❤❤❤
@aganzeroger
@aganzeroger 2 күн бұрын
Wa kwanza Leo kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@emmanuelchuma7687
@emmanuelchuma7687 Күн бұрын
Likes za nini wataka?
@MohamedKalivata-qr6sr
@MohamedKalivata-qr6sr 2 күн бұрын
Haya wazee like mbilii tu zina tosha kwa snake boy
@rajabumuhamed477
@rajabumuhamed477 2 күн бұрын
😂😂😂 yaani mamtu yamekazana naomba like wa kwanza Badala ya kusifia au kueleza mapungufu yalijitokeza katika hiki kipande
@nafsajuma6269
@nafsajuma6269 2 күн бұрын
Hahahaha 😂😂😂😂😂😂
@rajabumuhamed477
@rajabumuhamed477 Күн бұрын
Ni hatari ​@@nafsajuma6269
@AlfredChai-lv8zr
@AlfredChai-lv8zr 2 күн бұрын
Nimekuwa wakumi kutoka Kenya naomba like zenu
@RichardMavoko-tl7et
@RichardMavoko-tl7et 2 күн бұрын
Kazi nzuri sana unayozidi kuifanya clam usichoke pambana from Malawi 🇲🇼
@muddyramadhan3255
@muddyramadhan3255 2 күн бұрын
Hivi mbn watu wamezd kuomba like zinawasaidia nini badala kutoa maon kila mtu naombn like ase day
@KadoridoJr
@KadoridoJr Күн бұрын
Niwasenge hawajitambui
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley Күн бұрын
😂😂like
@RashidRashid-wv9ud
@RashidRashid-wv9ud 2 күн бұрын
Jamani mimi sichoki kuhitaji like kwani kuna watu wanaumia sana humu leo nakosowa kidogo hapo nyoka kummeza huyo farasi mapema hii
@joharibenard9179
@joharibenard9179 2 күн бұрын
Hata mm sijapenda kwakweli
@tausifautini407
@tausifautini407 2 күн бұрын
​@@joharibenard9179hapo wamechemka
@benjaandea32
@benjaandea32 Күн бұрын
hawa ndo wameanza kufeli tayar farasi ni mganga mkubwa sana xi wakumezwa kilahisi ivo
@aishasalum3372
@aishasalum3372 Күн бұрын
Na mtanzi je kamezwa jamani
@merinazyd0532
@merinazyd0532 2 күн бұрын
Namkubali mwasi kinyama yaani huyu dada yupo sirias sanaa
@LesianJuma
@LesianJuma 2 күн бұрын
❤jaman NAMI nikumbukeni nikiwa kigoma naombeni like zangu nimewahi leo
@evodjohn7946
@evodjohn7946 2 күн бұрын
uliziweka wapi
@user-be2ft4su9p
@user-be2ft4su9p 2 күн бұрын
Mambo na like yakatazwa wewe Bado waomba
@AngeljosephJoseph
@AngeljosephJoseph Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂​@@evodjohn7946
@LesianJuma
@LesianJuma Күн бұрын
Nilikuwa sijui Kama walikataza
@LesianJuma
@LesianJuma Күн бұрын
@@evodjohn7946 walikuwa hawajanipa ety ndo nimeanza kuomba
@qaseemayoub6758
@qaseemayoub6758 2 күн бұрын
Utasikia kenya na burundi tujuane hapa halaf wenye nchi wapo kimya... Haya leo Watz🇹🇿 tujuane hapa kwa like😊
@MATEOJOSEPH-nc8gf
@MATEOJOSEPH-nc8gf 2 күн бұрын
Mm kwenye Snake boy sijawahi pewa like hebu leo mnipeni hata 10 nienjoy
@JunMbawala-iq9gi
@JunMbawala-iq9gi Күн бұрын
Upewe like kwan we ndo snake 🐍 boy😅😅😅😅😅😅
@TwahiruAbdi
@TwahiruAbdi Күн бұрын
Chukua
@shadyarif653
@shadyarif653 2 күн бұрын
Mimi siezijiita wakwanza wala wa mwisho ila sababu ya kuwepo hapa ni vevo na magwiji wa tamthlia yetu,kama upo kenya,ug na tz nipe likes za kumkubali vevo🎉
@user-lk1kl6sw1s
@user-lk1kl6sw1s 2 күн бұрын
Big up sana kwa huyu dada alieigiza kama kakoso, anafny kazi sana na kwa ujasiri kiukweli mimi ananifurahisha, tupewe majina ya social media zake tumfollow
@ibrahjokes5055
@ibrahjokes5055 2 күн бұрын
Mm siombi like bali nasuport kaz za clam na support yangu n kuangalia tu au kuna mtu anambinu nyingine anipe😢🎉🎉🎉
@RAMSABOYTZ
@RAMSABOYTZ Күн бұрын
umenena
@goldenboy1521
@goldenboy1521 2 күн бұрын
Naombeni like zangu hap 😂
@FabaMusengasoko
@FabaMusengasoko 2 күн бұрын
wa kwanza toka Congo beni drc like zangu tafazali
@yehoshafatisuhuzwa4399
@yehoshafatisuhuzwa4399 2 күн бұрын
Mwanaume anayeomba like ni bwabwa
@JudcBen-ye9cy
@JudcBen-ye9cy Күн бұрын
😂😂😂khaaa
@emilywambui9920
@emilywambui9920 2 күн бұрын
Nimechelewa tu kidogo naomba like kutoka kenya bravo clam vevo ❤
@kingcicero1708
@kingcicero1708 2 күн бұрын
Ntanzi ajamezwa hii ni ndoto tu, kama utakubaliana na mimi like hapo chini 😂😂😂
@user-jf9pt8bu5j
@user-jf9pt8bu5j 2 күн бұрын
😢 sure
@jesusiscoming237
@jesusiscoming237 2 күн бұрын
Afu ukute kweliii
@jesusiscoming237
@jesusiscoming237 2 күн бұрын
Sema wakisoma comment wataweza wakabadilisha scene
@Zenabeby
@Zenabeby 2 күн бұрын
Kama kwel vile 😂😂😂
@annaki318
@annaki318 2 күн бұрын
​@@jesusiscoming237hahahahaaaaa
@hghh6056
@hghh6056 2 күн бұрын
Aki ooo si mbwela siupeane guvu za nitanzi aki chaef ndie anameza watu mungu wangu 😢😢😢 much love from kenya 🇰🇪 napenda saana snake boy uuumwaa 💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋
@suleimanmbogo2457
@suleimanmbogo2457 Күн бұрын
From tz on love
@NorbTzofficial
@NorbTzofficial 2 күн бұрын
Best series trending in bongo right now gonga like kama unaikubali hii series ❤❤❤❤
@kelvinfficial
@kelvinfficial 2 күн бұрын
Please leo wakwanza naomba muni gongeye like 15 tu 😢 Naomba mutowe likes zenu zote muniachie zangu kumi natano basi 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@AshrafWahid-dr2qn
@AshrafWahid-dr2qn 2 күн бұрын
Vipi una kuwa kwanza
@kazungualii5368
@kazungualii5368 2 күн бұрын
Nenda ukaombe mola acha kuomba like wewe kengee kwani clam vevo
@kazungualii5368
@kazungualii5368 2 күн бұрын
Lichupa hilooo
@AshrafWahid-dr2qn
@AshrafWahid-dr2qn 2 күн бұрын
@@kazungualii5368 lakini sija uliza kwa ubaya
@Suma001
@Suma001 2 күн бұрын
Watanzania acheni ujinga izo like zikusaidie nni wew toa maoni yako kuusu wasanii wetu ili sanaa yetu ifike mbali sasa ukishaomba like unapata nini😢
@annaki318
@annaki318 2 күн бұрын
Kuomba like tu kusifia kuhusu snake 🐍 boy aaaaaaah😂😂😂
@rehemasumuley-yv3wh
@rehemasumuley-yv3wh 2 күн бұрын
Hongera Sana clam KAZI nzuri Sana Ila unachelewesha sana
@user-qq1kt3hg1l
@user-qq1kt3hg1l 2 күн бұрын
Jaman tegemeo letu kamezwa tutafanyaje sasa mwamba clam
@maryamsylivester8662
@maryamsylivester8662 2 күн бұрын
Jamani tuwe tunatoa maoni na kujadiliana kuhusu hii tamthilia pambe ya Nyoka anategemea Maoni na ushauri kutoka kwetu watazamaji lkn kila saa ni kuomba like tu 😢
@maylucson001
@maylucson001 2 күн бұрын
Kabisa yani❤
@user-yt8ns4lb3k
@user-yt8ns4lb3k 2 күн бұрын
Hapa umesema ukweli
@medaicetz
@medaicetz 2 күн бұрын
Maon tujitahd kupambania teknolojia mana bado tuko nyuma simulz nzur ila hamna watu wanaezacreate nyoka na kuonesha anavomla mtu kama zlvo movie za nje hata za miaka ya 70 yan ukiandk movie za snake au anakonda za nje za zaman unaon jins nyok anavotendew haki ila sisi bado Ko madirector na maeditor wasilizike waende nje kujifunza tuko 2024 ila bado ktk edting creation tukubal bado ila kwa uigzaj na story tunqjitahd
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 2 күн бұрын
Like🎉neo Geo
@EmeryNkurunziza-dd5iq
@EmeryNkurunziza-dd5iq Күн бұрын
❤❤
@NuhuMwita
@NuhuMwita 2 күн бұрын
Kama unamkubali mwasi gonga like hapa
@ummialey6391
@ummialey6391 2 күн бұрын
Na mchezo umeisha mastreng wesha liwa na nyoka mnalo la kutueleza
@NuhuMetson-mt1vc
@NuhuMetson-mt1vc 2 күн бұрын
​@@ummialey6391 stering kipara😂😂
@aishasalum3372
@aishasalum3372 2 күн бұрын
Ni kweli mna na wao wanataka kuwa wahindi kili siku nguvu zake hazirudi tu😂
@RuthOmollo-e7y
@RuthOmollo-e7y 2 күн бұрын
Kazi nzuri sana
@NuhuMwita
@NuhuMwita Күн бұрын
Episode ya 27 ndy mtajua sterling hafi😂😂
@araphamilla7315
@araphamilla7315 2 күн бұрын
Kaz nzuri Clam naimani utafika mbali sana Amin 🙏
@ronzevannyboychui1661
@ronzevannyboychui1661 2 күн бұрын
IIa sija chelewa sana nipo kabisa namie naomba like zangu 15 hapo ila clam Nampa mauwa yake clam vevo ❤❤kitu kizuri kabisa 🎉 hongela sanaaa
@JeseeJeseemuthomi-vj4qc
@JeseeJeseemuthomi-vj4qc 2 күн бұрын
Please leo wakwanza naomba muni gongeye like 10 tu😢
@Kashindijohn
@Kashindijohn 2 күн бұрын
Zikusaidie nini
@Badface_official
@Badface_official 2 күн бұрын
@@Kashindijohn
@sadamuall8249
@sadamuall8249 2 күн бұрын
Jamani nimewah 😂😂 tunae ipenda snek boy tujuane kwa like
@user-ot5ve6jx3z
@user-ot5ve6jx3z 2 күн бұрын
Tanu tanu litakukuta jambo😂😅
@MariaPeter-kv3qk
@MariaPeter-kv3qk 2 күн бұрын
Ila mwasi anachanja mbuga hatari😅😅😅
@mbwanaOmar-vw4gh
@mbwanaOmar-vw4gh 2 күн бұрын
Wapili nipen like
@gersonissa9124
@gersonissa9124 2 күн бұрын
Wa kwanza Léo nipe like zangu Toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 2 күн бұрын
Huyo alomkuta mkewe anamimba mbona anamfanana Mwamba wa lusaka 😂😂😂
@dominamabebe6691
@dominamabebe6691 2 күн бұрын
Kipara ni msaliti wa himaya anatakiwa kuchukuliwa hatua kali sana kwa niaba ya wasaliti wote na umbea wake mxiuuu
@JamesReuben-gt8up
@JamesReuben-gt8up 2 күн бұрын
Huyu chief wa himayaa ya nyoka ni balaa sana yupo tayare kuuwa kisa madaraka
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 күн бұрын
Na huo uhalisia wa viongozi wetu wengi wa sasa🥲
@rosemarenga832
@rosemarenga832 2 күн бұрын
​@@aishaomar2287kwel kbxaaa d Wala ujakosea
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 күн бұрын
​@@aishaomar2287Umeongea Pointi msingi sana
@saidali-ur9dk
@saidali-ur9dk 2 күн бұрын
gud
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 Күн бұрын
Ni vitu vyenye vipo faume amekua ruto
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx 2 күн бұрын
Tafadhali ukiomba like 👍 kumbuka kutwambiya ulipo ziwekaaa😎🤏🤣🫵🫵🫵🫵au mna semajee team snake 🐍
@user-uq8ey8bz3t
@user-uq8ey8bz3t 2 күн бұрын
Wanakeraa n kuomba like maana wamezieka
@IbraDigila
@IbraDigila 2 күн бұрын
Sana tu
@mwanahamis-bg3xu
@mwanahamis-bg3xu 2 күн бұрын
Kwanza sijui waache kuangalia kabisa maan wanachosha
@user-pl7mm1jq7f
@user-pl7mm1jq7f Күн бұрын
Kabisa
@CarolyneSimiyu-xq7qk
@CarolyneSimiyu-xq7qk Күн бұрын
Napenda sana ujasiri wa mwasi na maongezi ya chief ya upole kutoka mwanzo
@user-sp8bc5pi4q
@user-sp8bc5pi4q 2 күн бұрын
Clam ushakuwa unazinguwa sasa. Filamu gani hii ya mwaka mzima. Usichoshe watu, mwisho watu watapunguka katika kukuunga mkono, huu ni mfumo m'baya sana wa kibiashara.
@user-il2up6ig4j
@user-il2up6ig4j Күн бұрын
😂😂😂😂
@Chrismamesofficiel
@Chrismamesofficiel 2 күн бұрын
Usinipe like atakama mimi wa kwanza lakini like clam kazi alio ifanya na uni follow na mimi
@DamarisDammie
@DamarisDammie 2 күн бұрын
Wapi likes za mbio wazeeee wamekimbia watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kiprotichpeter1386
@kiprotichpeter1386 2 күн бұрын
Nilikua nafikiria mie wa kwanza toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 but...👍
@DamarisDammie
@DamarisDammie 2 күн бұрын
@@kiprotichpeter1386 😂😂😂😂 team wifi hatuchelewi kamwe
@user-bi9pl4eu2o
@user-bi9pl4eu2o 2 күн бұрын
Kazi nzuri bro mbwela big up sana
@ShaxIsmail
@ShaxIsmail 2 күн бұрын
Ila uyo dad aliyetoa mimba ni bonge la mwigzaji natufanya Hadi tunatokwa na machozi😥👏👏
@ashurahamiss
@ashurahamiss 2 күн бұрын
Here we go again na again kaz nzur kama Jana na Leo 🎉🎉🎉af c mnipe izo like jmn 😒 hamjui znaleta utajir 🤧😁taratibu jmn mcnigombeze kiustarab tyuu😘😂❤🎉🎉🎉
@ZuwenaLandism-ft1lb
@ZuwenaLandism-ft1lb 2 күн бұрын
Dah sa itakuaje faras kamezwa
@abdallahmakunge4029
@abdallahmakunge4029 2 күн бұрын
Kwanza niwape hongera kwa kutembea bila ya viatu kwenye vichaka😂
@rukaiyaali6148
@rukaiyaali6148 Күн бұрын
😂
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga Күн бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo❤
@zascotz3662
@zascotz3662 2 күн бұрын
wakwanza gonga like 😂😂🎉🎉🎉🎉
@user-ny6ew8gv1b
@user-ny6ew8gv1b Күн бұрын
😂okay
@user-ql1wq6ii1r
@user-ql1wq6ii1r 2 күн бұрын
Wangapi mnamkubali mwasi nakupenda sana natoka burundi nawapenda nyote
@nasraemmanuel
@nasraemmanuel 2 күн бұрын
Wale mlioangalia hadi mwisho makofi kazi nzuri sana vevo na timu zima
@abudaizyvonvincer8701
@abudaizyvonvincer8701 2 күн бұрын
Oooooyaaaaa!!! Wanangu wa snake 🐍 boy 👦 tuleni utamu safi huu kutoka kwa vevo
@colineycharles3185
@colineycharles3185 2 күн бұрын
Leo me wakwanza nipate like zangu
@EnfridaManyama-xs5ub
@EnfridaManyama-xs5ub 2 күн бұрын
Wanaoamini kuwa ntanzi anaota like hapa
@Mscamel
@Mscamel 2 күн бұрын
Sio Mwasi lkn?
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 2 күн бұрын
😂😂😂😂
@lilianThomas-te6ly
@lilianThomas-te6ly 2 күн бұрын
Mmh ngoj tuone
@seifkagawa6918
@seifkagawa6918 Күн бұрын
😂😂😂😂
@njutujedeofficial2998
@njutujedeofficial2998 Күн бұрын
Nami naamini hivo
@Man_of_valor
@Man_of_valor 2 күн бұрын
Duuh! Speed ya Mwasi kwenye mbio!🚀🚀🚀🚀🚀
@philipolugoma3796
@philipolugoma3796 23 сағат бұрын
Clam hana mpinzani kwa sasa kama unaamini gonga like za kutosha kumspoati mwamba wetu🔥🔥🔥🔥🔥
@Better0world
@Better0world 2 күн бұрын
Leo wakwanza nipewe likes zanguu
@user-id9rx1bh5u
@user-id9rx1bh5u 2 күн бұрын
Leo nimewah jaman 😂😂😂😂 nipen like na mim🎉🎉
@mereretv1304
@mereretv1304 2 күн бұрын
Huu mzigo mbona kama unaenda mwisho 🎉🎉🎉
@user-dq8sy1ey5u
@user-dq8sy1ey5u 20 сағат бұрын
Nani hajaamini mtanzi atamezwa na chifu kama mimi,mbona naona kama ni ndoto team Clamvevo mpo❤❤❤
@bensonmusyoki7827
@bensonmusyoki7827 2 күн бұрын
Mapema dio best wapi likes za kutoka kenya
@charitychadrek
@charitychadrek 2 күн бұрын
Haya lisa limoja nam reo nimewahi siwezi kuomba like lkn nakupa hongera cram kwa kaz mzuri unayofanya congratulations 🎉
@kassimabussa6583
@kassimabussa6583 Күн бұрын
Ambao wanaufatilia snake boy tokea season ya Kwanza mpaka Leo tujuane hacheni kuomba like fatilien movie nzuri yenye ubunifu mkubwa
@ngoshanangi8629
@ngoshanangi8629 Күн бұрын
Nakubali sana kaka Yangu mwana Cris nikiwa pande za shinyanga, kahama Mjini
@user-fj6ql8vh1x
@user-fj6ql8vh1x 2 күн бұрын
Sitaki like ya mtu mimi naangalia tu😂😂😂❤
@Barnizeboy
@Barnizeboy 2 күн бұрын
Leo nime chelewa kidogo naomba like mbili tu 🔥🔥🔥
@mkondefrancy8662
@mkondefrancy8662 2 күн бұрын
😁😁
@SamwelGeorge-hf8qv
@SamwelGeorge-hf8qv 2 күн бұрын
Wadau wa snake boy naomben like plz
@user-ts1sp7ei6b
@user-ts1sp7ei6b 2 күн бұрын
Mbona shida sasa ngoya tuone nyoka hitahishiya wapi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@YusuphAl-Marzouq
@YusuphAl-Marzouq 2 күн бұрын
Shukraan kwenu nyote mlioshiriki katika movie hii hakika mnahitaji pongezi sana 🤝🤝🤝
@AhmadKanasa
@AhmadKanasa Күн бұрын
Nipen nami like zenu jaman
@user-ly9hu5vx7k
@user-ly9hu5vx7k 2 күн бұрын
Kazi nzuri I'm watching from Saudia Arabia much love
@brighton3693
@brighton3693 2 күн бұрын
me siwezi kufanya kazi ya kuomba like kila muda badala ya kussuppot watu wanao fanya kazi nzr
@hitramo8589
@hitramo8589 2 күн бұрын
Wakwanza leo leteni like zangu msininyime😊
@evodjohn7946
@evodjohn7946 2 күн бұрын
Chukua ulipoziweka
@JaguarEscobar
@JaguarEscobar 2 күн бұрын
Pumbavuuuuu yani notification inanifikia asaiv kumbe watu washa moment mda tu na tangia morning Niko online
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 2 күн бұрын
Jamani kazi ninzuli sana hongereni sanah pia mabolesha nimuhim zaidi mana tamsiliya hii Niya viwango kama inge kua inatafsiliwa kwa kigeleza hapo chini inje ya Africa 🌍 ingependeza wegi mwisho kazi isiwe inachelewa sana jamani pa 1 Mungu awatie nguvu❤❤❤❤❤❤
@rajabusaidi6692
@rajabusaidi6692 Күн бұрын
kuomba like tu kumpongeza clam kwa kazi nzur ahaaa
@adinanzacharia409
@adinanzacharia409 2 күн бұрын
Haya na mm Leo niwe kama wale waomba like nizione sasa
@Mukansconstruction
@Mukansconstruction 2 күн бұрын
Since Steven kanumba passed away, Bongo movies never had a best movie like this one ,please guys we need to support this guy because I can't get bored with it
@SheenWorries
@SheenWorries 2 күн бұрын
You said it all
@whitebraysonwhitecode6756
@whitebraysonwhitecode6756 Күн бұрын
Mimi naona hii tamthilia nikali sana napia tunafurahi sana kupata kitu kizuri ❤❤🎉🎉🎉
@RamboMcMzawa
@RamboMcMzawa Күн бұрын
Daaah!! Ntanz maskini ya mungu imaya inakutegemea ona Sasa unamezwaa kizembee hivii😢😢najiuwaa mimi
@Ramadhan-bp9ro
@Ramadhan-bp9ro 2 күн бұрын
Wakwanza ni Mimi kuona hii movie so nataka ma likes ziteremke kama maji
@downshow1934
@downshow1934 2 күн бұрын
Wa kwanza jaman nipen likes kwa clam vevo
@hassaniselemani997
@hassaniselemani997 23 сағат бұрын
tumewachoka mnaopenda kuomba like
@JohnBwija-xg5pf
@JohnBwija-xg5pf Күн бұрын
Clam vevo ni mwamba sana anajuwa sana
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 2 күн бұрын
Oi wa kwanza naombeni like zangu jmn 🤣😂😂 Timu VEVO mnajua sanaaa Hadi kero saruti kwenu ❤
@Teddyzhukenya_
@Teddyzhukenya_ 2 күн бұрын
Kazi Nzuri Sana Clam Vevo Nakufwatilia sana toka KENYA 254
@simonsilvestar1039
@simonsilvestar1039 Күн бұрын
Maandamano vp uko
@Teddyzhukenya_
@Teddyzhukenya_ Күн бұрын
@@simonsilvestar1039 Vita ndugu yangu akuna amani raisi amegeuka
@allyallymakius1133
@allyallymakius1133 2 күн бұрын
Iii movie anaye fanya Vizuri sana ni zinga inatakiwa Zinga ajutie makosa aliyo yafanya aungane na Ntanzi p1 na kina Kakoso ili wamuangamize Chief kisha aludishiwe ntanzi nguvu zake anaye kubaliana na mimi tujuane kwa Coment fupi onyo usitume Coment ndefu sitopoteza mda kuisoma😂
@NdyamukamaEdmund
@NdyamukamaEdmund 2 күн бұрын
hongera sana Clam Vevo mm binafsi unanipa furaha sanaaaa
@JapharyMarandu
@JapharyMarandu 2 күн бұрын
Mi wa kwanz leo kutoka temeke naomba like zangu
@Lovekidoti32
@Lovekidoti32 2 күн бұрын
Et like zangu Nani aliekwambia like ni zako😂 kama ni zako chukua 😂😂
@JapharyMarandu
@JapharyMarandu 2 күн бұрын
@@Lovekidoti32 😂😂
@gospelflavour
@gospelflavour 2 күн бұрын
Habari yako mtu ya mungu.......Bwana yesu apewe sifa...natumai upo mzima nakualika kuskiza wimbo huu natumai utabarikiwa...pia usisahau kushare na rafiki ili pia nao wazidi kubarikiwa na ujumbe wa wimbo huu kzbin.info/www/bejne/gGiyoIuuaciVnassi=nI5sVbWgHgeSpbns
@stephenbiko3869
@stephenbiko3869 2 күн бұрын
Salmia Chege Na Temba
@user-ep3it9qe4j
@user-ep3it9qe4j 2 күн бұрын
Mnaomba tyuu like kutoa ushauri wa hii movie aaaaahh😊
@user-lz6pu9re2l
@user-lz6pu9re2l 22 сағат бұрын
Hii movie mnataka fanya kama series za kihind limekwisha hili mnareta jingine
@li2yleonard585
@li2yleonard585 22 сағат бұрын
Kabisa
@marygorethtemu4959
@marygorethtemu4959 2 күн бұрын
Sahivi watu hawaekwi kwenye chupa ya Faume, wanahifadhiwa kwenye tumbo la Faume 😂😂
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 күн бұрын
Daah 😂😂😂😂
@jafarigardener3871
@jafarigardener3871 Күн бұрын
Ha ha ha
@nellymujinga
@nellymujinga 2 күн бұрын
Mnipeni ata like 5 jameni from drc
@MichaelDanny-ge2qz
@MichaelDanny-ge2qz 2 күн бұрын
Nimewahi leo like zangu jamani
@kipzik8029
@kipzik8029 2 күн бұрын
Please sana fanyeni yote mfanyayo Ntazi asife please 🙏🏿 😭😭😭😭 I'm supporting Snake boy from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Allez de l'avant
@Prem_Rich
@Prem_Rich Күн бұрын
Hapo Clam Vevo, angemeza kila mtu hata wasio na hatia, bora huyo mwamba anaji control
@user-wi4kr2zr7x
@user-wi4kr2zr7x 2 күн бұрын
Waliousubiri mwezi wa 7w@snake bigg bosssssss ginga chuma tunakitazamia apa sasaaaaaa😮😮😮😮😮😂😂😂
PLAN B _ Episode 3
35:19
kp wa Aquino
Рет қаралды 40 М.
MKOBA WA MAMA Episode  [  7  ]
24:56
TANU PLUS+
Рет қаралды 19 М.
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 21 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 13 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 16 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 187 М.
MKE WA JIRANI PART { 5 } #directorgozi
14:22
DIRECTOR GOZI
Рет қаралды 37 М.
SNAKE BOY | ep 25 | SEASON TWO
32:49
CLAM VEVO
Рет қаралды 616 М.
HOUSE GIRL  EP 28 || love story💞💕
23:37
BUSATI TV
Рет қаралды 99 М.
MKOBA WA MAMA  Episode| 1 |
22:24
TANU PLUS+
Рет қаралды 207 М.
STEVE KAMFATA DEM MBAGALA KISA NAULI KWA MGUU
11:24
Steve Mweusi
Рет қаралды 213 М.
KUFULI | EP 2 |
20:56
KIM VEVO
Рет қаралды 15 М.
IBRAHIM TRAORE AMEKUWA RAIS WA MILELE BURKINA FASO KWA MENGI ALIYOIFANYIA NCHI
42:26
Когда все обошлось 😮‍💨 | Королева Двора
0:16
Аминка Витаминка
Рет қаралды 3,9 МЛН
ЗА ЧТО ЧАПИТОСИКИ ТАК?🥹🥹
0:22
Chapitosiki
Рет қаралды 50 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
0:18
HaHaWhat
Рет қаралды 6 МЛН
I Can't Believe We Did This...
0:38
Stokes Twins
Рет қаралды 21 МЛН
Такие сладости мама точно разрешит
0:22
Даша Боровик
Рет қаралды 1,5 МЛН