No video

PROF:KABUDI AWAOMBA MAPADRE MSAMAHA/VICHEKO VYATAWALA KWENYE MSIBA WA MONSINYORI MBIKU/YUPO MBINGUNI

  Рет қаралды 49,457

Breez Online Tv

Breez Online Tv

3 жыл бұрын

#RestInPeace #BreezOnlineTv

Пікірлер: 61
@fridaupendomushi1081
@fridaupendomushi1081 Ай бұрын
Proffessor Kabudi huwa unanikosha kwa hotuba zako.❤
@nsodyaphilimon9153
@nsodyaphilimon9153 3 жыл бұрын
Kabudi naona kama barakoa leo kavaa. Hv niyeye? Ila kaona anashindwa kupumua akalivua. Hakika Magufuli ulitumia Moyo uliojaa ujasili na Imani yenye kuwasiliana na Mungu kutuponya, hakika umetuachia donda mioyoni. Mungu akulaze mahali pema. Waliokuwa chini yako huenda wakakusaliti Ila uliwabatiza kisawasawa hivyo hautasalitiwa 100%. Kabudi nakuelewaga kwenye speech zako na zinanifanya nikufuatilie sana
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Profesa ni profesa tu. hata kiswahili unakipa nafasi kila mara ukiwa ktk ghafla. Hongera. Hakika Monsinyori Mbiku alikuwa ni Baba wa Kiroho na mwalimu wa kanisa. Rahaha ya Milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzile kwa amani amina
@marysona9999
@marysona9999 Ай бұрын
Hadi leo mimi huwa nasema, Wewe ukisimama kuongea, huwa unaunguruma maneno yalijaa ushujaa , uzalendo wa kiuongozi na yenye nguvu na mtirririko wa kihistoria katika Taifa letu la Tanzania. Hongera kwa akili kali na kwa zawadi ya imani.
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 3 жыл бұрын
Mungu aipokee roho ya marehemu Mon.Deogratius Hukumu Mbiku katika nuru ya uso wake. Amina.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Huyu father Ana kipaji sana
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 3 жыл бұрын
Very strategic speaker n leader
@aloiceoduorokoth230
@aloiceoduorokoth230 3 жыл бұрын
Prof Kabudi has been truthful always in everything he says and does. God bless 🙏 his family and friends in Jesus's name .
@myselectlimited688
@myselectlimited688 3 жыл бұрын
I enjoy listening to him
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 3 жыл бұрын
Ooh: mungu amlaze mahari pema amuangazie nulu ya milele 🕯🕯🙏🤲
@hidayausanga382
@hidayausanga382 3 жыл бұрын
Mwaka Mbaya sana huu 2021
@kessyantoy6223
@kessyantoy6223 3 жыл бұрын
Maneno Mataamm Sana Mzee Kabudi, Mwenyezi Mungu akutangulie
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 10 ай бұрын
Amina
@christophermbunda2172
@christophermbunda2172 3 жыл бұрын
Apumzike kwa amani baba yetu
@evanemes1567
@evanemes1567 3 жыл бұрын
Prof umeongea point sana. Halafu kumbe we ni mkatoliki! Jina lako lilikuwa linanipa shida kujua upo upande gani wa dini. Hongera sana. R,I,P Monsinyori Deogratias Mbiku.
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 3 жыл бұрын
Sio mkatoliki ni Anglican...ndio maana KASEMA mkatoliki wa Uingereza
@evanemes1567
@evanemes1567 3 жыл бұрын
@@clausemsemwa297 oooh nashukuru kwa kunielewesha. Ndo maana alisema hivo kumbe!
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 3 жыл бұрын
Ni Anglican low church ilipo dodoma
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 3 жыл бұрын
Na babake alikuwa Canon huko Mvumi na baadae rift Valley Kilimatinde na ndiko alikizikwa huyo babake.
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 3 жыл бұрын
@@clausemsemwa297 upo sahihi kabisa
@denismatowo5627
@denismatowo5627 3 жыл бұрын
Hongera Prof Kwa speech Nzuri
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 3 жыл бұрын
Prof.Kabudi is a very wonderful man,He doesn't deserve appreciation in his absence, He should be told how smart he is to move on
@happinessmtui8571
@happinessmtui8571 3 жыл бұрын
Nitakukumbuuukk Daima na Kuombea upumzike kwa Amani Father
@hoseakavubu2844
@hoseakavubu2844 3 жыл бұрын
Ujumbe mzuri. Raha ya milele umpe eeBwana.
@annamushiaminaaa4367
@annamushiaminaaa4367 3 жыл бұрын
Kabudi Leo umevaa barakoa bbaa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 жыл бұрын
Amekuwa hana msimamo
@kilapilo.kilapilo5292
@kilapilo.kilapilo5292 3 жыл бұрын
Ni kigeugeu sana huyu jamaa, yaanii natamani 'yule mwamba' wa Chato angefufuka japoo siku chache & ashuhudie vimbwanga vya hawa waliokuwa wasaidizi wake.
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 3 жыл бұрын
RIP FR MBIKU TUNA MSHUKURU MUNGU KWA ZAWADI YA UHAI WAKO
@mihayoyabhupangachannel9909
@mihayoyabhupangachannel9909 3 жыл бұрын
NYIE MMEVAA TUNINI MIDOMONI!,SINDILIA AU!
@mbarakajummadindamadinda491
@mbarakajummadindamadinda491 3 жыл бұрын
Kaanza kufaa barakoa
@helencyprian6044
@helencyprian6044 3 жыл бұрын
Amina barikiwa
@goodmorningonlinetv5637
@goodmorningonlinetv5637 3 жыл бұрын
Kristu tumaini letuu
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 3 жыл бұрын
God knows everything.
@winterkasela9033
@winterkasela9033 3 жыл бұрын
Nawashangaa Watanzania wanaovaa barakoa wakati mungu katupatia neema ya kuishinda corona mtu uko kanisani bado tu unaonyesha unafiki kwamba corona inamzidi mungu unavaa barakoa mnasalii au mnacheza.
@williammasubi1114
@williammasubi1114 3 жыл бұрын
Wewe na hiyo imani yako isiyo na matendo acha kuvaa barakoa. Waache wenye imani ya kweli ya matendo wavae kujilinda wao na kulinda wengine. Imani bila misingi ya sayansi ni ushirikina. Wewe ni mshirikina tu! Watu wanakufa kwa korona wewe unaleta ushirikina wako hapa!
@csato9415
@csato9415 3 жыл бұрын
🚮🚮🚮🚮
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani father askofu
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
R.i.p
@julianadaudi8541
@julianadaudi8541 3 жыл бұрын
R.IP Baba Mbiku.
@lutulalihim1585
@lutulalihim1585 3 жыл бұрын
Kwanini ndugu zetu wa kristo kanisani nawaona wa zungu huwa wana mana hipi 🇺🇸
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 3 жыл бұрын
Wamisionari
@godfreykapalale1546
@godfreykapalale1546 3 жыл бұрын
hao ni mapadre,.
@givasmwananzumi5941
@givasmwananzumi5941 3 жыл бұрын
Huwa wanamwabudu kristo
@lwanjiedna5233
@lwanjiedna5233 3 жыл бұрын
Wanaletwa na mashirika yao kufanya kazi ya kanisa
@onamasaki1211
@onamasaki1211 3 жыл бұрын
Kama ilivyo kawaida kuwaona waarabu msikitini
@babayao3791
@babayao3791 3 жыл бұрын
kabudi amevalia barakoa
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 3 жыл бұрын
Barakoa imemshinda kaamua kuishusha, barakoa zinatesa sana pia zinasaidia kidogo sana, na inafanya ile hewa chafu ishindwe kutoka nje maana umeziba sehem zote za kuitoa pua na mdomo hivyo inaendelea kuzunguka humo ndani, barakoa sio nzuri kuvaa zaidi ya masaa 3
@essammanyologa3934
@essammanyologa3934 3 жыл бұрын
Kumbe akili zipo huyu mzee
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Alikua mcheshi huyo padre
@faridymkojera6144
@faridymkojera6144 3 жыл бұрын
Leo kabudi unavaa barakoa hahahahaaaa🤸‍♀️
@rithamsele8275
@rithamsele8275 3 жыл бұрын
Nilikuwa na promise nae mwezi June tuonane.Alinilea sana Mungu ampokeee
@mubahamisi1075
@mubahamisi1075 3 жыл бұрын
Bado kununua chanjo tu!
@rwebangiraruta7704
@rwebangiraruta7704 3 жыл бұрын
rip
@ishaelkivuyo1188
@ishaelkivuyo1188 3 жыл бұрын
Huyu professor ni wa ajabu sana leo anahutubia huku amevaa barokoa Mbona zamani alikuwa hatumii au ulikuwa ni uoga wa kutotaka kumuudhi marehemu ?
@magdalenajohn6564
@magdalenajohn6564 3 жыл бұрын
Umevaa barakoa Sasa eeehhh?
@tumahamza8972
@tumahamza8972 3 жыл бұрын
Kavaa nakuvua vilevile
@maishayakipepeo7309
@maishayakipepeo7309 3 жыл бұрын
Acheni siasa tupu!! Barakoa hazijakatazwa na wala hazijalazimishwa.... ndo maana Una uhuru wa kuvaa na kuiondoa! Ndo akili za kuambiwa ukachanganya na za kwako!!!
@nyotasingers
@nyotasingers 3 жыл бұрын
Tanzania haina corona. Mbona mabarakoa?
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
Imani ndogo.
PROF KABUDI AWARUDISHA WABUNGE SHULENI KWA DAKIKA 13 ASHUSHA NONDO
13:07
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 22 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,9 МЛН
Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"
17:33
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН