Prof Kabudi I salute you for the valuable history knowledge you are imparting . Umetuheshimisha sana mkoa wa singing Asante
@kananipius26499 ай бұрын
You must be genius, honorable Kabudi
@eddahkobong2719 ай бұрын
Kweli Professor Kabudi ni safi anaeleza vizuri sana . Ni kweli mkumbuke sana
@sadiibrahimu43038 ай бұрын
Hani sana
@emmanuelmlekwangano99919 ай бұрын
I saute you sir
@djpassovertz..tunaishimaramoja9 ай бұрын
Singida my singida..Tunawezatengeneza Kitabu kikubwa ambacho wanafunzi wote wa mkoa wa singida ikiwezekana tanzania nzima waisome hii historia na kujua kua tumetoka wapi na tupowapi..Mkalama-ibaga ndo kwetu.
@hassanmoalimmuse60149 ай бұрын
Umemsahau Tundulisu
@user-ru7zb6bu2m9 ай бұрын
Mzee joseph sinde warioba butiku imekaaje
@solomonadams63379 ай бұрын
Wewe unajidan'ganya kua na ndugu Oman😇,
@miltonjohn97795 ай бұрын
Kwan huko huko Oman ni mbinguni?
@VenerandaKundi-ph4hg9 ай бұрын
We jembe we ukweli ni mzalendo kweli pia una upendo mungu akulinde ❤❤❤❤❤
@bbclondonulimwenguwasoka61269 ай бұрын
Please Rais mkumbuke Kabudi jua mumefanya kazi wote Enzi za JPM.
@enthusiastic61109 ай бұрын
Mbn ni mshauri wa rais ikulu ...au mpk watangaze
@bbclondonulimwenguwasoka61269 ай бұрын
@@enthusiastic6110 ni mchongo not so seriously
@user-dk5kk4rf3v9 ай бұрын
Huyu ni kichaa usomi wa bure amenities kukaririshwa ujinga na kuniita msomi ..mavi
@josephlorri4319 ай бұрын
Usikimbie ukweli, leta unachojua
@selemanshidda96889 ай бұрын
Unapingaje jambo bila ya wewe kuleta lako tulijuwe? Mbona wewe hujatuambia lako kabla ya yeye kutuambaia lake!! Jenga hoja kisomi!! Acha ujinga!! Huyu ni msomi wa ngazi ya utafiti (PhD)!! Hasemi jambo bila kulifanyia utafiti kwanza. Analifanyia utafiti kwanza jambo na akiridhika ndio analitolea maelezo. Huo ndio usomi wa ngazi ya Uprofesa!! Ninakupa siku tano ili na wewe utuletee la kwako!! Usipofanya hivyo basi tutajua kuwa wewe una chuki binafsi!!! Yaani una wivu mbaya kuhusu kisomo chake!!! Na wewe kasome kama yeye!!!