Wizara inayohusika na Utamaduni na Michezo, sioni nyanja ya Utamaduni ikitendewa haki, ni kama sisi hatuna Utamaduni na wala hatuna wivu nao! Huoni matamasha ya nyimbo za asili-makabila! Huoni juhudi za kurithishana mila na desturi za Kiafrika! Natamani sana kuona haya yakifanyiwa kazi, maana social media inatafuna asili zetu, tamaduni kwa kasi kubwa sana!
@simonmagembe74162 сағат бұрын
Nape tulipigwa kwenye nafasi hii.
@MuhammeduallyСағат бұрын
Mh,tunashukuru kwakumtoa maana huyo anaushabiki wa usimba,na ww mzee jipange wizara ngumu