Mungu akubariki sana Prof kwa presentation nzuri inaeleweka vizuri mno ..ni swala la mda tu haya mambo yatakuwa dhahili.
@IreneLyse4 ай бұрын
prof.jackson Mungu akubariki ❤ kutoka Burundi
@mgosingwa20002 ай бұрын
Ushauri wangu kwa akina mama ni huu; msiingizwe chaka kwa uchambuzi wa kisiasa. Maandiko yalisema wazi kwamba siku za mwisho watakuja wapotoshaji wa neno la Mungu kwa hoja za kisomi (2Petro2:1-2). Utata wowote kwenye huduma aulizwe Roho Mtakatifu na siyo waandishi (scribes) kwa maana hao hao walimpinga hata Bwana Yesu! Huu usemi 'Mungu ni progreesive' ni siasa za mrengo wa kushoto za kimagharibi; walianza kusimika wanawake, wakaja kufungisha ndoa za jinsia moja na hawataishia hapo. Mungu hajawahi kuanza, wala hakui na hatozeeka!!
@Shedrackkajubi4 ай бұрын
Hakuna 😮😮😮😮
@williamntungilahe55984 ай бұрын
Nimebarikiwa kukuona Nyanda.Nilikuona zamani 1984 chuo Cha ualimu Tabora
@erastomwambeje99202 ай бұрын
Hamuwezi kuongea kujenga HOJA.
@SusanaSimoni4 ай бұрын
Mmmmh mmechanganyikiwa kutosha
@Annsikoboy-ut8bs4 ай бұрын
Maajabu. Sasa huyu profesa wenu, amesema mungu wa kike "atemi" aliweka wanawake mbele. Mtume Paulo akayakosoa na kuweka haya ya leo katika Biblia. Swali ni je, profesa... uko wapi? Paulo yuko sawa ama "atemi"?