Professor Jay, Black Rhyno, DonKoli, Mr Teacher & Simple X - KAZA (Official Video)

  Рет қаралды 231,569

ProfessorJay

ProfessorJay

Күн бұрын

Пікірлер: 335
@djb2kzer0
@djb2kzer0 5 жыл бұрын
Kazi autaki kufanya ume baki una lalamika Na wenzako wana kucheka ..... Huu mstari kama una Mlenga Barack Da princes gonga like apa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@danieldeogratus1683
@danieldeogratus1683 5 жыл бұрын
Hawa jamaa ni wakali sana sana sana ila hawafanani hata kidogo na kila mtu ana makali yake naomba msikilize kwanzia 1:30 He is Don Koli i call him the Badest Koli #Respect
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 5 жыл бұрын
Nakubali Sana Mh. Ni 🔥 🔥 🔥
@sallilemafuta2164
@sallilemafuta2164 5 жыл бұрын
tshapa kaz, mwana mziki borah! na fagiliya toka Kongo DRC
@sbdennovevo-zoukstar
@sbdennovevo-zoukstar 5 жыл бұрын
Kali sana wale wa 254 twende pamoja hadi kieleweke
@donprince9752
@donprince9752 5 жыл бұрын
Appreciate u all ..father jay dance ako imenifanya Ni comment nakupend sinc katoto cjajua lyf til now nakaza2
@mkijomutv9633
@mkijomutv9633 5 жыл бұрын
Mzee babaaaaaaa nomaaaaaaa
@giftnjegere4267
@giftnjegere4267 6 ай бұрын
Naona uleling'ombe ,wewe ni mkombozi sana , uleling'ombe ilikua haisikiki yaani ila wewe ulifanya isikike na ulikua unaenda
@Citytv2014
@Citytv2014 5 жыл бұрын
Kuna unyama umefanyika ndani ya hii nymbo balaa,Best hip hop 2019
@WelldonKinaro
@WelldonKinaro 4 жыл бұрын
Kutoka Kenya, Prof Jay anaaminika kweli. Kazi Nzuri
@dokasalim943
@dokasalim943 5 жыл бұрын
Kaka mkubwa wa prof jay alopiga verse ya pili wanafanana sana sauti na Heavyweight kwa kweli big up this hip hop family u made it.!!!
@Andallah-k3j
@Andallah-k3j 7 ай бұрын
Mdogoake black rhino
@mwaisenyemwandela9392
@mwaisenyemwandela9392 5 жыл бұрын
Nakufahamu toka enzi Za kikao cha dharula
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 5 жыл бұрын
Zipo familia za mpira, ngumi nk, Ila haule family ni mziki tena Hip Hop
@khamissoud1305
@khamissoud1305 5 жыл бұрын
nimewaelewa sana aiseee #kaza
@jadixtheblacker3411
@jadixtheblacker3411 5 жыл бұрын
kaza inakaa sawa
@40kstore
@40kstore 5 жыл бұрын
mabraza wametisha sana,kuanzia michano mpaka muenakano,bonge la ngoma,black rhyno bado rap inamuhitaji.
@manfredlilanga7995
@manfredlilanga7995 5 жыл бұрын
Bonge LA chupa namwelewa sana prof. Kazi zako mzuri bro hujawahi kosea
@carloskitheka5401
@carloskitheka5401 5 жыл бұрын
Kwa kweli wa waTZ mnakuanga mmebarikiwa sana kwa upande wa mziki na sio siri nyinyi hamlazimishi usanii.
@sibiromallya5894
@sibiromallya5894 5 жыл бұрын
Wazeeee wanakazaaaa
@ngoniboychef5703
@ngoniboychef5703 5 жыл бұрын
Haule family daah noma sana
@samsonnyamawi4151
@samsonnyamawi4151 5 жыл бұрын
Mipango tulipanga na hatua tukachukua.... #Kaza 🔥 🔥 🔥
@djb2kzer0
@djb2kzer0 5 жыл бұрын
Kuimba utamu wa wimbo upo mwishoni Nani mwengine kacheka baada ya kumuona Jay ana cheza robot Like tujuane 😁😁😁😁😁😁
@erickfredrick7382
@erickfredrick7382 5 жыл бұрын
Kazaaaaaaaa🙉🙉🙉htr na nusu profesa hapa mwaka ushaisha mbn
@kombajulius5937
@kombajulius5937 5 жыл бұрын
Mmetisha wazee kaza tu
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 5 жыл бұрын
Kitaaaaaambo mpaka sasa
@cletusprotas9538
@cletusprotas9538 5 жыл бұрын
Talented family bonge ya joint asee
@majoking8154
@majoking8154 5 жыл бұрын
Uyo mzee nomaaaaa
@nicklassmmbaga
@nicklassmmbaga 5 жыл бұрын
Mzee Haule sio mtu wa kawaida
@daudimkwela
@daudimkwela 5 жыл бұрын
NICE. Hili ni Lizombe kweli. Safi sana.
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 5 жыл бұрын
Kazi tamu sanaaaa
@Joshuaratemo6178
@Joshuaratemo6178 5 жыл бұрын
Hii ngoma ni Kali.. inahitaji pia Khaligraph Jones
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 5 жыл бұрын
Professor hujawah yumba nakubali ngoni boy mwanalizombe,,,,,,,like hapa
@djomskenya
@djomskenya 5 жыл бұрын
Asante sana Prof mwanasiasa halisi, njoo kafunze hawa wakenya wakaze 👍👍👍💪
@arsenalwenger4797
@arsenalwenger4797 5 жыл бұрын
I salute brother J and the rest of you. The track is tight... yani mme Kaza kweli. Hamna sauti za kubana. Mnarudisha Hip hop za kale. Only Juma nature hayupo angekuepo duuuuuh
@halfanmundo622
@halfanmundo622 5 жыл бұрын
Noma kweliiiiiiiiiii
@monkeyadventureskenya1978
@monkeyadventureskenya1978 5 жыл бұрын
kali sana toka kenya prof j babalao nipe discount nilete wageni mikumi
@faustinekawe742
@faustinekawe742 5 жыл бұрын
Enyewe ni goma moja hatareeeee sana kitaa, Kwakweli ni la kufunga mwaka, wabheja bhabha
@bajunihilali95
@bajunihilali95 5 жыл бұрын
Kaza ngoma Kali sana
@ngoniempire2181
@ngoniempire2181 5 жыл бұрын
Hata sijui huyo Donkali mnamficha wa nini na kawanyoosha kishenzi mpeni nafasi
@peteradonga7668
@peteradonga7668 5 жыл бұрын
DonKoli ametisha Kinoma...
@athoningonyani5600
@athoningonyani5600 4 жыл бұрын
Daaaaa mmetish sana kuna dingi hapo mstarabu San cjui nan
@centralboytz4240
@centralboytz4240 5 жыл бұрын
Nakubali chief🔥 tukaze tuu hamna namna
@ismytime2009
@ismytime2009 5 жыл бұрын
Familia ya hip hop noma sana
@Dr.zaidi4
@Dr.zaidi4 5 жыл бұрын
Jay -chuma cha reli.Hakikauki,hakiozi
@vitalresspeter7295
@vitalresspeter7295 3 жыл бұрын
kizazi sana kuluhu iko poa kifupi inajua kazi noma sana wapi wa mitulinga mzee jy
@dizzohmwinjilisti2549
@dizzohmwinjilisti2549 4 жыл бұрын
hii ngoma yafaa 10 million views.....nani ako hapa april moja......254
@abeshem7322
@abeshem7322 4 жыл бұрын
Haya mabrothers yote yako na vitambi asee🤣!! My best rappers of all time. Keep up the good work ma ngulis wa music
@slimpirate6020
@slimpirate6020 5 жыл бұрын
Wow big up 🇰🇪👏👏👏👑👑🔥🔥🔥
@didigangbop9865
@didigangbop9865 5 жыл бұрын
It’s another One🔥🏆🇹🇿🇷🇼💯💯💯🇺🇸
@manyweleisack8276
@manyweleisack8276 5 жыл бұрын
Jay jay kaza mikumi iwe town kam Chuga 💥💥
@officialsamsilver
@officialsamsilver 5 жыл бұрын
Mmeua sanaaaa
@godwin-daudmusika2697
@godwin-daudmusika2697 5 жыл бұрын
Ngoma kali sana
@fratemushi
@fratemushi 5 жыл бұрын
Tulivikosa hivi vitu mda mrefu sana keep it up walau tupate mara moja au mbili kwa mwaka #profesor jay isiwe mwisho wa hizi ngoma tunakosa mziki mzuri ulitufanya tukaipenda hip hop mheshimiwa #Morogoro1
@jeanceleproofficial4277
@jeanceleproofficial4277 5 жыл бұрын
Kaza maisha ni kamafimbo
@emmanueljudas4522
@emmanueljudas4522 5 жыл бұрын
LA familia..mmetisha wazee
@annaalan9997
@annaalan9997 5 жыл бұрын
nimeipenda sasa
@jaytheboy2393
@jaytheboy2393 5 жыл бұрын
Ni kukaza mpaka kieleweke
@untouchboymsafi1788
@untouchboymsafi1788 5 жыл бұрын
Daaah hapa wamekutana mafundi
@Villagekidtz
@Villagekidtz 5 жыл бұрын
Wile kuwa na aibu. Acha kuwafunika kaka zako. Yaani umewakalisha hadi aibu. Mr teacher kaisha hamna kitu.
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 3 жыл бұрын
Mikumi stand up 👆 mambo ni fire 🔥
@josephmlelwa3175
@josephmlelwa3175 4 жыл бұрын
Pamoja sana
@خسنموس
@خسنموس 5 жыл бұрын
Wapi likes za legend Pro jay 👇 kaza🔥🔥🔥
@VickyVicky-dq8fy
@VickyVicky-dq8fy 5 жыл бұрын
Ngoma imeika vizur sana
@petromashauri2804
@petromashauri2804 5 жыл бұрын
Kaza Nimekuelewa Sana mbunge wa watu na wanyama
@juliusmillya8341
@juliusmillya8341 2 жыл бұрын
Dah kweli noma nimeipenda mno
@damaskabola8255
@damaskabola8255 5 жыл бұрын
Donkolii umeua
@dhonman8803
@dhonman8803 5 жыл бұрын
Safi sana 🇰🇪🇰🇪🙏👌
@noramugo4188
@noramugo4188 3 жыл бұрын
Simple x killed it, this family Iko juu kuliko povu
@franklinemoi8516
@franklinemoi8516 5 жыл бұрын
Balaaaa zitoooooo 🔥 🔥 🔥 🔥
@b9media144
@b9media144 5 жыл бұрын
Pongez kwako Jozze, umewashirikisha wakali wa kitambo hiko sana na kwenye nyimbo wamekaza kisawasawa. Safi sana legendaries💪💪
@jamesmhema8077
@jamesmhema8077 5 жыл бұрын
As long as we're still alive in one way or the other this song is great ✊
@benjaminulanga6749
@benjaminulanga6749 5 жыл бұрын
kwny mitandao mtu mmoja anaweza kujigawa mfano mtu anaweza kujifanya team kiba au team mond ata mara5 lkn wajija kwny uhalisia unakuta mashabiki wote ni wale wale wa team kiba mdo team mond kama unawakubali wanaharakati hawa pita na like zangu za kutosha
@johnplacid8885
@johnplacid8885 5 жыл бұрын
Magu kaza,,,!!!kaza kazzaa oyaheeeeeee
@issackjames8810
@issackjames8810 4 жыл бұрын
Nakwaminia mzee baba we nihatar
@deedan6538
@deedan6538 5 жыл бұрын
Mbunge hujawah kukosea ww bonge LA ngoma *wanaolike wote like hapa*
@lisherjerry317
@lisherjerry317 5 жыл бұрын
Heshima kwako Thabit a.k.a Mr t touch kwa hii beat !! Noma sana 🔥🔥
@elishamngale9521
@elishamngale9521 5 жыл бұрын
Wazee wamemadaaa kazaaa
@geofrayjandwa7404
@geofrayjandwa7404 5 жыл бұрын
Hatariiiiiiiiiii,donkoli kazaaaa
@jacobkasiaro9503
@jacobkasiaro9503 5 жыл бұрын
Simchezo....mmetisha
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 3 жыл бұрын
My brother from another mother ,,,,,tiiisha
@ruffryd3r697
@ruffryd3r697 5 жыл бұрын
+254 tumekubali colabo kali sana ... keep it simple 😎👍🏽
@mwisukulu1
@mwisukulu1 5 жыл бұрын
Mr Teacher flow kali, big up prof
@jossekulwa5998
@jossekulwa5998 5 жыл бұрын
Kaza ni moto 💪💪💪💪 kaza
@gatsinzilavaboy3475
@gatsinzilavaboy3475 5 жыл бұрын
Kazi nzuli nlikua nimesubili ngoma yako jay
@7mc794
@7mc794 5 жыл бұрын
Wooooooza gangster rap music forever
@astonlupiafilmz
@astonlupiafilmz 5 жыл бұрын
nlikua nmemiss this kind of music kazi safi saaaaaaaaaana dope ... acha sisi apa yala kenya tukaze merry christmass to you all
@shabanismaily5777
@shabanismaily5777 5 жыл бұрын
Kaazaaaa
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥kaliii ngoma nai angalia sitamani iishe 😍
@paulomotto3394
@paulomotto3394 5 жыл бұрын
Nakukubali Sana mbunge was binadama na wanyama
@neemabeneth2604
@neemabeneth2604 5 жыл бұрын
Blessed family,,, The Haule good job.
@RomaMichael-ei6di
@RomaMichael-ei6di Жыл бұрын
Nimerud hapa jay🔥🔥🔥🔥🔥
@c.e.omasasi5131
@c.e.omasasi5131 5 жыл бұрын
Baada ya Chuo kikuu naenderea kukaza a duh relly nakazaa
@yusufjuma264
@yusufjuma264 5 жыл бұрын
Family over Everything 🔥🔥🔥
@raymondherberth693
@raymondherberth693 5 жыл бұрын
Big up prf jizeee ,wachalazeee ,Ray thebeyclassic
@benardgati5292
@benardgati5292 5 жыл бұрын
🔥 🔥 🔥 Kwa kweli Jay ni professor wa muziki!!! Nakubali kaza....
@petermunabi3753
@petermunabi3753 5 жыл бұрын
Tamu
@ishaq1690
@ishaq1690 5 жыл бұрын
Kaaaaazaaaa
@ramosfally2318
@ramosfally2318 5 жыл бұрын
Black rhino katisha nani ana like. izo team zenu zinauwa muziki nyimbo nzuli ziko uku
@shadrackrabison8032
@shadrackrabison8032 5 жыл бұрын
Bonge la ujumbe kwa sisi wapambanaji
@kvoicetv
@kvoicetv 5 жыл бұрын
Nimwendo WA kukaza hakuna kulegeza Asante
Profesor Jay ft. Sholo Mwamba - Kazi Kazi Official Video
4:28
ProfessorJay
Рет қаралды 2,1 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Diamond Platnumz ft Mbosso - Oka (Music Video)
3:21
Diamond Platnumz
Рет қаралды 19 МЛН
Lady JayDee ft Professor Jay - Joto Hasira (Official Video)
4:35
Msinitenge (feat. Q Chief)
5:17
ProfessorJay
Рет қаралды 34 М.
Mr. Blue - Mbwa Koko (Official Video)
3:50
Mr Blue
Рет қаралды 1,4 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН