Pastor Katekela. Songa mbele. Uko vizuri Mafundusho yako ni tiba nzuri kabisa Aisee uko na Yesu na Roho Mt duuu unajibu vizuri kwa kiwango cha juu kabisa
@tumainimwakisile4855Ай бұрын
Mungu awabariki sana promoter TV
@HellenDanaАй бұрын
Mchungaji kwa kweli Mungu alikutoa kuzimu ili uje kutufundisha ulimwengu wa kiroho na mbingu zake, barikiwa sana.
@MaombiKamwalaАй бұрын
Mungu amubariki sana kabisa
@komandowayesutvАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua yako
@tumainimwakisile4855Ай бұрын
Shalom watumishi, naomba namba ya mchungaji katekela please
@rizikibahati8364Ай бұрын
Mubarikiwe sana wa tumishi wa Bwana
@KonsolataMnyekeАй бұрын
Nimepiga sana cm hupokei mchungaji
@saramss7262Ай бұрын
MUNGU Awabariki SANA
@ManirakizaJeanette-n3zАй бұрын
Past naomba nipate naomba zasimu Nina shida Sana naishi Burundi
@veronicambilinyi385429 күн бұрын
Kusuka dred za nywele zangu ni dhambi?
@RehemaTitus-y2gАй бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@KonsolataMnyekeАй бұрын
Bwana asifiwe pastor kuna mama ni mchawi alipewa na baba yake tumemuombea miaka mitatu kanisani bado uchawi haumuachii. Akaliharibu sana. Kanisa. Na. Anahitaji sana msaada