HALELUYA na kuishi maisha matakatifu ya naitaji msaada wa Roho mtakatifu. Si rahisi
@romainebashizi7638Ай бұрын
Ni kuhamua kuacha zambi kuishi katika utakaso. Inawezekana. Mungu hayuko mbali, iko karibu na sisi. Amen❤
@RizikiBukuru23 күн бұрын
Mungu akubariki
@hellenmethord3376Ай бұрын
Yesu wewe ni mzuri. Tutie nguvu, utusaidie.
@GoimNikodemАй бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nakukubali sana Niko pamoja na wewe nikiwa iringa kilolo tuombeane ktk safar hii ngumu ya wokovu ili tumshinde shetan tukaingie mbingun wote
@messikihongosi5290Ай бұрын
🙏🙏 mimi pia namfatiria nikiwa ipogoro
@samsonipaul4068Ай бұрын
Amen amua kuacha dhambi
@IbrahimMgimbaАй бұрын
Amina mtumishi karibu huku mkoani njombe mtabarikiwa na MWENYEZI MUNGU.
@HeriethChristiannkoniChristianАй бұрын
Mtumishi wa Mungu nimekufatilia sana na nimefunguliwa sana nimejifunza sipaswi kukata tamaa kuna vitu nataka ushauri wako
@GggyJhh-y4xАй бұрын
Ameen na ww ubarikiwe sana mtumishi
@E.emillymillyBlessings17 күн бұрын
Mchungaji atusaidie kujua ni vipi unaweza jua uneunganishwa kuzimu na unawatumikia bila kujua
@AngelaJames-yv7nfАй бұрын
Ameeeen Ameeeen❤❤❤
@fedytemba7541Ай бұрын
Amen
@E.emillymillyBlessingsАй бұрын
Maandiko yanasema ikimbie zinaa
@isabilaisabila8722Ай бұрын
Ameeeen Ameeeen Ameeeen
@margaretnekesa2019Ай бұрын
AMENE. BABA. YATU
@fortunatatarimo2219Ай бұрын
Hao wachawi saa ngapi wanaishi maisha ya kawaida au hawana muda wa kufurahia matokeo ya kazi yao. Mbona uchawi mgumu bora kuokoka
@messikihongosi5290Ай бұрын
wanaishi kama tunavoishi kawaida mchawi kama teja mvuta unga tu lazima aloge tu
@NeemaJonathan-d2eАй бұрын
Sasa kama Mimi nakaka na watu wachawi nyumba nzima na wananichukia mno na najitahidi Sana kukemea dhambi lakini chuki inaongezeka kwangu na wanaungana kama wote je nawaombea WA nini na wanatamani hata kuniua😂😢je nifanyeje na Mimi ninamatatizo yangu na familia na Maisha mengine niwaombee wanini na wanajua kwenda kanisani asubuh na mapema kila siku ya kuabudu..je hapo nikijiombe Maisha yangu na familia yangu na watu wengine kama mchungaji na watumishi WA kweli je ni dhambi hapo kwangu..na yamkini wanajua wanatenda dhambi na kama unavyojua mtumishi WA MUNGU WAchawi ni watu wenye roho mbaya mno
@messikihongosi5290Ай бұрын
we kazana maombi wanakufa hao wote
@sarabura893321 күн бұрын
Waombe toba hapo unawapalia maka usiwachukie
@CamaraSyntya16 күн бұрын
Mu pigiye mitumishi ujumbe yaki pekee
@JeanineNDAYISABA-l2dАй бұрын
Mungu akubariki saana paster
@JaneKuyokwa-ng2qfАй бұрын
Mungu awabaliki
@BaltazarSavin-b3qАй бұрын
😮😮😮
@ANITHAMLAMBIA-h1h23 күн бұрын
Sasa baba Kama ulikuwa kuzimu hizohera ulikuwa unazitumia wapi na ulilipwa na Nani hizopesa
@mercywangarindegwa18 күн бұрын
Mlokole anaweza piga biashara ya baa
@NeemaJonathan-d2eАй бұрын
Na Adi maubili naweka wanasikia..na mbona wachawi Maisha Yao ya hovyo kabisa ya kiuchafu na umaskini na wanakaa sehemu chafu..au ndio wanatofautiana vyeo..?!😂😂
@messikihongosi5290Ай бұрын
uchawi ni uchafu pia wanapenda kujifanya wanaokota makopo ya kuuza kumbe wanakusanya vifaaa vya kazi zao za kichaw