Amen nashukuru mchungaji Katekela. Imani ya kumpa Bwana Yesu bac ni njema sana!!! Kwasababu walio katika Kristo Yesu hawahukumiwi!!! Warumi 8:1, Yohana 3:17-18. Amwaminiye hahukumiwi asiyemwamini amekwisha kuhukumiwa kwasababu hakuliamini jina la mwana pekee wa Mungu. Amen. Niko na Bwana Yesu milele na milele Amen.
@AnneMukonjiaАй бұрын
Naijulikane kwamba upo Mungu wa Hannah ainuliwe Yesu ndani yangu
@GggyJhh-y4xАй бұрын
Amina mtumishi funguo za mbinguni nko nazo na ziko mbele yangu barikiwa sana mtumishi wa mungu nimebarikiwa
Bwana yesu asifiwe mtumishi je tb joshua alikua mtumishi wa kweli maana nilikua namfatilia
@MamaSharma-y9yАй бұрын
Mungu azidi kukubariki
@AgnesMussa-t7rАй бұрын
Bendera chuma mlingoti chuma chombo cha bwana yesu hicho
@annambembela6661Ай бұрын
Amina mtumishi barikiwa sana
@OnesmoShedyАй бұрын
Saf Amina sana❤
@hildandeda3348Ай бұрын
Amen powerful message
@stanislaskabalira2922Ай бұрын
Mbona anashida kubwa sana ya kusema Jina la Jesu Christo! Mungu, Mungu, Mungu.... Ni mungu gani?????
@ErnestinaKisingaАй бұрын
Mbona jactani ananyoa vzur
@Saimon-msigwaАй бұрын
Zidi kuyatimiza mapenzi yake hakika uzidi kufungua akili zetu na mungu akutumie zaidi na zaidi
@ErnestinaKisingaАй бұрын
Unanyoaje baba,unatuchanganya kwa nini huachi kunyoa Denge,kuwa makini baba
@صوفيامكانАй бұрын
Amen Amen
@stanislaskabalira2922Ай бұрын
Katika ushuhuda wake alisema kwamba kuna Priest wa Catholic Church ni Baba wake wa kiroho!!! Ni ngependa kumuuliza huwo ni baba take wa kiroho vipi? Mimi nilikuwa mushirika wa Catholic Church, hakuna mafundusho ya uokuvu pale!!!😢
@jannetteanzemo3280Ай бұрын
Kanisa katoliki halimtumikii kabisa Mungu wetu,hatupaswi hata kushirikiana nalo kabisa,hao mapope wote ni waabudu shetani
Huyu mchungaji anapatikana wapi? Mana hata promover tukiwapigia simu hampokei kwanini???
@EvaSimon-g4vАй бұрын
Kwel hawapokei sjuikwann jmn
@estellesichone5216Ай бұрын
Anapatikana mkoa wa Geita wilaya ya Mbogwe mji wa Masumbwe
@PROMOVERTVLiveАй бұрын
Ndiyo anapatikana Geita Masumbwe,tunajitahidi sana kupokea simu,labada kama ulipiga mara mbili tu ukakata tamaa, tafadhali jaribu tena,kuna muda kweli hatupokei lakini siyo muda wote mpaka uhitimishe hivo.Asante
@PROMOVERTVLiveАй бұрын
Ndiyo anapatikana Geita Masumbwe,tunajitahidi sana kupokea simu,labada kama ulipiga mara mbili tu ukakata tamaa, tafadhali jaribu tena,kuna muda kweli hatupokei lakini siyo muda wote mpaka uhitimishe hivo.Asante