Yule mwandishi aliemfanyia interview yule dada hatupo on point.Haiwezekani mtu ashauriwe kudanga akatae kwa sababu yeye ni mtu wa dini then usimuulize vipi ushirikina kwa upande wa imani yake imekaa vp?! I think point yake ilkua ni kupata headline kwenye KZbin na sio kupata details na info au anamfanyia mganga wa Muheza promo
@issakimvuli20996 ай бұрын
Ndio maana mm niliona ni upuuzi mtupu!
@HilmiHilal-g8j6 ай бұрын
Upo sahihi kabisa. Anachokifanya huyo dada ni zaidi ya zinaa tena kwa mbali sana!. Kulingana na mafundisho ya kiislamu, kuzini ni katika madhambi makubwa lakini ushirikina ni mmbaya zaidi yake kwa kuwa ni katika madhambi saba yenye kuangamiza ambayo mtume (SAW) ametuamrisha kuyaepuka (Sahih Al-Bukhari 2766). Hiyo video ni matangazo ya uganga na ushirikina tu!
@ShekhMufyd-mn9zn6 ай бұрын
Huyo nyoka ndie mume wake anakula vyombo kila siku nyoka anabalaa huyo
@GatekaFatma6 ай бұрын
NA labda hatozaaga
@ifgodsayyes.nobodycansayno17966 ай бұрын
I was thinking the same mmm kumbe yaweza kuwa ni kweli
@TecklaLozi6 ай бұрын
Pia mm nafikiri HVO kabsaa
@nikrahayubu-sz3pw6 ай бұрын
Sio nyoka yule ni jini kwhy limevaa mwilin wa nyoka kwhy hyu analala na jini na nafanya nae mapenzi hata akizaaa watt sie binadam wakaiwada hawawez kumuona ila yy ndoo anawaona watt wake akifa mali zake hata ndg hawatoziona so zitapotea bika sababu hyu ni mume wake
@badifundi60896 ай бұрын
Na alivyo mrefu sjui anapenya mpaka kwa kizazi😂
@ZaharaiHussein6 ай бұрын
Allah ndie arazak.shirki haidumu
@DuwaKassim6 ай бұрын
Dah allah akbar ee mwenyezi mungu tunusuru na pepo huyo
@MamasIslandKitchen6 ай бұрын
Kweli tuombeane kwa Mungu na tuvumiliane. Ya leo sio ya jana, ya kesho sio ya leo.
@fatumajuma81976 ай бұрын
Kweli shetsni hana rafiki atakutumia akikuchoka utajuta kuzaliwa
@MiriamOnesmo-uw3fy6 ай бұрын
Baba mtumishi Nina kkubar xna
@calvin64456 ай бұрын
Ukweli ni kwamba viti hivo vipo...ila ya huyu dada ni mchongo umetengenezwa na waganga matapeli.
@festinamwakipale39196 ай бұрын
Watanzania wajue hizo ni laana hao wanaojipatia pesa kwA uganga na uchawi na ufreemasoni wamelaaniwa ni laana Mungu yupo na kila alichokiamuru kitakuwa aliamuru laana.juu.ya.watu.hao .tuwaombee ila tuwambie ukweli watu kuwa.dhambi ya miungu mwingine mbele za Mungu ni.dhambi.ambayo kusamehewa.ni ngumu sana tusilahisishe mliopanga foleni kwA waganga msilahisishe hamtamuona Mungu akikusamehe
@angle36006 ай бұрын
Haya mambo hua yanatesa vizazi vijazo,kwa sababu hua ni madhabahu na hua nilazima yafuatiliwe msipoyafuatilia ndio unakuta watu kwa familia ambao wamezaliwa na hawafatilii hizi itikadi wanateseka kwa njia mbalimbali,Tutafute riziki zilizo za haki.ambazo hazitakuja tesa vizazi vyetu.
@samuelmuthui46996 ай бұрын
Nyoka asiyekula😂😂😂😂😂
@toor89846 ай бұрын
Kweli kabisa nji unachagua
@AngeKazege-sy1ok6 ай бұрын
Sasa Iyo Nyoka Inanyamba Mahela Wala Linatumika Sielewi Kbs Eh Mungu Wangu Duniya Kuna Mengi Sana Niko Rwanda
@JeannetteManirambona-o6m6 ай бұрын
Linyamba mihela😂😂
@abumuhammad96156 ай бұрын
IPM acha tamaa za maisha ya duniani. Tubu na urejee katika dini ya UISLAM.
@milakauli6 ай бұрын
Huyo atarudu elewa neno mpe mtu muda usihukumu haraka 🤣🤣🤣🤣
@farhannahkulishwaburekunam53606 ай бұрын
Wewe mwenaume usiseme chukua uk8taka huo si ushauri wa kuwaushauri si mzuri lazima kunakafara sio rahisi tu ukae na noka na unapata pesa masharati halafu kuna maisha ya watoto huzai huolewi na ukija ukiwa na watoto uk8ja ukifa watoto atawatafuna
@marymohammed-wf8tr6 ай бұрын
Mungu ndie anakupa nandie anakunyanganya mungu awasame sababu hawajuwi walio yafaa huyo dada amefuraiya kuitwa tajiri duniani shetani hanarafiki
@ramakazina1706 ай бұрын
Haya mambo ya kusikia sikia ndio yanayo tufikisha hapa kila mtu anasema nilisikia nilisikia lkn mtu kasikia lkn anathinitisha kua ni kweli ila kasikia tu lkn akija kwenye kuthibitisha anasema nikweli 😂😂😂😂😂
@awadhrajabu14036 ай бұрын
Kweli Kabisa Akuna Mtu Yeyote Mwenye Amli Za Kusema Eti Wewe Kwanini Unasemea Dini Yetu Au Yangu Dini Ya Mungu Na Alieumba Moto Na Pepo Ni Mungu Nasio Mtu Kila Mtu Asome Dini Akuna Cheo Cha Ushee Wala Uchungaji Bali Kila Mtu Asome Kulinagana Na Uwezo Wake Shee Mchungaji Ni Watu Wanaenda Chooni Na Wanaoga Na Mataulo Uchafuka
@aishaomar22876 ай бұрын
😂😂😂 🙌 🙌
@aminasalim75716 ай бұрын
Mungu atunusuru..
@AnastaziaSayi6 ай бұрын
Mie siamini kabisaaaaa😅😅😅😅
@UmmuSallama-ej4eh6 ай бұрын
daaa nimestahajabu sana
@iddymatere50756 ай бұрын
Jamaa anajua kujibu ila haya maisha hyatoka zaman hivyo ni vitu vya kurisi tu pia nashauri tu kuwa mungu aliumba vitu viwili tu Duniani heri na shari hivyo utaxhagua wewe kama alivyosema
@MonicaMwoka6 ай бұрын
Hiyo ashitakiwe dada huyo mchawi ngpja amgonge kwa utajiri gani nyumba yenyewe mashaka chizi huyo tapeli
@MwinyiSalim-d4j6 ай бұрын
Serikali ya jumua ya mungano Tanzania aiyamini uchawi
@Naziruhashiraf6 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏 uko sahihi lp
@RashidHamad-ro8sd6 ай бұрын
Maisha hayana shot kat uwo ndo ukwel maisha matm upambane mwenyewe
@allexmathias35936 ай бұрын
YAMEMSHINDA NA NDO MAANA AMEANZA KUONGEA HADHARANI 😂😂😂
@beatricesisso88856 ай бұрын
Kabisa sio rahisi haendi kwenye sherehe, Hana rafiki, Hana mpenzi yaani tafrani😢😢😢😢
@ZainbAbubakary6 ай бұрын
Hata mimi nakupenda sana
@mussayusuph6276 ай бұрын
Masha'Allah 🎉🎉
@salimmbilu45246 ай бұрын
Kweli maish kuchgua hata wew naon umechagua bila kujali kesho yako
@albertpike62086 ай бұрын
13:31 Kuhusu Gaza na Israel kasome buda Israel bila Marekani wale vibwengo alafu kama kuna viumbe wapotofu hapa duniani na wachochezi Wayahudi wanaongoza
@makerebul36506 ай бұрын
Ipm kaka mm nakuombea kwa Allah urejee kwenye njia ilio nyooka,
@Rizikialiamechannel7636 ай бұрын
😂😂😂 umeona ee
@Rizikialiamechannel7636 ай бұрын
Ila anapotosha watu anataka maokoto
@lilianmbeyu6 ай бұрын
njia iliyonyooka ni Yesu alisema "mimi ndimi njia kweli na uzima"we wasema arudi kwa njia ipi?
@patriciacarlo72366 ай бұрын
Mingu ni mmoja,
@alimwadima2546 ай бұрын
@@lilianmbeyuYesu sio Njia iliyonyooka Mwenyezi Mungu ndio Njia iliyonyooka Dada
@bahariawalk6 ай бұрын
Dada wa nyoka ni Tapeli tu, hana lolote. Na hakuna utajiri hapo. Kumiliki nyumba ya milioni 30 na gari ya milioni 10 hio kawaida tu. Mbona watu wa utajiri wajuu wako tu tena mali zao halali. Jamani fanyeni kazi kwa bidii na muombeni Mungu
@vincentdaud99546 ай бұрын
Bro maneno yako ya hekima sana.
@khadija57616 ай бұрын
Kweli kabsa
@Jurbeg6 ай бұрын
Amen Amen MUNGU akuballiki saana nijibu amina basi 🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍🥰🥰🥰🇿🇦
@MwanaishaShattry6 ай бұрын
Kweli usemavyo lakini na wewe umepita short cut umekwenda kwenye pesa tafautiyenu dada anaabudu nyoka weye unaabudu sanamu. Mbwa na Jibwa are the same.
@bahariawalk6 ай бұрын
@@Jurbeg Amina
@Moc.khalfan6 ай бұрын
Aha kumbe nishajua kumbe hili lilikua tangazo la uyo mchungaji.........
@berry47266 ай бұрын
Watu tunamiliki trillions of dollars na zote halali.
@lilyrose79836 ай бұрын
Ubarikiwe
@KwizeLee6 ай бұрын
kweli kabisa
@enezermwafrica74436 ай бұрын
Trillion of dollars hata Eron mask hana! we muongo xn!
@rachelmaina34766 ай бұрын
Pesa ya majini
@marymohammed-wf8tr6 ай бұрын
Tujuwe kama mungu ameumba tajiri na masikini kamawewe nimasikini kubali matokeo hauwogopi kamadunia imeisha ,shetani anaga rafiki kumbukailo😭😭
Prothet unajua kweli umeongea pwenti muda ndio utaongea
@mrflyover99286 ай бұрын
DAH KWELI SIKU ZA MWISHO TUTAONA WACHUNGAJI WA OVYO KUWAHI KUTOKEA
@AminaDevidiHermani6 ай бұрын
Upo light mkuu Soma na itaje Qur an popote hiko ni kitabu cha uongofu kwa maisha ya bin Adam na we bin Adam...don't discourage
@sirvesterndahani56386 ай бұрын
Watoto Ana wapaje wakat Ana lala na nyoka?
@sirqiutaislaammahambe87846 ай бұрын
Kwa salaamu ya mwenyezi Mungu wa Haqih ukiwa unazungumza kitu ukijui kaa kimya hacha ushetani wako wewe mchungaji kafiri maana unachanganya kati ya kuumba na kuabudu(swala)vitu viwili tofauti kua masiki kwa Waislaamu ndiyo ibada ya kumcha Allah ndiyo anayopenda na Wakristo kua matajiri ndiyo dunia yao hapahapa Duniani.Lakini Uislaamu hautaki unafiki hacha shobo na Uislaamu
@albertpike62086 ай бұрын
9:53 eti Mungu alipumzika??? Mwenyezi Mungu hachoki wala hapumziki bali alitawala katika Himaya yake.Wacheni UBWEGE
Maisha ni proses tukae kwenye proses tuache njia ya shot kati
@mkariwanyota52226 ай бұрын
Kweli maisha ni kuchanguwa
@philoteuslwena30826 ай бұрын
Mbona namba za ipm hutupatii??
@ErastoKabuje6 ай бұрын
Unaeleweka sana IPM ila unafanana sa na J BULASI muigiza ila mazungumzo yako yamenyoka sana
@rezikomer95526 ай бұрын
Utajifananishaje namngu alivyo kwa unaweza kuymba ulimwengu na malimwengu na yaliomo ndani yake hata ujifananishe na yeye kwamba mngu kaumba na kupumzija kqani siku za mngu na zenu ni sawa usicganganye watu hapo sasa wachanganya watu
@saidsalim45246 ай бұрын
Hiyo ni system yakuwavuta watu ili wafanye utapeli tuu nyoka wa michezo yulee ilaa wenye tamaa watamfata ili wapigwe pesaa jamani kuweni makini hizo ninjia za kitapeli
@khadijak-f7n6 ай бұрын
Huyo Dada hana Dini ,walahajui kunakiama
@FatimaAli-of4gh6 ай бұрын
Masharti ya kulala chini na mali unazo sasa za kazi gani hizo pesa bora nioshe vyoo na vyote alivyonavyo yule dada ninavyo ujinga wa akili tu
@MussahWazir-uj1ku6 ай бұрын
Kabisa
@OthnoShezume6 ай бұрын
Hapa ni mapito lazm tuendane na mfumo wa mngu
@brownschmidt45326 ай бұрын
Hakuna kitu kama hicho. Huyo dada amepangwa afanye hivyo. Ni utapeli huo.
@phiahofficialtv71406 ай бұрын
Prophet anaogopa nyoka 🤣🤣🤣🤣🤣 chitaki mimi
@alimwadima2546 ай бұрын
Kweli kabisa Nyoka sio kiumbe cha kawaida Ata km Sijui hana meno Huyo Mtangazaji alikuwa Kijasho chembamba kinamtoka IPM
@ibrahimseif46316 ай бұрын
Mungu hachoki bwege ww
@laddymghana6 ай бұрын
Kuna watu wanaishi na nyoka ndan na hujui ndii hao watu washirkina unasikiatuu kwa watu mtu anaishi na chatu mm nawaambia hii nikiki hapo hakuna nyoka wa utajir ndagu ya kisukuma hio mtu nyoka ana kaa kwenye gara au zizi la ng'ombe na humuan labda itokeetu kwa bahat mbaya yan hakuna kitunchaa maajab unaweza kukionyesha hazaran kwanza utajr utaondoka
@AlbertRemmy6 ай бұрын
Hakuna mtu anaye fuga nyoka akajitangaza hata siku moja haya mambo huwa ni siri na haitakiwi mtu yoyote kujua. kwahiyo huyu dada ni mwongo. huyo ni nyoka wa maonyesho.
@festinamwakipale39196 ай бұрын
Siku za mwisho biblia inaonyesha roho ya Elia itajaa dunian ko tuangalie Elia alifanya nn nawambieni watanzania kama Elia alichukia uganga basi.uganga utazarauriwa sana Elia alisababisha njaa mvua haikunyesha miaka mitatu ilitukia njaa kubwa watu walikufa utajiri haukuwepo miundo mbinu iliharibika.watu Mungu katuandikia vita uni majaabu yake hatufulahishi anataka tukumbuke.tusilahisishe huyo dada wa nyoka ni vile hajui Mungu miungu mingine ni shida
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb6 ай бұрын
Amen 🙏🏼
@awadhrajabu14036 ай бұрын
Yesu Alikuja Kuwaokoa Wenye Zambi Ukimuona Mdada Anauza Sambusa Yake Usimpe Lawama Usimuukumu Bali Mpe Neno Kama Aludi Njia Ipi Sio Kusema Oh Wewe Moto Moto Unamunyooshea Kidole Kimoja Kwako Vinaludi Vidole Vitatu Na Kimoja Kinacheki Mbinguni
@whitetigerprincy58826 ай бұрын
Kabisaa
@jumapiliissa48356 ай бұрын
Watu kwa macho yakawaida tunnaona nyoka lile nijini uyu dada nahilo jini niwapenI ndoma nyumba yote anaishi pekeyake
@BenjaminKiza-mf1ki6 ай бұрын
Brown Nataka urudi tena kwa huile Kaka aliye kuwa napete kasema wana ita majini kwamba kivipi anaweza tufunza WhatsApp
@ahmadSeif8606 ай бұрын
Kafiri ni kafiri tu, eti mungu alipumzka!!! Hahahah pole sana
@ebenezerchurchsupremetv94906 ай бұрын
Kupumzika Ina maana ya kustarehe siyo kuchoka kama wewe kafiri
@judithtitomalyeta40006 ай бұрын
Jamanj ni utapeli hapo chukueni namba zake mtalia ni mchongo wa waganga tapeli
@esterMahenge6 ай бұрын
Mi mwenye naona ni mchongo tu yule dada😂😂
@farhannahkulishwaburekunam53606 ай бұрын
Si umpe muda no umshauri umkataze wengine kama huwaambi watazidi kufanya mabaya
@JamesPius-h3q6 ай бұрын
Huyo dada namfahami ni Kiki tu hakuna nyoka wala nini.
@EdnahMutindi6 ай бұрын
Hakuna utajiri hapo,,,,nitamaa anayo huyu dada.
@abwooliajuna42046 ай бұрын
Translate in English
@fidelfidel-jz4iw6 ай бұрын
Hata Mimi nakuelewa Sanaa Kwanza tushukulu MTU anaweza fundisha maneno ya mungu kuna nchi hata hawasikilizi maneno ya mungu wapo wapo kama mizombi unakuta inaweza jiuwa tu hawana Imani
@aishaomar22876 ай бұрын
Mazombie tu😂😂😂,hawajui😊
@adoniemanuel9086 ай бұрын
utajiri naheshima zinatoka kwake MUNGU alie hai sio kwa nyoka mana huyoo kaumbwa MUNGU piaa
@OmarAli-vj9kg6 ай бұрын
Nakubali
@MariamMganga-ss9mm6 ай бұрын
Kwanza Sina uhakika kama huyo dada kama nimkweli mbona alisema wa muheza Tanga,, nimeona akihojiwa Tena anasema yeye ni wa IRINGA, Au Hawa ni watu wawili tofauti??
@asmaalghafri4496 ай бұрын
Eti mtu wa dini wakati anaenda kwenye shiriki dini ya islam haitaki shiriki na mtu wa daraja lajuu kuongia motoni ni mshirikina usidanganye watu
@officialcandleboy69236 ай бұрын
Huyo binti mwenyewe sioni hata huo utajiri alionao maana naona hana ganga njaa tu
@aishaomar22876 ай бұрын
Kamekondeana,huzuni...hana rorosi😂😂😂
@juliusbrush32026 ай бұрын
hawa nyoka huwa kila asubuhi wanalamba sehemu za siri, watu wa hvi ata waume hawana kbs.. kuna kisa kama hiki kilikuwepo ukisearch youtube "MWANAMKE ALIYEKUA ANAFANYA MAPENZI NA MAITI ALIYEOZA KWA MASHARTI YA MGANGA ILI APATE MALI" hiki kisa kinaelezea ao nyoka ni uchafu san
@mamuamtoto6 ай бұрын
Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Mwandishi umejitahidi lakini kidogo ulopokosea Masuali uliyomuuliza,inaonyesha hukufanya utafiti wa kina huyu IPM,kwa kuangalia Clips zote alozungumza.IPM mwanzo alionyesha kupenda Uislamu baadae akasema yeye Alikua Muislamu akatoka na kuritadi yaani akawa Mkristo.Hapo Masheikh ndipo walipokuja juu.Allah akuepushe na Mabalaa na Kupenda Mali Mtangazaji wa Bongo Touch ili usivutike na huyo Dada alochukua kiumbe hatari akakiweka ndani kuna MAUTI jamani.!!!!Allah atupe Mwisho Mwema Na kila alopotea Allah amuongoe.
@sesiliasalleko20136 ай бұрын
Hapa ndio nasemaga ipm tapeli tuu kujieleza kote kwamba hukujua kwamba ile ilikua kiki
@-kagerayetubw9jx6 ай бұрын
Nataka nijue malafiki zake uyo binti
@HusnaSalum-p1q6 ай бұрын
Huyo dada ana pepo likemewe sizani kama anajua kuna kifo
@Mina.156 ай бұрын
Hana pepo wala kinvuli 😂😂 matangazo yabiashara tu
@fathiyahmuzney73676 ай бұрын
@@Mina.15😂😂upo
@Mina.156 ай бұрын
@@fathiyahmuzney7367 😂😂😂 wamekazana likemewe 😂😂 chupi kitenge ako kazini
@Hawaa-cw6fl6 ай бұрын
Sio wa kristo hata waislam shetani au jini hana rafiki
@kilogreek40506 ай бұрын
IPM WEWE AUPO KATIKA NJIA MOJA NA YULE MADAM?????
@MariamMganga-ss9mm6 ай бұрын
Wanataka kumzuia Nini wakati wao wanakazi yakukashifu Kila siku,, mbona mazinge hawamzuiiiii, waache ubinafsi
@StelaMwambemba6 ай бұрын
Mchungaji amejibu hekima tusihukumu tupeane muda good point ipm
@annamussa1856 ай бұрын
Kabisa maisha ni kuchagua
@CatherineWanjiru-n1g6 ай бұрын
Siku moja iyo nyoka itamgeuka tu
@MuniraShughuli-kc7vj6 ай бұрын
Kuna watu humu wataka kuunganishwa na yule Dada ya Raby😭🤔
@SophiaIssa-n6t6 ай бұрын
Uyu dada anampa nini uyo nyoka maziwa,damu au mapenzi
@safiam53386 ай бұрын
Miye nahisi ule nyoka kuna siku atamumeza
@dorcaskarago28766 ай бұрын
Uyo ni mume wake
@sulumsalehebadulusaid15156 ай бұрын
Jamani nipeni namba ya yule dada namimi anipeleke
@NabosJuma6 ай бұрын
😂😂😂
@elijahchegere49746 ай бұрын
Kuwa makini na matapeli huwezi kupewa masharti ukayaongea hadharini kuna upigaji hela unataka kufanyika