Pt1_JESUS APPEARED TO ME ON BAR AND SAVED ME|YESU ALINITOKEA BAA NIKILEWA NA AKANIOKOA|Aston A.Mbaya

  Рет қаралды 1,511

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 9
@user-ut8pq2uj7v
@user-ut8pq2uj7v Күн бұрын
Mungu atusaidie Kwa kwel mbila nguvu zake hatuwezi
@VeeSunshine-zr3iv
@VeeSunshine-zr3iv 2 ай бұрын
Bwana Yesu Kristo akubariki kaka kwa kuendelea kutuletea ushuhuda wa ndugu Aston, mimi nashuhudia binafsi Mungu ameniokoa kwa upya tena kupitia ushuhuda huu , maana mwaka 2017 niliwahi kuusoma ushuhuda wa Angelica zambrano nikaokoka kabisa kupitia ushuhuda ule na Wakati huo nilikuwa napenda sana nyimbo za kidunia na nilitamani pia kuwa maarufu, sikuwa nampenda Mungu kabisa wala kanisani nilikuwa siendi au nikienda ni mara moja au mara mbil kwa mwaka ikizid sana mara tatu, niliwaza tu jinsi gani nitakuwa mwimbaji wa nyimbo za kidunia kwani zilinikaa sana moyoni ila BWANA YESU aliniokoa, lakin 2022 nilirudi nyuma sana nikamuacha BWANA na kurudi duniani kwasababu ya mchungaji aliyekuwa akiniongoza. lakini BWANA YESU ni mwema amenirudisha tena kwake kwa kupitia huu ushuhuda na nimejua kwamba sipaswi kurudi nyuma na kumuacha BWANA kisa mwanadamu yyte hata kama ni mchungaji, ni shauku na maombi yangu kwamba kila mtu atakeyesikia ushuhuda huu abadilike amfuate Yesu kweli kweli, ni hatari kubwa sana kuwa mbali na YESU hususani kama ulimjua halafu ukamwacha au hata kama hukuwahi kuokoka pia ni hatari kuishi bila kuwa na YESU , WAEBRANIA 10:31, ukimuacha BWANA YESU ukarudi duniani hali yako itakuwa mbaya kuliko ile ya kwanza, tujitahidi tufue mavazi yetu tuwe na amri kuuendea huo mti wa uzima na kuingia mjini kwa milango yake, soma UFUNUO 22:14. Ubarikiwe kakaJacktan🙏
@gloriaakyoo2079
@gloriaakyoo2079 2 ай бұрын
Amina Mtumishi barikiwa sana na Bwana wetu Yesu kristo
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 2 ай бұрын
Blessd kaka jacktan na Audax ❤
@YAUSHATV
@YAUSHATV 2 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@peterboli9431
@peterboli9431 2 ай бұрын
ATA mm ningependa kukutana na bwana
@user-sc7sn1tb9c
@user-sc7sn1tb9c 2 ай бұрын
usiandike bwana,bali Bwana au BWANA,Mungu,MUNGU na si mungu,Yesu,YESU na si yesu
@Damaris-lz7vr
@Damaris-lz7vr 2 ай бұрын
Jactan habari, unaweza tusomea kitabu Cha MARIAM KIYAMARURA, tafadhari Asante
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 ай бұрын
Salama kabisa,sawa Mungu na anipe kibali
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 8 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,9 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 36 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 724 М.
YESU YUPO KARIBU SANA KUNYAKUA KANISA
1:16:35
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 24 М.
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 8 МЛН