shetani anawezaje kumtumia mtu kupitia ndoto|Vita vya kiroho ni nini|Kuishi chini ya neema ni nini!?

  Рет қаралды 9,317

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 26
@RosinaEmmanuel-jb3jc
@RosinaEmmanuel-jb3jc 3 ай бұрын
Nawapata Watumishi wa Mungu Mungu awabari.
@judithbett420
@judithbett420 8 ай бұрын
Asanteni sana wachungaji wa Mungu kwa mafunzo mazuri. Mungu aendelee kuwapa nguvu ya kueneza injili.
@HappynessMussa-mq6vc
@HappynessMussa-mq6vc 7 ай бұрын
Hongeraa mtumishii barikiwa
@MariaJuma-q2k
@MariaJuma-q2k 7 ай бұрын
Huyu baba ni mtumishi wa Mungu wakweli,namuombea kwa Mungu amlinde,shetani asije akamteka,akamuharibu
@HappynessMussa-mq6vc
@HappynessMussa-mq6vc 7 ай бұрын
Tunakupenda mtumishi wetuu
@azizafrancine301
@azizafrancine301 8 ай бұрын
Mugu abaogezeye nasiye benyegusikiya mungu adukumbuke
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 8 ай бұрын
Amen MUNGU TUSAIDIE
@KahwegeAimee
@KahwegeAimee 7 ай бұрын
Mungu akubari na kukutia nguvu
@MariaMwasyila-mq6yc
@MariaMwasyila-mq6yc 8 ай бұрын
Amen amen
@musakasingo594
@musakasingo594 8 ай бұрын
Mungu awabariki sn kwa huduma hii
@marywanjiru438
@marywanjiru438 8 ай бұрын
Siku moja niliota nikaona tuko kwa foleni kubwa sana watu walikuwa wagojwa wanaenda kumwona daktari na meza ya reception ilikuwa nje na daktari yuko ndani ila watu wengine walikuwa wanakufa wakingojea kumwona daktari kwasababu hawakuwa wamefikiwa kuingia lakini receptionist akasema watuwanaruka foleni nawanasababisha fifo katika foleni
@MargretWangui-w8z
@MargretWangui-w8z 7 ай бұрын
Amen 🙏
@mabulapaul
@mabulapaul 8 ай бұрын
Amina
@SalomeRenatusi
@SalomeRenatusi 8 ай бұрын
Amen blessed
@NyasaBatubae
@NyasaBatubae 8 ай бұрын
Amen 🙏 🙏
@AfirenAfiren
@AfirenAfiren 8 ай бұрын
Amen
@Jeremia9h
@Jeremia9h 8 ай бұрын
Amen. Asante kwa mafunzo
@salomekemunto1373
@salomekemunto1373 7 ай бұрын
ANIMA,Mungu wa Mbinguni akubariki sana sana.
@KateWinslet-j8q
@KateWinslet-j8q 7 ай бұрын
Na je ukiota unapigana na mtu alafu ukamushida huyo mtu inamanisha nini ama umekiwa kwenye vita na ukamukata kwa panga inamanisha nini
@juniorwiseprophet1240
@juniorwiseprophet1240 7 ай бұрын
Mmmh hapo kwenye sare za kijeshi hapo mtumishi ongelea vizur,sio kila ndoto hizo n hivyo hapna hpana ,biblia inatufaham kama sisi n majeshi ya Bwna inakuaje ukiota iwe uchawi?? Unasema kuota kuruka ni uchawi ,je umesahau bibli inasema wamngojeqo Bwana eatapewqnguvu mpya na wataruka kama tai?? Em jamqn wekeni tafsiri hizo vizuri..
@flourishing_wilderness6072
@flourishing_wilderness6072 7 ай бұрын
Ni kweli ukimuona mtu amevaa nguo za jeshi ndotoni either ni mchawi, satanist au Pepo aliye na mwili duniani
@Jeremiah_0826
@Jeremiah_0826 6 ай бұрын
Hii ni kweli kabisa,, miaka 7 iliyopita (haikuwa ndoto) bali maono ya waziwazi usiku nmelala ila sikuwa usingizini kuna mchawi aliniijia amevaa mavazi ya police nilivyo omba akajidhihirisha na nikamtambua na alikuwa jirani yetu. Hivyo usishangae ndugu,, siku za nyuma nilikutana pia na attack katika ndoto nikawa Nakutania na wanajeshi na wanaanza kunitesa ila katika kuomba ilikuwa ni jeshi la wachawi nikaomba sana hiyo hali ikaisha. Amin mtumishi wa Mungu yuko sahh
@flourishing_wilderness6072
@flourishing_wilderness6072 7 ай бұрын
Hii ni kweli nilikuwa naotaga nakula nyama mara juice ya chungwa. Nikaongeza maombi na neno na adui akajiupdate, Wakaacha kunijia kwenye ndoto, wakawa wanakuja kwa njia ya mawazo/imagination za kula chakula. MfanoUmekaa zako unafanya kazi unawaza jinsi soda ya fanta ilivyo tamu au nyama ya kuku uliokula mwezi uliopita ilivyokuwa tamu. Nikajua haya sio mawazo ya kawaida ni wanataka kunichafua Nikatafuta neno la kupinga hiyo hali, nikapata lile neno linalosema kuzitiisha fikra zimtii kristo, kuuvua utu wa kale na kuuvaa utu mpya wa Mungu ulioumbwa katika hali na utakatifu wa kweli. Nikayakariri hayo maandiko nikawa nikiwa sehemu na watu nayakiri moyoni, nikiwa peke yangu nayakiri Kwa mdomo. Hiyo Hali ilikwisha kabisa maana YESU NI NENO ( maandiko naweka under this comment section)
@flourishing_wilderness6072
@flourishing_wilderness6072 7 ай бұрын
2 Wakorintho 10:5, Waefeso 4:24 Wakolosai 3:10
@shakilachonya9290
@shakilachonya9290 5 ай бұрын
kwakwel
@livinhillary9804
@livinhillary9804 7 ай бұрын
Amen
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 11 МЛН
Одну кружечку 😂❤️
00:12
Денис Кукояка
Рет қаралды 1,7 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
KUSHINDA ROHO YA USINGIZI NA UZITO || PASTOR GEORGE MUKABWA
1:39:05
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 147 М.
MUNGU ANAKUANDAA KWA KILE ALICHOKUANDALIA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
10:53
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 72 М.
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 11 МЛН