Pt1_TOKA UISLAMU,FAMILIA YA UGANGA UCHAWI WA MAJINI MPAKA KUWA MCHUNGAJI•USHUHUDA WA STEVEN MAJALIWA

  Рет қаралды 7,604

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@ThomasNdumuhire-lu3fy
@ThomasNdumuhire-lu3fy 15 күн бұрын
Ndugu mtangazaji,kwa hakika ushuhuda tofauti unaopitisha hapa kwenye mtandao wako unatujenga kbsa.Ubarikiwe sana
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 13 күн бұрын
Nmeelewa kitu aseh umenifungua sana kwakwel nkiwa chuo nlkuwa natumia marashi ya aina ya udi nlipata shida sana had kuombewa Nmeelewa kwann Roho Mtakatifu anatuzuia kutumia pafyum Asante Bwana Yesu Kristo kwa ushuhuda huu umenifungua sana
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 12 күн бұрын
Bleesd Kaka jacktani na Audax pamoja na promover tv.❤na mtumishi wa MUNGU muishi milele katka jina la YESU KRISTO
@OnesmoShedy
@OnesmoShedy 13 күн бұрын
Kweli YESU kajifunua akika tuna mshukulu YESU
@Gindi-v7g
@Gindi-v7g 15 күн бұрын
Barikiwa mtumishi,salimia siraj ndugu yako sana.Jehovah elohim akulinde mtumishi.
@Gindi-v7g
@Gindi-v7g 15 күн бұрын
Mfano katika nchi ya waarabu buibui huvaliwa na wakristo na waislamu,hilo ni vasi tu,halina kitu chochote,angalia mwarabu al fadi Arab sunni Muslim ambaye anavaa kanzu na anamwabudu Yesu Kristo,Iko KZbin ❤🎉
@Jesusimagelimited
@Jesusimagelimited 12 күн бұрын
Wazungu ni nao wanavaa Suluali wanawake. Ni Mila zao. Acha kutetea ubaya kwa kigezo Cha mila za waarabu
@Jesusimagelimited
@Jesusimagelimited 12 күн бұрын
Huyo hajaokoka Bado kabisa hakuna Cha tamaduni Wala kukinga jua Soma Isaya 4:1
@Jesusimagelimited
@Jesusimagelimited 12 күн бұрын
Katika Shuhuda Zote hapo Promover. Kwa watanzania walioshuhudia. Mtu aliye jikana na anamaanisha ni katekela. Pekeake wengine Bado wanatetea mavazi. Ya uganga na wanasemaje wameacha??😢😢😢
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 9 күн бұрын
@@Jesusimagelimited kwani Yesu alikuwa mganga?mbona hamjawai kumchora kavaa suti?
@abangaabanga4677
@abangaabanga4677 14 күн бұрын
Indeed Jesus is the way, the truth and the life 🙏
@AmanElieza-ly8qo
@AmanElieza-ly8qo 16 күн бұрын
Barikiwaa sana mtumish
@ellyitete938
@ellyitete938 15 күн бұрын
Mtumish kwa nia njema tu kulingana na utamaduni wetu vaa kawaida tu .....hilo vaz utavaa ukiwa nje ya utamaduni wa tz ili kuondoa ukakasi..
@joshuamakota6714
@joshuamakota6714 15 күн бұрын
Kama si kinyume na biblia haina shida, itafaa nn mtu akivaa suti na akiwa mchawi ??
@Elisha-m3e
@Elisha-m3e 13 күн бұрын
Una nuru usoni. Barikiwa
@Elisha-m3e
@Elisha-m3e 13 күн бұрын
Barikiwa mtumishi
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 13 күн бұрын
Ubarikiwe mtoa ushuhuda
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 12 күн бұрын
Amen
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza 16 күн бұрын
Kwa wanawake 1 Wakorinto 11: 5 - 6
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 14 күн бұрын
Ndomaana tukifika huku uarabuni tunapata tabu na wengine wanaacha kabisa kuomba juuya hizo maudi😢😢😢😢😢 Mungu atunusulu
@sweetlisious
@sweetlisious 13 күн бұрын
inabidi uwe makiki washirikina sana hao watu wa upande wa pili
@fidemikaeli8145
@fidemikaeli8145 15 күн бұрын
Hayo mavazi apana ni tatizo kama ameokoka atoe siyo utaratibu wetu
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 16 күн бұрын
Amina Amina ubarikiwe kwa ushuhuda. ... kazu sio shida lkn kibaraghasia.... mwanaume haruhusiwi kufunika kichwa kibibilia... Bwana Jactan siku mlirecord ushuhuda huu mlianza hata kabla ya kuomba au ni mimi sijasikia vizuri.
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza 16 күн бұрын
1 Wakorinto 11:4 , 7 akipata muda atasoma kwa utulivu naamini Roho mtakatifu atamuelewesha
@antoinettendayizeye5884
@antoinettendayizeye5884 15 күн бұрын
Namimi nimetaka niandike iyo kweri asome
@saramss7262
@saramss7262 15 күн бұрын
UBARIKIWE sana mjoli wa KRISTO YESU
@PauloMaona-in4qh
@PauloMaona-in4qh 15 күн бұрын
mjoli maana yake ni mtumwa mwenzangu
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 15 күн бұрын
Mungu atusayidiye
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 12 күн бұрын
Aisee!!!!?
@sweetlisious
@sweetlisious 13 күн бұрын
Ukiokoka fanana na wokovu huwezi ukawa umeokoka na bado umuonekano wa wale wale, mfano kuna mtumifi mmoja wa uongo alitokea uislam akaokoka na sasa bado anaendeleza itikadi na kuwahamasisha watu kuchinja kafara kwamba ni mojawapo ya ibada kitu ambacho ni upotofu. ni wakala wa shetani yule anatumiwa kuzimu kwa. mgongo wa utumishi, ule tunauita utumishi wa kuzimu.
@GeorgeMabala-v9h
@GeorgeMabala-v9h 14 күн бұрын
Je,huoni kwamba mavazi ni ibada kamili ya huko ulikokuwa?,ukiamua kutoka toka mzima mzima hata mavazi hayo yachukie.
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 16 күн бұрын
Huyu mtumishi anaushuhuda mkubwa sana wakujenga sana. Lakini pia ananduguyake pia anaushuhuda mzito sana pia wa kumwinua mwili wa kristo
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 14 күн бұрын
Hanatofauti na Kiboko ya Wachawi. Ngoja awakwanguwe Sadaqa zenu. 🙌 Hata Dalili/Ishara za Kumgunduwa Muongo hamjui (anajishikashika Pua na Shingo) na hata Macho yake anaonekena ana Wasiwasi na Mashaka Kwa anachokiongea 🙌
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 14 күн бұрын
@alhadajjmohammedsmith9042 hasira zako hizo kwani ameuliza kuhusu sadaka hapo isipokuwa anatoa ushuhuda tu. Acha chuki mzee vumilia atoboe siri za kiislamu
@nyamogafamily9549
@nyamogafamily9549 14 күн бұрын
Huyu si alikuwa kule kwa davister ??Me nasubiri hapa mashekh wengne waokoke 😊😊😊ndo fulaha YETU NA JUU MBINGUNI
@NoIe-zq7jo
@NoIe-zq7jo 12 күн бұрын
Naona ayo inayoongea ni mambo ya kishirikina Ila kur-an imesema tukae mbali na ushirikina.hapana kitu hapo imani haipo kwani hata ibilisi alianzisha ushoga unajua hilo unayoongea na uislamu ni vitu tofauti
@leonceuwandameno6378
@leonceuwandameno6378 11 күн бұрын
sikiliza ili uokoke. kila siku ushirikina. ushirikina upo kwenye dini yenu.
@sweetlisious
@sweetlisious 13 күн бұрын
Hicho Kigali cha kihwani unaonekana mswahili kama unaenda kuvunja nazi au unaenda kuvizia ubwabwa kwenye sherehe.... hatuzitaki hizo waachie watu wa giza.
@DeboraAlbert
@DeboraAlbert 15 күн бұрын
Iyo kofia ungevua mtumishi wa MUNGU shetan anaweza kukushtaki ni vazi la falme nyingine.kanzu ni sawa ata biblia imeruhusu
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 14 күн бұрын
Anawadhihirishia Uwongo wake, yaelekea anaupenda Uislamu ila anajilazimisha ktk Ukristo Kwa Maslahi ya Dunia. Ungevaa na Msalaba uonekane kweli umempokea Yesu . Uislamu hautafuti Watu/Waumini Bali Watu/Waumini ndo Wanautafuta Uislamu. Yesu (Mwana wa Maryam) na Mitume na Manabii wote wa MwenyeziMungu ni Waislamu (Wametokea Middle East) hakuna Mtume/Nabii alotokea Kwa Wazungu.
@Elisha-m3e
@Elisha-m3e 13 күн бұрын
Unachekesha!
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah 10 күн бұрын
​@Elisha-m3e at a mimi nmecheka sana😂😂😂
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 13 күн бұрын
Wapendwa tusikilize ushuhuda tuache kufatlia mavaz... hilo ni vaz tu na halina ttzo...tusiwe wepes kuhukum
@shabansaid4154
@shabansaid4154 14 күн бұрын
njaa mbaya allah atunusuru inshaallah
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 14 күн бұрын
Huyu ni Mshirikina Kwa Asili yake anajifanya eti alikuwa Muislamu. Kwavile Wakristo ni Wepesi wa Kudanganywa/Kupotoshwa na Kupotosha basi watamuamini na atavuna Pesa zao za Sadaqa 🙌 Hiyo Historia ya Ndoto tu tosha kwamba ametoka ktk Familia ya Washirikina (Waamini Majini) na si Familia ya Uislamu. Uislamu haufundishi Utajiri wa Majini Wala Utajiri wa Majini 🙌 Macho na Maongezi yake tu yanamsuta. Kumbe anajuwa anaangamizwa Kwa Kukosa Maarifa,😂😂😂
@sweetlisious
@sweetlisious 13 күн бұрын
mnachekesha kweli, sijui tatizo elimu?? mbona mkiambiwa ukweli mnabweka? mnaswali na majini uongo? mnayafuga uongo? sasa nini?
@hassandinhoosmail6378
@hassandinhoosmail6378 12 күн бұрын
Njaa Mbaya 😂😂😂😂
@servantofgod4340
@servantofgod4340 11 күн бұрын
kwahiyo nyie ambayo peponi kwenu mnazini na wanawake 72 kila mwanaume ndio mna akili? wewe kinakuuma nini akipiga pesa. ndio pesa tutampa sana tu, kama unateseka njoo nawewe tukupe. unadhani Wakristo ni mabahili na wachoyo kama nyie. misikiti na vimadrasa vyenu hamuwezi kuvijenga mpaka mpite na mabakuli yenu kwenye nyumba za Wakristo wawachangie, na bado mnaenda kumtukana YESU. masheikh wenu wanatembea kwa miguu na vibaiskeli hata kuwanunulia gari na kuwajengea nyumba hamuwezi. mmebaki kuimba taarabu msikitini kwenye vimikeka vyenu. mnaswali kwa kuimba na kutetemesha mibichwa mnarembua na macho kabisa kama mna degedege😂 na pua mnabana,
@LeilaHussein-j6u
@LeilaHussein-j6u 11 күн бұрын
Amegundua siri ni yesu pekee yake abarikiwe saana
@nangukidasu8040
@nangukidasu8040 15 күн бұрын
Kigoma ujiji mmmh
@mary.matullu8279
@mary.matullu8279 14 күн бұрын
Mnafocus sana kwenye muonekano.. watu waache UDINI. Watu wanavaa vitambaa na maksi dresses but ndo wenye kuhukumu na wanafiki. ( mafarisayo)
@AysaAysa-qs7be
@AysaAysa-qs7be 16 күн бұрын
Kofia nitoe juu hizokofia Zina maagano ya kiisilamu pia maandiko inatukataza kuvaa Kofia kama umeokoa niuchome hizo Kofia hiyo ndio kweli
@Gindi-v7g
@Gindi-v7g 15 күн бұрын
Kofia ni ushuhuda wake mahali Mwenyezi Mungu amemtoa,sioni ubaya wowote,amekwisha safishwa na Yesu Kristo.❤
@AysaAysa-qs7be
@AysaAysa-qs7be 15 күн бұрын
@Gindi-v7g hakuna akisema tuta amini tuu atoe huyo kofia ama AWEKE picha ya amani na ya Sasa hapo utaelewa tuu kofia Zina maagano huniambii mm Sito muelewa Kwa hilo kofia aeke picha Kwa ushu da na kofia achome kabisa na nasahau
@alfredkuria7673
@alfredkuria7673 15 күн бұрын
Amen ​@@AysaAysa-qs7be
@AMAs-lr4ox
@AMAs-lr4ox 15 күн бұрын
Si hata saa hii una jita usthadi
@NoIe-zq7jo
@NoIe-zq7jo 12 күн бұрын
Wewe kimbilia pesa mimi sikuamini wewe wala pesa ya kukuchangia sitoi kwasababu unatafuta pesa tu wewe tunaijua iyoo
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 12 күн бұрын
Kama huwez toa ama kusapot kwa mtu inafaa ukae kimyaa tu aina aja ya kuongea mbaya
@IbrahimHamis-w1y
@IbrahimHamis-w1y 13 күн бұрын
Wapige pesa hao hawana maarifa fungua kanisa ule sadaka zao
@hassandinhoosmail6378
@hassandinhoosmail6378 12 күн бұрын
😂😂😂❤
@servantofgod4340
@servantofgod4340 11 күн бұрын
kwahiyo nyie ambayo peponi kwenu mnazini na wanawake 72 kila mwanaume ndio mna akili? wewe kinakuuma nini akipiga pesa. ndio pesa tutampa sana tu, kama unateseka njoo nawewe tukupe. unadhani Wakristo ni mabahili na wachoyo kama nyie. misikiti na vimadrasa vyenu hamuwezi kuvijenga mpaka mpite na mabakuli yenu kwenye nyumba za Wakristo wawachangie, na bado mnaenda kumtukana YESU. masheikh wenu wanatembea kwa miguu na vibaiskeli hata kuwanunulia gari na kuwajengea nyumba hamuwezi. mmebaki kuimba taarabu msikitini kwenye vimikeka vyenu. mnaswali kwa kuimba na kutetemesha mibichwa mnarembua na macho kabisa kama mna degedege😂 na pua mnabana, ma isha mashauzi classic
@servantofgod4340
@servantofgod4340 11 күн бұрын
kwahiyo nyie ambayo peponi kwenu mnazini na wanawake 72 kila mwanaume ndio mna akili? wewe kinakuuma nini akipiga pesa. ndio pesa tutampa sana tu, kama unateseka njoo nawewe tukupe. unadhani Wakristo ni mabahili na wachoyo kama nyie. misikiti na vimadrasa vyenu hamuwezi kuvijenga mpaka mpite na mabakuli yenu kwenye nyumba za Wakristo wawachangie, na bado mnaenda kumtukana YESU. masheikh wenu wanatembea kwa miguu na vibaiskeli hata kuwanunulia gari na kuwajengea nyumba hamuwezi. mmebaki kuimba taarabu msikitini kwenye vimikeka vyenu. mnaswali kwa kuimba na kutetemesha mibichwa mnarembua na macho kabisa kama mna degedege😂 na pua mnabana, ma isha mashauzi classic
@servantofgod4340
@servantofgod4340 11 күн бұрын
msio na maarifa na akili ni nyie nandio mara zote mnakuwaga wamwisho darasani. hata mitandao unayotumia, ndege, magari ni mnaowaita makhafiri wameunda, mmebaki tu na maneno na dini isiyo na matokeo yakuonekana, hamna akili mpaka mnafundishwa jinsi ya kunya na kushika mavi na kuingia chooni. hiyo dini gani, kiongozi wenu alibaka kitoto cha miaka 9 alafu unakuja kutukana imani za watu hapa yako huioni ilivyopotoka
@GodfreyMolel
@GodfreyMolel 15 күн бұрын
Nauliza na sasa wale wanauza udi madukani ina madhara kwao maana Mimi kwanza ninauza na nimeokoka na zinaletwa na wafanyabiashara kama vituzingine wanavyotembeza ina shida au madhara kwao,?
@sarahamri1620
@sarahamri1620 15 күн бұрын
Marashi yanashida maudi pia
@sarahamri1620
@sarahamri1620 15 күн бұрын
Isaya 3:18__
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 13 күн бұрын
Umesikia ushuhuda usiuze ni dhambi
@LibereNzikwikiza
@LibereNzikwikiza 15 күн бұрын
Bwana bibiliya inasema kwamba mwanaume asifunike kichwa cake.
@TerenceAmboko
@TerenceAmboko 14 күн бұрын
Toa aya
@salumuselemani-km2ee
@salumuselemani-km2ee 15 күн бұрын
Kwann watu kama Hawa wakibadili dini kwenda kwenye ukristo wanakilimbilia kuwa Wachungaji kabisa Kuna Siri Gani wazee😅 Wakristo Popote mlipo jihesabu kuwa ni mtaji wa watu Saivi maisha yakikupiga tu kajifanye ulikuwa mwisilamu umebadili dini kisha fungua kanisa lako utapiga Hela 😅 Wakristo Bado hamjastuka tu!
@muujizakasiwa4534
@muujizakasiwa4534 15 күн бұрын
Mbona Paulo alitoka gizani, na muda si mrefu akawa mtume?
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 15 күн бұрын
Hapana hawakimbilii ni wito wanao itwa unakuwa tayari upo ndani ila inapofika swala la kuitwa ndo anaanza utendaji ndugu
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 14 күн бұрын
Wala Usipate Shida, Njoo Na Wewe Upige Ela Ikiwa Wasema Kweli😂
@servantofgod4340
@servantofgod4340 11 күн бұрын
kwahiyo nyie ambayo peponi kwenu mnazini na wanawake 72 kila mwanaume ndio mna akili? wewe kinakuuma nini akipiga pesa. ndio pesa tutampa sana tu, kama unateseka njoo nawewe tukupe. unadhani Wakristo ni mabahili na wachoyo kama nyie. misikiti na vimadrasa vyenu hamuwezi kuvijenga mpaka mpite na mabakuli yenu kwenye nyumba za Wakristo wawachangie, na bado mnaenda kumtukana YESU. masheikh wenu wanatembea kwa miguu na vibaiskeli hata kuwanunulia gari na kuwajengea nyumba hamuwezi. mmebaki kuimba taarabu msikitini kwenye vimikeka vyenu. mnaswali kwa kuimba na kutetemesha mibichwa mnarembua na macho kabisa kama mna degedege😂 na pua mnabana,
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 15 күн бұрын
Acha kuuhusisha uislam na vitu vya ajabu
@sweetlisious
@sweetlisious 13 күн бұрын
ukweli unauma alikuwa wenu huyu siri zinatoka umilia tu ukipita huku
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 13 күн бұрын
@@sweetlisious kwa msioujua uislamu mnamuona huyu ni bonge la muislam,uislamu bila elimu ni sifuri jumlisha zero,we kwaakili yako uislamu mnavojitahidi kuubomoa km ingekuwa sio dini yaMlmungu ungekuwepo mpaka leo?
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 9 күн бұрын
Hv undhn sahv mtamfich nan kuhus uislm ?muhmd mbakaji hawez kutumw na mung kuja kumpinga kristi ni imani y hovy sijawahi kuona😅😅😅
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 9 күн бұрын
@@Anthonyzombie-d2s na huku wala hatuhitaji watu wanaoowana wanaume kwa wanaume baki tu huko kwenye ukafiri au utubie
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Spirituality Vs Witchcraft & Science || Dr. Mwaka
1:56:49
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 174 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН