Pt2_MWIZI ALIEKUTANA NA YESU AKIWA KAZINI AKANENA KWA LUGHA MASAA 48 MFULULIZO|Ushuhuda wa Mch.Stev

  Рет қаралды 6,927

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 72
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 5 ай бұрын
Namimi nampeda sana YESU KRISTO amenionesha makumbwa nisiyoyajua..... YEREMIA 33:3
@oscarkalihamwe1621
@oscarkalihamwe1621 6 ай бұрын
Huwa nimaajabu ukiokoka ,,ukatoka kwenye ukatoliki haswa haswa unatangaza Vita na wazazi lakin ukiwa uko busy na dhambiii huwa hawaongeii nimokoka kupitia promover na nimeponywa mogonjwa bila kuombewa nashukuruu Mungu
@mariahyera3737
@mariahyera3737 6 ай бұрын
Bwana Yesu alishasema ameleta upanga. Kumbuka ndugu hawana Mbingu ya kukupeleka. Nami nilitoka huko kwenye ukatoriki na mwanzo niliuchukia sana ulokole, ila naamini Mungu anawajua walio wake, alinichomoa huko kupitia muujiza mkuu wa kumponya binti yangu matundu ya moyo. Sasa nimeokoka ninampenda sana huyu Yesu.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 6 ай бұрын
​@@mariahyera3737ubarikiwe sana
@oscarkalihamwe1621
@oscarkalihamwe1621 6 ай бұрын
Amina na tuwe waaminifuu katika njia ya Kristo Bwana
@kakajoss2464
@kakajoss2464 6 ай бұрын
Wakatoliki huwa wanaamini hiyo dini yao sana bila kujua hawamwabudu Mungu Jehova mbali mungu shetani. Nimelelewa huko lakini nilipojua ukweli nilitoka na nikaokoka na hadi wa leo my dad unishawishi nirudi.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 6 ай бұрын
@@mariahyera3737 nami nampenda sana huyu Yesu amenionyesha maajabu makubwa ikiwa ni pamoja na kuniponya magonjwa
@moureenkionga3745
@moureenkionga3745 6 ай бұрын
Yesu ni mtamu sana.. Yani adui alitaka kumuwahi kuharibu Ile karama Bwana aliweka ndani yake lakini walio wa kwake anasema hawatapotea...oh glory! Mungu wetu anatisha
@samjosh12
@samjosh12 6 ай бұрын
Huyu ni mtumishi. Sijamsikia akisema utajiri, maji, chumvi na mafuta. Yeye ni neno tu, tena anaenda vijijini kabisa kuokoa watu. Mungu ambariki sana katika imani yake.
@eddykamaukahiu7239
@eddykamaukahiu7239 6 ай бұрын
It's true most teachers and preachers, teach theology not Revelation How i Love My MASTER JESUS
@luciawanyonyi4640
@luciawanyonyi4640 6 ай бұрын
Barikiwa Mtumishi wa MUNGU Stive,,nikiwa mdogo nilisikia kuna mchungaji amekuja Kenya kutoka Tz anasoma bublia kwa kichwa kumbe ulikuwa wewe,be blessed Man of God 🙏🏻🙏🏻na team ya promover🙏🏻
@liza6able
@liza6able 4 ай бұрын
Mimi natamani Sana kuhudhuria mahubiri yake. Thanx for giving out your contact. It's going to be a blessing for many. Mungu azidi kukutia nguvu na akuepushe na maadui zako
@fortunatatarimo2219
@fortunatatarimo2219 6 ай бұрын
Huyu kaka hata uso wake unafuraha, hongera sana. Mungu aendelee kukutunza
@mwendwa_m
@mwendwa_m Ай бұрын
Ndio. Utukufu wa mungu. Akona kiaka 52 lakini anakaa thelathini. Mungu ambariki kweli
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 6 ай бұрын
Watumishi wengi wa kweli tz ila hatukuwajua Mungu ibariki Promover inainua wengi siku tutamsikia akihubiri
@user-of2rg3nf2w
@user-of2rg3nf2w 6 ай бұрын
Asante kwakupandisha kiwango changu cha imani,Mungu akutunze.
@sophiaommy8343
@sophiaommy8343 6 ай бұрын
Asante YESU kwa zawadi ya wokovu wako mkuu
@liza6able
@liza6able 4 ай бұрын
May God bless Promover Tv. Am so much blessed by this testimony. Mungu nisaidie nieze kupata alama ya kwenda mbinguni
@rehemasuleiman7469
@rehemasuleiman7469 6 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda mzuri Mungu akubariki sana
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 6 ай бұрын
I love you Jesus
@PCharlzy-rr2iv
@PCharlzy-rr2iv 5 ай бұрын
Hakika Mungu ni dhahiri tufungue mioyo yetu tumpe nafasi atukaribie
@liza6able
@liza6able 4 ай бұрын
Karibu sana Kenya mtumishi. Nimebarikiwa sana na ushuhida huu
@afredmwatate8128
@afredmwatate8128 6 ай бұрын
👏👏napenda jinsi unavyo fanya mahojiano Yako jackton, Mungu akubariki(very detailed)
@PromovertvTz
@PromovertvTz 6 ай бұрын
Amen, asante
@LispafulgenceSimon-rs1zg
@LispafulgenceSimon-rs1zg 5 ай бұрын
Yesu mzur jamn hata hazeeki
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 5 ай бұрын
Amen
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w 6 ай бұрын
Hakika ushuhuda huu umenijenga sana,barikiwa mchungaji.🙏
@annatraseas474
@annatraseas474 4 ай бұрын
Nabarikiwa baba
@rerisamba
@rerisamba 6 ай бұрын
Yani kuna watu walipendelewa na Mungu jamani mpaka muonekano Mungu kampendelea hata unywele mweupe hana utadhania ako 35 jamani Mungu
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 3 ай бұрын
Mungu awabaliki 🎉
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 6 ай бұрын
Nabarikiwa sana na ushuhuda wako Mtumishi wa Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo
@alinamark2640
@alinamark2640 6 ай бұрын
Ahsante Mungu Kwaajili ya promover TV na shuhuda ambazo zinaonyesha Ukuu na upendo wako kwetu.
@adeladamasi4391
@adeladamasi4391 6 ай бұрын
AMINA mbarikiwe shalom
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 6 ай бұрын
MUNGU azidi kukutumia
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 3 ай бұрын
Amen mtumishi wamungu
@user-md2xk9js3d
@user-md2xk9js3d 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Yesu Kristo
@Nabatabita6873
@Nabatabita6873 6 ай бұрын
Amena amen nitakutafuta mtumishi
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 6 ай бұрын
Amen mungu akubarki san mtumishi
@AnnaLwanda-oj4jn
@AnnaLwanda-oj4jn 6 ай бұрын
Mungu ni mwana sana tunabarikiwa sana
@germainndayishimiye8684
@germainndayishimiye8684 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 6 ай бұрын
Amen and Amen
@gelardjames2595
@gelardjames2595 6 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@jimmymwashambwa7364
@jimmymwashambwa7364 6 ай бұрын
Asante sana jamani Nina mahitaji mengi
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 6 ай бұрын
Amen mungu akubarike sana
@IdahNambelasiwala-qs3su
@IdahNambelasiwala-qs3su 6 ай бұрын
Amen 🙏
@user-ly8ck1cb3c
@user-ly8ck1cb3c 6 ай бұрын
Namba namba yako
@lesbananeslip7223
@lesbananeslip7223 6 ай бұрын
Nimebalikiwa sanaaa mchunganji umetupa nember nimekuwandukiya kwa wathap aujibu sichuwe kama ninember yako basi kama ni wewe tujibu basi .
@harrietkiden7808
@harrietkiden7808 6 ай бұрын
What is his name? How do i contact him?
@elpidiusezekiel2729
@elpidiusezekiel2729 6 ай бұрын
Kuna Mch. alifanya kipindi apa Promover akawa anaelezea mambo flani lakini kwake kama huna kiwango flani kwenye maombezi ni mtihani kidogo kwake😊
@germainndayishimiye8684
@germainndayishimiye8684 6 ай бұрын
Naomba number
@samjosh12
@samjosh12 6 ай бұрын
Mtumishi huyo mama aliyekufa, Kwanini usimfanyie usaili (interview)?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 6 ай бұрын
Amen, Mungu akifanya
@jimmymwashambwa7364
@jimmymwashambwa7364 6 ай бұрын
Nahitaji mno kombewa juu ya afya yangu Jimmy
@nancyogega6109
@nancyogega6109 6 ай бұрын
Nashukuru Mungu Kwa Hilo fundisho.lakini nauliza,hii mitindo ya kunyoa Mungu hajaonya?
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 6 ай бұрын
Mengine ya kibidamu tu Kwa hiyo unataka Angie kipara
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 6 ай бұрын
Ameonya kwa andiko lake ni wewe utakae Soma na kufuatilia maneno yake
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 6 ай бұрын
Mbona amenyoa vizuri
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 6 ай бұрын
Uyo na ye afungue salon yke il aende akanyoe kwake
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 6 ай бұрын
Kwa nn usingeingia Eagt, TAG, pefa, Fpct na mengine nk. Maana hayo makanisa yaliyosajiliwa nje ya Tanzania mengi siyo mazuri sana. Ila kama mungu mwenyewe ndio amekuonesha hapo ni sawa tu.
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 6 ай бұрын
Hawezi ingia ingia popote tu eti ju inaitwa kanisa hapana sio makanisa yote yanatumika na Mungu lazima atulie aelekezwe na Mungu mwenyewe MATHAYO 10:5 5 Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 6 ай бұрын
TAG nayo siyo ilisajiliwa nje?
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 6 ай бұрын
Naomba namba ya Mtumishi huyu
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 6 ай бұрын
Hapo kwenye biashara ni sawa lakini maandiko si yapo wazi kwamba nyakati za mwisho watajitenga na imani maana yake watafuata njia zao wenyewe watamwacha Mungu
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 6 ай бұрын
Kulingana na maandiko ya bibilia watumishi walitakiwa kufanya jinzi huyu anafanya 👇👇👇👇👇 MATHAYO 10 1 Akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu, wawatoe, na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. 5 Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. 6 Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. 7 Na katika kuenenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa mbinguni umekaribia. 8 Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure. 9 Msichukue dhahabu, wala fedha, wala mapesa mishipini mwenu;
@jimmymwashambwa7364
@jimmymwashambwa7364 6 ай бұрын
Nitakutafuta Jimmy Kigamboni
@oscarkalihamwe1621
@oscarkalihamwe1621 6 ай бұрын
Samahani dada angu kama umeokoka sali kwa biddii mogonjwa yatatoka, ila kama hujaokoka okoka ubatizwe uache dhambiii hakika utaponaa,, msingi ni dhambiii nilikuwa mkatoliki now mim nimlokole nimeokoka tarehe 26 mwaka jana
@rerisamba
@rerisamba 6 ай бұрын
Yani kuna watu walipendelewa na Mungu jamani mpaka muonekano Mungu kampendelea hata unywele mweupe hana utadhania ako 35 jamani Mungu
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 6 ай бұрын
Amen Amen Amen
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 6 ай бұрын
Amen Amen
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,2 МЛН
ALIYEKUWA AKIFUGA MAJINI 4004-Part 1
32:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 8 М.