Pt1_USHUHUDA WA BINTI ALIYETEKWA KUZIMU NA WACHAWI AKIWA MTOTO WA MIEZI 7 SABABU YA JINA LA UKOO

  Рет қаралды 23,985

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@wanjirumuhoro7553
@wanjirumuhoro7553 Жыл бұрын
Asante dada kwa kufikisha unjube,ubalikiwe katika jina KUU LA YESU KRISTO.Roho wa Mungu wa Abraham atufungue macho....
@juniorkalinge5861
@juniorkalinge5861 Жыл бұрын
Amen&Amen, may promover TV be highly blessed IJN, FOR BRINGING us touching testimony at all times. Hi Channel imefanya IMANI YANGU IKAKUWA MARADUFU KWA MAMBO YA YESU KRISTO.
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya Жыл бұрын
Promover mbarikiwe mnoooo kazi njema. Dada Yesu akulinde mpaka mwisho. Shika Yesu dada usimuache
@SarahWilson-g2u
@SarahWilson-g2u Жыл бұрын
Amina nakukubari sana jactani huna utani na Mambo ya Mungu, ubarikiwe sana❤
@charlesyotham7977
@charlesyotham7977 Жыл бұрын
Jamani Yesu kristo anatupenda sana tuwe watu wa maombi sana Asante Mungu kwa ushuhuda mzuri.
@charlesyotham7977
@charlesyotham7977 Жыл бұрын
Kaka janctani Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri.
@carolinemiano2416
@carolinemiano2416 Жыл бұрын
Nafuatilia nikiwa Saudi Arabia mimi ni mkenya ,langu ni kumshukuru Yesu Kristo kwa ufunuzi wa hizi siri za giza. Shetani mwovu ashidwe na giza zake katika Jina la Yesu Kristo.
@maryandason1815
@maryandason1815 11 ай бұрын
Amen blessed caroline❤..karibu tanzania
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 Жыл бұрын
Asante sana dadangu kwa hizi siri zagiza barikiwa
@SarahWilson-g2u
@SarahWilson-g2u Жыл бұрын
Uwiiiiiiiiiiii!!! 🙆Mungu atusaidie sana wanawake tunapenda mapambo
@ElizabethJuma-e4z
@ElizabethJuma-e4z Жыл бұрын
Akika mungu atusaidie sana atufungu mojo ya kiroho akika .ubarikiwa sana dada
@hildandeda3348
@hildandeda3348 Жыл бұрын
May the Lord have mercy on us following from Kenya 🇰🇪
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 Жыл бұрын
Mungu akubariki dada yangu kwa kutufunulia siri zote
@HoseaMwapindule-rw5nr
@HoseaMwapindule-rw5nr Жыл бұрын
BWANA YESU abariki kazi ya mikono ya promover Tv.
@henrysizya239
@henrysizya239 Жыл бұрын
Alichosema kuhusu kunyonyesha au kuwa na mtoto hii ni kweli kwa upande wangu. Watoto wangu wawili wa mwisho kabla ya kuzaliwa mke wangu alikuwa anasema nimeota na nyonyesha mimi nikawa namwambia kuwa itakuwa ni majini au watoto wa kichawi. Ila baada ya muda ulikuwa inatokea anapata ujauzito. Mambo mengi ambayo yanatokea katika ulimwengu wa kawaida huwa yaanza kujulikana kwanza katika ulimwengu wa Roho. Nimekuja kulitambua hili baada ya kuwa na mtoto wa mwisho kuwa alichokuwa anaota haikuwa ni ndoto bali ilikuwa ni jambo halisi katika ulimwengu wa roho. Ila inakuwa bado haijazihilika katika hali ya maisha ya kibinadamu.
@mbelemmunga-ps4df
@mbelemmunga-ps4df Жыл бұрын
Pole sana
@elietiniswimzava4757
@elietiniswimzava4757 3 ай бұрын
Ushuhida huu unajenga nimejifunza tuangalie majina tunayowapa watoto wetu.Alafu njia ya kutoka huko mpaka upate mafunuo ya wokovu kwa kuongozwa na roho wa Mungu
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Yesu atusaidie tufunuliwe yalio sirini
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Bwana wetu Yesu kristo atukuzwe sanaa.
@sallymumia8425
@sallymumia8425 Жыл бұрын
Amina, Amina Kwa hii channel
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya Жыл бұрын
Haya anavyoongea yanafundisha mno na ni kweli. Mizimu inatesa wengi sana hata wachungaji na watumishi lakin wanashindwa kusema ukweli kwa nafasi zao. Wanaota wanalala na wanawake au wanaume ndotoni. Kusema inakuwa ngumu unakuta ni watumishi watu wanawanyenyekea kwahiyo wananyamaza. Lakin ni Bora kutafuta suluhisho kwa YESU maana hiyo inamkondesha mtu mbingu unyakuo ukitokea anytime.
@felixBenos
@felixBenos Жыл бұрын
Yesu atusaidie sana
@kizadorcas3321
@kizadorcas3321 Жыл бұрын
Mungu atusaidiye maana Dunia inamambo mengi tusiyo yajuwa
@neemamarko176
@neemamarko176 Жыл бұрын
Mbarikiwe
@Yohane-b5e
@Yohane-b5e 3 ай бұрын
Kweli, ukiijua kweli itakuweka huru Mungu anajifunua sasa raivu maana kwa sauti watu hawasikii wahubiri tuna piga kelele sana kuhusu mapambo, tumeesabiwa kuwa wajinga wahubiri sasa mimi nawapa kitabu 1Timotheo2;9kuendelea hadi 14 kuhusu mapambo Mungu mwema
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c Жыл бұрын
Amen YESU Kwa kuendelea kufunua na kufichua yaliyo sirini
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Umeonaeeee
@user-28Gerardineakimana
@user-28Gerardineakimana Жыл бұрын
Uwachane na mawigi watu wa Mungu hata kama zambi zi wigi na cheni plz
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Mimi tokea nisome kuhusu kusuka nywele ni dhambi niliwacha hata herini pia
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 8 ай бұрын
Uuwi niliwavalisha wanangu rosali mmoja mdogo alikuwa haitaki ila nilikuwa namlqzimisha mwisho akaitupa sasa huyu mkubwa ndo alikuwa anachubuka ngozi shingoni had nikamuachisha kuivaa looh Mwenyezi Mungu nisamehe sikujua nitendalo
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c Жыл бұрын
Kupitia Promover Tv
@PaulinaMajengo
@PaulinaMajengo Жыл бұрын
Tuzidishe maombi na utakaso
@maryandason1815
@maryandason1815 11 ай бұрын
Blessed kka jacktan❤.cjachelewa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Ameen asante Yesu.
@Pasfiqueabel
@Pasfiqueabel Жыл бұрын
ila jitahidi uwe unatuwekea beat ya emotion tunabalikiwa san
@MariamGodfrey-oe1bn
@MariamGodfrey-oe1bn Жыл бұрын
Jesus is lord thanks jactan
@MtumishiLoveness
@MtumishiLoveness Жыл бұрын
Mhhh kuna haja ya kuombea watoto wetu ubarikiwe mtoa ushuhuda
@kashindibakari7726
@kashindibakari7726 Жыл бұрын
Bwana tesu asifiwe milele na milele
@joymkenya2359
@joymkenya2359 Жыл бұрын
The best story ya kufunza wenye masikio 😅 welcome to kenya ,,, Mimi City yangu ni nakuru,,, I wish mngekuwa mnnakuja huduma this side ,,, niwa host for free,,,, wa TZ tunawapenda, pia Mimi nawauliza nikija TZ kutembea nitapata wapi wakunikaribisha, gharama kwangu
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Karibu sana nasi tuko tayari kukupokea
@DottoMartin-u2e
@DottoMartin-u2e Жыл бұрын
Karibu sana Tz usiwe na wasi utatembea vizuri bila shida.
@Munguyupo_
@Munguyupo_ Жыл бұрын
Karibu sana Tanzania,tunawapenda pia wakenya!!
@joymkenya2359
@joymkenya2359 Жыл бұрын
Thanks all,,, nimefurahia your soft replies, God bless you 🙏
@maryandason1815
@maryandason1815 11 ай бұрын
Karibuu kila cku tzd inasehemu nzur nying watu wake n wakarimuu njoo
@neemamatiko3745
@neemamatiko3745 Жыл бұрын
Nijua wasioamini ulimwengu wa roho wanasikia mashokoro
@joycekaphevemba7215
@joycekaphevemba7215 Жыл бұрын
Jameni Niko mombasa ila watu WA nairobi nawaonea wivu jameni natakani Ningekua Kenya ningejitahidi kufika aki😢😢
@maryandason1815
@maryandason1815 11 ай бұрын
Karibuuuu tzd
@charlesmutunga6952
@charlesmutunga6952 Жыл бұрын
Naomba kuelezwa tofauti ya mizimu na mapepo
@DottoMartin-u2e
@DottoMartin-u2e Жыл бұрын
Mizimu ni roho zinazotokana na maagano ya kifamilia, mapepo ni mashetani yaliyoasi yaliyo tayari kumharibu yeyote anayelikiri jina la Yesu.
@charlesmutunga6952
@charlesmutunga6952 Жыл бұрын
Nashukuru kwa hili jibu. Baraka kwako.@@DottoMartin-u2e
@MtumishiLoveness
@MtumishiLoveness Жыл бұрын
Mzimu na mapepo yanataka kufanana kwasababu zote ni roho ila mizimu imepewa kusimamia familia (koo) sasa mapepo yapo Chin ya majin yenyewe ni ni cheo cha chin ndio maana mapepo yanaweza kuombewa mtu yakatoka lkn mizimu Watu wamekaa nayo hta makanisani lkn hakuna anajua kwasababu maagano yake ni mazito yanahusisha damu
@MtumishiLoveness
@MtumishiLoveness Жыл бұрын
Naamin hii Tafsir utaelewa
@charlesmutunga6952
@charlesmutunga6952 Жыл бұрын
Hivi sasa nimeelewa. Baraka.@@MtumishiLoveness
@HesboneMalangalila-ek6te
@HesboneMalangalila-ek6te Жыл бұрын
Asante ila ushuhuda wa albogast na mchungaji aliyemwingiza kuzimu tunahitaji pt3 Na tunatamani kumsaport atoe video
@ainekishagodwin1877
@ainekishagodwin1877 Жыл бұрын
Baba zetu walitenda dhambi na Sasa hawako tena na tumeyabeba maovu yao
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs Жыл бұрын
Hosea 2:13
@DoricEverist
@DoricEverist Жыл бұрын
Duuu huyu mwingine tena amekuja nakusema habar za mizimu ushuhuda unathibitika kwa watu wa2 au wa3 Sasa itabidi nichukue hatua mwenye ulewa zaidi jinsi ya kufanya kujitenga na mizimu sababu hata mimi nna jina la ukoo
@DottoMartin-u2e
@DottoMartin-u2e Жыл бұрын
Tafuta mtumishi anayeongelea habari za deliverence.
@salamadickson8108
@salamadickson8108 Жыл бұрын
Ezekiel 16 :11 mtu anaweza nielezea au ni Mungu yupi huyo
@maryandason1815
@maryandason1815 11 ай бұрын
Mwambie Roho mt..ndye mwalimu mzur atakufundshaa zaid
@stellapaul2442
@stellapaul2442 Жыл бұрын
Yaan kuhusu mapambo shetan kawateka sana wanawake huwambii kitu
@tarimowakweli
@tarimowakweli Жыл бұрын
Amen
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
5hours na mumefika 1.5 haya hata mimi wacheni ni changamke
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Shuhuda nyingi Kuna mchanganyiko na Kauongo kadogo,ushauli Kwa Promov TiV kabla ya kurusha muwe mnajilidhisha Ktk kuwahoji kwanza,vinginevyo mtapoteza umahili wenu Ktk wasikilizaji
@livinhillary9804
@livinhillary9804 Жыл бұрын
Jesus is Lord
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 Жыл бұрын
Ebu tuelezeni Ezekiel 16:8
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Hio ndio story ya mbinguni nasikia ukifika utakumbuka uliishi huko zamani sana
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 Жыл бұрын
Aston adam anakuja lini Kenya
@ErnestinaKisinga
@ErnestinaKisinga Жыл бұрын
Yesu anatupenda hakuna kitu anacho ficha
@micahnjoroge3685
@micahnjoroge3685 Жыл бұрын
Uongo na ujinga
@florencenshimi9353
@florencenshimi9353 Жыл бұрын
Mi niulize suali ! Kwahio dhahabu tusivae nivya shetani pia ?
@stellapaul2442
@stellapaul2442 Жыл бұрын
Hiyo si miungu migeen
@bedykedy3428
@bedykedy3428 Жыл бұрын
We hyo dhahabu ukivaa inakusaidia nn?
@paulomtweve3819
@paulomtweve3819 Жыл бұрын
Kama wewe n sayuni kwa Bwana haupaswi kuvaaa hayo madude maana ukiyavaa huitwa sayuni mwenye madaha na maringo Sasa ukifikia hapo sio sayuni Tena Bali umeharibikiwa. Soma isaya 4:16-25 ndugu utajifunza
@paulomtweve3819
@paulomtweve3819 Жыл бұрын
Pia Kama wewe n sayuni haswa kwa kristo basi haupaswi kuambatana na mapambo kwasababu anayevaa mapambo huyo huitwa kahaba je wewe n kahaba hapo humaanisha hivyo kwakuvalia mapambo huonekana Kama kahaba. Ufunuo 17:1-5. Soma hapa utaona mwanamke kahaba na mama WA makahaba ndio alikuwa anavaa Sasa je Kama wewe unavaa kwa ajili gani je na wewe n mama wa huyo kahaba ifikie hatua tuokoke kwelikweli.
@paulomtweve3819
@paulomtweve3819 Жыл бұрын
Ni isaya 3:16-25
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
🤣🤣🤣ati makatani gani hayo yasio isha nayasio paliliwa
@rusimackems9820
@rusimackems9820 Жыл бұрын
😂
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 Жыл бұрын
Aston adam anakuja lini Kenya
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Amen
@ReganNyanda
@ReganNyanda 11 ай бұрын
Amen
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН