Pt9_Nilipataje wito wa Utume na Uaskofu baada ya kuokoka|USHUHUDA MZITO WA Zizi Matembo

  Рет қаралды 3,480

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 117
@SalamaEmanuel-p8f
@SalamaEmanuel-p8f 4 күн бұрын
Asante mtumishi kwa ushuhuda kunawengi wanataka kukosoa watumishi kwa mitizamo Yao na sio maandiko na neno halijaka za mapambo soma ezekieli16:6-13 mwanamke hapa amefananishwa na huo mji mwanamke huyu Mungu amempamba kwa mapambo na vikuku je Mungu nidhalimu mpaka afananishe kazi zake na uovu nakutia moyo mtumishi Roho mtakatifu yeye atakufundisha kila lisilo sahihi na neno linamajibu ya maswali yetu yote
@obadiambilinyi27
@obadiambilinyi27 8 күн бұрын
Dada Zizi Hilo la kufunika kichwa na kusitiri mwili nakushauri ulichukue na liwe sehemu ya maisha yako, najua Yesu bado anakutengeneza, inawezekana swali la mwandishi limekuja ili likuponye zaidi. Nenda kajifunze biblia zaidi kuhusu mavazi na mapambo, chukua fundisho Hilo liwe sehemu ya huduma yako. Jiepushe na ukristo wa kizungu ambao umepotoka
@PHILIPOMUGOA
@PHILIPOMUGOA 8 күн бұрын
Dada Bado Yesu anakutakasa endelea kusoma neno kwa bidii
@winnifridangahyoma9127
@winnifridangahyoma9127 7 күн бұрын
BARIKIWA PIA MTUMISHI KWA USHUHUDA HUU AMBAO BINAFSI NIMEJIFUNZA MENGI.
@shadrachkamyori9911
@shadrachkamyori9911 6 күн бұрын
Suala la mapambo, litakuwa mitihani mkubwa kwa mtume. Kumbukeni mtume ana asili ya ubishi. Hakika kadri atavokutana na changanyamoto ndivo anastuka. Mtume Zizi piga chini mapambo, kiremba na mengineyo. Huo ni umalkia toka kuzimu. Nimependa Audax anavohoji maswali. Hongera sana Audax. Maswali ya maana kwa ujasiri mkubwa kabisa. Lakini pia lazima ijulikane kwamba ukiwa ndani ya Kristo mengine unayahesabu kama mavi. Hata kama ndani ya Kristo kuna uhuru haina maana kwa ni holela kiasi hicho. Unakuwa mtumwa katika Kristo kwa mujibu wa maandiko ya mtume Paulo.
@rerisamba
@rerisamba 4 күн бұрын
Pengine anauruka ushuhuda wa Aston Mbaya
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 6 күн бұрын
Dada yetu mtumishi wa Mungu, wachana na mapambo ya kidunia.
@rerisamba
@rerisamba 4 күн бұрын
Hope atasoma comments manake washirika wahapa
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 6 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, namini Mungu ataendelea kukufunza zaidi kuhusu mapambo na kutii neno la Mungu
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 8 күн бұрын
Esther Masanja anashuhudia kwamba Bwana Yesu Kristo alimwonesha na kumhakikishia kuwa wanawake wanaojipamba kamwe hawawezi kuingia Mbinguni. Sikilizeni watumishi wa Mungu wa AJ, angalieni sana Mnachanganya watu juu ya Mungu. Kwa kauli na mitazamo yenu ni kama Mungu hana msimamo, kwamba, ni Mungu anayejipinga mwenyewe, kwamba, humpatia huyu maagizo haya, na, yule maagizo tofauti. Anyway, tuendelee kumsihi Mungu aliye hai atufunulie juu ya mapenzi yake.
@NellyDeborah77
@NellyDeborah77 8 күн бұрын
@@pirminmatumizi5464 umesema kweli ,ushuuda ya kweli ni ule umesimama KWA NENO.niseme ester Ako sawa maana ni NENO na Mungu huangalia NENO alitimize.kwa hiyo ukitaka kujua mjumbe WA MUNGU shuuda zake hukaa KWA NENO Bali sio inje ya NENO. KWA huyu dada yetu ushuuda WA MAISHA yake ni kweli na umeonyesha ukuu WA MUNGU.pale amefika pa utumishi HAPO ndio nihisi kuwa amechanganyika na sauti nyingine huenda ,sababu Mungu aliye kataza KWA NENO mwanamke kuwa mchungaji,askofu na Mtume hawezi jichanganya na kumpoteza mtumishi wake .huyu dada nikama aliconfusi maelekezo ya sauti.yamkini Mungu alitaka ajenge makanisa akiwapa wanaume kama WACHUNGAJI na yy awe mwinjilist na pia anaweza kuwa nabii maana Mungu amemwonyesha mengi KWA ndoto.kwa hivyio anyenyekee na kikabithi makanisa KWA WACHUNGAJI wanaume na yy awe mwinjilist na akisupport UDUMA za Mungu KWA fedha.
@josephmusagasa
@josephmusagasa 8 күн бұрын
Leta vifungu vya kuruhusu kuvaa mapambo. Maneno matupu hayafai na vigezo vya Mungu havijawahi kubadilika. Pole sana mtumishi. Shetani hujifanya malaika wa Nuru hivyo inatupasa kuwa makini.
@shadrachkamyori9911
@shadrachkamyori9911 6 күн бұрын
Kuokoka ni vipengele. Nadhani atabadirika hatua kwa hatua kadri ya miongozo na imani inavoimarika. Hayo ni mapungufu katika makuzi ya imani ya kumjua Bwana. Ni kweli ameitwa na Mungu lakini bado Mtume Zizi anaimarishwa......
@josephmusagasa
@josephmusagasa 5 күн бұрын
@@shadrachkamyori9911 vema kabisa
@rerisamba
@rerisamba 4 күн бұрын
Halafu upo ushuhuda wA Mahi mahiyu huko kenya mwaka jana April mafuriko yalio tokea yakabeba familia moja mama katika kua nje ya mwili alikutana na Yesu naakamuuliza nini hiko kichwani alikua ako na wig
@afredmwatate8128
@afredmwatate8128 8 күн бұрын
....hicho kitu unacho kisikia ndio sauti ya Mungu dada, kwa kifupi funika kichwa
@maureenmgeni
@maureenmgeni 8 күн бұрын
Hata mimi nikiwa nataka kusali nasikia sauti inaniambia nifunike kichwa. Hakika hakika.
@NellyDeborah77
@NellyDeborah77 8 күн бұрын
Audax ambia huyo dada kuwa Mungu awezinenda kunyume na NENO lake maana alisema kuwa analiangalia NENO lake apate kulitimiza.shetani amemweka mtegoni sana.
@GladysVyagusa
@GladysVyagusa 8 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi Audax kwa huduma njema .
@paskaliJohn-r5g
@paskaliJohn-r5g 8 күн бұрын
kingine mungu hakucaguwa wanawake mahari popote wawe makuhani ukianzia agano lak ale hata agano jipia yesu hakuwacaguwa wawe mitume au wacungaji harafu mapambo kwamba eti wakiva wach ce ni x wew tu ku amua
@RehemaMtono
@RehemaMtono 8 күн бұрын
Dada MUNGU anakupenda sana ila kazi ya uaskofu niya wanaume au ushemasi MUNGU habadiliki niyuleyule jana leo hata milele badili mfumo wa kiuhuduma
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 8 күн бұрын
Yaani wewe umekoma na hayo maneno yako uliyo danganywa
@RehemaMtono
@RehemaMtono 8 күн бұрын
@@emmanuelsunday8325 nimedanganywa na wewe
@NellyDeborah77
@NellyDeborah77 8 күн бұрын
Dada Mungu anaongea nawe kwa Neno kila siku lakini unampuuza
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 7 күн бұрын
Dada Sheria ya Mungu ni moja kwa watu wote, kumbali Sheria ya Mungu
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 7 күн бұрын
Blessd kaka jacktan na Audax na promover tv ❤na madam mtumishi wa MUNGU aliye hai❤
@adenhyera4820
@adenhyera4820 8 күн бұрын
Hayaaa dada ila kuna tafakari na maswali bado mengi katika utamishi wako na ushuhuda wako!
@rerisamba
@rerisamba 4 күн бұрын
Wanaitwa washirika wa promover TV waa usiwachezee yani waliokoka kweli yani ukiletwa hapa kwa hii platfom jipange sawa sawa
@emmanuelngunyale3639
@emmanuelngunyale3639 8 күн бұрын
Mungu ananjia nyingi za kumsemesha mtu sio mpaka usikie sauti neno la Mungu ni sauti ya Mungu so pata muda zaidi wa kujifunza biblia maana ndo kipimo na muongozo wa imani yetu
@josephmusagasa
@josephmusagasa 8 күн бұрын
Mungu anagawa neno kwa kila ampendaye au amtakaye. Si lazima kila kitu uambiwe wewe. So,unapaswa kujifunza kutoka kwa watu wengine pia,si lazima uwe wewe tu.
@NellyDeborah77
@NellyDeborah77 8 күн бұрын
Umesema kweli ndungu lakini Mungu huongea KUPITIA NENO lake na ni KWA NENO lake amekataza mapambo na kufunika kichwa.kwa hiyo huyu mama asome NENO na atende Kila NENO linasema
@josephmusagasa
@josephmusagasa 8 күн бұрын
@@NellyDeborah77 very true. Neno lipo wazi. Tusome neno na tulielewe. Hatupaswi kusema maneno Bali kuwe na reference ya neno
@NellyDeborah77
@NellyDeborah77 8 күн бұрын
@@josephmusagasa Amen
@Neema-m6s
@Neema-m6s 7 күн бұрын
Mmmmmh hiyo umependeza inabidi uchunguze hizo sauti unayoisikia ukute sio ya Mungu lkn kwa mapambo Roho mtakatifu aingilie kati . Mm naamini huyu dada Roho mtakatifu atamtengeneza tu hata mm binafsi urembo niliupenda lkn namshukuru Yesu baada ya kuacha .
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 6 күн бұрын
Kweli
@Jweru80
@Jweru80 7 күн бұрын
Thank you for your testimonies.
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 7 күн бұрын
Blessd kaka jacktan na Audax na promover tv ❤the power of testimony
@RehemaMtono
@RehemaMtono 8 күн бұрын
Mapambo nidhambi narudia tena kujiremba nidhambiiii
@rerisamba
@rerisamba 4 күн бұрын
Nakagoma basi
@RehemaMtono
@RehemaMtono 4 күн бұрын
@@rerisamba anzisha wewe
@yvonnewitandaye1873
@yvonnewitandaye1873 8 күн бұрын
Someni neno la Mungu vizuli; Mungu hakukataza mwanamuke kuwa muchungaji awu kuhubiri lile neno lili ambiwa watu ambao walikuwa wanaenda kinyume na neno la Mungu • Ayo yakuambiya watu imeandikwa mwanamuke asihubiri yametoka kwa shetani s;shetani ana ogopa mwanamuke anajuwa mwanamuke nihatari sana wakianza kuwa wanahubiri wata munyanganya watu ambao ameshaga wateka siku nyingi sana •
@NellyDeborah77
@NellyDeborah77 8 күн бұрын
Shida na wanawake tuna kiburi sana hata tuelezewe ukweli hatutaki kuskia.dada soma NENO la Mungu sana maana Mungu anaongea KUPITIA NENO lake sana na KWA wingi ,Kila siku
@rerisamba
@rerisamba 4 күн бұрын
Wanawake wengi wamegeuka kupitia hii promover TV mimi pia ni mmoja wao ukiona mtu anapinga ni Roho iko nyuma yake
@HappynessmafuruMafuru
@HappynessmafuruMafuru 8 күн бұрын
Amina dada mungu akutete e
@gracej9648
@gracej9648 7 күн бұрын
Mungu alikuja kuokoa, na wote waliompokea kwa Imani wanafanyikanwatoto wa Mungu, Na sio wanaofunga vilemba, au sijui wasiovaa vidani au nini. Bali wale wanaomuamini, ndio huokoka.
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 6 күн бұрын
Kwani Imani n hewa au matendo,acha wokovu wakizungu weweee nakupotosha
@gracej9648
@gracej9648 7 күн бұрын
Audax, sisi wote ni wasikilizaji, usitubague kwa mambo ya vilemba na mavazi. Tafadhali wokovu unahitaji kutufikia sisi wote.
@ezralazaro6230
@ezralazaro6230 8 күн бұрын
Naomba ufafanuzi hayo mahusiano baada kuokoka ulifunga ndoa naye? Mbona unatuchanganya kuwa na mahusiano badala ya kuwa na ndoa.?
@paskaliJohn-r5g
@paskaliJohn-r5g 8 күн бұрын
mungu awabariki wafanyakazi wote wa promova ubarikiw eric pamoja na jakitani ・ sasa huyo mama kuna mahari sijamuelema kwamba warikutana na yesu akiwa ndotni eti akamwita akamusalimia akakataa kumusalimia mutangazaji hapo ww kama una roho wa mungu na yesu alivyo mwama kweli anaweze asiitikie kwanza neno lake mwenyew amesema niite na mi nitakuitikia
@Joyceisaka
@Joyceisaka 8 күн бұрын
Mh simuamini mtu ila namuamini Mungu na bibliaa alie sema tusijipambene ni Mungu nitafata ya Mungu
@Damaris.favoured
@Damaris.favoured 8 күн бұрын
Romans 8;28 Mambo yote yatendeka kwa wema kwa wanaompenda Mungu.
@adeladamasi4391
@adeladamasi4391 8 күн бұрын
AMINA 🙏 nachoona Mimi nabii atazaa manabi mchugaji atazaa wachugani na kazalika mitume makuwsni piyaa ivoivo wanaovaa vilemba
@AgreyAckim-pt3wv
@AgreyAckim-pt3wv 8 күн бұрын
Hujatusimulia kuuhusu ndoaa yake ya Kwanzaa kabisaa
@amishambar3418
@amishambar3418 8 күн бұрын
Amen amen YESU ni BWANA
@HellenDana
@HellenDana 3 күн бұрын
Mimi ni msabath ktka Kenya na tunavaa kilemba tena cheupe, hata Biblia inasema dada!! tuishi kulingana na neno.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 8 күн бұрын
Suala siyo fulani alionyeshwa issue biblia inasemaje kuhusu mapambo nk. Tutahukumiwa kwa neno la Bwana na siyo shuhuda ya mtu. Ushuhuda kazi yake kubwa ni kuimarisha imani ya watakatifu na kujifunza mbinu mbalimbali ili kukabiliana na changamoto tunazopitia kama waamini.
@chedielnyirenda9664
@chedielnyirenda9664 7 күн бұрын
Dada, usichanganye matumizi ya akili na matumizi ya uongozi wa Roho! Muulize Atakujibu tu! Hatupaswi kuchanganya mambo!
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 8 күн бұрын
Abarikiwe Mtumishi huyo,Mbarikiwe watangazaji,macamera man wote sifa na utukufu ni zako Kristo
@saramss7262
@saramss7262 8 күн бұрын
UBARIKIWE mtumishi sana mjoli wa KRISTO
@elishafakutunga2550
@elishafakutunga2550 4 күн бұрын
Anahitaji kuombewa kwanza huyu maana yawezekena huyo niwala wanaotafuta sadaka tu hataushuhuda waka imekuwa kama hisitoria ambayo haiwezi kutujenga kiloho amina
@HappynessmafuruMafuru
@HappynessmafuruMafuru 3 күн бұрын
Mhulize roho mtakatifu atakufunulia asikofu mwanamke hakuna
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 8 күн бұрын
Amen
@PHILIPOMUGOA
@PHILIPOMUGOA 8 күн бұрын
Dada soma ufunuo sura ya 2:18-29 alafu muhurize Mungu kwenye maombi yako nini mahana yake
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 8 күн бұрын
Nilikuwa nimeanza kukuamini ila sasa nina mashaka makubwa sana kwa sababu hata shetani ana kawaida ya kuchanganya ukweli na uongo na kama uliwahi kuwa mwadventista na ulisoma vizuri biblia vizuri na leo una kanisa lako nina mashaka shetani hajakuacha ila alikuacha kwenye uganga ila akaona akupeleke kwenye dini ambako shetani atakukamata vizuri bila kumtambua. Mungu ni yeye yule jana leo na hata milele huwa habadiliki. Hapo hutumiwi na Mungu ila unatumiwa na shetani. Maana swala la mapambo ni yeye Mungu ndio alisema msijipambe sasa huyo anakuambia ujipambe si Mungu.
@godfreyhiza1075
@godfreyhiza1075 8 күн бұрын
Laiti tungeona upendo wa YESU na kumkumbatia ingekuwa baraka sana!!! Tusijipe mizigo ...Mathayo 11:28 ...Mara vilemba, mara vyeo!!! Mara jinsia...etc...
@GladysVyagusa
@GladysVyagusa 8 күн бұрын
Mtumishi kubali uachane na mapambo ni dhambi au India magotini umwombe Mungu juu ya hili.
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 6 күн бұрын
Promover tv asanteni kwa ushuhuda mzuri,ila huyu mtumishi jmn Mungu amsaidie ata ukiangalia account yake mmmhmm udunia unaupenda ila Mungu amsaidie tu.
@ev.walterkalenga9783
@ev.walterkalenga9783 6 күн бұрын
Hapo kwa mapambo, I don't agree cos hapa Kenya na nduniani kote MUNGU amejifunulia wengi na 99.99 per cent wanaongea the same.MUNGU ANAPELEKA WENGI HELL SABABU YA MAPAMBO
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 8 күн бұрын
AMEN
@natujwamziray7749
@natujwamziray7749 8 күн бұрын
Tunaomba maandiko tafadhali. Ushuhuda ni mzuri ila tunamaswali mengi sana
@lucywilson5875
@lucywilson5875 4 күн бұрын
Nimesikiliza vizuri ushuhuda huu, ila Dada bado anaudunia, Biblia imeweka wazi kuhusu mapambo na katazo la mwanamke kuwa KICHWA 1Thimotheo 2:9 -15 Achilia mbali ndoa alizofunga maana ndoa kwa Mungu ni moja na ile yakwanza ujanani mwako huwa haifutiki
@shadrachkamyori9911
@shadrachkamyori9911 6 күн бұрын
Wakati unamuota Jumbe. Jumbe hakuwa mbali. Mlikuwa naye hapo hapo ndani nyumbani kwako. Hiyo ndoto haikuwa kitu cha kufikirika. Ilikuwa ni kitu halisi. Lakini wewe uliona katika ndoto. Yule hakuwa Abdallah ilikuwa Jumbe. Jumbe alivaa sura ya Abdallah ndivo shetani anavotenda kazi.
@Godchoice100
@Godchoice100 8 күн бұрын
Tunaomba link ya KZbin account ya apostle Zita, mbarikiwe
@levinajoseph2780
@levinajoseph2780 8 күн бұрын
@saramss7262
@saramss7262 8 күн бұрын
Erick Audax Be BLESED huyo dada kapotea Mwanamkee UTAKIWI KUWA MCHUNGAJII WALA ASKOFUU
@Joyceisaka
@Joyceisaka 8 күн бұрын
Mimi nimefatilia sana ushundi wako ila swala la kumuita huyu mlie acha mae mme wako mh. Sio vizur
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 8 күн бұрын
1 Wakorintho 11:5 [5]Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
@Joyceisaka
@Joyceisaka 8 күн бұрын
Neno lipo wazi ila kuna mtu alisema atajiremba hata mtu atoke mbingun amuambie hataamini
@natujwamziray7749
@natujwamziray7749 8 күн бұрын
Hizo ndoa mbona nyingi. Ni za madhabahuni au kuchukuana
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 8 күн бұрын
Why continue entertaining nickname Zizi?
@natujwamziray7749
@natujwamziray7749 8 күн бұрын
Mtangazaji plse someni comment zetu na dd azione
@ezralazaro6230
@ezralazaro6230 8 күн бұрын
Naomba ufafanuzi ya mahusiano na yule aliyefariki je ulifunga ndoa naye? Yalikuwa mahusiano gani kwa muda wa mwaka.
@annkim2690
@annkim2690 8 күн бұрын
Ooh sasa Esther Masanja ameingilia wapi hapa mbona huyu mama anawauma hivi ama ni vile anaongeaga na Yesu mbona hamtaji Aston Mbaya
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 6 күн бұрын
MUNGU wambinguni amsaidiye watu wake
@josephmusagasa
@josephmusagasa 8 күн бұрын
Leta kifungu cha Biblia kinacho kuruhusu kuwa askofu. Achana na hadithi za ki historia. Kabidhi tu hiyo nafasi ujivue ugomvi kwa Mungu kwani maandiko yanasema; hakuna neno hata moja litapita hata ukamilifu wa dahari
@annkim2690
@annkim2690 8 күн бұрын
Kuna mwanaume anaitwa Wamayo alitoa ushuhuda last year kwa davista media anasema vile jini alivaa sura yake na kuchafua mtaa mzima kwa kutembea na binti za watu na wake za watu
@natujwamziray7749
@natujwamziray7749 7 күн бұрын
Unaonaje lile Neno ulilosikia ukiwa hospital lilikuokoa. Kwa nini Neno la Mungu ulipunguze. Wasabato sio biblia. Yakini yetu ni biblia
@RehemaMtono
@RehemaMtono 8 күн бұрын
Huyu dada anahuduma ya unabii
@saramss7262
@saramss7262 8 күн бұрын
Uweziiiii ukawa askofu acha kupingana na Neno
@W.j_nfm
@W.j_nfm 8 күн бұрын
Someni wagalatia mtapata majibu kwa swali la wanawake kuwa askofu.
@AgnessMpanduka-l5g
@AgnessMpanduka-l5g 8 күн бұрын
Swala la kuto kuvaa mapambo sio tiketi ya kukufikisha mbinguni. Kuna mapambo ambayo ukiyatumia hata wewe ulie jipamba unajistukia hapo lazima ujue hilo ni tatizo hapo uko kwenye kujitongozesha ili watu waanguke Kiroho watenda dhambi,lakini umejipamba ili upendeze kawaida na roho yako iko kwa Yesu hapo hakuna tatizo watu wasikariri. Unaacha mapambo lakini una roho mbaya inakusaidia nini?
@ezralazaro6230
@ezralazaro6230 8 күн бұрын
Promover tunaomba msianze kuyumba, kabla ya kufanya interview jiridhishe na ushuhuda kama ni wa kweli.
@borntosucceed6877
@borntosucceed6877 7 күн бұрын
Wewe nae watu hubadilika katika mwendo aliyoeleza mazito unaanza kuilamu Promover Tv
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 6 күн бұрын
Ushuhuda wake ni mzuri sana, ni vile tu ako na udhaifu kama mwanadamu wa kawaida
@ezralazaro6230
@ezralazaro6230 6 күн бұрын
@@stanleyguthia7771 sawa nimekuelewa
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 5 күн бұрын
​@@borntosucceed6877 Kweli itabakia kuwa Kweli tuuu. Huyu Dada Apstl Z.. kaeleza mengi mengi mno kuhusu maisha yake kabla na baada ya kuokoka.. Promover hawayumbi ng'ooo.. Tuendelee kumwombea Mtumishi Apostle Z M...
@BornusNgailo-n8b
@BornusNgailo-n8b 8 күн бұрын
Ninaomba namba zako tuweze kusaidiana ili tuingie Mbinguni,kuna niliyojifunza yamenisaidia na pia kuna mambo unatakiwa usaidiwe kuna kusudi la Mungu katika ushuhuda wako kwetu na kwako pia siwezi kuandika humu ila kwa hekima ya Mwenyezi Mungu siwezi kuandika humu nahitaji kuongea na wewe
@RehemaMtono
@RehemaMtono 8 күн бұрын
Kujenga makanisa haimaanishi uwe askofu dada huo ndo ukweli
@EmmyJerremiah
@EmmyJerremiah 3 күн бұрын
JAMAN KUJIPAMBA NI DHAMBI .sio kila kitu MUNGU atasema na ww sikiliza wengine na usome biblia yako maana huenda ukaona ni sauti ya MUNGU kumbe ni sauti ya adui .....take care 😮
@gervaskazinza3563
@gervaskazinza3563 8 күн бұрын
Ninyi promover mnamapokeo yenu kutoka kwa ester masanja, ambayo ni maono ya uongo Kwanini kujadili mavaz mambo ya mwilini badala ya kujadili okovu
@annkim2690
@annkim2690 8 күн бұрын
Mbona usiseme Aston Mbaya ama hujawahii usikia ushuhuda wake
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri 8 күн бұрын
Esta ni mwongo
@emmanuelngunyale3639
@emmanuelngunyale3639 8 күн бұрын
mapambo ni dhambi kasome biblia vizuri kuanzia agano la kale mpaka jipya kaanze na kutoka 33:1_6 kuja mithali 6:25-27 kuja yeremia 4:30 kuja isaya 3:16-24 kuja hosea 2:13 yani vipo vingiiii
@annkim2690
@annkim2690 7 күн бұрын
@@HappyPaul-nj9riMimi naogopa jehanam kweli sasa siwezi tusi MTU kua ni muongo coz imeandikwa tutatoa hesabu Kwa kila neno tulinenalo
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 6 күн бұрын
​@@annkim2690 Mungu akubariki
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 8 күн бұрын
Mabambo sio thambi huyu dada anasema ukweli
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 8 күн бұрын
Endelea kujipamba alafu utaona Mungu si kigeugeu
@mariahyera3737
@mariahyera3737 8 күн бұрын
Endelea kujidanganya.
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 6 күн бұрын
Endelea na mapambo ya jezebel ukifa ndio utajua ni dhambi
@tamarali8325
@tamarali8325 8 күн бұрын
Ukiniulza nitasema wewe ni nabii
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 8 күн бұрын
We must test the Spirit first hata ukileta ujumbe lazima we test the spirit hata huu ushuhuda lazima we test her Spirit why are you udaxs why are you insisting inataka zizi asivae mabambo
@borntosucceed6877
@borntosucceed6877 7 күн бұрын
Swali la mtangazaji kauliza anaamini nini katika kutokujiremba elewa swali
@RehemaMtono
@RehemaMtono 8 күн бұрын
Amen
@tamarali8325
@tamarali8325 8 күн бұрын
Amen
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 33 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,7 МЛН
10.20.2024 Jacob’s Well Worship Service
2:04:34
Jacob's Well
Рет қаралды 12
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 33 МЛН