PUTIN afichua barua aliyotumiwa na BIDEN, adai VITA na UKRAINE itaisha US ikiacha kufanya hili

  Рет қаралды 28,867

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 129
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Ай бұрын
Babangu Putin , kazia swaumu,hapo, hapo, bado hawajasema,
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg Ай бұрын
Viongozi na mabilionea wa marekani ni mashetani
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Ай бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Hami haka kamwimbo kanako malizia hapa #sns nimesha kashika najikuta nakaimbaimba😶‍🌫️
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
Huo ndiyo ukweli Ukraine watakuja kujua kuwa walikuwa. Wanatumia kipindi watakapo kuja kushtuku kuwa nchii yao imekuwa jagwaa au masikini wakutupwaa
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
Ungevamiwa kwako ungefanyaje? Kwa taarifa yako wakishinda kila kitu kitajengwa in a minute na huyo aliyeharibu atashtakiwa,,,, karibu ulimwengu wa kiongozi wa dunia jichanganye 😉
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
​@@atutweve4160bado upo kizan na kwann wavamiwe au NDio unatumia matako kufikria
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
​@@atutweve4160hiv Kuna mbwa Dunian anaweza kumfunga Putin amka utakojoa
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
@@atutweve4160 kumbe wakishinda haya wacha tuone na labda washindee njaa 🤣🤣🤣
@user-lv1ki7nn7t
@user-lv1ki7nn7t Ай бұрын
Wewee shoga wa magharibi acha uchawa kwa marekani mbwa wewe ,Ukraine hawezi kushinda hiii vita acha kudanganywa na movie za akina Rambo hii Russia sio Libya mbwa wewe tulia kama ulivyo hauwezi nenda ukaolewe nao kabisa hao marekani wako
@gabapentin8070
@gabapentin8070 Ай бұрын
Master mind putin 🔥
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
Siku utajua kua ni mkurupukaji tutakutana hapa 🤣
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Ай бұрын
​@@atutweve4160ww nawe
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
​@@atutweve4160Putin sio gadafi ndugu Wala Russia sio Libya hao ni namba nyingine
@gabapentin8070
@gabapentin8070 Ай бұрын
@@atutweve4160 kaa ivo ivo ukiisubiri siku mnajazwa upepo na Main stream media na ww unaona kama marekani ndo kila kitu yule silaa yake kubwa dollar subiri brics coin ianze famya kazi
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 Ай бұрын
​@@atutweve4160jidanganye tu hivyo hivyo kuwa Mmarekani anaweza kumpiga Mrusi 😅
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 Ай бұрын
Dah! Maneno ya kiutu kabisa haya...Huyu Jamaa ni MTU HASWAA. I'm now Pro- Russia
@chachamturi259
@chachamturi259 Ай бұрын
Swaaaafi sanamwamba wape. Vidonge vyao
@aminaanab1071
@aminaanab1071 Ай бұрын
Mungu akue na wewe putin😊😊
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
Ukreni anapaswa kujitetea kwa nguvu zote... Lakini maeneo mengi yanazidi kutekwa... Muungwana hukubari yaishe... Ukreni ikibari waishi kwa Amani!!!!!
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART Ай бұрын
Marekani na washirika wake ni wabaya kweli!
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
Sanaaaa
@kingsniper9769
@kingsniper9769 Ай бұрын
❤ to prezo Joe
@ItzNketiah
@ItzNketiah Ай бұрын
Kwa kwel nimestahajabu sky new wameijadil hii interview lakin hawajaipost au kuiweka kweny media zao
@AmaniMathod
@AmaniMathod Ай бұрын
Uraaa
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 Ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@abuuabuu274
@abuuabuu274 Ай бұрын
Ni kwel marekani anaisaidia ukrain ili ampunguze nguvu urusi
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 Ай бұрын
Kwaio ukraine iliwaita URUSI ndani ya ukraine ili iwapunguze nguvu? Stupidity idea
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
​@@josephwilliam5813brother huwezi elewa huu mchezo Kama utakuwa upo kishabikii
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Ай бұрын
​@@josephwilliam5813fala mmoja wewe
@giftngailo5442
@giftngailo5442 Ай бұрын
Unafikiri Urus hana akili? Urus akili kubwa sana.
@MarcellySumaye-bv5lh
@MarcellySumaye-bv5lh Ай бұрын
Kwani nani hana akili
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Ай бұрын
Tatizo la. Mateja kupewa uongozi Zelensik. Unga unampleka mbio
@minicooper9642
@minicooper9642 Ай бұрын
Comedy mbwa yule
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Akili kubwa PUTIN
@mwlpierre
@mwlpierre Ай бұрын
Lakini Anayepata hasara ni wao Urusi na Ukraine maana Askari wa ndio wanakufa lakini Askari wa Marekani hawafi kwani hawapigani kwa hiyo ni hasara yao wenyewe
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Vita bdoo kabsa
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Biden Ni awamu Yake ya mwisho Trump ndo rais mtarajiwa
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 Ай бұрын
Mungu mpe uraisi Trump iwe sababu ya kusimamisha vita
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
​@@kassimbayuu5217kaa ukijua, Trump hawezi kusimamisha hii opareshen ya Russia nchini ukrein. Uwezo huo hana. Mwenye huo uwezo ni Putin mwenyewe.
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
​@@user-cw8zn2dn6mPutin hana uwezo wa kumaliza vita endapo silaha za magharibi zitaendelea kutumwa Ukraine
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
@@rumdeesonsoa1811 bado vita haijaanza
@user-ki9wu6no3d
@user-ki9wu6no3d Ай бұрын
Guys Me niwaambie Tu,, Marekani Is the most powerful Country Coz Hiv Vita mpk mda wote huu ni sapoti ya Marekani so Marekani anaogopeka sana,Lakin pia urusi ipo Vizuri Sana Sema tu ni vile sheria za Kimataifa za ki Vita lakin all in all vita sio Nzuri kwa pande Zote..
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
Wacha wauane tu wapigane washuke kiuchumi huenda Africa tutaamka hapo kutoka ucngizin tukaanza kuwauzia chakula
@abdallahMohamed-yc2xw
@abdallahMohamed-yc2xw Ай бұрын
Kwahili hata goverment inatakiwa kuangalia watu kama hao
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila Ай бұрын
Waache mda upo
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Putin afe
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 Ай бұрын
Huyu anakwenda kuimalizia urusi kusambaratika zaidi.ni heri angejikita kujenga uchumi wa urusi,kuliko kuendelea kushindana na USA,na washirika wake maana hata weza.
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
Tulia wewe mbaka ukaona mtu ana jiamini amesha jipanga zamani kwani unafkiri tegemezi uyo kama ulivo wewe
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Unafkir Russia Kuna njaaa kama kwenu njombe kilaza ww
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
​@@sultanbakary4292sio ngombe ni Kilimanjaro Moshi hujaona jina😂😂😂😂😂
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Urusi nitaifa kubwa hata wajiunge 100 watapigwa na mrusi. marekani anatafuta sapoti kwakuogopa nguvu ya urusi nandiomana anawachimba mkwala mataifa yeyote yatakae mpa mrusi silaha .tusubiri kitakachofata ,marekani kajochanganya kuleta hiyi vita mrusi hakubali kushindwa wanasili ya ubishi kama wayahudi , muwasikie ivo mtawajua badae hawachezewagi mnavyo fikiria , nawazungu wamagharibi wanawaokopa , marekani yuko anawangiza kwenye chaka ilawenyewe hawataki vita , wanamjua mrusi nikicha , kwenye mapambano ya kivita 😢😢😢
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur Ай бұрын
​@@MiriamAbdallah😂😂😂😂
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Ай бұрын
Mbona Putin anajitetea sana wakati anaendelea kupigana Ukraine
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
In shaa Allah, Putin utashinda!! Global south inakutegemea
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x Ай бұрын
Uyu mzee sio mda tutamsaau maana ameshachanganyikiwa
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 Ай бұрын
We w ndo Umechanga nikiwa na maisha akili haiko sawa
@Isaac_The_Genius
@Isaac_The_Genius Ай бұрын
😂😂😂😂
@AdamuAdamugo
@AdamuAdamugo Ай бұрын
😂😂
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 Ай бұрын
Mrusi anatapatapa,kuzipatia silaha nchi rafiki zake ili kuipiga USA,na washirika wake,huko ndiyo kutangaza vita kuu.kwa maana USA naye atafanya hivyohivyo.na hapo ndiyo unakuwa mwanzo wa kufyatua kitufe cha vita ya dunia.
@hassanpashua
@hassanpashua Ай бұрын
Hao USA wanaiyogopa Russia kama korona
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
Tatizo ni MCHINA.
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Mbona USA ashafanya hivyo ila imebuma
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
@@sultanbakary4292 Mkuu ukimshinda urusi kijeshi jua uchumi wako uko hatarini sana, je utakubali china awe superpower mpya?
@hassanpashua
@hassanpashua Ай бұрын
USA hajawai shinda vita Vietnam alikimbia Somali akakimbia chanzo cha kuitengeza NATO ni uoga kuvamia nchi peke yake yuaogopa ,wadhani Russia ingekua nchi kama vile Belarus au Serbia wangkua wameingia kitambo lkn ni nn wanaogopa wote
@zenooernest18
@zenooernest18 Ай бұрын
Putin fanya uwezavo ila huto shinda kamwe
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur Ай бұрын
Putin hawezi kuwashinda ukrani au marekani?
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Nyny mnampamba sana putini mlifanyaivyo hatakwa Ibrahim rais mwishowasku kirichokuja kutokea nimambotu yahahibu mliwasfukwel wajemi wakovizuli wanakraktu mwishowasku hanakuja kupata hajali nakaelikopta kaenzi zaukoron halafu wamebanana kama daradara za mbagara kahelikopta kamechaka hatatu matifa yadunia yatatu ayawezi kumpandisha raisiwake
@AyshuuAlly
@AyshuuAlly Ай бұрын
😅😅😅😅jifunze kuandika kwanza alafu uwape watu lawama😅😅😅
@RASHIDMOHAMMEDI
@RASHIDMOHAMMEDI Ай бұрын
Jifunze kusoma na kuandika alafu urudi tena na utoe lawama zako😂
@MujuniKamugisha
@MujuniKamugisha Ай бұрын
Putin hapambwi ,russia ni moto mwingine
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
@@RASHIDMOHAMMEDI uwezi kunipangia namna yakundika sjakulazmisha usome kahabaww
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
@@AyshuuAlly unamamlaka yakunipangia chakuandika malaya ww unatombwa wima
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
🇹🇿❣️🇷🇺
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
NOT TRUE
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
​@@atutweve4160😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur Ай бұрын
​@@atutweve4160true
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
@@atutweve4160 why bro?
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Tutaona nani mkali zamu hii, Russia ana silaha kali na mingi zaidi kushinda NATO na marekani. Afu kibaya zaidi, ana nuclear zenye nguvu kushinda Us marekani. Kitanuka tu. 🇷🇺
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Ай бұрын
Kumbe ushindi wa Putin katika vita hii unategemea sana uchaguzi mkuu wa US😂😂 na wala siyo kwa uwezo wa Jeshi la Russia😂😂 Shame on you Putin😮😮😮
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Sasa mbona hao American mpaka sasa hawajashinda
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb Ай бұрын
Mpuuzi kweli ww putin anakalibia kuchukua ukrsin yote mbele ya nato huo uchaguxi ni wa nini
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
YEYE NCHI YA UKRAINE INAMUHUSU NINI MRUSI? Yani simuelewi 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
Ukikua utajua
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Bado ww ni mtoto, endelea kukua afu utajua
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Kwa sababu ww ni kilaza pia bendera fata upepo Kuna watu wameamua nn uskilize na ww umekaza shingo
@EmanuelMandoo
@EmanuelMandoo Ай бұрын
Chanzo huelewi
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@sultanbakary4292 huoni nawewe bendera fata upepo mbona naskia mama kakopeshwa huko na katoa vitu hushadadii 🤣🤣🤣fatilia vitu vya kwenu ili siku usijekuwa kama leo 😉
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 926 М.
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
PART 2: Andrew Tate Talks Palestine and Israel With Piers Morgan | Latest Interview
35:16
Family Guy Roasting Different Countries
17:29
BOB ROSS
Рет қаралды 13 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4,2 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 410 М.
Lool 🤣💃🏻 BMW i4 ❤️
0:14
BMW
Рет қаралды 2,1 МЛН
Пробился там, где все сядут #Shorts
0:18
ВАЛДАЙ OFF ROAD 4X4
Рет қаралды 1,4 МЛН