INASIKITISHA: Rais BIDEN alivyoganda na kuonekana kuchanganyikiwa kwenye hafla ya Juneteenth IKULU

  Рет қаралды 62,161

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 215
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Ай бұрын
Afilie mbali dhulma anavyo tesa nchi za watu 😢was kua na hatia
@BigZhumbe
@BigZhumbe Ай бұрын
Hao unaohisi wanateswa ndio wanawaomba Wamarekani wapeleke majeshi yao kwao kwa ulinzi
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ Ай бұрын
Angekuwa Raisi WA bongo BBC sasa 😂😂
@debbymwaka4048
@debbymwaka4048 Ай бұрын
Sio bongo angekua wa African ingekua ni shida
@missp1814
@missp1814 Ай бұрын
yaan BBC wanakera,ni vile viongozi wa Africa wanawaogopa ila wale watu ni waongo na wachochezi balaa
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Gody360
@Gody360 Ай бұрын
Mapema sana washa anza kumpondaaaa
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 Ай бұрын
Simpatii picha trump anavyochekelea huko aliko utazani Rick Ross akipiga kilevi afu acheze dance😂😂😂😂
@abuusufian6506
@abuusufian6506 Ай бұрын
Mpuuzi mmoja 😅😅
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 Ай бұрын
@@abuusufian6506 Bata wahed nimewaza pakubwa ujue🤣🤣🤣🤣🤣👍
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 Ай бұрын
Huu mzee amechapa😂aache kung'ang'ania kiti umli wake haumruhusu😂
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
Ukweli tunaweza kuingia vitani na mtu mwenye ungonjwa mkubwa. Maamuzi ya raisi wa marekani ana upungufu wa akili. Namwimba PUTIN. Amvjmilie mwezake ni mgonjwa''
@MashaMbwana
@MashaMbwana Ай бұрын
😂😂
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
Natamani Raisi wa russia. Aendelee hivihivi .asitumie siraha za moto... Kwa maana mshindani wake ni mgonjwa na ahajitambui tafadhali
@emmadora7848
@emmadora7848 Ай бұрын
Unafikiri Marekani ni kama mataifa yetu sisi huku? Wenzetu system zao za uongozi ziko vyema sana rais sio Kila kitu kwao kama sisi
@user-xl9so6jg1e
@user-xl9so6jg1e Ай бұрын
Hiyo marekani ni shughuli nyingne huyo rais Hana mamlaka makubwa sana kwa hapo marekani usije ukafikilia hvo Yan ingekuwa ni hvo mbona Putin angeshafanya anayotaka mda tu..... Narudia tena hiyo ni marekani syo tatzo 😂😂😂
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Ай бұрын
Dua hizo zinafanya kazi…na atajinyea sana tu😂
@emmadora7848
@emmadora7848 Ай бұрын
Si zifanye kazi Gaza, Sudan, Nigeria , Pakistan nk? Au zinachagua pa kufanya kazi?
@SamwelSospeter-lz9fm
@SamwelSospeter-lz9fm Ай бұрын
Duuuuuh
@bindatalent6972
@bindatalent6972 Ай бұрын
​@@emmadora7848😅😅 asee una akili sana hata kwenye maisha yako ya kawaida
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 Ай бұрын
Uzee huo hata wewe unaweza kufika huko
@SalickSuleiman
@SalickSuleiman Ай бұрын
Duh
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Ай бұрын
Dah uzee ubaya sn
@muniraahmed624
@muniraahmed624 Ай бұрын
Nomaa
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 Ай бұрын
Mbona mnamsimangaa Sana huyu mzeeer
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
Sasa waone kibaya wanyamaze
@hijazhija316
@hijazhija316 Ай бұрын
Mafenesi
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv Ай бұрын
Kwa hiyo alijinyea
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Kujinyehata jinye mamahako nachupiyake iliyotoboko nyuma
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e Ай бұрын
😂😂😂😂
@Expl0rer.
@Expl0rer. Ай бұрын
Kavaa pempas 😂
@OmaryMwacha
@OmaryMwacha Ай бұрын
Ndio
@OmaryMwacha
@OmaryMwacha Ай бұрын
​@@user-tq4lx9si1nkashajinyea nawewe ukazoe
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Urusi wana ujasusi wa hali ya juu na mpaka kwenye ndani serikali ya marekani wapo watumishi ambao ni. Majasusi wa urusi hauwenda wamempiga sumu
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Hata marekani nao ivyoivyo hadikwenye serikali ya urusi wapoweng watumish hambao nilaia wamarekan
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs Ай бұрын
Atariiii
@saidkhatib9146
@saidkhatib9146 Ай бұрын
Yan mbona bado dua za wenye kudhulumiwa
@Expl0rer.
@Expl0rer. Ай бұрын
💯💯💯
@OmaryMwacha
@OmaryMwacha Ай бұрын
Bado saana mbona
@user-xl9so6jg1e
@user-xl9so6jg1e Ай бұрын
Viongoz wetu wenyewe hawana akili wanatudhulumu unashindwa kuomba Dua mbaya kwa hapa kwetu ukamuombee mtu mweupe
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 Ай бұрын
Amezeeka
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli Ай бұрын
Utakuta iyo mzee ashakufa kitamboo afu icho kinacho onekana ni mdoli waliyo tengeneza 😂😂
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
Naawashundi😂😂😂
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Ай бұрын
Alikufa kitambo na Last month alikuwa na rais ruto?
@theafricanprincevivecongo8632
@theafricanprincevivecongo8632 Ай бұрын
@@agwalubifaridah7079 😂😂😂 we aupo dunia hii
@HaikaFredrick
@HaikaFredrick Ай бұрын
Akili za kimasikini hizo
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli Ай бұрын
@@HaikaFredrick Tuambie sasa wewe mwenye akili zakitajiri
@JamesMtewa-ro1dh
@JamesMtewa-ro1dh Ай бұрын
hahahaaaaaa hujafa huja umbika
@RagnarSnow-oq3nt
@RagnarSnow-oq3nt Ай бұрын
Kama Ulitazama na kuielewa vizuri series ya WESTWORLD basi huna shaka huyu ni HOST 😅😅📌
@Gody360
@Gody360 Ай бұрын
Aseeee
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Hatari ila taifa kubwa ilo kitaileweka
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Amekaa kama robot 😂😂😂
@wadantz123
@wadantz123 Ай бұрын
😂😂😂😂jmn
@Yayouselim
@Yayouselim Ай бұрын
Kaishaa😂😂😂😂
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed Ай бұрын
Pole Kiongozi Rais Baiden-Unaweza kuahilisha Matukio,Hadi utakapina Uko Vizuri.Matatizo humpata Binaadam yeyote.Sina Uhakika na Umri unaweza kusoma Mazingira sio Lazima usimame.Ongea Kwa Mtandao Bado Mawazo Yako yanahitajika.Tumuombe Manani Akufanyie wepesi .Amiina.
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 Ай бұрын
Mbona mh Mkapa akiwa na miaka 83 alikuwa fiti sana tofauti na huyu Raisi wa USA.
@duhuzebosco6207
@duhuzebosco6207 Ай бұрын
Atoke
@saumbliz8983
@saumbliz8983 Ай бұрын
Na bado
@DeusPaschal-g5q
@DeusPaschal-g5q Ай бұрын
Tofauti kubwa miaka 4 mingi!
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Ай бұрын
Angekuwa ni Rais kutoka Africa wangeongea sana..
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Ай бұрын
Hana tofaut na robot za bongo
@OmaryMwacha
@OmaryMwacha Ай бұрын
Wewe unamacho makali sana
@malickabbas8271
@malickabbas8271 Ай бұрын
Afe kabisa huyo shetani
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Ай бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@MrA24G
@MrA24G Ай бұрын
Biden angepumzika kwanza kihistoria nyuma alipata tatzo la afya.Kapitia Mapito magumu maishani mkewe wa kwanza na mtoto walifariki kwa ajali jambo lililomtikisa sanaaa.Isitoshe kawa senator miaka mingi sanaaa mpk akawa makamu wa raisi.Vyema democrats wangemchagua raisi mpyaa.
@stiveerasto1683
@stiveerasto1683 Ай бұрын
Kama huyu ndio atakuwa mgombea wa marekani basi Trump ushindi kwake ni asubuhi.
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Ай бұрын
Hawezi gombea
@Expl0rer.
@Expl0rer. Ай бұрын
Na bado. 😂 . Atajuta kuzaliwa huyu.
@OmaryMwacha
@OmaryMwacha Ай бұрын
Analaana zadunia
@tanzaleo8670
@tanzaleo8670 Ай бұрын
MK ALTRA AT WORK THIS IS DARK WORLD MISSION
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Ай бұрын
Huyu mungu. Amuweke amdhalilishe mpaka wengine wapateibra kupitiayeye
@OmaryMwacha
@OmaryMwacha Ай бұрын
Aamin
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx Ай бұрын
afe tu mdhenzi huyo mzee ananyonga watoto parestn
@user-oh4vg6rm9s
@user-oh4vg6rm9s 29 күн бұрын
huyo ni IA jiongezeni sio mtu
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 Ай бұрын
Kuna mwingine huko Nigeria nae anaaguka kila wakt anasinzia kwny mikutano 😅😅😅
@abdulmruke2246
@abdulmruke2246 Ай бұрын
Wallah yule wa nigeria umri wake ni zaidi ya mwinyo nilicheka😂😂😂😂
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys Ай бұрын
​@@abdulmruke2246nimejizuia nisicheke ilaaa😂
@babuwajinaommy725
@babuwajinaommy725 Ай бұрын
Dam za watoto wa Gaza zina watafuna 😂😂
@MassoudSalim
@MassoudSalim Ай бұрын
Mwamba alitokwa na mavi
@piterasifa3757
@piterasifa3757 Ай бұрын
Atakua hana marinda huyu mzee 😂😂😂
@JafariHamisi-gu4ef
@JafariHamisi-gu4ef Ай бұрын
Si aachie madaraka?
@mosesgodfrey4143
@mosesgodfrey4143 Ай бұрын
Mm
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Ай бұрын
Kwann wanachagua Maraisi wazee sana wakat wapo vijana wengi wenye uwezo huo
@esterkimath1214
@esterkimath1214 Ай бұрын
Huyo atakua ROBOT au Reptile waliona tunaenda kuumbuka 😅😅😅
@sarahrashidi9558
@sarahrashidi9558 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 Ай бұрын
hahaha tumbo limevurga watu bwana hahha
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Ай бұрын
Mwenetu anatarajiw kugombea tena raundi ijayo miaka mi4 mbele
@sponsor7882
@sponsor7882 Ай бұрын
Angejiuzulu
@evancetilya167
@evancetilya167 Ай бұрын
Daah kachoka san
@Gody360
@Gody360 Ай бұрын
Au robot!
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi Ай бұрын
Rip 😅😅
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Ай бұрын
Wamekuwa cloned nyie ndo hamuelewi huyo sio original
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Ай бұрын
😂😂😂😂 Kawa Roboti
@frankmare1708
@frankmare1708 Ай бұрын
Saving Private Ryan,ndio story ya hiyo beach ilitengenezwa hapo
@user-yn7mt4mh8n
@user-yn7mt4mh8n Ай бұрын
Hiyo ni robot
@susans4490
@susans4490 Ай бұрын
Wacha kudanganya watu mtangazaji eti uhuru wa marekani, na kama alikuwa hazijui hizo nyimbo acheze nn
@shaibukhamis863
@shaibukhamis863 Ай бұрын
Nasikiag hy mtu mdori yan 😅😅😅
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 Ай бұрын
Kweli uchawi hauna nchi 😂😂
@user-cq2lt6ho5w
@user-cq2lt6ho5w Ай бұрын
Waarabu walishasoma Alibadri, na hiyo ikishik hakuna Dr anaetibu😂😂😂
@Kulwakisansa-zk5yg
@Kulwakisansa-zk5yg Ай бұрын
Ili life tu mm silipendi ili li babu
@callywillison8685
@callywillison8685 Ай бұрын
Mungu ampe shifaa
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Hahanze kwanza kumpa babahako
@OmaryMwacha
@OmaryMwacha Ай бұрын
Umefeli sana wewe Mungu ua amuongozi mtu zwalim kamayeye kaa ukijuawewe
@mangofish9079
@mangofish9079 Ай бұрын
Huyu kaekwa kwa sababu ni takwa la elites na cia na hata huo uchaguzi uliomuweka hapo ktk urais hakushinda kweli huyu.
@silviasaleh4667
@silviasaleh4667 Ай бұрын
Donald Trump was a wrestler player
@lastborn7810
@lastborn7810 Ай бұрын
Afe tu firauni part 2 huyo
@josephsamwel6511
@josephsamwel6511 Ай бұрын
Hyo ni clone
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 Ай бұрын
Na ya hapa mwetu yaonesheni. C na sasha alipatwa na mdharuba huko (K)akakinbizwa uarabuni!
@thelaoban6236
@thelaoban6236 Ай бұрын
Mzee alikula kiporo!
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Ай бұрын
Nae mzee apumzikeee atakufa anatembea
@user-wk4rc6cb4i
@user-wk4rc6cb4i Ай бұрын
Atakuwa amejinyea
@MamaLio475
@MamaLio475 Ай бұрын
❤ Trump ❤
@harrishussein6992
@harrishussein6992 Ай бұрын
Anashida trump
@Phina01
@Phina01 Ай бұрын
Ni bonge la racist mbaguzi balaa asikwambie mtu
@philiplugalia3724
@philiplugalia3724 Ай бұрын
Huyu mzee amechanganyikiwa aende nyumbani aache kutuma silaha huko Israel kuua wapalestina
@madamedna123
@madamedna123 Ай бұрын
Kinachoeasaidia wamarekani Iraqis kwao ni taasisi siyo ‘one Man Show’ , na mihimili mingine ya Dola ni I mara sana, ndiyo maana serikali ina oparate ingawa Rais ni dhaifu. Ila kwa kweli Biden ameshachoka.
@pascalmanyama2304
@pascalmanyama2304 Ай бұрын
Hawa jamaa huwa wanatucheka sisi waafrika,vp nao mbona wana kiongozi mzee hivi?,sasa Biden na Paul Biya wana tofauti gani?
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Apumzike hahahahahaha kiti kimejificha
@Bahati47
@Bahati47 Ай бұрын
Unafikiri dam za watu ni nzuri?
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 Ай бұрын
Hasigombee mwakani jmn ila je Trump ndo atapita jmn😢
@FahmiNassor
@FahmiNassor Ай бұрын
Hawezi kuzuia mavi tako lipo wazi
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Ай бұрын
Anaumwa
@levygasper7438
@levygasper7438 Ай бұрын
Huuuu Biden atakuja kuanguka staining 😂
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 Ай бұрын
Hata mseme biden mi nne 4 tena na msimsemee afya yake yuko fiti ninyi ndo wagonjwa
@OmaryMwacha
@OmaryMwacha Ай бұрын
Sio mi4 ataiwe400 ila waachane nasisi wasijafe watujua sana
@BigZhumbe
@BigZhumbe Ай бұрын
DT yuko fiti kabisa mzee Joe uzee ushaamtawala.
@madownloadionlinetv759
@madownloadionlinetv759 Ай бұрын
They send robot to their voyage than real human UK and america they spend
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 Ай бұрын
AU HUYU JAMAA NI ROBOT 😂
@novatv3970
@novatv3970 Ай бұрын
interval ya miaka minne ya uzeeni ni kubwa kama miaka nane mzee
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Muuaji huyo
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Huyu mzee awezi kumaliza huu mwaka
@madownloadionlinetv759
@madownloadionlinetv759 Ай бұрын
Robot biden😂😂😂
@humbimusisa-db1tg
@humbimusisa-db1tg Ай бұрын
Robot Hilo 😂 Biden halisi washamsahau wenyewe 😅
@FADYANALOLA
@FADYANALOLA Ай бұрын
Let’s me go nursing home,
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Ай бұрын
Damu za watu zinamsumbua
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Ай бұрын
Kwani kiti cha urais wa marekani c anacho?ss apo anatafuta chengine kisichoonekana?mh.ata bado wewe unasubiriwa uko kusikojulikana .
@Mumewangu
@Mumewangu Ай бұрын
Huyu baiden amewekwa tu kama robot
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Ай бұрын
Biden original kashauliwa huyo ni cloned ndo maana vituko vingi
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
Ameva pumper
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Trump ndo rais ajae Wa marekani
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Trump ndio mbaya zaidi kuliko Biden
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Ubaya wake upi. Icho chama cha Biden kinapochukua madaraka Dunia inakua Na fita
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
@@Brunotarimo10 Trump ni mbaguzi anaejionesha wazi wazi
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
Huyu faza amechoka asije akabonyeza kitufe chekundu aangamize dunia kwa Nuclear.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 6 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 186 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4,2 МЛН
ISRAEL yamchimba mkwara Erdogan ‘Utaishia kama Saddam Hussein’
2:51
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 10 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 410 М.
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
Ip Man 2 | Initiation Fight
10:41
Cinewatch
Рет қаралды 820 М.
Togg vs Colt Czt #araba #automobile #arabalar #car #fast #roll #drag
0:28
My New Model 3 Performance Almost Ran Out of Battery 😳😱
0:24
Tesla Flex
Рет қаралды 27 МЛН
что за звук?
0:15
Мурат 07 манипулятор
Рет қаралды 1,4 МЛН
ПРОКАТИТЬ С ВЕТЕРКОМ?..💨
0:20
Хранилище Легенд
Рет қаралды 337 М.
T55 Narxi 23 900$ 📞95 155 03 00 | 📞91 033 03 03
0:18
China Avtouz
Рет қаралды 5 МЛН
ДПС и ЭЛЕКТРОМОТОЦИКЛ 😨🫣 до конца
0:33
ELECTRON motors
Рет қаралды 1,1 МЛН