PUTIN aionya UKRAINE 'Mkijaribu kuwa na silaha za nyuklia, mtapata majibu yanayofaa'

  Рет қаралды 8,475

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 94
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 6 сағат бұрын
Ukiona tu taarifa ya Putin automatic unakua na hamu ya kuskiliza!
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 4 сағат бұрын
Wamagaribi wanafki kwaiyo wanataka Ukraine iwe na nuclear badala ya Iran 🇮🇷
@EnockMusubaho
@EnockMusubaho 6 сағат бұрын
viva putin viva russian ❤❤❤viva africa
@IsmailiNiraji
@IsmailiNiraji 6 сағат бұрын
Mwamba mwamba nanusu tunae mkubali putingi tujuane🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mungu wetu sote
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 6 сағат бұрын
Ingekuwa unamkubali usingeandika Putingi
@Miriam-m2b
@Miriam-m2b 6 сағат бұрын
​@@rumdeesonsoa1811🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@IsmailiNiraji
@IsmailiNiraji 6 сағат бұрын
@@rumdeesonsoa1811 mjaaa laana ww kuangalia michapio tu
@IsmailiNiraji
@IsmailiNiraji 6 сағат бұрын
Sema one love damu yangu
@AssumaniNahishakiye-vq9ft
@AssumaniNahishakiye-vq9ft 4 сағат бұрын
King Putin je t'aime tellement urusi
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 6 сағат бұрын
Baba Putin 🇷🇺🫡🇹🇿
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 5 сағат бұрын
Raisi wa Ukraine ni mjinga sana na nadhani amechanganyikiwa
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 53 минут бұрын
Mjinga kwanini?
@abdulrazaqfils4234
@abdulrazaqfils4234 5 сағат бұрын
Team Love Putin 🇷🇺 the world's 🌍 population President and most love President in the world's 🌍 President Putin 🇷🇺💪
@hamismiraji3591
@hamismiraji3591 4 сағат бұрын
Kuna drone imepiga makazi ya netanyahu hebu tupeni maelezo zaidi
@lourykibudu
@lourykibudu 6 сағат бұрын
The most people ambaye watu wengi sana siku izi hutamani sana kusikiliza maongezi yake ni huyukiumbe
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 6 сағат бұрын
Kwa washamba wote
@BeatriceJesa
@BeatriceJesa 4 сағат бұрын
Labda pekeako
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 6 сағат бұрын
Big up putin
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 5 сағат бұрын
Asant ukrain ww unatish putin n makelele
@AmaniMathod
@AmaniMathod 2 сағат бұрын
Uraaaa....
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 2 сағат бұрын
Huyu zelensk anataka kuiangamiza Ukraine kwa tamaa zake binafsi
@gabapentin8070
@gabapentin8070 6 сағат бұрын
😂😂huu sasa ndo ubabe
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 5 сағат бұрын
Mwamba huyu hapa
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 5 сағат бұрын
Raisi wa ukrein mjinga wa mwisho
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 53 минут бұрын
Kwanini ni mjinga
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 6 сағат бұрын
Viva putini,God bless russia
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 сағат бұрын
Huyu mwamba hua haropoki ukiona KANENA basi ujuwe kesha jipanga
@AhamedAl-y4b
@AhamedAl-y4b 6 сағат бұрын
❤❤❤
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 4 сағат бұрын
MWAMBA UYU APA
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 5 сағат бұрын
Mwamba hanaga masihara
@ShedrackKisumbe
@ShedrackKisumbe 6 сағат бұрын
Mbn Urus anazo kwann Ukraine asimiliki
@omondiowino7875
@omondiowino7875 5 сағат бұрын
anaogopa Ukraine akiwa nazo basi ndo mwisho wake
@ShabaniNuru-o1y
@ShabaniNuru-o1y 4 сағат бұрын
We unaweza Vaa shati la babako
@natual7572
@natual7572 4 сағат бұрын
​@@omondiowino7875 Umeskia kama nuymba ya baba yako muaji netapaka imepigwa sjaona comment yak au hujaiskia?
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 5 сағат бұрын
Putini ni mwoga sana
@DevZone1089
@DevZone1089 4 сағат бұрын
koh marekani nae anaemkataza Iran IR asiwe na mabomu ya nyuklia si muoga??
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 4 сағат бұрын
Nchi inapigana na nchi karibuni 32 bado unasema ni moga
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 3 сағат бұрын
Mwamba kashasema
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 3 сағат бұрын
Na wewe putini unaongea sana wewe kama unataka maliza vita
@josepheriah5977
@josepheriah5977 6 сағат бұрын
Uyo boya
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 6 сағат бұрын
Kwel huyoo boya ila marekani waliivamia Iraq mile 1000 kutoka ulaya kw sabab walisema Sadam alikua na silaha za Nyuklia?? North Korea wamewekea vikwazo kwa sabab wa silaha za Nyuklia na marekani ambayo haishei hat mpka na marekani je kwa nn Urusi yey asipinge ukraine kua na silaha za Nyuklia wakat ndio wanshea mpka hasa na Urusi???mbona sis waaafrica kam akili zetu zemetekwa na marekani hiv anacho kifanya marekani sw ila akifany mrusi Raisi wa Urusi mpuuzi
@ibrahimmbilizi1726
@ibrahimmbilizi1726 3 сағат бұрын
Nimuongo sana namwoga uwa anatishia tu esabuzake zilimudanganya sana alizani binawezekana kwamuda mfupi kumbe alijitekenya
@martinisadru9899
@martinisadru9899 5 сағат бұрын
Mazee km haya hata bongo yapo mengi,, hua yanapenda yamiliki yenyewe vitu vya maana,, hali hayataki wanaochipukia wasimiliki,, lazima Ukraine amiliki siraha za nuclear.
@hassanmlawa-o6s
@hassanmlawa-o6s 4 сағат бұрын
Unachezewa knyeo ww
@happymrema7487
@happymrema7487 4 сағат бұрын
Nyamaza weww hujui hata huu mgogor unatokea wap usizungumxie kit amvacho ujui fwatilia historia ndio uongee mwache putin atambe
@nizarrama225
@nizarrama225 2 сағат бұрын
Vipi kuhusu Iran, North Korea kumiliki silaha za nyuklia.? 😂😂
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 6 сағат бұрын
Lakini aliwahi kusema atakaye msaidia zerensky hapo Ukrane atakiona lakini wp kasaidiwa na anaendelea kusaidiwa na NATO 😂😂😂😂
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 5 сағат бұрын
Uelewa wako mdogo sana Ukraine analinda ardhi yake ila akijaribu kuchukua silaha akawa anapiga maeneo ya asili ya Urusi hapo nd patawaka nd maana mpaka leo marekan anahangaika na maeneo yaliyochukuliwa tu na Kama wanaweza kumpa silaha za kupiga maeneo halali ya Urusi hapo nd utapata majibu sahih Kama alikuwa anatishia au la
@martinisadru9899
@martinisadru9899 5 сағат бұрын
​@@mustafamasudi8093Mzee ndio una amka,, au nawe ndio miongoni mwa watu waliofufuliwa leo km razaro. Mbona Ukraine yupo kitambo ndani ya arizi ya urusi,, na huyo baba ako wa kambo Putin kashindwa kuwapiga NATO km alivoahidi.
@wilsonMushi-e6q
@wilsonMushi-e6q 4 сағат бұрын
​@@mustafamasudi8093Kursk litakua eneo la china😅😅😅
@jkifutu7936
@jkifutu7936 6 сағат бұрын
Put msulimoto mbangunjungwa sikonkodonko naiyeee
@JaphetJairos
@JaphetJairos 6 сағат бұрын
Wameamua kuuwanaa
@RehemaJustine-co2kp
@RehemaJustine-co2kp 3 сағат бұрын
Ushaanza kutapatapa mzee 😂😂
@BenMamadou-w9e
@BenMamadou-w9e 5 сағат бұрын
Kombe nayeye ni muoga 😳😳😳 hadi anategemea Korea kazi ipo 🤪🤪🤪🤪
@ernestkunja3472
@ernestkunja3472 5 сағат бұрын
Hategemei Korea Ile ni operation na sio vita
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 4 сағат бұрын
Sio kweli ni propaganda tu za magharibi
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o Сағат бұрын
Mikwara
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 5 сағат бұрын
Wakristo tutaendelea kutawal hii inayosem ina mungu wa hak kl cku kulialia mar sayans ipo kwny kurani mbn warabu amgundui ktu
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 3 сағат бұрын
Wacha ujinga,hayo mafuta wanayotumia kuendeshea Vita vyao na magari yao yanatokea wapi,kwenu au?
@nelsonmrutu371
@nelsonmrutu371 4 сағат бұрын
Putin dawa yako inachemka na lazima utainywa 😁
@raydanfrenk
@raydanfrenk 6 сағат бұрын
😂😂😂 jamaa anamikwara atari kila siku maneno fanya kama Netanyahu anafanya kwa matendo 😂😂😂😂
@Niget-us1np
@Niget-us1np 6 сағат бұрын
Unapenda Wa2 kuuwana
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 6 сағат бұрын
Ndio ujue huyu ni makini sana SI muuaji kama netanyau.kila anaratibu hakurupuki.maana akifanya hivyo Dunia angeiharibu muda mrefu
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 6 сағат бұрын
NETANYAHU anaua watoto na wanawake 😂😂😂😂
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 6 сағат бұрын
Sio muuwaji huyo
@montanacarito3021
@montanacarito3021 4 сағат бұрын
Netanyahu hajali hali ya mateka waliochukuliwa nchi kwake
@HercaIlunga
@HercaIlunga 6 сағат бұрын
Kisha hii vita Ukraine itakuwa inchi yenye nguvu tena za nyuklia
@raydanfrenk
@raydanfrenk 6 сағат бұрын
Kwl aisee maana Zaman urus tulivyo mchukulia kama mbabe kumbe mchumba tu
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 5 сағат бұрын
​@@raydanfrenkwafuasi wa herode wanafarijiana😅😅😅
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 4 сағат бұрын
Kitu kama hicho ni ndoto, kwasababu atakayemgusa Urusi kweli bac anakula nuclear tu. Kwahiyo hizo nchi zote kubwakubwa zitauana zote hakuna mshindi.
@HercaIlunga
@HercaIlunga Сағат бұрын
@@MichaelMathew-j3f umeambiwa kama urusi ndiyo inchi pekee ya nyuklia ? Satan2 yenyewe ingali na matatizo
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 21 минут бұрын
@@HercaIlunga sema tu yote ila ukweli tunajua bana
@HercaIlunga
@HercaIlunga 6 сағат бұрын
Yeye kama nani ?
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 6 сағат бұрын
Na ww kama nani?
@HercaIlunga
@HercaIlunga 6 сағат бұрын
@@jumamussantuiche miye kama wewe
@raydanfrenk
@raydanfrenk 6 сағат бұрын
Putin anabweka tu akuna jipya 😂😂😂
@HercaIlunga
@HercaIlunga 6 сағат бұрын
@@raydanfrenk kweli kabisa na ajuwe kwamba Ukraine itakuwa adui yake kisha myaka na itajikaza kuwa na nyuklia na wataanza kuogopana wote
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 6 сағат бұрын
Yey kam taifa kubwa dunia ,mbona marekani aliivamia Iraq 🇮🇶 kw sasbab alisem Iraq ina silaha za Nyuklia na wakati hata kibiriti t cha Nyuklia walikua hawana Mbona huja wahi kuuliz Marekani kam nani aliivamia Iraq???
@josepheriah5977
@josepheriah5977 6 сағат бұрын
Putin afe
@Miriam-m2b
@Miriam-m2b 6 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 wewe ni nani
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 6 сағат бұрын
Ubaki ww shoga
@SarhaSaid
@SarhaSaid 6 сағат бұрын
Utakufa ww nafamily yako yeye utamuacha kwasababu hujamuumba ww
@pastorjully3657
@pastorjully3657 6 сағат бұрын
You’re not God of this world one day God of prophet TBJoshua will shame you
@Gulfnas1
@Gulfnas1 6 сағат бұрын
Kwan kajiita mungu??
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 4 сағат бұрын
Mungu wa Joshua sio Yesu Kristo. Ni miungu. Kwahiyo miungu haiwezi kitu chochote. Hovyo?
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 117 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН
Why Elon Musk’s Robotaxi Is Such a Risky Bet for Tesla
9:24
Bloomberg Originals
Рет қаралды 389 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
"Surrender or Starve": Israel Weighs Plan to Liquidate Northern Gaza
13:45
Family Guy - Peter Becomes a Muslim Part 1
4:43
Big Simpson
Рет қаралды 2,7 МЛН
UN news conference on this year's Nobel Peace Prize winner
17:31
Christian population by country 2024
8:10
Data pool
Рет қаралды 293 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 117 МЛН