No video

Qaillah (Samia Suluhu) - SENSA 2022

  Рет қаралды 8,890

OfficialQaillah

OfficialQaillah

Күн бұрын

#Sensa #tanzania
Qaillah Nurdin Bilal Ali ndo jina langu, niko tayari kuhesabiwa.
Mnamo Tar.23 Agosti 2022 zoezi la kuchukua takwimu mbalimbali zikiwemo idadi ya watu, maeneo yao, rika zao, ajira zao na ubora wa makazi wanayoishi litaanza nchi nzima. Takwimu hizi zitaisaidia serikali kupata taarifa za msingi zitakazosaidia mchakato wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025, mageuzi ya masuala ya afya na jamii, pamoja na ufuatiliaji wa ajenda za maendeleo za kimataifa. Pia takwimu hizi zitasaidia kukuza uchumi wetu na kujua namna nzuri ya kudumisha mazingira yetu kulingana na idadi yetu sote.
Hivyo nawasihi watanzania wenzangu kushiriki zoezi hili kikamilifu ili kutimiza malengo yetu.
Sensa kwa maendeleo, Jiandae Kuhesabiwa !

Пікірлер: 18
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 7 ай бұрын
Nimekosa hata comment kwa kushangazwa na uzuri wa maono ya huyu binti,, Allah mjaalie kila kheri binti huyu
@tyintanashertz784
@tyintanashertz784 2 жыл бұрын
I like you President Qaillah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💓💓💓💓💓💓💓God bless you 🙏 🙏🙏
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Asimame Nae Azidi Kuwa Baraka Katika MATAIFA Yote Na Hata Wazazi Mana Mungu Ndo Kafungua hio Baraka
@shamte9musicofficial126
@shamte9musicofficial126 2 жыл бұрын
Mungu akampe maisha marefu na akamtimizie haja ya moyo wake
@saumuomary3934
@saumuomary3934 2 жыл бұрын
Mashallah,Mola amuongoze,she will be someone with the title.
@mariyammariyam6584
@mariyammariyam6584 2 жыл бұрын
Mashallah mashallah congratulation Qaillah
@ngaribaonline9271
@ngaribaonline9271 2 жыл бұрын
Hii ni nzuri zaidi Wonderful
@everlynenasula1410
@everlynenasula1410 2 жыл бұрын
Wow congratulations Bby
@rainahflora2850
@rainahflora2850 2 жыл бұрын
Congratulations I love you ❤️
@delovelygalHope
@delovelygalHope 2 жыл бұрын
Wow. Our future leader of Tanzania 👏👏 God be with Qaillah🙏
@nassoursalum7982
@nassoursalum7982 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@emmanuelsteven5707
@emmanuelsteven5707 2 жыл бұрын
Kaka hiki ni kipaji sana
@mariethajoseph3428
@mariethajoseph3428 2 жыл бұрын
💯 qaillah
@nassoursalum7982
@nassoursalum7982 2 жыл бұрын
Huyu mtoto nimemkubali ni zaidi ya kiongozi anaongea walaa ata somi anaongea moja kwa moja kutoka mdomoni
@ayubusanga2325
@ayubusanga2325 Жыл бұрын
💥💥
@salehabdallah7220
@salehabdallah7220 2 жыл бұрын
Nice
@michaelndola4707
@michaelndola4707 2 жыл бұрын
Good
@nassoursalum7982
@nassoursalum7982 2 жыл бұрын
Na lolis juuu
Qayllah msichana mwenye ndoto za kuwa rais
5:23
DW Kiswahili
Рет қаралды 4,7 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 30 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 16 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 44 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 76 МЛН
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 5 МЛН
Shetta Atoa Siri Ya Kulea Watoto Wake Mwenyewe Bila Mwanamke
7:47
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 2,5 М.
MJUE UMMY MWALIMU NA MIAKA 14 YA UWAZIRI
6:36
KISA MEDIA
Рет қаралды 1,9 М.
Qayllah msichana mwenye ndoto za kuwa rais
5:23
DW Kiswahili
Рет қаралды 13 М.
Ijue familia ya Rais Samia Suluhu -mume, watoto na historia yake
13:38
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 968 М.
KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI
6:59
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 30 МЛН