No video

SHETTA AMPA MTOTO WAKE GARI, AFUNGUKA SABABU “SIMUENDEKEZI, NAMFUNDISHA ASIWE NA TAMAA”

  Рет қаралды 23,595

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Yani kaka upoo kama mm ninamabint watu ila huwa sijali watu wanasema nn kikubwa simkosei mungu nashukuru niwaelewa uwezo wa gari sina ila kila ambacho wanataka Allhamdullilah Allah awajalie kila la kheri ktk maisha yao
@bakarimusa6297
@bakarimusa6297 Жыл бұрын
Safi sana kaka uendelee na upendo kwa mwanao.
@khadjamhozya
@khadjamhozya 9 ай бұрын
Mimi nashangaa sheta Yuko kimya kimziki hayko vzuri kimuzki kipindi hiki, arakini anaishi vzuri kwake pazuri jumba zuri marezi mazuri ya watoto hizi pesa zote anatoka wapi najiuriza sana
@THETHIRDTV_
@THETHIRDTV_ Жыл бұрын
Safi,,akiwa teenagers hakuna mwanaume atamzuzua kisa gari
@mahsensaid4079
@mahsensaid4079 Жыл бұрын
Kaka umeongea point mm nashanga watu wanaosema unamuendekeza au atazoea sijui wanataka mtu ateseke tu kisa kuzoea ndo maisha gan ayo tunasema wacha mtoto nafrahi
@TheBastarrrd
@TheBastarrrd Жыл бұрын
Safi Sana 👍 wasenge watachukia lakini big up Sana sheta 💯
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Жыл бұрын
Sheita Mimi Nimekuelewa vzr sanaa hata Mimi Nahitaji kupambana kwa stail hiyo japo ni Uwezo tuu,Hongera sn Kaka,Mungu akubariki sn
@kuschprince3216
@kuschprince3216 Жыл бұрын
"Kila kitu kinawezekana ukiuza roho yako"!!
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Ni sawa kabisa Mpe mwanao unachoweza maana hatujui siku wala saa ila nashauri ELIMU KWANZA
@FazohMedia
@FazohMedia Жыл бұрын
Siku zote ukimuonyesha mtoto upendo wa namna hiyo hawezi kusahau lazima atakuja kulipa tu kwa watoto wake wajae
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
Safi sana hii itasaidi baadae ata masharo wakimdanya nitakununulia gari ataona vitu vya kawaida tu havitamtetemeshs
@jafaryyusufu2993
@jafaryyusufu2993 Жыл бұрын
Big up Sana baba kayla
@danielimusa7601
@danielimusa7601 Жыл бұрын
Uyu sheta sijaelewa...yani uyu ndyo yule shetani tunaemkanyaga kwene maombi au steta kivipi yani.
@sudiyahya9276
@sudiyahya9276 Жыл бұрын
Sababu tumeielewa , ongeza maharage nyamayakuku itoshe ,
@Dantaata
@Dantaata Жыл бұрын
sijapenda hili japo nalitafakali km linaweza kuwa sahihi,,
@khadjamhozya
@khadjamhozya 9 ай бұрын
Nyoko
@jacquelinerite3730
@jacquelinerite3730 Жыл бұрын
Ukizeeka huna hela na mtoto hadi akue huwezi jua kama ilo gari litakuepo au ata yeye atakua na pesa kama wewe anaweza asiwe na maisha mazuri so akilikosa kwakuwa kazoea atalitafuta kwingine.
@naah884
@naah884 Жыл бұрын
Mmh
@Bbwaoy
@Bbwaoy Жыл бұрын
Zawadi mbadala wa gari 1. M15 ange pata viwanja hata viwili Bagamoyo au Kigamboni. 2. 15M una fungua fixed account au USD account. 3. 15M una pata shamba lenye heka zaku tosha una mlimia miti ya mbao mtoto ana kua nayo mpaka ujanani. 4. 15M chukua hata hisa za kampuni kadhaa kwa jili ya mtoto. Zawadi mbadala ni nyingi. Ila zawadi ya gari ni zawadi pia.
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Asset vs Liability
@euniceodinga1045
@euniceodinga1045 Жыл бұрын
Unaakili sanaaa
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 Жыл бұрын
Rostam "Acha mwaJ apate raha Kesha danga sn mjini...."
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Wow!
@rmcrmcd4954
@rmcrmcd4954 Жыл бұрын
khongera kijana tutampeleka speni
@sarahabdulrahmani497
@sarahabdulrahmani497 Жыл бұрын
Mtoto wa kike uwezi kumpa Kila kitu anachohitaji Omba Mungu tu mwanao amuhepushe na mambo mabaya maana wewe mwenyewe unamfungulia njia ya kutamani vitu vya Anasa umeongea utumbo tu. Elimu ya Dunia na Khaera ndio muhimu kuwekeza Kwa watoto.leo umemnunulia gari Kwa ajili isimsumbue Kwa wanaume kesho Iloilo gari atalionga Kwa hao wanaume.Allah amnusuru
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Жыл бұрын
Acha roho ndogo wewe.. umaskini tuu ndo unakusumbua
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Mtt wako mpe kila anachooo hitaji kama unaweza nacho usipo mpa ndioo atapewa na watu kikubwa ni kumuombea dua tu maana Allah ndie muongoaji amuongoze ktk njia iliyo nyookaaa
@edsonimkwama8745
@edsonimkwama8745 Жыл бұрын
Naona roho ya kimaskini inasumbua hapa
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Ana lolote anakujaga hapa Hanna maisha huyu shetta unagari Moja tu ile jekundu Kila siku unakujanalo hapa gereji
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 Жыл бұрын
Nadhani unazijua sehemu za Siri za shetta dada Ritha. Tujaribu kuheshimu mambo, mawazo na mienendo ya maisha ya watu kwani ktk dunia Kuna machaguzi iwe watu ama vitu na ndio maana M/Mungu aliweka Hali tofauti kutupatia uhuru ila kumcha yeye ndio msingi muhimu zaidi.
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
Hana maisha wakati ana mabiasha na anamiliki kampuni yake mwenyewe posta
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
@@geographyteacher.2961 Hey George this guy is faking bwana
@sudiyahya9276
@sudiyahya9276 Жыл бұрын
Hongerasana sherta
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Kwani zawadi za watoto hakuna huo ni ushamba tu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
Nashaangaaa🤔😥
@TheBastarrrd
@TheBastarrrd Жыл бұрын
Sema wewe huna hela😅😅
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@TheBastarrrd hapo chacha🤣🤣🤣🤣
@hallin9561
@hallin9561 Жыл бұрын
hii ndio inayofanya sisi wazazi tusio na pesa tudharaulike na watoto zetu
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 Жыл бұрын
Hahaha tutafte pesa ndg yng.
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Sifa za kijinga tusije kushangaa siku ukiugua utaomba mchango utibiwe.
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 umeongea point ndgu
@lesusi7872
@lesusi7872 Жыл бұрын
Kwani si atauza magari yake atajitibu
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
@@lesusi7872 Wakiugua sijui magari yanaendaga wp wanaanza kuomba mchango. Wasanii hata maisha Yao Na magari Ni usaniii
@lesusi7872
@lesusi7872 Жыл бұрын
@@mercypeter162 Tuombeane afya njema
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
@@lesusi7872 Ni kweli Lakini sifa za kijinga tuache. Hii dunia mambo hubadilika.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
_🤣😂😂🙌🙌
@Zenny89
@Zenny89 Жыл бұрын
Mbona kawaida sana..Mimi nimeamza kuendesha gari na miaka 11.
@omarymalya3904
@omarymalya3904 Жыл бұрын
Oky nibab caila
@sulleyally5040
@sulleyally5040 Жыл бұрын
Kiki tu
@agnestemba7372
@agnestemba7372 Жыл бұрын
Hata mimi nampa mtoto wangu gari mje mnirekodi
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@agnestemba7372
@agnestemba7372 Жыл бұрын
😅😅😅turekodiwe na sisi 😅😅😅
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@agnestemba7372 Kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@agnestemba7372
@agnestemba7372 Жыл бұрын
😅😅😅😅kwa kweliiii
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@agnestemba7372pamoja ndugu yngu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@adam-saffi211
@adam-saffi211 Жыл бұрын
Imbecile father? Mavi huyo baba!
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 53 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 70 МЛН
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
Shetta Atoa Siri Ya Kulea Watoto Wake Mwenyewe Bila Mwanamke
7:47
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 2,5 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44