Yote watatu mna sauti za dhahabu hazichafuki hata mkiwa vizee mtabaki mnavutia tu mashaallah mashaalla Allah awalinde na macho ya mahasidi na awape umri mrefu wenye furaha
@UmmukurthumKamru3 ай бұрын
Yni ukiachi kwenye sabufa unafunga mtaaa hongereni sana