Mashaallah, Sheikh Hashim Allah akulipe ujira mkubwa kwa " darsa fupi yenye fasaha". Hii ni elimu, na pia ni ukumbusho pia. Allah atuongoze katika kufikia utekelezaji thabiti. Amin.
@jeanrwayitare95172 ай бұрын
JazakaAllah kheri sheik Kwa faida unatupa ktk darsa hiyi Alhamdulillah
@AminataHababa2 ай бұрын
As shukran jazaka llahull kheri wabaadall kheri jannatull firdausi
@mustaphaomar68392 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu kwa kutuelimisha vyema Allahumma Amin
@AndulHida-hs5py4 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe.Mola akupe elimu nyingi Zaid Afya njema na umri mrefu wenye manfaa na wewe kwanza kabla ya sisi inshaallah.
.tabaraka llah lailaha illa Allah ALLAH AKBAR mashallah
@halimamuketi67382 ай бұрын
Allah atuongoze kwenye haki tuweze kuifwata na batwil tuweze kuepuk
@MussageAiuba-k2b4 ай бұрын
Mansharaa tabarakaa Allah❤ elimu ya Allah haififii dini ya Allah ankibar
@FatumaSalim-g5i2 ай бұрын
Shukran sheikh
@mwajohari43854 ай бұрын
Mashallah,,jazakallahu khairan,,
@SaudaMfaume4 ай бұрын
Insha Allah shehe mungu akulinde nitayafata mafundish yak
@SawiaKamukala2 ай бұрын
Allaah akulipe kwa muda wako in shaa llaah
@SwalihBakari-ld4yz3 ай бұрын
Jazaka Allah Khayr
@ellChinGa4 ай бұрын
InshaAllah nasi tutajitahid
@zariaomary78512 ай бұрын
Mashaalah ,Allah akulipe zaidi
@broumaiyyah80184 ай бұрын
Mashallah tabarakallahu .Baralallahu lahu fiikiii ya Sheikh
@bizumeali35894 ай бұрын
😮😮
@bizumeali35894 ай бұрын
😮😮❤
@SophiaAsma-x1l4 ай бұрын
🕵️
@NasriRamadhani-po1lz4 ай бұрын
Mashallah ❤
@Khasw4 ай бұрын
MashaAllah jazaka llahu lkhyri
@jacqulineNyange2 ай бұрын
Tunakushkuru sana kwa maarifa mazuri. 🎉
@zuhuraalii31403 ай бұрын
Mashaallah shehe Allah akujaze mema ya Dunia na akhera inshallah,
@habibaramadhani-xv2ed4 ай бұрын
Maishallah, Shukrani
@AdnanOmar7664 ай бұрын
MashaAllah kwa mawaitha mzuri Allah azidi kukuifathi
@رحمةمحمد-ش1ه4 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah.sheikh hujaelezea suna ya dhuha ina rakaa ngapi kwajumla.
@SoudShuraim4 ай бұрын
Mbili
@FatumaMnyazilewa4 ай бұрын
Mbili hadi kumi na mbili
@SawiaKamukala2 ай бұрын
Allaah akujaalie mema duniani na kharera
@TatuRashid-d6t4 ай бұрын
Inshaalah nilishaanza shekh,ni ilimu tu watu tumepungukiw Allah kaelekeza yote ktk quraan
@zenaibrahim4374 ай бұрын
Mashallah sheikh
@SaliminSwalehe4 ай бұрын
Mashaallaa
@okeyhappy83872 ай бұрын
Allah akupe umuri murefu
@jarajara78593 ай бұрын
Mashaaallah sheikh mungu akupe umri mrefu
@Issa-hz3xd4 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah
@saidabakarsalmini6914 ай бұрын
Isha Allah sheikh
@MariamMarusu4 ай бұрын
ALLAH Akulipe malipo mema Shekhar wetu
@SameeraHashim-f9s4 ай бұрын
Mashaallah
@nkurunzizaabdul-aziz72113 ай бұрын
Jazakhallah kheir
@masackymacybarra6916Ай бұрын
Asalamu alaikum sheikh tafadhali kiswahili cha sasa kinatupiga chenga sisi tuliopo njee. Jelo, AU mengineyo. Tuna miaka zaidi ya40 bila ya kurudi hapo nyumbani. Tunafurahi kusikiliza mawadha yako sahihi na hadithi za nabii saw. Ahsante kutoka VALENCIA SPAIN.
@saumuhamdan4913 ай бұрын
MashaAllah tutafanya hivyo na Allah akuongoze kwa kila jambo
@OmAn-cz8kt4 ай бұрын
Amin
@BofuMlanzi3 ай бұрын
Alhamdulillahi Allah akulipe thawabu mara dufu.
@KuruthumYusuph-r7n3 ай бұрын
Mash Allah yameniingia mawaidha sheghe
@mwanaishakama33813 ай бұрын
Assallam alaykum Warhamma tullah wabarakhatuh sheikh mnatuchanganya wengine usema asr haina kablia wala bahdia
@AmeenaMkuja-ww3eb2 ай бұрын
Ndio haina lakini kama iyo swala ya udhu haina neno
@RakhmanHassan-ei3kn4 ай бұрын
Shukran shekh wetu
@mustaphaomar68392 ай бұрын
MsshAllah
@AzizaAlly-wq9ds4 ай бұрын
MashaAllah
@AshaMngindo4 ай бұрын
Inshallah shekh
@mariammwachiroho44643 ай бұрын
MashaAllah Tabarakallah walhamdulillah
@halinishibakari54023 ай бұрын
MashaAllah Allah akulipe kwa ukumbusho
@jokhaalaisri49943 ай бұрын
teyrrfgf
@jokhaalaisri49943 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@mgenisimba59024 ай бұрын
MAshaAllah
@yussuphsultan1400Ай бұрын
Hivi ndio vitu tunataka, sio kila siku wengine wanaamka wamraddi nani! Endeleea kutupa vitu sheikh!
@NawalAli-e3f2 ай бұрын
Sasa sheikh kwenye rakaa ya 2 hukai atahiyatu??
@angle36003 ай бұрын
❤❤❤❤
@zuhuramwaniki61384 ай бұрын
Je mwanamke akiswali msikitini na jamaa anaweze kurudi nyumbani na akavuta tasbih akingonja jua lichomoze alafu aswali rakaa mbili atapata thawabu kama za kuhiji na umra?
@SoudShuraim4 ай бұрын
Swala ya dhuha au ishraq inaitwa,nia ni moyoni2 ukishakusudia kuswali dhuha rakaa mbili inatosha,na kutamka ni sunnah sio lazima,Nawait swalli sunnaat dhuha rakaatein lilahi taala,
@AbdukarimKigogo3 ай бұрын
Taqbiruu
@ParaMtawa4 ай бұрын
Para
@yasminjuma91462 ай бұрын
Sijafaham. Rakaa mbili za sunna Alfajir. Unasali wakati sala ya Alfajir ishaingi au kabla ya kuingia sala ya Alfajir ?
@SesiliaLaga4 ай бұрын
Mwenye kujua jambo hili anisaidie iyo sala yasuna ya alufajili unanuiaje maana Mimi huwananuia hivi sijui kamaniko sawa nisaihisheni tafadhali nawaitu uswali sunat swalatii kablia lakaatain lilahitaara
@SoudShuraim4 ай бұрын
Rakaatein kabla lfajri lilahi taala
@awatifalghanim11064 ай бұрын
Au hivi…nawaitu usaly rakaatain lilahi taala pia nawaitu usaly Sunat alfajir lilahi taala … Yote inakubalika.
@ZubidaAlmasoudi2 ай бұрын
Kwahuku oman adhan ina adhiniwa sasita na dakika 4 shekhe satano na dakik 10 inswihi
@KhadijaAli-y8t2 ай бұрын
Mimi piya nko Oman kama wapata Muda dhuha swal saa mbili au nne inshallah
@KhadijaAli-y8t2 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi uiswali mana Ina malipo makubwa