Sheikh aliyekutowa kwenye sukani akakuleta kwenye mimbar, Allah amrahamu na rehma za Allah zikufikie wewe na sisi na swala na salamu zimfikie Rasulallah swalallahu alaihi wasalam.
@Amirisekemi-dw9wt7 ай бұрын
Allahuma swali alaaa sayyidina Muhammadin alifatihi lima ughilika walikhatimi limasabaqa naswiril haq bil haq wali hadi ilaah swiratakali mustaqem waalaah alihi haqa qadihil wameqdaraheel adwimu
@bimumaulid11717 ай бұрын
ULIPO TUPO BISMILAH MASHAALAH, WASIOKUPENDA TUPA KULE. FROM UK
mashallah shekh anafafanua sana kama shekh othman maalim mashallah Allah akalipe khery ,,,,,,,amin
@khadijaHatungimana4 ай бұрын
MashaAllah sheikh Allah azidi kukuhifadhi na kuzidishiye mazuri apa duniani na kesho akhera Aamiin. I really love you for the sake of Allah ❤❤❤
@letuslearn75485 ай бұрын
اللهم صلّ على سيدنا محمد، صلاة العبد الحائر المحتاج، الذي ضج من كل ضيق وحرج، فالتجأ إلى باب ربه الكريم، ففتحت له أبواب الفرج. ١١١ مرة
@AboudHassan-px7tfАй бұрын
Asw sheikh sala za mtume ziko nyingi jee zinafaa
@ibejoe77197 ай бұрын
Dua ya Elimu ya kunufaisha mja kwa waja ALLAHUMMA SWALI ALAA SAYYIDINA MUHAMMADI SWALATAN TUKHRIJUNII BIHA MIN DHULUMATIL WAHMI WATUKRIMUNII BINUURIL FAHMI WATWUDHWIH LII MAA ASHKALA HATTAYUFHAMA INNAKATA’LAM WALAA’LAM WAANTA A’LLAMUL UYUB Ewe Mola mbariki bwana wetu Muhammad na aali zake kwa baraka inayotutoa katika giza la upotofu, na ututukuze kwa nuru ya ufahamu, na utubainishie yale yanayotatanisha ili ifahamike kuwa wewe unajua na sisi hatujui. Kwakuwa wewe ni Mjuzi wa ya ghaibu
@juwairiyamambo6 ай бұрын
Shukran sana Allah awafanyie wepesi.
@ibejoe77196 ай бұрын
@@juwairiyamambo 👐Ameen Ya'Rabbu Al'ameen👐
@dahelahmad63315 ай бұрын
Allah akuzidishie zaidi na sisi atupe ulichokuwa nacho. Amin
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq3 ай бұрын
Tunaiyomba kwa maandishi ya kiarabu
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq3 ай бұрын
Shukran saana
@QueenFridausi6 ай бұрын
Shekhe waldi umetufundisha Siri kubwa yaelim yandani mungu akujaalie akufanyie nawe wepesi wamaisha yako inshaallahu
@maryamadam56227 ай бұрын
Mashallah Skh Walid. Darsa njema kabisa. Allahumma Salli Alaa Muhammad.
@JokhaRajabu2 ай бұрын
Mashaallah ALLAH akufanyie wepesi Sheikh tunajifunza mengi. ama hakika uislam raha endapo ukijifunza kama hivi.
@jasminmohamed61456 ай бұрын
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM Barakallahu Feek
@harunaomary59683 ай бұрын
Jazakallah khaira shkehh kw elmu kubwa tunajfunza kwko
@QueenFridausi6 ай бұрын
Hawa ndio mashekhe wakuwaskiliza wengine Wana tucjanaganyashekhe mungu akujaalie zaidinazaidikuwa fundisha waisilamu mungu akujaalie Dunia na akhera inshaall
@mariamabeid5847Ай бұрын
Tunaomba hizi swallah z a mtume SWA, tuandikieni humu online
Asalam Aleykum,ALLAH akulipe kheri duniani na kesho akhera InshaaAllah.Shukran sana@@JumaZahoro2000
@nabiljumbe7 ай бұрын
Mashaallah
@saeedsaeed73817 ай бұрын
🙏🙏🙏
@Heroes1226 ай бұрын
🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾💕♥️♥️♥️💕☝🏾☝🏾☝🏾
@wardaam37077 ай бұрын
Assalam alaykum warahmmatullah Samahani tunaomba mmoja wapo jamani atuandikie hii kumswalia mtume mara 111 inshaallah hata kosa fadhira mbele ya mwenyezimung