Talaka Tatu Kwa Mpigo Inafaa ? / Maswali Na Majibu / Sheikh Walid Alhad

  Рет қаралды 20,512

DARSA TV

DARSA TV

3 жыл бұрын

Talaka Tatu Kwa Mpigo Inafaa ? / Maswali Na Majibu / Sheikh Walid Alhad
Sheikh Walid Akijibu Maswali Baada Ya Darasa Msikiti Wa Kichangani
Darsa la tafsiri kichangani 2021 la mwezi ramadhani mwaka 1442H lilotolewa na sheikh Walid Alhad Omar kwa uzuri na ubora wa hali juu kabisa tiizama na endelea kufatilia darsa zetu na usisahau kushare kwa wingi
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks

Пікірлер: 42
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 3 жыл бұрын
Wallah nafaidika sana na darsa za Shekh Walid
@mariamciza9432
@mariamciza9432 3 жыл бұрын
Napenda sana darasa zako sheikh walidi Allah akupe umri mrefu uzidi kutu elimisha
@neemainabikorwa5570
@neemainabikorwa5570 3 жыл бұрын
Barak'Allahu fiiQ
@ffed1876
@ffed1876 Жыл бұрын
Shukran kwa ufahamisho
@MohamefMullah
@MohamefMullah Жыл бұрын
Kwa kweli mtihani leo masheikh wanaacha amri ya Allah na Mtume wake wanafuata eti jamhuri Watu wengi wamesema au swahaba fulani aliona kero akabadilisha subhannallah, hii wanayofanya Hawa wanaosema talaka tatu zinaswihi wallah wako katika bidaa mzito, mtume s, a, w mpaka anakufa talaka tatu kwa pamoja hakuna saydina Abuubar mpaka anakufa talaka tatu hakuna saydina Omar alikaa uhalifa mpaka miaka 2 na kidogo talaka tatu hakuna inakuaje baadae anasema atakae Acha talaka tatu ni tatu, inge kuwa Quraan bado inashuka ingeshuka aya hapana huwezi kuharamisha kitu Allah alichohalalisha, jaman tuwe makini masheikh sio yote wanayajua, haiwi mtume wetu alikosea na aya ikashuka pale alipoharamisha asali na ilikuwa udhru tu na aya ikashuka kwamba huwezi kuharamisha kitu ambacho Allah amekihalalisha na hii ya Mtume ilikuwa fitna ya wake zake tu haikuwa mtume kakusudia na aya imeshuka, naamini kwa hili aya ingeshuka lakini mtume hakuwepo tena muda wa kusema talaka tatu ni tatu jee hawajasoma wenye kusoma waangalie hiyo Quraan jinsi M.mungu alivyozipanga talaka ya kwanza ya pili ya tatu hurejei tena Wallah ni raha na uislam ni dini nyepesi lakini sisi wenyewe tunaitia uzito, wakati wa mtume swahaba alimuacha mke wake talaka 3 na hali anampenda baadae akaenda kwa mtume kumuelezea kila kitu na Mtume alimwambia swahaba jee bado wampenda mke wako akamwambia bado nampenda sana, Mtume akamwambia swahaba ikiwa wampenda unaweza kumrejeea na akamwambia hata ungemuacha talaka 100 ingehesabika ni moja hii ni kauli ya mtume na kunamapokezi sahihi ya hii hadith na asieamini huu wa talaka tatu kuwa ni moja basi asome Quraan surutul Baqara,suratul Talaq. Suratul Al Nisaa utaona jinsi ya talaka na namna ya Allah alivyopangilia na sio sijui rai jamhuri hapana dini inaendeshwa kwa kufuata Quraan na sunna, tuwe makini wabillahi taufiq
@FatimaFatima-wz2qt
@FatimaFatima-wz2qt Жыл бұрын
Mashalla uko makini shekhe
@batulimohamed6088
@batulimohamed6088 Жыл бұрын
Asante shekhe
@nzeyimanaayubu
@nzeyimanaayubu Жыл бұрын
Swaddakta sheikh
@kibakivideos
@kibakivideos 3 жыл бұрын
I like that English Phrase “Divide and Rule”
@user-bg5id8ut7r
@user-bg5id8ut7r 4 ай бұрын
Naitaji no za shee nashida ya kuliza swali la talaka
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Tatizo liko wapi alikuwa anataka Sheikh aelewe vizuri
@RehemaRajabu-w9p
@RehemaRajabu-w9p 26 күн бұрын
Naomb namba Yako xhekh
@masoudsmasoudmasoud-8419
@masoudsmasoudmasoud-8419 5 ай бұрын
Lakini kipimo hiko cha pesa si sawa, kwasababu hilo jambo ni khilafu pia Imekuja kupitishwa wakati wa Omari Allah amridhie so linahitajia hekima zaidi
@jayomarion8183
@jayomarion8183 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapa kwenye mfumo wa hela sheikh umenifurahisha Sana...Ila inshallah mungu atatuongoza sote kwenye njia iliyo sahihi....Ila sheikh talaka inataratibu zake rudi kwenye Quran imekueleza wazi kabisa taratibu za talaka ...maana kwa mfumo huo basi hadi sala haina haja tuisali kwa vipindi, hata tukizikusanya sote kwenye muda mmoja pia ni sawa...hapo unasemaje sheikh....mwenyezi mungu aliweka utaratibu wa kila Jambo na sheria zake....mwenyezi mungu alisema mkihitalifiana kwenye jambo lolote basi rudini kwenye kitabu, kwa maarifa yako hapa alikusudia kitabu gani..? Cha shafi, Malik au hambal, hapo alikusudia kitabu chenye Aya zake alizokuteremshieni ambacho ni Quran...Sasa jee Quran unasemaje hulihusu hili suala la talaka...? Waislam someni tusipelekeshwe...
@ZuhuraManduta-nj5uf
@ZuhuraManduta-nj5uf 9 ай бұрын
Hv mwanaume akikuacha alafu mdahuo huo akachan karatas hyo n taraka
@fatumajuma592
@fatumajuma592 5 ай бұрын
Si lazima andike karatasi akitaka na mdomo tuu talaka imepita
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Sheikh samahani talaka na hela ni mifano miwili tofauti.
@idrisamsakuzi4033
@idrisamsakuzi4033 3 жыл бұрын
Hata mi sijaelewa hapo
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 3 жыл бұрын
Jamani mbn mifano ipo hai sana apo mashallah
@abuubakariamiri1037
@abuubakariamiri1037 3 жыл бұрын
Acheni kukaza ubongo sheikh kafanya kwa vitendo ... tena vizur kabisa sema
@froma3732
@froma3732 Жыл бұрын
Ukiwa hutaki kufahamu ndio inakuwa hivo kwa wenye akili ndogo
@hk_ballers
@hk_ballers Жыл бұрын
Hujaelewa mini?😄 Talaka Tatu kwa pamoja ni 3 hilo ndo jibu lililotolewa mfano ni kusherehesha
@mohammedomar2788
@mohammedomar2788 Жыл бұрын
Mimi nakubaliana na kundi la hao kidogo maana wingi sio hoja,talaka tatu haziswihi talaka tatu inahesabika ni moja ,hata enz ya mtume ilihesabika hivyo na wakati wa saydina Abubakar pia,wakati wa saydina Omar ndio akasema kuanzia Sasa tatu ni tatu Kwa sbb watu wanafanya mchezo,lakini hata kwenye Quraan talaka inahesabika moja moja sio tatu kwenye Quraan yote hakuna talaka tatu kwa pamoja,tuambiane ukweli tu
@rahmamavura406
@rahmamavura406 Жыл бұрын
kweli kabisa talaka 3 alizileta sayyidina omary.yeye alikuwa hataki dhihaka na mambo ya ndoa
@sudamohamed1439
@sudamohamed1439 9 ай бұрын
Unaeza niandikia hio ayah ya quran inaosema talaka ni moja moja please . Muhimu sana
@mohammedkumi
@mohammedkumi 6 ай бұрын
Hakuna aya kwenye Quran ilosema talaka tatu ni moja
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 5 ай бұрын
​@@rahmamavura406Kote una wafuata ila Kwenye talaka una waacha lengo lako siyo dini ni tamaa za kimwili na fikra za uzinzi. Chaguwa moja usi wafuate kabisa au uwafuate siyo kuchagua vitamu tu
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 4 ай бұрын
Sasa vipi isisihi na wakati umenadhiria kutoa talaka tatu? Na vipi Ile hadithi ya mtume s.a.w mambo matatu ukweli wake ni ukweli na uwongo wake ni ukweli akataja talaka hii hadithi ni ya wazi kabisa kwamba ukisema tatu ni tatu Wala hakuna uwongo katika jambo hiloo
@abuuabdillahsalafimhapa3839
@abuuabdillahsalafimhapa3839 Жыл бұрын
hamnakitu walewale kasalo majina
@rahmamavura406
@rahmamavura406 Жыл бұрын
swali mtume muhammad aliacha talaka kwa njia ipi? ndio maana talaka zina mkao..
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Wewe mkongo uliza kwa ufupi talaka tatu kwa pamoja inasihi? Acha story zako
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 3 жыл бұрын
Kuchukua muda kama anawaidhi kumbe mgongo!!!
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Жыл бұрын
Kiakili maelezo ni ufafanunuzi
@IsmailIsmail-ix1yd
@IsmailIsmail-ix1yd Жыл бұрын
Quran inamwambia Bwana Mtume Muhammad (SAW)'THUMMA JAALNAAKA ALAA SHARII'AT FATTABI'IHA
@IbrahimAhmed-ge6nu
@IbrahimAhmed-ge6nu Жыл бұрын
Nauliza talaka tatu inapita bila kukutamkia imeandikwa kwa msg umeachika
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Si mtoaji amekiri
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Ikiwa talaka 3 ni moja kivipi huji kuhesabu auu mbona talaka mbili hamusemi moja vipi tatu iwe moja
@IsmailIsmail-ix1yd
@IsmailIsmail-ix1yd Жыл бұрын
Farudduhuu ilallah! Tushike aliyeamua talaka ni mojamoja au tushike kikamikifu aliyeamua tatu ni Moja! Kazi kwelikweli, haya wasomi!!
Я не голоден
01:00
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 13 МЛН
MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA TALAKA KWA NJIA YA SIMU
13:01
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 13 М.
JE TALAKA YA MESSAGE/KARATASI INASWIHII? /AINA ZA TALAKA
21:30
SHEIKH WALID ALHAD TV
Рет қаралды 13 М.
JE TALAKA YAPITA KWA MAANDISHI AU KUSEMA
4:23
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 24 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
0:34
Micky Makeover
Рет қаралды 12 МЛН
THE FLOOR IS LAVA 🌋🔥! Blippi Watch Out! #blippi #shorts
0:55
Blippi - Educational Videos for Kids
Рет қаралды 24 МЛН
GET BURNED BY TOUTCHING A POT OF CARDBOARD!#asmr
0:18
HAYATAKU はやたく
Рет қаралды 17 МЛН