Shekh wetu bada kisambaa ugali wao uwo 🤣🤣shekh wetu Allah akupe umli mlefu 🙏
@user-xl6qy6xk2u10 күн бұрын
Asalam aleykum Sheikh nina swali mm nlikuja nyumban kutembea lkn nlipofka huku nligombana na mume wng kweny cm nikadai talaka alipoend kwao akaandika talaka kisha akaondoka lkn hakunilete mm nyumban wala hakumpa mtu aniletee lkn kwao walinipgia cm nikachukue mm talaka kwao je sawa?
@faridaali68508 ай бұрын
Jazakallahu lkheyr
@salamasaleh7077 Жыл бұрын
Kweli shekhe matunzo hanna tabu tupu
@kautharramadhan-ej2iy Жыл бұрын
Je asiposema kama nimekuacha nimekutaliki akawaambia watu je imeswihi
@leilamohamed99436 ай бұрын
asalam ayekum shekh mume wangu aliandikia taraka kwenye karatasi 3 ila hakusema kaniacha kisha akazichana je taraka ina swihi au
@phatmerfatma12435 ай бұрын
Ulipata jibu
@user-bg5id8ut7r3 ай бұрын
Naitaji namba za shee naswali LA talaka mie linanichanganya
@sheikhwalidalhadtv29503 ай бұрын
Kama hautajali kutuma swali lako kwenye namba hii 0657348525 ila in whatsapp only
@user-bg5id8ut7r3 ай бұрын
@@sheikhwalidalhadtv2950 sawa
@sabihaibrahim14311 ай бұрын
Sasa mimi sikuachika basi kwa sababu nilikuwa nyumbani baada ya ugonvi nikaletewa tu karatasi na kakayake mwanaume basi ndio ikawa talaka mume yeye akasafiri