MasshaAllah Shegh Walid Usichoke na sisi InshaAllah hatutochoka kufatlia na kuijua dini yet wanazuon wanapungua na sisi tulionyuma yao tunapaswa kukamat ufmbo mkono kwa mkono hadi pepon InshaAllah
@hanspop69616 ай бұрын
Mufti Allah akulipe kwa kumuona Shekh Walid Hakika tunanufaika na ndio Bakwata yetu inatakiwa ielekee
@abdullakhalfan316 ай бұрын
Nakukubali Sheikh Walid Mashaa Allah.
@mwaramially26513 ай бұрын
Ukovzur shkhe nimfano wa kuigwa
@Majhidymhessa6 ай бұрын
Ma Sha Allah Mollah akuzidishie umri,kweli wewe ni kichwa kwa hesabu hizo na tukiamua kwa yakini waislam tunaweza fika mbali
@FardooFamosha6 ай бұрын
Mashallah shekh Walid mola akulinde na hasad za watu na majini.
@salimabdul44245 ай бұрын
Mashaallah masheikh zetu kwa kikao kizuri....
@radhiambwana33536 ай бұрын
Mashaa Allah Allha akulipe tutumie mda vzr fursa zipo ilituendelez dini na maisha kwaujumla.
@salumhassanallymkurdistan70066 ай бұрын
MASHALAH SHEKH WALIDI NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH
@kapayaone7485 ай бұрын
My role model -Masha Allah
@abdulrahmanally14126 ай бұрын
Mashaallah Sheikh Walid, sio yule mtu wa michapo ya kinadada
@shabanmohamed70715 ай бұрын
Daaahu hyu sheikh Allah amemjaalia hekma mno,uwezo mkubwa wa kuzungumza
@athumanzanangwa44776 ай бұрын
Mashaallah. Shukran sana Sheikh. Tuingie kwenye utekelezaji!
@MAIMUNAABDALA-m4u5 ай бұрын
Nakupenda San shekh waldy
@majaliwahassan25555 ай бұрын
Masha allha mungu awasimamie kwenye mawazo hayo hakuna kinacho shindikana kwenye maamuzi
@ladooladoo12855 ай бұрын
Huyu shekhe Maa shaa Allaah napenda uongeaji wake ni mtu simple ukimuona, uongeaji wake taratibu na mwingi wa hekima kuongea kwa mifano halisi kunafahamika zaidi wala hana usabii Allaah Akuhifadhi na Aturuzuku na sisi Lakini niwaambie siri ya mafanikio mnajua ni nini? Kumpa mtoto elimu ya kumtambua Mungu kwanza kwa hiyo safari inayobakia inakuwa nyepesi Allaah Atupe hekima ya ulezi kwa vizazi vyetu
@abdallahferouz92385 ай бұрын
ماشاء الله وجزاك الله خيرا 🤲❤
@HapsaHaji-bg5jk6 ай бұрын
Maashaallah lazima tuwe na uchumi wetu
@mrishongwikwi64486 ай бұрын
Mashaallah, Allah akuhifadhi kipenzi chetu shekh Walid Alhad Omar Kawambwa Kinyamkinda😀, hakika wewe ndiyo mtoto wa mjini hasa, tunawaombea na wale ndugu zetu waliokuja mjini awaondoshee husda na roho mbaya tuwe nao pamoja mjini
@JokhaSaid-e1c6 ай бұрын
Mabadiliko ya ante na kuwalipa Mishawaka mizuri waalimu wa vyuo na masheikh kazi kubwa sana wanaifanya. Itapunguza kuombaomba na majungu. Wendi siku hizi wamekuwa waganga
@fatimasaid94696 ай бұрын
Allah azid kkuhifadhi kwa kheri alhamdulilah nakupenda kwa ajili ya Allah. Na ssi yuko tayari kuchangia kwa ajili ya maendeleo ya uslam daima
@mussabendera17515 ай бұрын
Mashaallah umepataja kwetu lusanga.
@KhalidMzala6 ай бұрын
Mashaallah Allah awape kiongozi wetu wadini umri mrefu wenye manufaa na afya njema
@nassorntandu45136 ай бұрын
Uchumi, uchumi wa waislam uanzie kwenye madrasa/misikiti . wakati watoto wanasoma dini basi wafundishwe pia namna ya kujipatia kipato. Hii inawezekana kama madrasa ikiwa na maeneo ya adhi wakatumia kufuga( kuku, mbuzi, ngombe,) ama kufanya kilimo kwa mazao ya chakula na biashara (mahindi alizeti, maharage,nk) . Vilevile wafundishwe ujuzi wa computer, mechanics, umeme nk. Hii inawezekana ikiwa watawatumia/kuwaalika wataalam mbalimbali wa Kiislam hata wasio waislam. Kupelekwe mafungu ya fedha kila madrasa iweze kufanya mradi wake, ili wanafunzi wakihitimu wasiwe tegemezi na kudhalilika mtaani ama kujiingiza kwenye mikopo yenye riba, kamati na kujiuza. Inshaallah kila kitu kinawezekana tukitafakari na kuja na fikra za kujiinua kiuchumi. Allah awabariki, na Awatimizie malengo haya mazuri masheikh wangu.
@abbasmungia2665 ай бұрын
Hikma kubwa Masha Allah
@jemrezeejemrezee94516 ай бұрын
Huyu jamaaa nifaswaha sana kwenye kuongea mashaAllha
@SulumaSwaleh6 ай бұрын
MASHALLAH BIN GHAMMY , ALLAH AKUPE PEPO KWA HURUMA ZAKE.
@shadyahamad37246 ай бұрын
Amin🙏
@AmriMzeru6 ай бұрын
Hili somo nimelipenda
@athumansaid7966 ай бұрын
Walid wamuache kabsaaaa
@athumanzanangwa44776 ай бұрын
Nasaha nzuri sana. Tuunge mkono kivitendo katika maeneo yetu kwa fursa zilizopo!
@allykama33526 ай бұрын
Jitambuwe.+badilika+ aca mazoweya=mafanikiyo😊
@saidsalum61016 ай бұрын
Safi sana shekh umeongea kweli sisi waisilam tumejaa majungu sana
@AbdulrazackHamisi6 ай бұрын
Imenisisimua sana Shekh hongera
@gharibsomali45956 ай бұрын
Hapo umeongea ukweli kutafakari muhim na nyinyi mjitambue munaendeshwa kwa misingi gani au munaenda tu kwa vile mumepata sehem ya kula ongea ukweli yasiyo faa
@muhsinchambega6 ай бұрын
Jazakallah kheir
@seifusengondo91706 ай бұрын
mufti ajaye Shekh Walid
@othumanlorenzo2606 ай бұрын
inafaa tupate mtu mwenyebmaarifa mengi sana. ya dunia na dini ... hawa wanafaa kuwa washauri wa mufti katika maeneo fulani fulani....., kwa uelewa wao kuhusu dunia na mambi hayo ndio maana hauwaoni bakwata wakiwa katika shuguli za maendeleo zaidi ya kufungisha ndoa
@nuhubashiramubashira72336 ай бұрын
Maashalaah maashalaah
@AllyKarama6 ай бұрын
Mashaallah man'jan'da wajadah
@jimjam-xg7rv6 ай бұрын
Maa Shaa ALLAH 🇰🇪💚
@mohamedimuhinga90646 ай бұрын
Maneno ya shekh Wald kama kila kiongozi wa kiislamu atayafata waislamu tutakua mbali sana duh!! Ameongea vizuri sana
@mengikiguruwe67506 ай бұрын
Yaani huyu Sheikh ni hazina hasa
@hawa60526 ай бұрын
Baraka llahu fik
@Munatiyahilwa6 ай бұрын
ALLAHUMA BAARIK❤
@shabanmohamed70716 ай бұрын
Masha Allah
@mj.tv.forpeople9926 ай бұрын
Umenijenga
@mwajohari43856 ай бұрын
Alhamdulillah
@GiftKivevele6 ай бұрын
Mashallah
@hashimrwegasira37905 ай бұрын
Ta sheikh walid okugamba amazima omukama akubele edini ogishomile nefaida ntugipata kulaba aliwe
@shabanikitogo66135 ай бұрын
Hiki kichwa sio yule aliyekuwa kila siku ikulu kuomba msaada .
@MustafaNoman-c4y6 ай бұрын
Soini ata nn nachangia kwa furaha allh akbar jambo ambalo ni kiu yetu siku nyingi
@kivatirokitojo6576 ай бұрын
Walidi ni hazina ya koa wa darsalama na Tanzania angalia tafakkuri hiyo