Swaumu Ya ARAFA Siyo Ya Tukio Ni Ya Tarehe /Swaumu Hii Haiusiani Na Mahujaji/ Sheikh Muhammady Iddi

  Рет қаралды 5,458

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Swaumu Ya ARAFA Siyo Ya Tukio Ni Ya Tarehe /Swaumu Hii Haiusiani Na Mahujaji/ Sheikh Muhammady Iddi
Mashaa Allah Sheikh Muhammady Iddi akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Swaumu Ya ARAFA Siyo Ya Tukio Ni Ya Tarehe /Swaumu Hii Haiusiani Na Mahujaji/ Sheikh Muhammady Iddi
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tV

Пікірлер: 40
@salhakhalfan6513
@salhakhalfan6513 3 ай бұрын
ALLAH akupe umri mrefu tuendelee kustafid mazuri kutoka kwako sheikh letu
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Alhamdullllah shekh umeeleweka umekubalika (kiviwango).
@rukiayasuleyman2900
@rukiayasuleyman2900 3 ай бұрын
Jazaqallahu khair Shekhe wetu wallah tumepata ilimu.
@omanoman-ir1ez
@omanoman-ir1ez 3 ай бұрын
shekh mimi huwa nakuelewa sana mungu akufanyie wepesi katika mambo yako
@khalidmziwanda9024
@khalidmziwanda9024 3 ай бұрын
Mashallah elimu kubwa umetoa mwalimu atakayetaka ushabiki mwache afuate ushabiki Kwasababu kufaham nako ni rızkı
@HusseinSalum-il6bz
@HusseinSalum-il6bz 3 ай бұрын
Allah akulipe pepo sheikh Mohammed idd
@carolinemrinji9605
@carolinemrinji9605 3 ай бұрын
Masha Allah mie nashukru sana kwakutuelimisha
@Amina88Amina
@Amina88Amina 3 ай бұрын
Maa Shaa Allah,shukran sana kwa elimu hii binafsi nimeelimika Allah akuhifadhi na akulinde na kila Shari za waja wake shekhe Wetu
@subiraukindo954
@subiraukindo954 3 ай бұрын
Allah akulipe zaidi shekh kwa kutupa elimu nzuri sana
@adamcity9441
@adamcity9441 3 ай бұрын
ما شاء الله تبارك الرحمن
@w4058
@w4058 3 ай бұрын
Sheikh naam kweli kabisa unayo yasema ila hao wanaotumia ujuwaji wao kwa ukaidi wao wa kukubali kutumiwa na Wazayuni wao hawaukubali Subhanallah ndio maana Mtume SAW nawanukuu Masheikh walosema kuwa mwisho wa dunia kutakuwa na Masheikh wengi vijana na watakuwa hawana hekima hawana busara hawana akhlaq na waso juwa maskini hawajijui hawajitambui Allah awaongoze wao na sie
@ballpoint0340
@ballpoint0340 3 ай бұрын
Sina elimu lakini sheikh Mohammed idd, unazungumza maneno muhimu sana.
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 3 ай бұрын
Shekhe abuu idi ana patikana dar sehemu gani?
@salhakhalfan6513
@salhakhalfan6513 3 ай бұрын
Kwa atakaekuwa hajakuelewa Ana tatizo tuwaombee Allah Awape fahamu za wanazuoni
@MusabMusab-jb8my
@MusabMusab-jb8my 3 ай бұрын
Shkh hiv mwezi tisa wa tz unatofautiana na meka?
@yuslule9221
@yuslule9221 3 ай бұрын
Upotoshaji Mkubwa
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 3 ай бұрын
Vipi upotoshaji jaribu kusoma dini na uielewe.kama hujamfaham huyu inatakiwa uongeze kuitafuta elimu.hajji ingine kwa waliopo makka. N aambao hapo huko juu yao ni funga tu.
@alisalum8908
@alisalum8908 3 ай бұрын
Sheikh Gonga hapo hapo
@ahmadabdallah6641
@ahmadabdallah6641 3 ай бұрын
Asalam Alaykum. Arafat moja sio mbili. Allah Anapowasamehe waja wake ni siku ile ya Arafa wanapokuwa kiwanjani sio siku ya pili ya arafa unayosema. Kama kuna Arafa nyingine bila Mahujaji basi Allah Atakuawa yuwaambia Malaika wake tena Yuwa Wasamehe Mahujaji wapi.
@ballpoint0340
@ballpoint0340 3 ай бұрын
Sikiliza maneno alafu ukaulize kwa masheikh wako wachambue maneno haya, utapata faida. Mungu akupe wepesi.
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Walioswali jumamosi wameswali na kundi miongoni mwa waislam Idi mosi na waliyoswali jumapili pia ni Iddi pili hawamo nje ya Iddi wameswali swala halali kabisa kwa kuwa Iddi ni siku mbili hakuna mgogoro .
@Sharrif456
@Sharrif456 3 ай бұрын
Sheikh bon kanyoa devu kafunga masharubu
@sama-_8368
@sama-_8368 3 ай бұрын
Ndio nini?
@alhajnur1612
@alhajnur1612 3 ай бұрын
Sheikh bado nasema angekua na wenzako wa 3 kama wewe hapa Tanzania hawa wapotoshaji wote wangenyooka Mwenyezi Mungu akuongezee umri wenye manufaa makubwa
@sama-_8368
@sama-_8368 3 ай бұрын
Sanaaa
@khamismaulid-zh4xk
@khamismaulid-zh4xk 3 ай бұрын
Hatari hii ufaham kitu kingine shehe hapafungwi kusimamo shehewangu panafungwa siku Kama watu hawakusimama ilesikuipo pale pale. panafungwa
@alisalum8908
@alisalum8908 3 ай бұрын
😂😂 Yaani hadi raha jinsi ambavyo nnamuelewa huyu Shekhe
@w4058
@w4058 3 ай бұрын
Hiyo khiyari yake wacha ubabaifu
@mwanasitimpole8746
@mwanasitimpole8746 3 ай бұрын
Fuga ndevu kwanza ndio utoe fatwa.
@franciscomauriciofrancisco1155
@franciscomauriciofrancisco1155 3 ай бұрын
Wewe auna akili timamu
@sama-_8368
@sama-_8368 3 ай бұрын
Hayo maneno yanapatikana kitabu gani?
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 3 ай бұрын
UPO VIZURI SHEKHE AMBAE HAJAKUFAHAM AENDELEE KUTAFUTA ELIMU. WALIOPO ARAFA WENYEWE HAWAFUNGI IBADA ZAO TOFAUTI NA SISI
@w4058
@w4058 3 ай бұрын
Naam kabisa Allah awatanabahishe hao wanaothubutu kumwita sheikh msema kweli mpenzi wa Allah
@w4058
@w4058 3 ай бұрын
Cha ajabu Oman Alhamdulilah Rabilaalamin Allaah awazidishie
@Chilangala-wt3kw
@Chilangala-wt3kw 3 ай бұрын
Kama hawkuelewi haha bwana Mtume angekuwa hai wasingemuelewa katu
@saidisaidi4502
@saidisaidi4502 3 ай бұрын
Ukimaliza kupotosha Sasa zungumzia hiyo mipete yenu na majini mnayofuga
@ballpoint0340
@ballpoint0340 3 ай бұрын
Sikiliza maneno alafu ukaulize, hio itakuwa vizuri. Allah akupe wepesi
@w4058
@w4058 3 ай бұрын
Mpotishaji wewe
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 3 ай бұрын
Katika watu ninso waonaga wa hivyo ni pamoja na huyu jamaa hanaga hoja
@JumaHaji-zz8xk
@JumaHaji-zz8xk 3 ай бұрын
Shehe unachemka huna elimu kasome unapata tabu
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 18 МЛН
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 33 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 24 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 35 МЛН
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 111 М.
OGOPA HASAD YA KIJINI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
27:17
arkas online tv
Рет қаралды 4,3 М.
Shekh Suleyman Kilemile ajibu mashambulizi (SEHEMU YA KWANZA)
20:31
BABDEO MILADU
Рет қаралды 73 М.
PAZIA LA KUJIKINGA NA MISUKOSUKO YA MAISHA - SHEIKH WALID ALHAD
37:29
ZAINAB ONLINE TV
Рет қаралды 80 М.
SWAUMU YA ARAFA NI IBADA YA TAREHE NA SIO IBADA YA TUKIO
9:48
Alwiy Muhanna
Рет қаралды 1,8 М.
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 18 МЛН